MAJIBU YA TAG BAADA YA MCH.MAGEMBE KUJIONDOA"Hatujamfukuza ameondoka mwenyewe tumekubali aende tu"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 122

  • @daudiedsonrichard509
    @daudiedsonrichard509 2 วันที่ผ่านมา +14

    nyoosheni maneno vzr. achane kumumunya maneno. barua ya magembe haijaeleza kuwa anaacha sababu ya uzee..ila ameeleza vzr sana. Nyoosha maelezo vzr. na unasoma barua ya mch. Magembe kana kwamba amekosea sana. Mungu atafanya kilicho sahihi kufanyika juu yenu.

    • @wilfredshoghosho0017
      @wilfredshoghosho0017 วันที่ผ่านมา

      Agree to disagree sub heading 😂

    • @mugapro
      @mugapro วันที่ผ่านมา +1

      Aliacha uongozi huko nyuma kwa sababu ya uzee kabla hajajitoa kama mchungaji

    • @SAVINPONSIAN
      @SAVINPONSIAN 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Agree to disagree hatakuwa mchumi huyo so mchungaj😂😂

    • @janecosta857
      @janecosta857 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@mugaproacha uongo hajawahi Kuacha ukurugenzi wa umisheni Kisa Uzee, ila aliomba aachie ili aendelee kuhubiri….chunga kinywa chako kumzungumzia Mtu wa Mungu, uongo.

    • @mugapro
      @mugapro 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@janecosta857 uongo mimi tena wakati hayo mambo kayaongea askofu wakati anafafanua, kasema aliomba aache uongozi kwasababu ya uzee, wewe dada ni kichaaa au umelogewa imani sio?

  • @wilfredshoghosho0017
    @wilfredshoghosho0017 วันที่ผ่านมา +8

    Munajitetea sana. Mungesema Mch. Magembe ametoka kuendelea na huduma mahali pengine ingewacost nn

  • @KilimoMichael
    @KilimoMichael วันที่ผ่านมา +5

    Magembe ana wivu wa kimungu na Mungu atambariki sana Mungu ana mtumia sana ana hubili injili ya kweli nyie mhuu

  • @BahariaWakawe
    @BahariaWakawe วันที่ผ่านมา +5

    Watumishi wangesimama kuhubiri kweli kwaajili ya kuokoa roho za wengi ziendembinguni na kuacha kutetea brand kama TAG na PCC. Kwa upandewangu hoja ya Magembe inamashiko sana. Nimaombiyangu makuu mungu atuokoe na kutusamehe ilisikumoja tukamuone amina.

  • @JamesKasomi
    @JamesKasomi 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Acha siasa mtumishi, mch Maghembe piga kazi baba Mungu yuko upande wako

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 วันที่ผ่านมา +1

    Wow! Kumbe magembe tayari anazombegu nyingi sana ambazo zimemea na kustawi vyema. So far aendako anakwenda kuendeleza kazi ya kumuhubiri kristo na si shetani. Mungu awe pamoja nawe ktk kuifanya kazi yake mtumishi wa Mungu Magembe.

  • @ThulaniPrince
    @ThulaniPrince วันที่ผ่านมา +7

    Yure mzee anasema kweli hata kama mm ni msabato

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi วันที่ผ่านมา +7

    Hili tuliliona mapema sana kuwa Mch. Magembe uhuru wa kuhubiri injili ya toba na utakatifu humo TAG alikuwa hana. Ukimua kubeba kweli yote ya Mungu katika hii dinia, basi jiandae kupoteza marafiki na kuchukiwa karibia na watu wote hata ndugu zako wa karibu…
    Poleni sana viogozi wa TAG, biashara yenu ni kama inelekea kudorora. Baadhi ya waumini wenu wanaompenda Mch. Magembe lazima watamfuata, hivyo mjiandae hayo masadaka na mafungu vinaenda kupungua kwa asilimia za kutosha.

