BAADA YA AGIZO LA RAIS NGORONGORO, WANANCHI WATOA TAMKO "WANAONDOA WATU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Baada ya agizo alilolitoa Rais wa Tanzania Samia Hassan la viongozi wa serikali kujadili mustakabadhi wa eneo la Ngorongoro wananchi wamekutana kujadili suala hilo lakini imeshidikana baada ya waziri wa maliasili na utalii aliyekuwa akutane nao kupata dharura nakupelekea wanachi kutoa maoni yao kuhusu suala hilo
    Naibu waziri wa ofisi ya waziri mkuu uwekezaji William ole Nasha amesema atapanga siku nyingine ambayo atakuja na waziri huyokwa ajili yakuzungumzia changamoto hizo .

ความคิดเห็น • 166

  • @jpmugishapps
    @jpmugishapps 3 ปีที่แล้ว +11

    Jamani tuwasaidie ndugu zetu wa Ngorongoro. Mungu awabariki. 🙏🏾❤

  • @nasseralhabsi1483
    @nasseralhabsi1483 3 ปีที่แล้ว +5

    Jamaa ni hodari sana kwa kujieleza. Wanazungumza kama mwalimu darasani. Hongera sana wananchi wa Ngorongoro.

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 3 ปีที่แล้ว +4

    Waziri kaogopa kipigo..Aibu kubwa sana Kwa kudharau wananchi ambao wameacha shughuli zao na kumngojea Waziri.

  • @johnsangida5158
    @johnsangida5158 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu awatete ndugu zangu hakuna jambo gumu kwa Mungu.

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 3 ปีที่แล้ว +5

    Haya mamboyalikuwa yamekaa kimya,ila Mungu anajuwa zaidi

  • @lawrencegwerino1656
    @lawrencegwerino1656 3 ปีที่แล้ว +10

    Waziri awaombe hao watu msamaa,kwa kuwapotezea muda ,maana watu wamesafiri umbali mrefu afu gafla wewe hufiki kwenye kikao

  • @hafidhdrogba3392
    @hafidhdrogba3392 3 ปีที่แล้ว +1

    Waondoke sehem bado tunazo kubwasana msi atalishe maisha ya wataliii

    • @gladysalbinus7646
      @gladysalbinus7646 3 ปีที่แล้ว +1

      Waende wapi na huko ndio kwao

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 ปีที่แล้ว

      kwahiyo mnyanyase raiya wa inchi kisa watalii mbona wafrica hamna akili hivo wao kwao watawaruhusu mfanye hivo yaani wafukuzwe raiya w3nye aridh yao kabla hata ya hifadhi hiyo kwa ajili yanyie wafrica muinjoy kutembelea hifadh ?? acha ujinga wacheni wanainchi waish mskaz yao walio zaliwa sio lazma hifadh iwe hapo

  • @pascojm6816
    @pascojm6816 3 ปีที่แล้ว +5

    Hawa watu wanaeza kujielezea sana, safi sana

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 3 ปีที่แล้ว +1

      Wamasai wanajielewa sana, na pia wana umoja na wanaheshimu sana Serikali na sheria ila bana ukiwazingua na wao watakuzingua vibaya sana,
      Waziri uende huku unajielewa na unaelewa Historia yao nzima

  • @izraelyherman4467
    @izraelyherman4467 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwanini serikali mnakuwa sehemu ya maumivu ya wananchi?

  • @kaizamandike8771
    @kaizamandike8771 3 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo mama Samia ni mgeni kidogo na sisi watu wa bara,, Waziri mkuu kaa sawa utatue hii changamoto vizuri.🇹🇿

    • @salehpandu2250
      @salehpandu2250 3 ปีที่แล้ว +1

      Hukumbuki vijiji vya ujamaa vilivyo anzishwa hakuwa samia yule . watu walihamishwa kutoka sehemu mmoja kwenda nyingine. Jipangeni kuhama. Ngoro Ngoro mjue ni ardhi ya dunia mjue

    • @kaizamandike8771
      @kaizamandike8771 3 ปีที่แล้ว +1

      Chinjeni hao wanyama tule nyama watu waishi,, watu hawawezi kuwa wakimbizi eti kisa vimnyama pori

    • @richardkaiza74
      @richardkaiza74 3 ปีที่แล้ว +1

      @@kaizamandike8771 Haaah wa Sir name jina wanatuangusha. Ne NTARE kabakugibaga wakulyaaa ? Wamasai watana mpango wa kuhamishiwa Bukoba kutanua mjini 🤣🤣🤣

  • @justokweka2340
    @justokweka2340 3 ปีที่แล้ว +3

    Hawa wamasai ndo wananiweka mjini hapa jaman naomba acheni kuwakimbiza ovyo kama wakimbizi ni binadamu Wana haki tafuteni namna ya kusaidia

