Waswahili ni Wapwani Halisi - Makala ya Kwanza.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 41

  • @mawalimedia
    @mawalimedia 5 หลายเดือนก่อน +4

    Santa sana Star umeeleza vizuri vizuri sana pamoja na ushahidi 100%

  • @Mjuaji
    @Mjuaji 5 หลายเดือนก่อน +8

    Hii sasa ndio historia ambayo yafaa kufundishwa kutoka ma skuli. Sisi waswahili ambao wajielewa twajua kwanini hawa wengine wako na ile agenda nyengiene yakuoza.

  • @NassorBinSalum
    @NassorBinSalum 21 วันที่ผ่านมา

    Namba sheikh tunakuomba tunaweza hata kushauriana

  • @MohamedSalim-q9n
    @MohamedSalim-q9n 5 หลายเดือนก่อน +4

    swali langu ni moja tu kwa wanaosema kuwa waarabu na wamijikenda walizaa waswahili.
    Jee ni hayo makabila mawili tu ndio yanayoweza kuzaa kabila lengine,
    jee muarabu akizaa na muhindi huwa wanazaliwa kabila gani,
    mkikuyu na mjaluo wanazaa kabila gani,
    na mwisho huyo muarabu na huyo mmijikenda walitokana na kabila gani mbili?.
    Shukran san brother Stambuli
    coach Oswayo.

  • @ahmedyusuf6501
    @ahmedyusuf6501 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mashaallah 🙏🙏🙏🙏

  • @abdallahmasare3116
    @abdallahmasare3116 5 หลายเดือนก่อน +1

    Aslm alykm, historia za jamii za pwani anazo zitoa mzee star zina ushahidi wa kweli.

  • @abdallahmasare3116
    @abdallahmasare3116 5 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah tulianza kumsikiliza mzee stambul tangu kitamba, tulipata faida nyingi za uhakika na ushahidi na bado tutaendelea kumsikiza. Mzee wetu huyu simpenda hamasa walavurugu na mambo ya chuku. Na wengi wanao jigamba kama wao ni wapwani zaidi awana ushahidi wanayo yasema.

  • @Muhammad-m5n8u
    @Muhammad-m5n8u 5 หลายเดือนก่อน +1

    Well saying stambu keep it up

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 5 หลายเดือนก่อน

    Asalmu aleykum hakika hitoriya yafahamika❤❤❤❤❤❤vizuri ❤❤❤❤❤tuko dani ya jazi hili tunalifwata❤❤❤❤❤lnshaallah amini❤❤❤❤❤

  • @mohammedndirangu6081
    @mohammedndirangu6081 5 หลายเดือนก่อน

    mashallah ebu tusidie na sisi wakikuyu tujue tumetoka wapi tafadhali

  • @abdallahmasare3116
    @abdallahmasare3116 5 หลายเดือนก่อน +3

    Aslm alykm sisi ni mijikenda lakini hatuna ushahidi kama huu, tutazidi kupata uhakika wa historia ulio naushaidi kwa mzee wetu star.

    • @ahmedmohammed937
      @ahmedmohammed937 5 หลายเดือนก่อน

      Toa na ww history kaa vile yeye tumefaidika kweli toa naa ww tukiskie na ushahid

    • @NgalaMacxon-he1dg
      @NgalaMacxon-he1dg 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kama huna ushaidi mumijikenda wew huna elimu na huyu bwana hana ajualo

    • @febamohammed2989
      @febamohammed2989 5 หลายเดือนก่อน +1

      Uyu mzee hana ukweli kwa hii historia yake na anatoa nusu ya maneno alafu anajumuisha watu wote,kitabu cha ngala kimeeka wazi kila kitu ila anajaribu kukukwepa ukweli,,kitabu kimeelezea wagiriama na nchi ya wagiriama na akasema pia maeneo yanayopakana na wagiriama na jamii zake,ametaja waduruma maji ya chumvi,akataja wapokomo,wachonyi na warabai ambao sio wagiriama,,, sasa iweje kwa historia ya wagiriama anajumlisha mijikenda wote? Wakati kitabu kinaonesha wazi kua wagiriama wamekuja kupata jamii nyengine hapa

    • @coolbz133
      @coolbz133 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa nikusema wagiriama watolewe ama ni vipi hapa coz amekazana wagiriama kwao ni ithiopia maana yule anae jiita mswahili pia hukataa uswahili akasema yeye ni muarabu na lugha ya kiswahili maneno mengi yamefanana na kigiriama na kama kupigania pwani nikusemana kukosoana basi hatutofika kokote wala hatutikua na chama cha kujitetea kama wapwani tuondoeni kasumba ya huyu ni yule na yule ni huyu wa Zanzibar watushinda ​@@febamohammed2989

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau 5 หลายเดือนก่อน +3

    Wataelewa tu mm natamani pwani tujitenge
    ee yashangaza sahii hao wamijikenda ndo wajifanya wapwani sisi wabajuni waswahili watufanya niwageni watuita waarabu turudi arabuni
    Hio ndo yaitwa mgeni kumpokea kumbe nikujitongea
    Alafu wameeka historia ya uwongo kwamba wao ndo waliolewa na waarabu wakatuzaa sisi😂😂😂

    • @athmanmuhammed7333
      @athmanmuhammed7333 5 หลายเดือนก่อน

      INSHA ALLAH

    • @ericlondonmuwazijimmy1221
      @ericlondonmuwazijimmy1221 5 หลายเดือนก่อน

      Jamani kuna tofauti ya mwarabu na mswahili… kiko, mbajuni halisi si mwarabu. Najua kuna badhi ya waarabu au wenye asli ya uarabuni wanayojificha ndani ya wabajuni na kujitambulisha kama waswahili.. Twajua hiyo.. kuna majina halisi ya wabajuni, majina kama mwanambule, Bahero..
      sisi sote tunajua asli wetu hata ujifanya.. wenye asli ya kiarabu anajua, hatudanganyane katika kujificha.

