Yani wasafi ninacho wapenda mnajua sisi wengine hatuna time na t.v sasa mkatuletea the story book kitu ambacho wengi tumependa coz anytime nikiboeka haina haja nikaomune Diva na gigi money wakichambana Bali nazama zangu you tube nakujifurahisha, hakika tunawependa na tutazidi kuwapenda. happy 1 million subscribers😘 WCB fans tujuane jamani😍😍
Aisee we jamaa unavyohadithia hizi hadithi bwana kah kweli MUNGU kakujalia aisee dah umekuwa role model wangu brother maana sijawahi sikiliza the Stori book nusu Wala robo kwakweli brother upo vizuri sana I hope ipo siku tukutane MUNGU akipenda
Yes this is real story, This incident happened on 14 th of July 1911 in Italy. it disappeared with the passengers as soon as it entered into the tunnel.
NIMEJIFUNZA dunia ni uwanja mpana sana...yawezekana wewe ukawa unaijua dunia ROBO kuna mwingine anaijua dunia NUSU na kuna mwingine anaijua dunia robo TATU rakini kuna mwingine haijui kabisa dunia ye mladi amelala ameamka sarama basi anasema ISHALAH rakini dunia INAMAMBO.
Hata kama Wasafi FM haisikiki huku Kenya basi mtandao wa You Tube imekuwa rahisi kwangu nisikilize The Story Book ambapo imenisaidia kielimu na kujua kufumbua mafumbo. Mtiga Abdallah saluti kutoka kwako from Johnation Johnny 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Show yako inapendwa sana huku nchini Kenya.
Mungu aliwafisha watu baadhi kwenye history ya Qur an nakuwahuisha baada ya miaka tofauti tofauti, kwahiyo ndani haya kuna ukweli. Hivyo aminini Quran itabakikua ya ajabu
Ndio. Kitu kinaweza kusafiri Kwa kurudi mda ulio pita au ujao. Kasome theory ya mwanasayansi anaitwa Albert Einstein. Theory yenyewe inaitwa theory of relativity ndo utakutana na Mambo ya time travel

Hakuna kama wasafi media
Congrats Mond for those 1M subscribers ndan ya mda mfupi!🎆🎆🎆🎆🙈🙈🙈😍😍😍💎👑🙏
kweli
musa mpate nikweli
musa mpate
Yaan mimi damu yangu yote WCB🔥🔥🔥
Love you wasafi hichi ndicho kipindi bora sana kuliko vyote
Haifa
Haifa
mko njema xana
Kama bahat Mimi ndio wa kwanza nipeni like zangu
Bn
I listen to story book while doing my house chores and I love it.. makes my chores much more bearable
story ziko sawa 2 sana endelea kutoa zingine
Like...like jaman tuwe pamoja wote wazee wa story book
Maajabu ya Dunia ni funzo kwa wanao ishi tuko hapa leo ya kesho aijuaye MAULANA,Allah,Yaweh,Ama jina yoyote Apewayo Mwenye NGUVU .Amen
Cjawahi kupata like hata moja jamani! Naombeni like zenu kama mnaikubali the story book ya wasaf media
Nakubal
Sawaa ni nzurii
Haya umepata likes zimekusaidia nini?
Hizo like zinakusaidia nn
@@kadramohamad6162 nakubali
Pend kipind chako Abdalah Mtiga much love you brother 🙏
Wah !!!Maaajabu,,,,
gonga like kwa story book kama unakipenda hiki kipindi❤️
selemansaid said sana
Noma sana
Poa sanaa
Nimeipenda
@@mremifredy9386 nice
Kali San .. nakubali The Story book
Story ipate anaejua kuhadithia, hata kama ni mbaya utaipenda tuu
Aisee we jamaa unavyohadithia hizi hadithi bwana kah kweli MUNGU kakujalia aisee dah umekuwa role model wangu brother maana sijawahi sikiliza the Stori book nusu Wala robo kwakweli brother upo vizuri sana I hope ipo siku tukutane MUNGU akipenda
Cjawahi kupata like 😊
The story BOOK...!! nakubali sana hik kipindi daah
Sasa like zanini xaxa ogy kwa story nzuri
2021 ambao tunaiskiliza like kwangu tafdhar🤗
Yes this is real story, This incident happened on 14 th of July 1911 in Italy. it disappeared with the passengers as soon as it entered into the tunnel.