  • @issayapurka65869
    @issayapurka65869 3 ปีที่แล้ว +4

    Duuuuuhh!! Nikweli rais atuonee huruma maana hatujui tukaenda wapi Ndg zangu 👀👀👀👀

  • @hadijamagufuli2661
    @hadijamagufuli2661 2 ปีที่แล้ว +1

    Muwe na msimamo utawala wa samia nihatri mungu awasimamie kwa kila jambo nahapo mna haki akaibsa, samia sio rais bora nihatri zaid ya shetani

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 3 ปีที่แล้ว +2

    Masi wenye akili weng wametoka huku Ngorongoro NCA miladi Ayo uko vizuri Sana kutuabarisha

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 3 ปีที่แล้ว +2

    Ile kauli ya mtanikumbuka ndio imeanza sasa

  • @jackobosabore3853
    @jackobosabore3853 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani Mungu awasaidie mmalize kwa amani tu

  • @NaishiyeIsrael
    @NaishiyeIsrael 24 วันที่ผ่านมา

    Vizuri sanaaaaaa wanangorongoro

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 25 วันที่ผ่านมา

    Wakati waMungu umefika wamasai kupata haki zao. Ngorongor bila wamasai haiwezekan. Mungu bariki wamasai wapewe haki zao.

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu yupo ndugu zetu mlilieni machozi majibu yapo,na mungu hapokei rushwa wala nguvu zake hazina mipaka.yataisha

  • @clementbabuu4811
    @clementbabuu4811 3 ปีที่แล้ว +4

    Rais samia inabid aache kutoa matamko bila kujua chanzo cha tatzo akae na wazir wake wajadl na co kuamka2 na kusema watu wameongezeka wapungue😎

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 3 ปีที่แล้ว +2

    JPM utakumbukws

  • @upendowakwelinaamani1060
    @upendowakwelinaamani1060 3 ปีที่แล้ว +4

    Hawa watu wasiondolewe jamani wakae na waendelee kutunza hifazi maana hata wao wanapendezesha hifazi jamani ila wavamizi wa eneo wanaojulikana waondoke lkin hawa wamiaka mingi wawatendee haki waendelee kuishi km kawaida.

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaaaaaa

    • @grivinmkumbo4534
      @grivinmkumbo4534 3 ปีที่แล้ว

      kutoka watoke ila watafutiwe sehemu ya kuwaweka maana ongezeko Lao ni kubwa sana mwisho wa siku haitakuwa hifadhi itakuwa ni mji

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 ปีที่แล้ว

      @@grivinmkumbo4534 kwahiyo we unathamin sana wanyama kulko binaadam kama kukijaa sindio neema ya mungu watu kuzaliana kujaza dunia wakiona eneo limekuwa dogo wahamishe hifadhi ila sio kunyanyasa ninaadam kisa masirah ya watu fulani na kutetea wanyama sio hak kwa inchi yeyote hao wanotaka hizo dhahabu hapo hifadhi itawaghalim sana sabab zimetunzwa miaka ajili masirahi ya inchi sio kukurupuka tu hifadh ichimbwe dhahab zote kwa wataslam wa inje khaifai hao wazungu wamejenga huko kwao handi ndani ya misitu ya hifadh wanaish na wanyama pori vp nyie muwanyime watu uhuru kwa aridhi zao bana hakuna kuwamisha hapo

  • @avatar3879
    @avatar3879 2 ปีที่แล้ว

    Have been to the crater its an awesome experience. Much so at the hippo pool

  • @margaretwambete1228
    @margaretwambete1228 3 ปีที่แล้ว +1

    Gogo ongea 🙏💞💞💞

  • @Pastor1815
    @Pastor1815 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli nakumbuka nafasi Ya magufuli

  • @tajewomasaa19
    @tajewomasaa19 2 ปีที่แล้ว

    kawaida siku mkijaandaa kuwa subili hawaji , mungu awazaidie sana

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 3 ปีที่แล้ว +1

    Ashenalee Babaa umeongea ile fact ni kweli hamjaletwa hapo na mbio za mwenge.Mnanyanyaswa kama nyinyi si Raia wa nchi hii

  • @mrgeorgeisdory5277
    @mrgeorgeisdory5277 3 ปีที่แล้ว +1

    Dhaaaa tutaona Mengii

  • @elishapaulo9749
    @elishapaulo9749 3 ปีที่แล้ว +3

    Ladhima wananchi waangaliwe uezi watoa kama kuku tu au unadhin wakitoka apo wataenda kuishi wap

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 ปีที่แล้ว +3

    Waacheni watu waishi kwanini wanasumbua jamani watu tunakufa jamani

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 ปีที่แล้ว

      nami nashangaa hilo lirais lenu kama linalaana hivi watu wako inje ya miji huko wanaona bado wanafaid yaani huyu mama huyu mbaya sana

