The Story Book: Wazungu Walipotamani Uchawi Wetu ! / Jaribio la Philadephia
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 มี.ค. 2024
- www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
The story book
Let's go together
Tanzania vs Kenya ni Watoto wa Taifa Moja❤ respect Jamal April 🇹🇿
Barikiwa sana one love
@@fatmaally7252 Attention Sana
❤❤❤❤
🙏🙏💪
@@fatmaally7252Attention sana
Tupo sambamba
Gonga like Kam ni kipenz cha the story book,,
Welcome back bro we really missed you, much love from Kenya 🇰🇪, weka like kama unamkubali Jamal April
Iki kipindi nilikimiss sana kama ww ulimisi kama mm achia like apo
Kila siku ya Mungu nilikua natafta story book.
Kaka tulikumis sana karibu sana professor.Much love from Finland 🇫🇮
Tulio kua tunasubiri hadithi mwishoni 🖐🏼 👉🏽
Like nyingi❤
The best story teller in Africa 🌍
Also Abel mutua 💕
@@elsiekainyu4794
Yupo Sky Walker wa SNS naye yuko vizuri sana.
Bila kusahau Ananias Edgar
Woow you are back again,, nimekuwa nikijaribu Kila ijumaa kuona kama umeweka KAZI yako mtandaoni,,,,,shabiki kutoka Kenya
Kitambo sana mtoto wangu jamal nilikumiss sana wajina la mwanangu🎉🎉🎉🎉🎉
Kaka. Jamal. Ulituchukuwa. Ukatuacha. Jangwani. Bila. Maji. Bilachakula. Leo. Umerudi. Nagaraja. Nanguvu. Yakuamisha. Hukouliko. Ulikuwa. Ukiishi. Nasi. Nakujuwa. Kunawatu. Uliowaacha. Hukuwakikutegea. Asante. Kwakurudi. Allah. Akutie. Nguvu. Naafya. Amin
Amiin inshallah
Sasa mbona umeandika umeweka nukta kibao Ivyo ndugu 😢. Nini shida lkn
@@juniorsonofgod5675😂 haki nimecheka
Kaka tuletee Ful story kumuhusu Tesla
Wakenya mko wapiii🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😊tuko huku👋
Tuko rada😂😂
Tuko kenya we uko wapi
Tuko kwenye uko😂😂😂
Niajeee
Safi sana the story book imerudi hewani 🎉🎉
Duhh proffesor tulikumisi sana kaka siamini kama story book imerudi yani Mungu azidi kukulinda brother
Napenda kujifunza kupitia izi story za jamali hakika ni nzuri❤
duuh Mungu mwema kwa jamall kurudi ten tumekumiss kinoma Rafik yangu
Wangapi walimisi sana the story book tujuane hapa❤
Tulikumis Sana boss wetu
Dah🤔tuliku miss Sana sauti yako kaka usipoe sana 🤝🤝🇿🇦🇹🇿
Dah ii Dunia Kuna mengi yakujifunza umenifumbua kichwa changu blo mungu aingiliwi katika kazi yake alhamdulillah Allah akbar
Tulikukumbuka sana mwamba. Safi sana ka kurudi
Nakupenda saana jamal mustafa natamani mtoto wangu ni muite jina lako
Siamin the story book imerud kaka Jamal nimepata shida Sana mpaka narudia story zako mara Kumi kumi😢😢
Mimi hata mara kumi ni Macha machache Mimi ata siezi hesabu😊😂
Very wonderful 🎉 closing remarks, hili ni somo Moja kubwa Sana, appreciate Professor
Nakubali sanaa Jamali uko vzr kwa uchambuzi wa kila hatua story ya kujifunza mpaka unaelewa Mungu akupe maisha marefu ❤
😊The story book 📖 imerudi Good 👍
Storybook is back, thank you Mr Professor
Jamal haujawahi kutuangusha unajua sana kaka🙌🏿🙌🏿 chukua maua yako💐
GENIUS OF ALL TIME.!! 🙌🙌
Kaka sema ulituacha xana
..ila kazi kubwa unafanya big up sanaa🔥🔥🔥
Karibu tena Mtaalamu wa The Story Book
Hatimaye umelud professor tulikumic sanaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤welcome back
TUANDALIE MAKALA YA UNDANI WA SHEREHE YA KUZALIWA CHANZO CHAKE #HAPPY BIRTHDAY
Mwalimu mwalimu welcome back again tume ku miss saana tume miss hii kipindi saana wasafi ebu watu rudishiye kipindi chetu cha the story book by Mwalimu Jamal. Asanteni tena mwalimu.
Aaah bro Jamal umerudi 👏👏
Prof tulikumiss sana kwaiyo nakuomba ubaki kama zamani ya inshallah namuomba Allah akulinde na akupe mwisho mwema
Nimejifunza kumbe inawezekana kulala masaa 2 kwa siku na mtu akaishi zaidi ya miaka 70+ Respect sana Mr Tesla aisee hii imeenda.
amna kulala wakuu 6:55
Welcome back, i was crying always for Jamal to come back
He narrates the best way possible.. I like his methodology.. I'm a Kenyan but this is another one
Kama mkurugenzi 😊
Big up bro Ugandan nakufuatilia sana kaka bila shaka uko mbele kihistoria professor 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Hii ngoma cjui km nitatoboa mpk mwisho na huu umeme kukata full giza 😢 na uchawi na giza nasikia ndo dam dam
😂😂😂😂
😂
😂😂😂
Apo tunaenda sawa sasa jamal
Finally the story book is back ❤❤❤
Shukran sana Kaka... Tunaomba siku moja utuletee wavumbuzi wa kale wa bara Asia kama kina Hassan Al Baswri,Ibni Sina, Al Gabra na mfano wake ili tuelimike zaidi...