    • @amosibilingi4299
      @amosibilingi4299 วันที่ผ่านมา

      Hakuna ukweli na Toba ya kweli vitaweza kubadili UNABII wa Mungu Baba alionena juu ya Dunia hii Kwenye nyakati zake zote na vizazi vyote. Ni Bora tuchague kuombeana ili kila mtu atimize kusudi lililomleta DUNIANI maana kila MMOJA atalipwa Kwa kiasi alichofanta. Ni vizuri sana tuchague kuhurumiana Kwa Hali yoyote Ile maana vita ni Kali, Leo kwako kesho kwangu

  • @Neema182
    @Neema182 2 วันที่ผ่านมา +7

    Magembe yuko sahihi kabisa

  • @YohanaKoko
    @YohanaKoko วันที่ผ่านมา +3

    Mtumishi wa Mungu kanisa kwa sasa limtafute Yesu

  • @amaniamosi2603
    @amaniamosi2603 2 วันที่ผ่านมา +7

    Hata Yesu hakua na dini mambo ya dini ni uongo kwenye mwili wa Kristo na Mbinguni hamna TAG, EAGT, au PAG ila utakatifu tu

    • @Reginajohnson-1988
      @Reginajohnson-1988 วันที่ผ่านมา

      YESU ALITUAMURU TUWE WATAKATIFU SIO TULETE DINI

  • @EliaMaestro
    @EliaMaestro วันที่ผ่านมา +4

    Samahani kiongozi. Unaongea kama mwanasiasa kanisani sidhan kama inatakiwa iwe hivo mungu atusaidie wa t.a.g wote kwasababu hali ni mbaya sana

  • @IbrahimMgimba
    @IbrahimMgimba 2 วันที่ผ่านมา +3

    Mwenyezi MUNGU Alisaidie kanisa lake isitokee migawanyiko amina.

  • @IvanKambindu
    @IvanKambindu วันที่ผ่านมา +9

    Magembe kawaageni vizuri , mnashindwa vipi kuagana naye vizuri, mnaongea as if magembe hakufanya kitu, eti muundo wa uongozi na unatoa mfano wa kuwa kwenye joto ukimaanisha uongozi wa magembe ni mbovu, hivi ninyi wa TAG hamtaki mtu anayekua na kuanzisha huduma yake, mnataka aendelee kuwa wa TAG, Na anapoondoka tu mnamwona mtu kuwa ni mbaya, kwa Taarifa yenu huduma ya magembe haifi leo wala kesho , TAG mna matatizo tena hamjui kuthamini hao watumishi wanaotumika chini yenu ,

  • @deniceemmanuel5323
    @deniceemmanuel5323 วันที่ผ่านมา +5

    Mtumishi jitahidi kuunganisha watu usipande chuki tafuta jema mzee amepambana angalia ambako kuna udhaifu kwenye kanisa lenu pamoja na na pande wa neno la mungu mzee yuko sawa huo ndi msimamo

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 2 วันที่ผ่านมา +9

    Bsba hapa mngepiga kimya tu ......sio kusema kakoses mngesema tu kaenda kuendeleza kaz ya Bwana nje ya TAG

    • @wilfredshoghosho0017
      @wilfredshoghosho0017 วันที่ผ่านมา +3

      Wisdom. Nimependa niwachache sana watasema hivyo

    • @joyyjoyy5474
      @joyyjoyy5474 วันที่ผ่านมา

      Yani watu wa Mungu hekima imepotea Kwa kweli​@@wilfredshoghosho0017

  • @ChanilaKitwima-zc6ko
    @ChanilaKitwima-zc6ko 2 วันที่ผ่านมา +9

    Kiongozi unaongea kama huna Roho Mtakatifu, sioni hata kauli za Upendo naona unataka kushindana tu kinyume kabsaa na maneno ya Yesu Bwana, Uongo humo humo, unajihesabia Haki sana unasahau BWANA Yesu hutoa wito mbalimbali kama aonavyo udhaifu wa Kanisa
    Kanisa Limekufa matendo tu yanaonyesha, Mtafuteni MUNGU

    • @isayamwanjoka3958
      @isayamwanjoka3958 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kanisa ni mtu ww ndio umekufa

  • @annanguvumali
    @annanguvumali วันที่ผ่านมา +4

    Ukweli ndo huoTAG imeoza sana mnaangalia maokoto to

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 วันที่ผ่านมา +2

    Si TAG tuu ila kanisa la sasa simeanguka, waumini tumepotoka sana, tunafundishwa kweli lakini matendo yetu waumini yanatisha kama nini. Mungu tuu atusaidie, viongozi makanisani ni wazinifu, wezi, wanasema uongo mwingi. Mungu atusaidie sana. Yesu yuko njiani ona mavazi ya wadada na wanawake wanavyovaa makanisani kiukweli hakuna tofauti na disko, yaani mbaka wanzetu waislamu wanakaa majiani na kututazama na kutudharau, kiukweli wakristo tunamdharirisha kristo. Yule mzee namuunga mkono anasena kweli tupu. Yesu anarudi tuacheni misimamo ya madhehebu turudi tutengeneze na Yesu. Siku zimekwisha hapa duniani Yesu anarudi. Misimamo ya madhehebu itatumaliza wapendwa.

