ELON MUSK ATAKA KUZAA NA MWIMBAJI HUYU LICHA YA KUWA NA WATOTO 12

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @dicksonlameck4193
    @dicksonlameck4193 4 วันที่ผ่านมา +3

    Af kingine ndugu mwandishi hapo hamaanishi paka mnyama, fikiria tabia alizonazo paka, paka ukikaa anakuja kukukalia mapajan, paka kila unapenda na yy anakufata, ukilala anakuja kulala karibu yako maana yake ni kwamba tabia hizo ndo zitakuwa ulinz wa maisha yake.

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 5 วันที่ผ่านมา +4

    Taylor age 34 sashv. Huy nae bigwa wa kuzalisha kam Daimond

  • @user-jx1ew2xw2f
    @user-jx1ew2xw2f 5 วันที่ผ่านมา +3

    Jamaa anahela San lakn anachagua Wa kuzaa nae

  • @judithfrancey7068
    @judithfrancey7068 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mtangazaji kinachokushangaza sasa hapo nini? Kwamba miaka 50 hana kizazi au 50 kwa 30 yai linagoma?

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 3 วันที่ผ่านมา

    Mshamba mkubwa wa mtangazaji miaka 50 na huwezi kupata mtoto👎

  • @Heyumjunior119
    @Heyumjunior119 5 วันที่ผ่านมา

    Ampe tu

  • @user-jx1ew2xw2f
    @user-jx1ew2xw2f 5 วันที่ผ่านมา

    Bachunya family

  • @ivanamkapa2369
    @ivanamkapa2369 5 วันที่ผ่านมา +1

    Nywanoko

  • @officialjeazy1458
    @officialjeazy1458 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mtoto wa mke wa rahis wa Ufaransa ana umli sawa na babake mlezi yaani rahisi wa Ufaransa kiufupi rahisi wa Ufaransa kapitwa na mkewe zaidi ya miaka 20 lakini wapo sasa cha ajabu kwa Elon musk ni kipi? Kwan hawezi kuzalisha kwa hiyo gape

    • @geoffreykayombo6524
      @geoffreykayombo6524 4 วันที่ผ่านมา +2

      Jifunze kuandika

    • @dicksonlameck4193
      @dicksonlameck4193 4 วันที่ผ่านมา +2

      Yaan waandishi wa habari bhana sasa unashangaa nn kwa umr wa elon kunzalisha Taylor? Ulisoma biology au ulianza moj kwa moja kureport habar? Sijaona unachoshangaa zaid ni umr wa Taylor ana uwezo wa ku-conceive bado kwa mwanaume ni unlimited

    • @tainesmalambo1984
      @tainesmalambo1984 4 วันที่ผ่านมา

      Rahis

  • @kelvinmushubiro8187
    @kelvinmushubiro8187 3 วันที่ผ่านมา

    Miaka 50 na miaka 30,,mbon kawaida sana,, tena wanaendana sana tu,,,mtangazaj unashangaa nn sa

  • @ibrahimmbilizi1726
    @ibrahimmbilizi1726 4 วันที่ผ่านมา

    Ata akizaha watoto 1000 aiza Milioni anauwezo wakuwaleya

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 5 วันที่ผ่านมา

    Atawajaza mimba gold diggers only. Lol

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 5 วันที่ผ่านมา

    Mjinga Elon,with money you can not buy anything.lol