  • @chuimnyama9074
    @chuimnyama9074 3 ปีที่แล้ว +1

    Hamuwezi kushindana na serikali

  • @amaninalepo7038
    @amaninalepo7038 3 ปีที่แล้ว +2

    Mm nasungumza naserikali kama watu wameongezeka je na wanyama pia siwameongezeka

  • @omarykusah9719
    @omarykusah9719 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo ni hifadh Sasa nyinyi mnazidi kuwa wengi serikali Haina mbaya Ina Nia nzuri

  • @thedeo472
    @thedeo472 3 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo ni ongezeko la watu, na hii siyo Ngorongoro pekee yake. Ukweli ni kwamba population inaongezeka kwa kasi lakini ardhi haiongezeki! So what’s the Solution? Solution ni sisi binadamu tubadilike ili kukidhi mahitaji ya ardhi na siyo kinyume chake.

    • @oricktunyoni3143
      @oricktunyoni3143 2 ปีที่แล้ว

      Genius.....wengine umu mashabiki tuuu....yani tatzoo ni carrying cappacity....

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 2 ปีที่แล้ว

    Walipeni fidia kubwa wapeni eneo lingine kubwa msiwasumbue wamasai hao nao ni utalii wanadamu wanaishi na wanyama polini nao nipato

  • @justokweka2340
    @justokweka2340 3 ปีที่แล้ว +1

    Waache mambo ya kipumbavu wanawavunjia nyumban.. Sasa wakaishi wapi sasa.. Waongee waangalie namna nzuri ya kuwasaidia bhana

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 ปีที่แล้ว

      nawana miayaka 70 wapo huko leo waje wawatoe kijinga wawachie sehemu zao hayo madin wanotaka yakachimbwe katka eneo hilo ajili wapewe wazungu haina umuhimu wa hilo swala samia alisema hifadh hiyo waletwe wazungu wachimne madin ili mifuko iwe na pesa wakat miaka nenda rud waliambiwa hapo katka hifadh wasiruhusu madini kuchimbwa kwa saasa yabak kama akiba hicho ndi kinamfanya awatoe hao bila sabab ya msingi

  • @losekumengoru1609
    @losekumengoru1609 3 ปีที่แล้ว +1

    Mh.Rais tunaomba uwasaidie ndg zetu kwasababu hawana pakwenda ,ngorongoro ndo walipozaliwa,

  • @zahorsalum663
    @zahorsalum663 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii serekali inatafuta balaa kila kona hivi nibora simba au swala kulikoni raia wanchii hii.? Mambomengine upuuuzi kbs

    • @shalomizrael667
      @shalomizrael667 3 ปีที่แล้ว +2

      Alafu yeye anasema, madini yaliyopo kwenye hifadhi yachimbwe mbona anatufikirisha sana huyu mama

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 ปีที่แล้ว

      @@shalomizrael667 umeona eee nawachimbaji watoke inje wakat hata alieikomboa inchi kuna utumwa alikataza haya madini kuchimbwa kwa haraka alisema yaachwe hadi watanzania wawe wataalam wa kuchimba na kuwa manufaa ya tanzania na watanzania wake ila samia anakurupuka tu lazima yachimbwe ma wataalam kutoka inje yaani atangamia sana huyo mama rasil mali bado zipo za kutosha mabandar yameongezeka so inch8 inaweza kupanda kwa mirad iliyopo sahiv sio kwa hizo dhahab zilizo achwa kwa faida ya tanzania

    • @shalomizrael667
      @shalomizrael667 3 ปีที่แล้ว +1

      @@aishaalbalushaishabalush8291 Binafsi sina imani nae.

  • @catherinechifebe5800
    @catherinechifebe5800 3 ปีที่แล้ว +4

    NIMEFURAHI WATOTO WETU WAKIMASAI WENGI SANA WAMESOMA KWA SASA

  • @ignasfusi1406
    @ignasfusi1406 3 ปีที่แล้ว +1

    Atalii mnajua kutetea mko vzr nakubal ngoro hoyeee

  • @margaretwambete1228
    @margaretwambete1228 3 ปีที่แล้ว +1

    Wamasaai ni wagwana sana.

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 2 ปีที่แล้ว +1

    Waacheni wamasai wakae. ...wao wenyewe ni utalii. Ninanusa harufu ya rushwa kwa hawa viongozi wa wamasai.....watawauza watu wao...madiwani,mbunge wao, na viongozi wa mila....kaeni chanjo. Hiyo pesa tamu lakini inamadhara makubwa ni laana hiyo!