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 วันที่ผ่านมา +3

    Samahani mtumishi wa Mungu. Kwani ni nini maana ya kanisa??? Kwa uelewa wangu mdogo najua kanisa ni mimi na wewe. So mtumishi wa Mungu akisema kanisa limekufa manake ni sisi waumini ambao ndio kanisa lenyewe tumekufa. Na ndio ukweli wenyewe mtumishi. Waumini hatuogopi tena dhambi, tunaibiana waume makanisani, uzinifu umejaa, tunavaa uchi kupita kiasi, mtu anauwezo wa kumiliki simu ya milioni 2 lakini bibilia ya sh 23 elfu hawezi kununua, tunasengenyana vibaya mno, waumini mbaka wanasema wachungaji wao makanisani, bado tunajiita walokole, wakati ndani ya mioyo yetu tumemwacha kristo. Tumekufa kiroho,
    Na si dhehebu moja la TAG tuu bali ni wakristo wa madhehebu yote. Unaweza kuta jengo linawaumini zaidi ya elfu moja ila alie wake kristo kweli ni mmoja au watatu. Kanisa tunakwenda wapi?? Wachungaji wetu hamkemei tena dhambi. Hata mkijua tunakosea mnanyamaza tuu kwa kuhofia tutaondoka pengine sadaka zitapungua. Kiukweli kama wachunga kondoo mnalo la kujibu mbele za Mungu jichunguzeni tena. Nami nasema kanisa la sasa limekufa. Hemani mwa kristo umejaa uozo mtupu. Mungu atusaidie kanisa. Mungu afungue jito la tatu kwa viongozi wetu.
    Mwenye sikio na asikie Yesu yuuu njiani. Hatokuja kuchukua TAG, wala Efata, wala rutherani, wala carivary, wala pentecoste, wala katoriki, wala EAGT hayo ni majina ya mahema ambayo sisi kama kanisa la Kristo tunakusanyikia na kujifunza kweli ya Kristo yenye kutupa uzima ule wa milele.
    Yesu haji kuchukua hayo mahema mpendwa, majengo hata yawe mazuri vipi yatabakia, Yesu anakuja kuchukua kanisa lake yaani mimi na wewe mpendwa tuamke kutoka usingizini tumtafute Mungu kwa nguvu zetu zote. Hakuna muda tena mpendwa. Ktk marko Yesu anasema aaminie na kubatizwa ataokoka. Hajasema aabudie dhehebu fulani ataokoka tuache misimamo isiyo na maana tuitafute kweli ya Mungu. Na sehemu pekee tutaipata hiyo kweli ni ktk kusoma neno lake. Sababu anasema yeye ndio kweli na uzima.
    Mlokole miaka 10 ya ulokole wake hajawahi funga. Wala kusoma neno la Mungu. Mwisho tunaishia kudanganywa na kufuata miujiza kwa mitume na manamii. Sababu hdtuijui kweli.
    Na Mungu anasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, hayo maarifa tutayapata wapi kama si ktk neno lake? Kwenye madhehebu yetu neno tunafundishwa dk 30 au 40 tuu. Lakini matangazo yanachukua zaidi ya saa. Sasa jee kanisa litakosaje kufa???? Hatukemewi kama enzi za kina moses krola tunabembelezwa tufanye tuyatakayo kwenye mahema yakuabudia ni kweli mtumishi kanisa limekufa usipinge.

    • @MyMercy84
      @MyMercy84 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hawa hawajamuelewa Maghembe..halafu na huyu anayeongelea hapo yaani anaonesha kabisa shida ni yao

  • @JosephAnton-p9t
    @JosephAnton-p9t 2 วันที่ผ่านมา +5

    Umekosea sana kwa maneno yako

  • @ibuphilipo7940
    @ibuphilipo7940 วันที่ผ่านมา +5

    Kwa maelezo haya,hunasifa za uongozi,mzee maghembe jembe.ukisema ukweli,matokeo ndo haya.

