Nazidi kuupenda uislam kupitia mafunzo ya huyu sheikh 🤗🤗🤗.. nimeslm Nina miaka mi4 Sasa tangu niingie katika uislam bila kuforcewa na mtu Wala kushauriwa na waja. Allihamdulilah nimebadirik sna kupitia uislam na nazidi kubadilika kila siku mungu awaweke maostadh wetu na ma sheikh wote..
Mashallah hakika nikisikiliza mawaida ya sheikh OTHMAN MAALIM. imani yangu inazidi juu ya Allah na mtume wake. Allah muhifadhi sheikh wetu na umpe kheri ya dunia na akhera.
Shukran kwa ndugu zetu kwa uslaam sisi ndugu zenu msisahau kuwaombea ndugu zenu huko phalastin anahitaji dua baada ya kubomolewa nyumba zao NA kukataza vyakula zisipite ili wafe kwa njaa NA mabomu
anavisomo vinazid vitatu nahapo hajatoa kuna kisomo chake hutoa Ramadhan tukiitafuta lailatulqadir...aah maa shaa allah nahisikia fakhar kufundishwa nae nikipiga got garibu yake kusoma tafsir na hadith msikit mablue
Mashaallah cjawahi kujutia kuslim ,tangu 2019 hadi 2021 Dec hii ,Allah ubariki uislam na watu wake, tupe husnal hatma
Aaamin ndugu
Amiiin
Allah atujaalie mwisho mwema na atujaalie waislm wote waende peponi
a'miin
Allah akupe taufik inshaalah
Nazidi kuupenda uislam kupitia mafunzo ya huyu sheikh 🤗🤗🤗.. nimeslm Nina miaka mi4 Sasa tangu niingie katika uislam bila kuforcewa na mtu Wala kushauriwa na waja.
Allihamdulilah nimebadirik sna kupitia uislam na nazidi kubadilika kila siku mungu awaweke maostadh wetu na ma sheikh wote..
Masha Allah
Maa shaa Allah, unaishi wapi dada yangu. Uislam ni raha sana.
Natamani kukujua
Allah azidi kukuongoza nakupenda BURE ndugu yangu katika iiman kwaajili ya Allah
Mashaalah tupondugu zako jitahidi pia kusoma zaid
Masha Allah my favourite somo yangu Sheikh Othman Maalim Allah akujalie makazi yako Janatil Firdaus
Mashallah❤Allah bless maalim sheghe Othman Allah azid kukupa umr mrefu n kutupa dawa zaid
Allah amjalie yeye na jamaa zake Maisha mema humu duniani nakesho akhera.,na awepo nyuma ya waja wema siku ya qiyama.
Mashallah hakika nikisikiliza mawaida ya sheikh OTHMAN MAALIM. imani yangu inazidi juu ya Allah na mtume wake.
Allah muhifadhi sheikh wetu na umpe kheri ya dunia na akhera.
Nakupenda kwa ajili ya Alla na nimefaidika kwa darsi zako jazaka allah Khair mwenyeezi mungu akupe umri mrefu wenye uzima na afya na manufaa inshallah
Maa Shaa Allah....Allah akupe kheri hapa duniani na kesho akhera sheikh wetu
Masha Allah may janatulfirdows b ur reward 4 this beautiful recitation,,,
Mashallah
Mashallah napenda sana kuskia kiraa cha Othman Maalim.... Its ver rare and unique!!!
Shukran kwa ndugu zetu kwa uslaam sisi ndugu zenu msisahau kuwaombea ndugu zenu huko phalastin anahitaji dua baada ya kubomolewa nyumba zao NA kukataza vyakula zisipite ili wafe kwa njaa NA mabomu
Mashaallah jazzakallahu khairan Allah atakabari swala zetu atuswamehe madhambi yetu
Amiin
Amin
Mashallah
Ila sheikh othman nakupenda sana 😢 na lau ungalikuw upo tyr ungalinioa nikatimiza ndoto yng
Masha Allah. Ustadhi. Allah. Akulinde. Nakupe. Mwisho. Mwema. Inshaa. Allah
Waislam tunaomba ikiwezekana huyu shekh tuwe na audio yake ya sauti Masahafu nzima tuwe na audio ya sauti ya shekh othman kila sura katika Masahafu
Naungana na ww
anavisomo vinazid vitatu nahapo hajatoa kuna kisomo chake hutoa Ramadhan tukiitafuta lailatulqadir...aah maa shaa allah nahisikia fakhar kufundishwa nae nikipiga got garibu yake kusoma tafsir na hadith msikit mablue
Wallah umetoa wazo kubwa sanaa Allah(s.w) akubaarik
mashaallah sheikh wetu allah akupe umri mrefu
Allah akulipe kwa kazi nzuri ta daawa unayoifanya na akupe mwisho mwema na sisi pia
Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah
Maaashallah allah amuhifadhi na mabaya duniani na ampatie afya njema Amiin
Masha allah allah amzidiahie ilmu yny manufaa dunian na akhera aamiiin
Maashallah,ALLAH akuzidishie afya nafamaly yako ili uzdi kutupa ilmu inshaallah.