  • @gtseam4595
    @gtseam4595 3 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @fahmaali8945
    @fahmaali8945 2 ปีที่แล้ว +1

    Yuko wapi mtetezi wawanyonge.wamasai wananyanyaswa utafikiri wahamiaji nahuko nawatanzania kwani hawana haki. Matajiri nchi hii ndowanaonekana wazuri lakini mkumbuke hii dunia nimapito

    • @abi-onlinetv4181
      @abi-onlinetv4181 2 ปีที่แล้ว

      Huna akili wewe hao wamenyaswa na nini maslahi ni yao wenyewe hafu unasema wananyanyaswa. Jenga big Picture ndo utaelewa.

  • @zalfahashimu9393
    @zalfahashimu9393 2 ปีที่แล้ว +1

    Msiwatoe wazawa hyo ni Haki Yao utakuwa ni Jambo la Ajabu Sana mnasamini tatalii kuliko wazawa mbona hatuwaelewi, Tena wamasai mnatafuta nini jamani viongozi wetu

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa maoni yangu wavamizi ni wafanya biashara wanaovizia kuchuma pesa kwa watalii, zamani ilikua Watalii wanapelekwa kuona wanyama tu ndani ya pori halafu manunuzi ya vinyago na kuona Ngoma ya Masai yalikua yanafanyika nje ya Crater, siku hizi wameingiza mabiashara mengi ndani ya Crater sasa hao wote ni watu ambao sio wenyeji na hawastahili kuwepo ndani ya hifadhi,
    Kuhusu wenyeji Wamasai sheria inawakataza kujenga nyumba za kudumu ndani ya hifadhi, walikubaliwa kuishi kienyeji na maboma yao, lakini ni tofauti wanajenga nyumba za kisasa, umeme, na vitu vingine ambavyo sio asili,
    Nashauri wangeanza na kuondoa wafanyabiashara kwanza, pili magari yangepangiwa kwenda mara mbili kwa wiki sio kama sasa magari yamekua kama wanyama na yenyewe hata Simba hawaogopi magari tena,
    Tatu wenyeji wangepewa viwanja karatu hapo wajenge nyumba zao za kudumu kuliko sasa wanaishi kwa sheria

    • @Awatee
      @Awatee 2 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣Eti simba hawaogopi tena gari

  • @rinaldaoman7892
    @rinaldaoman7892 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmmm nyie mkiachwa ni hatari inabidii watawanywe

  • @lowasakitwiyan7758
    @lowasakitwiyan7758 2 ปีที่แล้ว

    Kweli magufuli tutamkumbuka milele na milele acheni wananchi wa ngorongoro waishi kwenye ardhi yao daaah inaniumiza sana

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 ปีที่แล้ว

    Kwedenyi nalengii

  • @jumamnyema6263
    @jumamnyema6263 2 ปีที่แล้ว

    Remmy

  • @mako331
    @mako331 2 ปีที่แล้ว +1

    Sijui vizuri ubishi ni nini hapa! Au msswali rahisi tu ya kujiuliza mmeongezeka au hamjaongezeka? Mmejenga makazi ya kudumu ndani ya hifadhi au la? Mnafanya biashara ndani ya hufanyi na mifugo imeongezeka au la? Na kama majibu ni ndio mjiulize hali hiyo madhara kwa hifadhi au la? Kama hapana tufunge mjadala serikali ifanye kazi yake

  • @homemohammed3244
    @homemohammed3244 2 ปีที่แล้ว

    acheni kiwanyanyasa watanzania wenzenu khaaa watu wako kwenye nchi Yao lakin shida tupu kwel

  • @ماجكموزجوني
    @ماجكموزجوني 3 ปีที่แล้ว +7

    Chairman has better knowledge, diplomacy and looks well educated than some of the ministers in this GVT. He knows what he's talking about and stands firm defending and protecting his own villagers. Whoever want to go and talk to him he must be well prepared or he may end up knocked off the floor and walk away empty handed. This people are not dumb and dumbest. You hav been warned....

  • @johnshikolo6919
    @johnshikolo6919 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtamkumbuka

  • @chumanondochuma8012
    @chumanondochuma8012 3 ปีที่แล้ว +1

    Mambo ya litrey ethiopia

  • @gaspermtandiko5790
    @gaspermtandiko5790 3 ปีที่แล้ว +3

    Shida siyo wamasai kukaa pale ..shida baada ya miaka 20 ijayo hifadhi itakuwaje. Wamasai wanazidi kuzaliana ndani ya hifadhi. Mwisho wake watu watakuwa wengi kuliko wanyama na hifadhi itapoteza uhalisia wake. Watu wengi mifugo mingi watalii wengi magari yanayoingia hifadhini ni mengi, hotel za kitalii ni nyingi, camp sites ni nyingii n.k. kifupi ni lazima hawa watu watafutiwe eneo lingine ili kuinusuru hifadhi hakuna namna.