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 4 หลายเดือนก่อน

      Hebu sasa kuwa serious useme pointi zenye mshiko! Hapo umechemka sana!!🤔

  • @racsomutunga
    @racsomutunga 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi naitwa Samuel Mutunga,,, hebu tufafanulie bona Kuna wakamba maeneo ya south coast,,, shimbahills, ukunda na msambweni,,, na hawa basi awana uhusiano wowote na wenye wako Ukambani plz unaeza fafanua kweli,,, kutoka luga lunga,, na Shiba hills,,, plz awana uhusiano wowote na Ukambani

    • @Climate4
      @Climate4 5 หลายเดือนก่อน +1

      Nitakujibu wakamba sio wapwani .elewa .kwani wakikuyu walioko lamu sio wakikuyu .mbona ulazimishe kuitwa mpwani na wewe ni mkamba? 😂

    • @racsomutunga
      @racsomutunga 5 หลายเดือนก่อน

      Hapana,,, akuna mtu hajui kuhusu wakikuyu wa lamu,,, tofauti, na tofauti Sana kuhusu wakamba wa kwale,,, kubuka wakamba wenye wako Ukambani awana uhusiano wowote na wenye wako south coast na Nina utafiti wa historia ebu fafanua kidogo

    • @Climate4
      @Climate4 5 หลายเดือนก่อน +2

      @@racsomutunga wacha kujidanganya .wakamba ni wamoja hakuna mkamba mpwani wacheni uongo .mliletwa na Kenyatta after 1963 that's the history.wapwani wanaingiliana ki lugha .mimi ni mijikenda .kikamba na kiduruma hakiwezani popote

    • @coolbz133
      @coolbz133 5 หลายเดือนก่อน +1

      Wakamba ni wakamba hawaja tangamana na wapwani south coast ni wadigo waduruma na wale wa wasini

    • @ZogoMtaani
      @ZogoMtaani หลายเดือนก่อน

      ​@@racsomutunga
      Huyu ndugu ameuliza jambo muhimu na amesema ana utafiti hebu tumuombe ndugu yetu atupe matokeo ya utafiti wake wa tarehe ya hao wakamba kufika pwani

  • @ggmuswahili7074
    @ggmuswahili7074 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiwa mswahili tiketi ya kuenda peponi unayo, siyo 😂

  • @otaibonny8835
    @otaibonny8835 5 หลายเดือนก่อน +1

    Stambulli I have one question for you, why do you block people whose opinions differ from yours… if you’re discussing kisome you should welcome other peoples analysis 🧐. Because there’s a lot of research other people have also done on similar subjects. Kwa sababu ukikata watu kuchambua utafiti yako inaonesha ukorofi.
    But good work Sir!!!

    • @AliZumaNyanje
      @AliZumaNyanje หลายเดือนก่อน +1

      Waswahili tumewazaa ss mijikenda wacha zako Mzee😅

    • @AliZumaNyanje
      @AliZumaNyanje หลายเดือนก่อน +1

      Wwe sema mnajitafutia nafasi katika eneo la pwani,ila mswahili amezaliwa na mwarabu na mijikenda

    • @otaibonny8835
      @otaibonny8835 หลายเดือนก่อน

      @@AliZumaNyanje mswahili hakuzaliwa na mjikenda, hawa ni ndugu zake, mswahili kajumuika sana na mwarabu ili mwarabu kajifunza lugha yake na mswahili katoa badhi ya maneno toka kiarabu… usiongee usiojua

  • @karimambosanga4290
    @karimambosanga4290 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kufahamu historia ni jambo Zurich lkn isitufanye tuka tengena itakuwa haina maana na kamwe haita ischia hapo

    • @stambuliwash.abdillahinass8123
      @stambuliwash.abdillahinass8123  5 หลายเดือนก่อน +2

      Kwa hakika, ninapoeleza historia hii huwa sina lengo la kuleta mgawanyiko baina ya watu husika, bali madhumuni huwa ni kurekebisha uwongo uliotangulia kusemwa na kuelezwa kuhusu watu fulani (Waswahili) miongoni mwa jamii nzima ya wanaoitakidi kuwa wao ni 'Wapwani', na kuwapa pumzi waliyonyimwa kwa muda mrefu sana na kufanywa kuwa watu duni sana miongoni mwa Wapwani wenzao!

  • @coolbz133
    @coolbz133 5 หลายเดือนก่อน

    Star uko sawa ila sisi wenyewe wapwani ndio twajipoteza twajiita waarabu hio kasumba tuiwache kuna watu wajifanya wao ni wayemen wengine wasema niwa oman na tena mtu kumdharau yule mswahili mweusi ndio maana twakosa tittle za mashamba hebu tuweni pamoja tuskume agenda hii ya mpwani tuone kama hatutofanikiwa lamu wakikuyu watudhulumu