Michael Hyungim how do you know that this is a really story
It can neither be proven as a fact nor be disproved if it occurred.
Do you Understanding swahili?
How do you know it?
How sure you are?
Nakupenda Sana wewe unayesimulia, Napenda Sana Sauti yako, Natamani ungekua Mume wangu ❤️❤️❤️❤️❤️
Nasrah Samwely niwe mim mumeo
Ucjl nakupnd pia
Nichek 0718595686
I like your stories they are very clear. . Truly wewe una kipaji.
NIMEJIFUNZA dunia ni uwanja mpana sana...yawezekana wewe ukawa unaijua dunia ROBO kuna mwingine anaijua dunia NUSU na kuna mwingine anaijua dunia robo TATU rakini kuna mwingine haijui kabisa dunia ye mladi amelala ameamka sarama basi anasema ISHALAH rakini dunia INAMAMBO.
Wow congratulations for wasafi 📺
Wewe kaka unasauti nzuriiii mpaka nakutamani
Mtiga nambari moja.
Nimejifunza mambo mengi sana kupitia the story book kiukweli hii ni safi sana naipenda mno
Gonga like na kucomment hapa km unamkubali Mtiga Abdallah
Noma sn!!
Keep it up," uko vizuri " a good narrative voice and true stories
I love the story book so much,mtiga naomba story ya Dr.Sebi
We mkaka nakupenda jmni sauti yako tu😘😘
Naipenda sana the story book inatujuza tusivyovijua ila sijuhizi mnaleta story fupi mnoo na hammalizi......msitufanyie hivyo wadau wenu jaman
Kama unapenda the #storybook gonga like
I love your voice... Be blessed
really
Story tamu aisee
Keep it up!!!! Very good and wonderful narration
Time travel is real but it is difficult not impossible to practice that
Napenda sana simlizi wew nimtu makinisan
Hata kama Wasafi FM haisikiki huku Kenya basi mtandao wa You Tube imekuwa rahisi kwangu nisikilize The Story Book ambapo imenisaidia kielimu na kujua kufumbua mafumbo. Mtiga Abdallah saluti kutoka kwako from Johnation Johnny 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Show yako inapendwa sana huku nchini Kenya.
Gonga like twende sawa Kama tumaipenda na iko poa
Daah mnatisha sana the storybook hakuna kama nyie
The story book kwa kweli kweli mnatuhabarisha vizuri bigapu Sana wasafi mpo juuuuuuu
Mungu aliwafisha watu baadhi kwenye history ya Qur an nakuwahuisha baada ya miaka tofauti tofauti, kwahiyo ndani haya kuna ukweli. Hivyo aminini Quran itabakikua ya ajabu
Gonga like kama unaikubali THE STORY BOOK
Naikubar
,😁😁😁😁😁
Asante kwa story nzuri 🔥🔥🔥
Kama huwa unammiss huyu jamaa gonga like❤️
Wasafi mnaweza big up kweni
Kipindi bora huwa nakimiss sana kazi nzuri mtiga
Wallah saut yako nzur....sichoki kukusikiliza
Dha polen xn
Bro unatupa maneno mazuri raha sana kusikiliza ila kwa imani ya dini ya kislam uwongo mtupu haiwezekani time travel hamna
Jamal naipenda snaa saut yko haichosh kuckiza ....hongera...wassaf pia hongeren mupo na watangazaj mahir
Daaah naenjoy sana nikisikiliza story zenu yaaan bundle langu linaishia kwenye story zenu
Wasafi raha sana story nzuriiiiiii
Alafu. Mtiga hiki kipindi chako uwe ww km ww atutaki watu wengine na km watakuja wanakualabia kz yk mana wana saut mbaya kuwasikiliza adi kelo, 😣😣😣
Wasafi muko poa kwa story book mm nimingoni mwa wasikilizaji wenu
True Story piaa hii story kwa site ya BRIGHT SIDE wameelezeaaa dunia haiachi kutushangaza
Gustodius zuberi na kwenye bright side imeadithiwa miezi 6 ilopita
Yaah nyie ni fire
Yaani boom munawakulisha kwa kila idara
Huwa napendaga sana hizi simulizi za mambo ya kale na matukio ya ukweli.