    • @drrahaburubago6303
      @drrahaburubago6303 3 ปีที่แล้ว +1

      Naamini hawana kosa kuzaliana hilo ni tatizo la Mungu. Naamini pia hata kijijini kwenye wamezaliana wengi tu. Ningeshauri serikali iwe inaangalia mbele zaidi siyo inaangalia miaka Kumi ishilini inapanga Mikakati. Hawa watu hawana kosa kisheria, hawana kosa Mbinguni wala Duniani wametimiza agizo la Mungu tu.

    • @drrahaburubago6303
      @drrahaburubago6303 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo=Agizo

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 ปีที่แล้ว +2

      we mavi kabsa hao wanyama si wamishwe watu waeze kuish unak8li kweli wewe mapori yapo wahame hao wanyama bas sio kutesa binaadam wanyama hawaish katka nyumba wanaishi kwa mapori leo muwavunjie binaadam nyumba zao kisa kuweka pori la wanyama mnakili kweli nyie hamisheni wanyama muache makaz ya watu waish bana

    • @lifeonearth94
      @lifeonearth94 2 ปีที่แล้ว +2

      @@drrahaburubago6303
      Watu kama nyie ndo walojaa duniani, inshot ni hamna maono wala akili

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 2 ปีที่แล้ว

      SSa hutaki wazaliane mwambembie mungu as awape watoto nyoo

  • @mkonofrank5305
    @mkonofrank5305 3 ปีที่แล้ว +1

    Serikali ifanye majadiliano kwa kina na hao wenyeji wao pia ni wahifadhi wazuri tangia mwaka 1959 mpaka Sasa wangekua wabaya hiyo hifadhi ingekufa namalizia kwa kusema tutambie ya kwamba MTU KWAO.

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 ปีที่แล้ว

      haswa

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 2 ปีที่แล้ว

      Hayo maeneo hayakuwa na mtu yeyote kipindi cha nyuma nyumba zimekuja juzi tu na kila eneo lililojengwa makazi ya binadam wanyama walikimbia waulize wazee wenu waliishi na wanyama mwisho wa siku hao wanyama hawapo tena kutokana kuuliwa na binadam na uhalibifu wa maeneo asili tusichukulie kirahis inafaida kubwa ikilindwa na kuhifaziwa

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ardhi mali ya serikali kwaza ujue hilo inawezwa kubadilishwa wakati wowote pumbavu

    • @kisotasekwang7754
      @kisotasekwang7754 3 ปีที่แล้ว +2

      Mpwa KOKO wewe koba

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 ปีที่แล้ว

      uwongo bana aridh ni yamungu na viumbe alivo viweka hapo hao serkal wakatengeze aridh zao kama wataweza msinyanyase vimbe wa mungu kwa tamaa zenu za pesa wajinga nyie

  • @josephmanyahi5324
    @josephmanyahi5324 2 ปีที่แล้ว

    Tatizo ni ongezekoo la watuu wengi aridhi haiongezekii, hapo ndyo Kuna shidaa ndugu zangu,

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

      Ninachowaza ni kwamba hawa walitolewa Serengeti wakaletwa hapo wanatolewa hapo je watapelekwa wapi ?wakati mapori yote kuna kasheshe hizo za aina yake kuna vita za wafugaji na wakulima je wapi watapelekwa?.Isitoshe baadae tena wataambiwa wameongezeka kwa hiyo wataishi maisha ya digidigi ya mashaka kila mara?

  • @fadhilijuma1676
    @fadhilijuma1676 2 ปีที่แล้ว

    Waondoke haraka sana

    • @kiangurajason1183
      @kiangurajason1183 2 ปีที่แล้ว

      Are you reading the shit you're writing? Takataka wewe.

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 2 ปีที่แล้ว

    Mpaka hapo nimeamini raia wengi watamkumbuka mjomba,,

  • @HalidMuhammad-gi9qy
    @HalidMuhammad-gi9qy หลายเดือนก่อน

    Ukweli kuhusu kutokufika ni dharau tu kwani hao waliofika.walikua hawana kazi

  • @rabsontryphon9254
    @rabsontryphon9254 2 ปีที่แล้ว

    Hii ndo tafasiri ya wanyonge ila mzee baba alivofariki baadhi ya wasiasi walichomoza kujifanya wana akili nyng eti hakuna wanyonge..

  • @ayoubabdulrahman1305
    @ayoubabdulrahman1305 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi binafsi sion tatizo maana kama mchanganyiko flan hv ww kitalii mtalii ataona Wanyama na wakat huo huo ataona Wamasai ...ni wazo tu..