  • @NicholausVedasto
    @NicholausVedasto วันที่ผ่านมา +5

    Nagembe yupo sahihi acha kujiosha

  • @ChristinaPhilip-r5h
    @ChristinaPhilip-r5h วันที่ผ่านมา +5

    Mko mwilini sana Bwana awasaidie 🤔

  • @danieldume7203
    @danieldume7203 วันที่ผ่านมา +4

    TAG
    Mumepotoka

  • @jesuspower2390
    @jesuspower2390 2 วันที่ผ่านมา +5

    Kuanzia huyu kiongozi anayehuburi anaongea na kuhubiri kimazoea inshort kama umesimama na Mungu hakuna hata kutumia jina la YESU. anakazana tu kusema tunasimama na Mungu, sijui Mungu kupi? maana kuna miungu mingi... siko upande wowote ila JINA la YESU litiliwe mkazo na kuwe na muamko wa neno la YESU

  • @meshackngaboss1236
    @meshackngaboss1236 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu amsamehe tu maana anaongea kiushabiki wa dini ukimsikiliza Magembe amenyooka huyu anabumbabumba story nyingiiii zisizo na msingi kiasi ambacho hata anajisahaulisha kua TAG yenyewe ni Lazoro alijitoa EATG kwa maelezo yake na mwanzilishi wao ni msaliti sasa kwa kujitoa EAGT na kuanzisha TAG

  • @samuelmuchui2339
    @samuelmuchui2339 วันที่ผ่านมา +2

    Preach christ, stop these, change yur ways, and look at the cross

  • @cheprikoekirureuben818
    @cheprikoekirureuben818 วันที่ผ่านมา

    Aliye na uwezo wa kuhukumu ni Mwenyezi Mungu.Mtetezi yupo.Ukweli kuhusu injili ya YESU KRISTO MWOKIZI WETU itabainika wazi.

  • @ngejejemashubi4213
    @ngejejemashubi4213 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu Mzee hakuna kitu hapo mwenyew yule Mzee Magembe namukubali na yupo wazi ,hao wapigaji ,Mungu akinipatia chochote lazima nkatoe chochote kwa huyu Mzee

  • @risanj-g9l
    @risanj-g9l 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kiongozi huo muda heri ungeutumia kuhubiri amani na upendo katika Kristo yesu

  • @BenedictPeter-r2d
    @BenedictPeter-r2d 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu wa mbinguni atafunua ukweli hakuna haja ya kujitetea sana babaa

  • @yoshuampembee182
    @yoshuampembee182 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Much. Mhiche ungenyamaza tu, Magembe ameonyesha Ukristo. Amewaachia Kila kitu alivuna bila tamaa

  • @ErnestinaKisinga
    @ErnestinaKisinga วันที่ผ่านมา +3

    Kanisa limeoza kweli atmimi nimo kanisani

  • @petermusau8342
    @petermusau8342 วันที่ผ่านมา +3

    Mimi ni mkenya ila TAG mumepoteza. Nimekuwa ni kimfwata mch magembe ila yeye amekuwa akihubiri kuhusu kanisa sio TAG. Ukweli wa mambo kanisa linahitaji uamsho na uvuvio.

  • @ASTUDIOSTZ
    @ASTUDIOSTZ วันที่ผ่านมา +1

    MIMI NAOMBA MCH. MOSES MAGEMBE AANDIKE KITABU CHA MAISHA YAKE ILI KWA SIKU NYINGI ZIJAZO KIWE UKUBUSHO WA MAISHA YAKE KWA VIZAZI VIJAVYO

  • @mujunicarmel2066
    @mujunicarmel2066 วันที่ผ่านมา +3

    Wewe ukiongea, na Magembe akiongea, watu wana akili, wanaelewa nani yuko serious na kazi ya MUNGU..