Leo nimechelewa
Kama huwa unafatilia his story acha like hapa🙏
Kweli
Ni kwerekweche yani dingo ilo liwasafi TV linajua kunileta kinouma yan yani uuuwiiii naimanya
Historia ya yesu
Treni iliyopotea mwaka 1911 NA kuja kuonekana mwaka 1845 kwel mko vizuri NA story miaka inarudi nyuma sawa
Kazi nzur sana uchambuzi maridadi inanikosha sana jamn
Watu weng wanapotea aisee
Kama wewe unapenda the story book kama mimi gonga like
Bro embu agiza soda daaah😁 I wish kipind kiwe kila sku THE STORY BOOK
Second me from +255 the Story book baba laoo like tafadhal
Nice Story book
Jamal Aprili story zako ni nzuri na ukafanya utafiti wa kina
Napenda kumwita mzee wa usia
Mwandishi kuna sehemu kaniacha ndege iliruka mwaka1955 Na yule daktari kakuta sigara kwa mgonjwa 1907 au sijafahamu mm ! Naomba kufahamishwa
Fatilia story vizur ww
Ndio. Kitu kinaweza kusafiri Kwa kurudi mda ulio pita au ujao. Kasome theory ya mwanasayansi anaitwa Albert Einstein. Theory yenyewe inaitwa theory of relativity ndo utakutana na Mambo ya time travel
Sio naona sigara mwaka huo sema aliona sigara iliandikwa mwaka 1907 yani ilee sigara ndo iliyo andikwa sio ilioneka mwaka huko
r
Angalia tena
Gonga like apa kama unakbal.story book
Amaizing story
Napenda sana kipindi hiki cha the story book
Ww ndo msimulizi bora wa mwaka 2019👊👊
mh unaweza kusema nimambo yakutunga
Wow i love story book
Hongera sanaa mtiga abdallah
Mungu atulinde
HII STORY INAMAFUMBO MAFUMBO SANA BILA KUTULIZA AKILI HUELEWI
Uakiaka wasafi TV p.long
Gonga like kama umeipenda story book
I like this show very much 🔥🔥🔥
Poreni sana kwawa liyofiwa nanduguzao jamani hatamimi nipo
It feels like God is sending a mesage
Leteni story mmekuwa wavivu kutoa
SIJAWAHI PATA LIKE HATA MOJA JAMAN,,LEO NAOMBENI LIKE ZENU WAPENZI WA STORY BOOK
Chukua
Kama unamkubali mtiga gonga like wcb 4life ❤💚
Napenda sanaa story zako
Haya bana asante kwa kutuburudisha na bila kufanya pupa manake mb nazo c rafiki kiumbe huyu.
Ndo maana mama kaniambia nisipende vya buree! 😞
I like this story BIG UP sanaaaaaa
Napenda story book
Yaani we jamaaa unajuwaa kutazungumziaaa kbsaa
Naomba likes kwa ajili ya kushow love kwa msimuliaji
Wakwanza
Kama unamkubali huyu mtangazaji kwa voice na point acha like yako hapa chini
Your voice make me love you
Jamaa unajua sana
Jamal is the best
Waongo hawa kwelikweli kama viongozi wa serikali ya ile nchi ile
Alwayz mtiga ukoxei kakahh
Pole kwa mafua mtiga Abdallah
Najikuta naipenda WCB sio kwa story hz kwakwel big up
WCB FOR LYF 1 MILION SUBSCRIBERS 🔥🔥🔥🔥🔥
Makini
Wakwanzan kulike naombeni likes zangu