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 ปีที่แล้ว

      samia anataka awape waekezaji hewa waje kuchimba madini hiyo sehemu ya hifadh ndi maana wanawafukuza watu kwa lazma mungu awatete asee yaani wanainchi wa tanzania wanakua ahwana uhuru na aridh zao kutwa kuwafukuza ili hao anao waona wa maana wakachimbe madin wakat ni yaliachwa kuwa akiba ya badae

    • @binseif2216
      @binseif2216 2 ปีที่แล้ว

      @@aishaalbalushaishabalush8291 kumbuka binadamu wanapoogezeka sehemu ya wanyama pori,wanyama hukimbia nakwenda mbali sana,hawataki kuishi karibu na binadamu,mwisho wa siku watahamia nchi jirani,tuwe makini na kauli zetu

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 2 ปีที่แล้ว

      @@binseif2216 kwahiyo wanyama nibora sana kulko binaadam ? yaani shida sana kuona binaadam anamthamini mnyama kulko binaadam mwenzie duh

    • @binseif2216
      @binseif2216 2 ปีที่แล้ว

      @@aishaalbalushaishabalush8291 Sijasema mnyama ni bora kuliko binadamu lkn pia hao ni viumbe wa mungu,makazi ya
      Watu yanapokuwa kwa kasi zaid hatari zaid kwa wanyama kutoweka,kumbuka pia wamasai hawakufkuzwa nchini bali wanahamishwa tu kutoka sehemu hii kwenda nyingne,watapata pia elimu kwa watoto wao sababu school itakwepo

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 2 ปีที่แล้ว

      @@binseif2216 nikusaidie tu hao wanyama wameumbiwa maporini so wanaishi kokote sio lazma hapo hapo maana hawana nyumba inchi zilizo endelea hawanyanyasi watu kisa wanyama hata dini hairuhusu bana kama waliona nyumba zimejaa huko wange wahamisha wanyama kuna misitu mingi sana haina watu pia huwezi muamisha mtu kisa mnyama acha hizo njozi za hovyo wanyama ndio wanatakiwa wahame kama eneo hilo limeshakua nimakaz ya watu sababu ya kua wanyama hawaishi ndani ya nyumba wanaish msituni nihak wahamishiwe msitu ungine ulie mbali na makazi ya watu hao wanaohamishwa sio kwa ajili ya wanyama wanahamisha kwa ajili ya waekezaji wanandaiwa wanaingia maeneo ya muekezaji mwarabu so hataki kwahiyo muwatoe raiya kisa wageni na wanyama ambao makaz yao nipopote ?huo ni ujinga wa viongoz thaman ya mnyama nindogo sana kwa thaman ya binaadam bana nabpia hamuwezi wahamisha wamasai wanamifugo mkawapeleka katka watu wasio na mifugo yaani wakulima nivitu vi 2 tofaut mnaenda kuanzisha vita ya wakulima au wanainchi wa kawaida na wafugaji mwezi umepita mifugo ya masai imepewa sumu huko tanga unadhani mwenye mifugo atanyamaza ? muwe mnafikiri kabla yakutenda

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 ปีที่แล้ว +1

    Mamasamia atawasaidia tu.hawezi kuwaacha

  • @zuperpeace
    @zuperpeace 3 ปีที่แล้ว

    Wananchi wa Ngorongoro wakumbuke kwamba kama kuna watu watawakosea, basi ni vizazi zijazo za watoto wao. Hii neema haipo popote duniani, na wao wenyewe wachukue hatua za kuikuza Ngorongoro kwenye uasili wake. Mimi nilipotembelea Ngorongoro mwaka 1995, vijiji ndani ya hifadhi havikuzidi vitano. Na chini pale kwenye crater hakuwepo hata binadamu mmoja akiishi.Mfumuko huo wa vijiji na watu si wakawaida.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

      Je na mahoteli lukuki yalikuwepo?.Wameruhusu kujengwa mahoteli mpaka kumeondoa mvuto pia

  • @fadhilijuma1676
    @fadhilijuma1676 2 ปีที่แล้ว

    Ni bora waondoke humo.

  • @allynazareth9684
    @allynazareth9684 3 ปีที่แล้ว +1

    Ardhi ni Mali ya serikali na serikali inaweza kupanga matumizi yeyote na muda wowote

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 ปีที่แล้ว

      uwongo aridh nimali ya raiya wote wanao imiliki hata serkal inahitaj kulipia pesa za aridh nakuweka hat milik zao ila usiseme aridh yote ni mali ya serkal huo ni uwongo tena kwakuwa tanzania ni kubwa wasio na uwezo walitakiwa wapewe aridh bure ambazo zipo wazi na eneo za kufanya mashamba ili wajitoe katka dhiki sema serkal za africa viongoz wao hawana utu wanawaza masirah ya kwao nasio raiya

    • @allynazareth9684
      @allynazareth9684 3 ปีที่แล้ว

      Kabla hujaandika chochote ulitakiwa ujue sheria ya ardhi ya Tanzania inasemaje sio kwa sababu unajua kusoma na kuandika ndo uanze kubishana unatupa taabu kukuelekeza sheria zetu zinasema ardhi ni mali ya serikali ukienda Kenya sheria yao inasema ardhi ni mali ya wananchi ndo maana huku kwetu tz nyumbani kwako pakigundulika pana madini au mafuta unahamishwa unapewa sehemu nyengine ukajenge