Mashaalah allah akujaaliye khasnul khatimaa killa la kher mashawalah inanitoa machoz kwa kwel
Mashallah Allah akupe mwisho mwema shekhe wetu othman maalim
Mashaallah mungu akulinde dunian na akhera ostad wangu
MASHALLAH SAUTI YA SHEIKH OTHMAN MAALIM JUU YA LAILAHAILALLAH MUHAMMADA RASULALLAH IMETUFIKIA ALLAH AZIDI KUMPA SWIHA
Masha allah masha allah barraka allahu feek yaarabi wa jazzaka allahu min Kully khery yaarabi
Ameen!
Mashaallah Allah akujaalie daraja njema
🙏 Mashallah 🙏 Allah akuhifadh shehe wetu Kilala kher 🙏
mashallah, shekh othman, may allah grant you jannah
Aamin thumma aamin sote insha allah yaarab
AMIN 🤲
MashaAllah Allah akulipe jjira mwema .akupe umri mrefu akuondoshee maradhi mabaya,akutilie nurug ya dunia na akhera
Mashallah napenda unavo soma kuran mungu akupemaisha marefu na maadhui yako nihaswah
Mashaallah mashaallah mashaallah Allah bless you inshaaallah
Mashallahh Allah ampe muongozo mwema peponi, maalim wetu Othman na amkinge na kila shari za kidunia wafil Akhira.
Allah akunde na maadui wa ndani na nje. Atupe mwisho mwema kwa Waislam wote. Amina
Allah atuhifadhie Shekh we2, Nakupenda sana toka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
MASHAALLAH ALLAH AKULIND KWA KILA BAYA INSHAALLAH
Mashaallah Allah akongoze vema shekhe wety napenda sauti yako ukiwa wasoma kuruan
mashaAllah m/mungu aendelee kumuweka sheikh wetu
Mashaallah 👌 mungu akuzidishie elimu atujaalie na ss
Mashaallah Mashaallah Mashaallah 😍 ❤
ALLAHU AKBAR....ALLAH AKUHIFADHI SHEKH WETU
ماشاء الله تبارك الرحمن وصدق الله العظيم
Mashaallah Maalim kiraa kimekaa vizuri sana Quran ikisomwa vizuri inaladha
MashaAllah tabarakaAllah, alhamdulilah kwa neema ya uislam alhamdulilah
Mashallha Allha akuzidishie akupe wepesi Amin
Our Sheikh.
MASHAALLAH,
Jazaka llahu kheer
Mashaallah mashaallah allahumma rhamnaaa bil qur an
No comment nakupenda sana shèikh Othuman.
Mashallah Allah azidi kukuhifadhi tuzidi kupata darasa zako Sheikh wetu
Mungu mjalie maisha mame sheikh watu azidi kutuongoza kwenye maamlisho mema
Mashallah❤️
Maa sha Allah Mwenyezi Mungu amzidishie kila la Kheri Sheikh wetu huyu
MashaaAllah shekhe
ما شاء الله
MashaAllah Allah akupe umri wenye manufaa
Masha Allah Allah azidi kukuongoza ktk njia ilionyooka
Masha Allah jazzakallahu khairan
Allah akupe afya akuondolee maradh inshaalah
Mashallah.. Tuna jivunia kuw na sheikh km we.. Othman maalim
Maashallah yarab mpe afya njema nafamilia
manshaallah Allah akupe shifaah njema.
Anaumwa na nn?
Ammmmn
Mashaallah Mungu awajaze kilalakher qurraaau Qur-aani tukufu
Masha Allah Allah akuzidishie
Mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla
MA SHAA ALLAH
Mashallah allah akujaze kher na baraka.
Allah amor taufik she wetu Amn
Mashaallah mashaallah
Barakallahu fikoum
mashallah sheikh othman
Maashaallah
MashaAllah kwamm najiskia vizur kukuskia unasoma Q rian
Mashallah Tabarakallah
Masha Allah bro
Alhamndulillah Masha Allah
Masha allah
Mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla
Maa ajmalasswaalat... Maa Shaallaah Allaah.
MashAllah mi hupenda kisomo chake na darsa zake za miaka ya nyuma
Mashaallah ❤
Mashaallah
Mashaallah Mashaallah
MashaAllah ❤️ ❤️
Mashaahla
Allah amlinde na mahasid inshaallah
Masha Allah ♥️
MashaAllah mashaAllah
Mashallah
Allah bless you
Masha Allah Sheikh Othman Maalim
Mashallah mashallah Tabarakahl LLAH fee
Maashallah jazakallahu khayra
Baarakallah fiikum
اللهم صلى على محمد وعلى آله وصحبه وسلم
MashaAllah.
Maasha-Allaah
Masha Allah in sha Allah kabul
Maashaa allah.
Asalam alaykum warahmatu wahi wabarakatu
nakupenda Kwa ajili ya allha