#jamalmustapha
Wakenya ni ndugu zetu wa damu mashindano ni sehemu ya maisha tu ❤ l love 🇰🇪 from Tanzania 🇹🇿
Kaka Jamal welcome back brother we love you stories
Shida story book zinakawia sana kwenye kutoka.. jitahidi kila week au baada ya wiki mbili kuachia hizi kazi adimu
Hatarii sana km umeielewa story ya nyumbani Tanzania gonga like 🎉
❤shukurani kwa kuludi madini yanatembea mgodi mpya
Ya kibabe sana hii ....keep it up
the most awaited... huyu kijana alikuwa amejificha wapi
Missed you brother ❤❤much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Big up my professor, I always learn something from your videos❤❤❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Karibu sana, bado na kupotea kwako bado tuko sana ndani ya story book. 🇰🇪 🇰🇪
WASAFI WOTE GONGA Like ktk hii Comment. ❤
Wapili Naomba like
Umekawiaaa snaaaaaa broo ,tunafuraha umerudii
Professor tulikuwa tumekumiss sana , watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Welcome without this hard times fir me to sleep 💤
Ni yeye tena 🙌❤️
BACK TO LIFE THE #PROFESSOR HIMSELF WE LOVE YOU BRO.! UR INFINITY🦅
Have been waiting for story books for long but here we're we need this everyday Jamal doing good job
My favorite story book is the story book
Stori nzuri sema skuizi umetutelekeza Sana jamali
Mzee tumbo is typing 😂😂😂😂
Nawakumbusha tuu , wanasayansi hawaamini uumbaji yaani wanayansi hawaamini kwamba Kuna anaye itwa mwenyenzi mungu .
Uchawi haupo
I missed my show 😢..yeey soo happy 🎉🎉
Welcome back...Professa Jamal we've missed your fantastic stories for over a year 😢
Jamaaani daaa unatusahau mno mpaka tulianza kukusahau da
Nikashindwa sana, mkuu wangu kapotelea wapi, Jamal you inspire
Asante sana kwa kurudi tena kutu elimisha na kutupa ladha ya kuzungukia huku
Duuh! The King Jamal is back🔥watching direct from Belgium 🇧🇪 🇹🇿
Yan the story book nilikua nmeimiss xana bora imerudi upya love xana the story book
Jaman nifurahaaaaaaaaaa the story booooooook With Jamal April❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yeah
The Best Story Teller
Wewe kazi ilikushinda..tulihamia Kenya kwa Abel mutua....one story per year ndugu ...inachosha kungojea
Umekuja kufanya nini sasa si uhamie huko milele we kenge
Good things come to those who wait and I have proved it bro much respect none of us are astonished
Much love from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Welcome back bro.
Much love from 254🇰🇪
The man is back.... I can't wait to have the story book daily keep going broo
Your welcome brother I miss you so much
Welcome Back 🙏.
Umeongelea hesabu za integro umenikumbusha advance. ..integro na differentiation zilinishinda kbisaaaa😂😂🙌.
Ila hapo kwa Tesla kugundua xrays si kweli..x rays ilgunduliwa na willium Conrad Röntgen..ndio maana s i unit for radiation exposure is Röntgen (R)
Ata umeme hakugundua Tesla pia..waligundua William Greene , Schuyler wheeler na Emil fein
Tesla ni mgunduzi wa magnetic field density, ndio maana Tesla (T) ni unitfor magnetic flux index
Anaelewa zaid anaweza nirekebisha.. that's wat i know
Fatilia vzr bhn😂😂😂😂😂😂😂
Umemsahau Michael Faraday
Gonga like ❤ kwa Jamal April 🫡
Finally The story book is back 🔥🔥
Welcome back Jamal..
Wa congo 🇨🇩🇨🇩 tukowapi mazee clique aime iyo comentair alors kama wew ni mcongoman kweli
Tupo
Wangapi tu me miss the story book 📚 ❤❤
Jamal, welcome back legend 💪
Tulisubiria storybook..bora imeanza tena 😀tuendelee mbele na stories zetu.
Uyu jamaa anatutesa jast imagine almost 8 months now😢
Yani sijui anapotekeaga wapi
Nakubali sana😊
Jaman nilimsubir saaana profesa respect to you🙏🙏🙏
Hongera kwa kutumia Kiswahili vizuri bila kuchanganya na uzungu. Wapo wanaoongeza mapenzi kwa Lugha hii na kujifunza
Nampenda sana Nickol Tesla...simulizi safi sana
Finally, showing love from kenya❤️
Nimefurahi sana the story book kurudi
Siku mingi sana
na usipotee tena bana💖
Jamal welcome back,,,, hope you'll not lost this time,,,,I want to be seeing you recently ❤❤
Jamani umerudi tena ❤❤❤
Respect,jamal waiting for more
Karibu tena, profesa, ni furaha kukutana hapa baada ya muda mrefu umepita 🤗