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 ปีที่แล้ว

      @@allynazareth9684 aridh ya serkali kwa wageni nasio wazaliwa wa hapo acha kbsa 8takuwa serkal ya kuonea waraiya na kuwafaidisha wageni tumia akili hata hao wanaouziwa aridh ya watanzania na watanzania kufukuzwa huo ni uwonevu wa haq za binaadam mgeni mumulikishe aridh za raiya halaf muwambie waraiya hiii ni aridh ya serkal wakat watu wamish miaka 700 kabla hata ya uhuru huo sio ubinaadam so serkal yenu inadhulma na hawo unaosema aridh zao watajibu siku ya mwisha acha kabsa hakuna inchi inaujinga wa hivo katka raiya wake kenya n8 inchi ndogo sa a naqasid inchi kubwa hawezi kusema aridh yote niyaserkal wakat mungu kawaekea aliowaumba ndani inchi hiyo huo ni ufisad wahali ya juu huwez kukubalika kokote ndi maana tanzania migogoro ya aridh haish sabab mnawaoneya raiya bana wacheni katka aridh zao wamezaliwa hapo na wazekee hapo hakuna aridh ya serkal dunian hapa rabda ile walio ilipia pesa wakanunu ndi itajilukana hili eneo la serkal nasio aridh yote kwa wageni ndio lazma waonane na serkal ili kupata haki na kutokuenda kinyume na qanon za inchi nasio mnyanyase wazawa kisa awen waje waekezaji wapewe eneo ambalo nila raiya wainchi hiyo kinguvu kidhuluma kujibinafsisha serkal hakuna kitu kama hiyo inchi zote zenye maendeleo waraiya wao hawanyanyaswi kwa chochote ndani ya inchi yao hiyo dhulma nahiyo sio aridh ya serkal bana

    • @allynazareth9684
      @allynazareth9684 3 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo unabishana na mimi au kaitba mbona sikuelewi

    • @allynazareth9684
      @allynazareth9684 3 ปีที่แล้ว

      Katiba ndo imesema ardhi ni mali ya serikali na wanaweza kuipangia matumizi kulingana na mahitaji

  • @allenmassangwa3438
    @allenmassangwa3438 3 ปีที่แล้ว +1

    Sidai olengiii

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 2 ปีที่แล้ว

    Nataka nije huko

  • @lifeonearth94
    @lifeonearth94 2 ปีที่แล้ว

    Wawatoe, hyo mbuga haitakuwepo baada ya miaka100, mana yote itakuwa ni kijiji cha wamasai

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 3 ปีที่แล้ว +1

    Polen Sana lofafa

  • @margaretwambete1228
    @margaretwambete1228 3 ปีที่แล้ว

    Kaeni mezani.

  • @jacksongidion5170
    @jacksongidion5170 2 ปีที่แล้ว

    7

  • @kimbyarungwe4959
    @kimbyarungwe4959 2 ปีที่แล้ว

    Nchi ilisha uza hii kaeni kizembe

  • @mayaally2512
    @mayaally2512 3 ปีที่แล้ว +2

    Ukiangalia watu wanacomment upuuzi suala ni kuongea maana vizazi vyetu na vijavyo viikute .

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 3 ปีที่แล้ว

    Mzee wa faru John yupo kimya

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 ปีที่แล้ว

      ye hayupo ajili ya wanainchi ye anataka madaraka ili aneemeke yeye pekeake so mambo ya muhimu huwa hana muda nayo kabsa

  • @hafidhdrogba3392
    @hafidhdrogba3392 3 ปีที่แล้ว

    Kuondoka kwa magufuli watu wanatamba wameanza kuoongea wanavyotaka.haya mamangu nawazili wako kipimoicho

  • @mselemkombo4834
    @mselemkombo4834 3 ปีที่แล้ว

    Hawaluhisiwi kujenga nyumba za kisasa sababu wao ni wafugaji na watu wa kuhama hama ila sasa wanakata miti hivyo. Na sasa shughuli za kisasa na mambo mengi ya kiufugaji hawafanyi. Magari, pikipiki, na nyumba za bati nyingi zimejengwa. Ila selikali ichague moja hifadhi au makazi.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

      Na mbona Serekali imeruhusu kujengwa mahoteli mengi huko ?

  • @samgwazay1208
    @samgwazay1208 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ndiye mtoto wa Afrika Tanzania na viunga vyake

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 3 ปีที่แล้ว

    MMETELEKEZWA KIJANJA

  • @margaretwambete1228
    @margaretwambete1228 3 ปีที่แล้ว

    Kaeni ngangiri.