  • @SamweliUlomi
    @SamweliUlomi วันที่ผ่านมา

    Magembe ameaga TAG, Mtumishi umekiri hajafukuzwa TAG,mi naomba tumieni muda mrefu kuhubiri injili,acheni kumsema Mch.Magembe,kama Mungu kamuongoza atampigania huko aendako,la sivyo,mtamuelewa tu,kaeni kimya,kama Ni Mungu ataendelea tu,kama sio Mungu mtaona tu.

  • @barakagwata4160
    @barakagwata4160 วันที่ผ่านมา +3

    We mnafiki, magembe anauhubili dini ya kweli, wewe unataka utawala, acha ushetani wa kutaka madaraka, kila ambacho anato mtu, niwito na karama aliopewa kabla ya kuzaliwa,

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee วันที่ผ่านมา

    Nasali TAG ushuhuda wa mgogoro wa Kulola na Lazaro ulihatarisha maisha ya Kulola. Kwasasa cha kufanya ni kulia na kuomboleza mbele za Mungu kwa ajili ya kanisa tuponywe.

  • @LilyMaganga
    @LilyMaganga วันที่ผ่านมา

    Magembe yupo sahihi nikweli kiroho tumeshuka sana sio uongo😊

  • @masalamndamichi443
    @masalamndamichi443 วันที่ผ่านมา +2

    Mmmh, kumbe makanisa nimchongo tu ....

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 วันที่ผ่านมา +2

    Jmn mbn barua haisem hiv?

  • @nancyisoyi8164
    @nancyisoyi8164 วันที่ผ่านมา +1

    ✍️Akaingia… BAR… nabasss✍️
    MTOKA MBALI🧐🧐🧐
    HUKO Kwa PILATO
    Wali ulizana!!
    Tumuachiliye
    YESU KRISTO ?
    au barnabass❓
    Wapotevu waka mchagua yule « « « « barnabas » » »
    WAKASEMA
    MSULUBISHA YESU KRISTO 🙌 na muachiliyeni barnabas

  • @SABRINAJAPANESE-fn8un
    @SABRINAJAPANESE-fn8un 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimelia sana kusikia hili jambo sio kawaida yani sio kawaida nasema tena mnatuharibu kisaikolojia vijana wenu jaman. Maelezo yenu mnang'ata na kupuliza unasema ameondoka kwa amani na mnaaman lakin unamsema mtaona hafiki mbali. Maana yake ni mmekubali aondoke kwa unafiki ndani yake.
    Imefika wakati kanisa litakuwa na fedha na dhahabu ila halinauwezo wa kumwambia kiwete simama uende maana uamsho hatuuutaki.

  • @samwelmajoa4408
    @samwelmajoa4408 วันที่ผ่านมา

    Kama alisema Kanisa limekufa na Mpango mkakati wa kanisa wa uamsho na matengenezo ni wa TAG, Je alikosea nn kuwaamsha waliolala?

  • @MyMercy84
    @MyMercy84 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona kama huyu Mchungaji anaogopa waumini wataondoka wajiunge na Maghembe? Kha...kweli kuna jambo halipo sawa

  • @winfredygeazi110
    @winfredygeazi110 วันที่ผ่านมา

    Kweli TAG imekufa kama viongoz wenyewe ndo hawaa imekufaa kabisaaaa

  • @zacharianyanda5424
    @zacharianyanda5424 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli hela ni mwanaharamu. Tazama walichukua kanisa walivyofulahi. Haya ngoja tuone.

  • @ericfelician7996
    @ericfelician7996 2 วันที่ผ่านมา +3

    Hili kanisa aliondoka kulola ni magembe tena

  • @JamesMahenge-i8x
    @JamesMahenge-i8x 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daah yan uyu anasema iva na yule anasema vile🤯🤯🤔mnatuchanganya

  • @Lameckjoseph-f4y
    @Lameckjoseph-f4y วันที่ผ่านมา

    Babu wewe sijui nikuite eli umakufa kumbe mangembe kasema kweli TAG mufie mumatongo

  • @annkim2690
    @annkim2690 2 วันที่ผ่านมา +3

    Kanisa limeonza wewe hukumuelewa alikua anahubiria kila alie okoka ageuze njia yake

  • @DavidWasike-c2v
    @DavidWasike-c2v วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @28087178
    @28087178 วันที่ผ่านมา

    Makanisa yamekuwa ovyo kweli siku hizi ni taasisi za kibinafsi kuna watu wanataka wainamiwe kana kwamba was ndo Mungu

  • @SABRINAJAPANESE-fn8un
    @SABRINAJAPANESE-fn8un 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pia mzee anatupa maarifa na kuturudisha katika njia ya kweli na maadiri ni kweli hata kama mtasema anatukana kanisa lakini macho yanaona yanayoendelea katika kanisa. Na mzee namnukuu hazungumzii TAG pekee lakini anasema kanisa limekufa maana yake kanisa la MUNGU. Makanisa ya kipentecostal kuna hali sio nzur kiroho. Ndo ukweli. Na ulimwengu wa sasa hakuna kumridhisha mtu kwa maneno wakati na tunaona yanayoendelea. Nguvu ya ROHO inapungua jaman.

  • @NeemaFoya-w6e
    @NeemaFoya-w6e วันที่ผ่านมา

    Madhehebu ni yenu kamwe KRISTO hajagawanyika ni Moja .Nyie T. A.G tuambieni Bwana Yesu Kristo alikuwa dhehebu gani hiyo ni mifumo wanadamu wamejiundia Kwa maskahi Yao binafsi.Bado nawaambia Wana T.A.G tajeni madhehebu ya wanafunzi wa Yesu .Msituchanganye jamani

  • @ManaseNassary
    @ManaseNassary 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mkazane kujenga kanisa dini atufikishi mbali

  • @chachasamwel6103
    @chachasamwel6103 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ijue maana ya imani na tendeni kwa kadri yake hili ni anguko,petro yuko wapi?

  • @Sabinasinoya
    @Sabinasinoya วันที่ผ่านมา +1

    Bado sijafikia levo ya kuhukumu

  • @MassaweMeshack
    @MassaweMeshack วันที่ผ่านมา

    Kaondoka msema kweli wamebaki wanafiki

  • @IddiShemi
    @IddiShemi 2 วันที่ผ่านมา +2

    samahani,kwani anaye homba ruusa amehasi?

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 วันที่ผ่านมา +2

    Sikuhizi ukimtumikia Mungi lwa uaminifu tuu kanisani unatengwa

  • @ephraimbarangendana
    @ephraimbarangendana วันที่ผ่านมา

    Hayo yote Yanatoka kwa Shetani nimpango wa Shetani tu

  • @MyMercy84
    @MyMercy84 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa kwani shida iko wapi wakijenga kanisa? Si amekua

  • @benjamachimo6424
    @benjamachimo6424 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kunyamaza jibu wakati unajitetea hapo magembe yupo sahh

  • @ericfelician7996
    @ericfelician7996 2 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli kanisa limepwaya

  • @FailaMwangaza-x5s
    @FailaMwangaza-x5s วันที่ผ่านมา +1

    Someni wakorito 1 =13,14 kwanini m meenda kinyume nama andiko? Atakaye punguzaneno moja katika maandiko ataukumiwa naatakaye ongeza ataukumiwa mimi nime oma m mepunguza maandiko jameni fundi sheni wanawake kufunika kishwa wakati wakuabudu MUNGU jameni

  • @annkim2690
    @annkim2690 2 วันที่ผ่านมา +1

    🤣🤣🤣Yohana hebu njoo uombe wazee msamaha uliwatukana

  • @mwakyusahealthylifestyle4621
    @mwakyusahealthylifestyle4621 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    TAG tunaenda wapi haya mambo ni kama utani lakini tunakoelekea sio kuzuri na mnafanya siasa kanisani makamu mkuu wa askofu unatoa majibu rahisi sana kwenye maswali magumu magembe anahoja tena za msingi asikilizwe ukweri ni kwamba kanisa la sasa roho mtakatifu hayupo kabisa

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 วันที่ผ่านมา

    Maneno yote ya nini? Maghembe kaaga vizuri . Na nyinyi muageni vizuri

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 วันที่ผ่านมา +1

    TAG mnajitetea, huyo skiondoka mmekwisha

  • @ErnestinaKisinga
    @ErnestinaKisinga วันที่ผ่านมา +1

    Ivi kabaki nani TAG

  • @allanmwita2226
    @allanmwita2226 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi we cyo mwanasiasa,hii ni aibu kw kanisa hasa nyie viongozi na uckatae kanisa zimeoza cyo tag yenyewe na makanisa mengi. Hivi hiyo kanisa pcc wanaabudu shetani? Acheni hayo hubirini upendo

  • @JuliusJastine
    @JuliusJastine 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ludi msalabani mzee

  • @UkengeUkenge
    @UkengeUkenge 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nilichogundua nyinyi mnataka magembe aubiri uchawi ushoga mafanikio ya kiulimwengu, nyinyi mpo chini ya katoliki baba yenu endeleeni na wafuasi mtapata wa kwenda nao uko motoni, nami pia nasema kanisa limeoza tena linanuka.