  • @michaelmrema5233
    @michaelmrema5233 3 ปีที่แล้ว

    Waondoke maana hapo sio mahala salama

    • @kaizamandike8771
      @kaizamandike8771 3 ปีที่แล้ว +1

      Wanyama watolewe tu watu waishi sehem yao kwa Amani,, hatuna shida saana na wanyama sisi wapo wengi sana hapa nchini.

    • @adrophntabalizo8634
      @adrophntabalizo8634 3 ปีที่แล้ว +2

      @@kaizamandike8771 Hahahahaha umeuwa

    • @emmanuelmasilago6697
      @emmanuelmasilago6697 3 ปีที่แล้ว +1

      Wamekaa. Miaka 52 waende wap. Kua naroho yauruma wamefanya nin kibaya hapo kwenye hifadhi

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 ปีที่แล้ว

      @@kaizamandike8771 kabsa

  • @MiaTheLathini
    @MiaTheLathini 3 ปีที่แล้ว

    Samahani kwa usumbufu
    th-cam.com/video/ZdxcRPDbVIc/w-d-xo.html
    👆Tafadhali naomba unisaidie kubariki Safari yangu ya Sanaa
    Kwa kunipa maoni yako juu ya wimbo wangu huo mpya
    UbArikiwe
    Thanks

  • @mkushplatnam1595
    @mkushplatnam1595 3 ปีที่แล้ว

    naskiaga awa ndo wayaudi et

  • @abbasnguma6646
    @abbasnguma6646 3 ปีที่แล้ว

    Wanyama wakiisha na nyie mtakimbia hakutakuwa na mtalii hata mmoja wana hamtauza shanga.hakuna shida kuamishwa tanzania ni kubwa ilimradi haki na busara zitumike.

  • @kikandoowani3769
    @kikandoowani3769 2 ปีที่แล้ว

    Zuchu

  • @tunnajonz3290
    @tunnajonz3290 3 ปีที่แล้ว +2

    Wamasai wana akili sana

    • @loatamollel7551
      @loatamollel7551 3 ปีที่แล้ว +2

      Serikali yetu iangalie maslahi ya ya wananchi wa Ngorongoro

  • @ceoutharymapande379
    @ceoutharymapande379 3 ปีที่แล้ว

    Ondokeni Hapo Kwani Kuna Unaulazma

  • @ogasa_sm5940
    @ogasa_sm5940 3 ปีที่แล้ว

    Ardhi ni mali ya serikali,hata kama mlirithi kwa mababu zenu hamuezi zuia serikali kutwaa ardhi yenu.Binadamu hawezi kaa na mboga(wanyama) aka waacha salama. Kwa hiyo kama mnahatarisha wanyama wet, ni vizuri mka pisha hifadhi ili wanyama waongezeka na kuliongezea taifa pato lake.

    • @gladysalbinus7646
      @gladysalbinus7646 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwahyo Bora wachimbe Aluminum lakini wawafukuze watu

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 ปีที่แล้ว

      kwahiyo mapato ya watu fulani nibora kulko wanainch yaani viumbe wa liyoiumba hiyo aridh h8vi wafrica mna akili kweli mnathamin pesa kulko binaadam poh ujinga huo yena laana hasa wacheni wazaane hao watu mkitaka hizo pesa kupitia wanyama maana roho zenu pesa mbele mungu na viumbe wake nyuma hamisheni wanyama sabab wao hawajengi wanaish maporin tu hamisheni wanyama wenu unaotaka kuwatumia kwa mapato yenu binafsi wacheni viumbe wa Allah waish katka aridh waliojaliwa na mungu wao

    • @gladysalbinus7646
      @gladysalbinus7646 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimekupa mamlka ya kutawala vyote

    • @turerebackson596
      @turerebackson596 2 ปีที่แล้ว

      Wewe ni mbwa sana 😢

  • @chuimnyama9074
    @chuimnyama9074 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmekaribisha watu WA nje hilo ni shamba LA bibi

  • @gaspermtandiko5790
    @gaspermtandiko5790 3 ปีที่แล้ว

    Harafu huyo masai anaongea kwa jazba anadhani yeye yuko juu ya serikali. Ardhi yoote nchini ni mali ya serikali na ndiyo yenye idhini nayo. Ikitokea ardhi hyo inahitajika kwa shughuli yoyote ya kimaendeleo kama barabara, uwekezaji, uhifadhi n.k unalipwa fidia na kuhamisha katika eneo hilo husika. Kwa hiyo serikali itapima hilo wakiona ina umuhimu kwa wanyama kubaki basi ndugu zangu yerooo..hakuna namna.

  • @robsonlotyloy5678
    @robsonlotyloy5678 3 ปีที่แล้ว

    Ujinga hauwezi kupuhuziwa.

  • @losekumengoru1609
    @losekumengoru1609 3 ปีที่แล้ว

    Mh.Rais tunaomba uwasaidie ndg zetu kwasababu hawana pakwenda ,ngorongoro ndo walipozaliwa,