  • @evansokemwa6587
    @evansokemwa6587 วันที่ผ่านมา

    kitu nimekiona hapa kama mimi ni hiki magembe anataka kufungwa kanisa lake ndio mahana anataka kujificha ati TAG imekufa.

  • @ErnestinaKisinga
    @ErnestinaKisinga วันที่ผ่านมา

    Kwani c mwili mmoja .

  • @28087178
    @28087178 วันที่ผ่านมา

    TAG wamekuwa dhehebu la ovyo sana

  • @EdwardMagesa-d2g
    @EdwardMagesa-d2g วันที่ผ่านมา

    T.A.G ya mwaka 2000 hadi ya 2010 ile ndo ilikuwa imala hii ya sasa imepwayaa kiukwel inabidi ibadilike

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 วันที่ผ่านมา +1

    Nmeshindwa kuendelea kusklza mhhh htr

  • @MilamboAbonim
    @MilamboAbonim วันที่ผ่านมา +1

    Me nashindwa kuelewa chochote,
    Bado nabaki naelea tu,,

  • @goldenshadrackmsungu3664
    @goldenshadrackmsungu3664 วันที่ผ่านมา

    Kam walimpiga matukio mzee moses sizan kwa hawa wengine watawahofia

  • @annaombay9417
    @annaombay9417 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maombi ni majibu ya hayo yote

  • @benny-dk3kl
    @benny-dk3kl 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnafuta comments zetu kwanini km kweli mpo sawa?

  • @NicholausVedasto
    @NicholausVedasto วันที่ผ่านมา +1

    Acha uwongo ww

  • @pascalbalex5142
    @pascalbalex5142 วันที่ผ่านมา +2

    Achana namegembe wewe

  • @annanguvumali
    @annanguvumali วันที่ผ่านมา

    Unashangaa nini kwani wote si wamungu au nyie wa mtume

  • @dogotravis2995
    @dogotravis2995 2 วันที่ผ่านมา +3

    Hela zilitoka kanisan au kwa waumini waumini mbona tunachangia miskiti kwani ni dhambi

    • @abelchibon7382
      @abelchibon7382 วันที่ผ่านมา

      Dhambi

    • @abelchibon7382
      @abelchibon7382 วันที่ผ่านมา

      Msikiti ?

    • @BaldwinKachenje
      @BaldwinKachenje วันที่ผ่านมา

      Nakumbuka Askofu Mhiche alipojenga Kanisa pale Mbagala kizuiani, alipita karibu kila nyumba akiomba watu wamchangie pesa za ujenzi wa Kanisa. Sasa Leo Waumini wa TAG Kumsaidia pesa za ujenzi wa Kanisa, kama yeye tulivyomsaidia pale Mbagala Kizuiani Kuna ubaya Gani?? Kwani wamechanga ujenzi wa Bar??? Ni Ubinafsi uliopitiliza katika kuujenga mwili wa Kristo!

  • @beatriceabeid9943
    @beatriceabeid9943 วันที่ผ่านมา

    Ushasema wana makanisa yao asa watoke waende wap

  • @ericfelician7996
    @ericfelician7996 2 วันที่ผ่านมา

    Na kanisa ni biashara

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 วันที่ผ่านมา

    Ajatukana nyie waongo na wamafiki

  • @MpokiMwakaje
    @MpokiMwakaje 2 วันที่ผ่านมา +1

    Oooo

  • @ASTUDIOSTZ
    @ASTUDIOSTZ วันที่ผ่านมา +1

    MIMI NAOMBA MCH. MOSES MAGEMBE AANDIKE KITABU CHA MAISHA YAKE ILI KWA SIKU NYINGI ZIJAZO KIWE UKUBUSHO WA MAISHA YAKE KWA VIZAZI VIJAVYO