MashaALLAH Hii ni zaid ya lulu maishan mwetu. Yaa ALLAH kwa rehma ZAKO mjaalie maisha marefu yenye afya njema mja WAKO huyu. Na umkalie Mwisho mwema 🤲🏽
Shekh asalaam alaykum hyo ndo mitihan kupimwa allah kaahidi nusra kwa wanaoinusuru din tambua nusra ya allah i kariib akujaalie miongon mw mashahid wa din hii tukufu
Kuweka picha ya sheikh fulani haifai watu wa riyadhTvznz ,kazi yenu mulete elimu tu, ushabiki acheni,analofanya Huyo sheikh mlumuweka ni haq na sisi twajua,kwaiyo musifanye sheikh wetu Allah amrehemu Msellem kuonekana kwamba anaongelea mtu fulani (ilhali sio hivyo )hio ni makosa waislam
Mwenyezi mungu alimwambia muhammad nimekukamilishieni yenu nayo niya uislamu. Na mtume wenu nimuhammad kwahivyo wakina musa issa nuhu lbrahim watahukumiwa tofauti .
@@shamimnassor6192 Mimi sijauzungumza upande wowote Ila hoja ni kuwa Sheikh Mselem hakumtaja mtu, Bali amezngumza kwa ujumla wake - hivyo aliyemo yumo. Lakini kwanini hii channel iweke picha ya Mtu fulani?
@@alhilaltvonline amin amin ALLAH atuongoze sote mm nachukia sana haya malumbano ya viongozi wa dini na ndio makafiri wanatembelea madhaifu haya na kupata nafasi kuwahadaa waislam wenye elimu ndogo..angalia yule mchungaji WA kenya ndacha anavoyouchafuwa uislam na vitabu zake za uongo na kuna watu wanamuamini,so watu wale ndio wakupigana nao sio sisi twapigana wenyewe kwa wenyewe
Assalamualaiku alykm warahmatullaah, naamshekh jazaaka ALLAH khaira, Ila Nina uwelewa tofauti kidg kwamba hao mayahudi manasara walio tajwa niwale walio amini kabla ya MUHAMMAD SWALLALLAAH ALAIHI WASALLAMA, walio muamini issa kisawa sawa na musa kabla ya mtume MUHAMMAD, lakini baada ya kuja mtume hawatakubaliwa Imani zao kulingana na tafsiri ya ibnu kathiir na wengine na ushahidi Ni aya hii :- وَمَنْ يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَنْ يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri. Pili hadithi ya mtume والرسول صلى الله عليه وسلم يقول : " لو كان موسى حياً ما وسعه إلا اتباعي " . Kwa mba hata Kama nabii Musa angekua hai Ange mfuaata MTUME SWALLALLAAH ALAIHI WASALLAMA kwasababu sheria zake zimeshapia. Pia ANASEMA :- وعَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ عَنْ رَسُولِ اللهِ صلى الله عليه وسلم أَنَّهُ قَالَ: "وَالَّذِي نَفْسُ مُحَمَّدٍ بِيَدِهِ لاَ يَسْمَعُ بِي أَحَدٌ مِنْ هذِهِ الأُمَّةِ يَهُودِيٌّ وَلاَ نَصْرَانِيٌّ، ثُمَّ يَمُوتُ وَلَمْ يُؤْمِنْ بِالَّذِي أُرْسِلْتُ بِهِ، إِلاَّ كَانَ مِنْ أَصْحَابِ النَّارِ". رواه مسلم. Kwamba hato nisikiliza Mimi yahudi Wala nasara katika umahuu na Kisha asiniami kwa Yale niliotumilizwa ila atakua nimiongoni mwa watu wa motoni. Kuonesha kwamba lazima mtu awe muislamu kwaanza kwa kupiga shahada ya kumuamini ALLAH na MTUME.
Subhanaallah kumbe mashekhe watazania dini mmeifanya kama watu wasiasa wanavyo pigana vita ya inchini na nyinyi ndio mnaelimisha dini kwa watu na ndio mnao leta picha mbaya ya dini 💔💔Inalilah wainalillah rajuuni mwenyezi mungu amjalie mpatane nampendane muache chuki binafsi
@@kindi4926 Hakika na huo ndio uislam na ndio hekima na busara za kulingania uislam. Sio matusi au dharau au chuki. Tanzania hii kwetu ni hazina kubwa.
Nyie Riyadhtv znz mnazingua mamb ya din msifananishe na udaku achen kuchonganisha mashekh kwa mashekh: hapo anasoma Qur'an itakayomgusa ndo huyo huyo msilazimishe aonekane kamuongelea mtu huo ni ichochez ambao Allah amekataa
Sharti hapo ni kumuamini Allah. Ni wazi kuwa ukimuamini Allah ni lazima umkubali mtume S. A. W, ndio kusema hao Mayahudi, Waswabiin na Naswara ili wapate kuingia Peponi ni lazima wamkubali Mtume S.A.W na Manabii wote wa Allah. Na ndio Uislamu.
Mbona Mohd BACHU kasema yeye akiwapinga muamsho na kuwachukia sana kwa sababu akifanya maandamano lakin walipo weka jela akiwaombea duwa walipo toka akatowa hutba kuwa makhawareej ni wafanyao maandamano ktk nchi vp ?
Basi yule ambaye Allaah Anataka kumhidi, Humfungulia kifua chake kwa Uislamu. Na yule ambaye Anataka kumpotoa, Hufanya kifua chake kuwa na dhiki chenye kubana kama kwamba anapanda kwa tabu mbinguni…[Al-An’aam: 125]
As long as watakuwa wanaamini Allah yupo na wanafanya amal njema.....hawatojutia mwisho wao. Hizi Aya usipokuwa mankini utajitatza bure. Be positive hakuna mkamilifu katika dini na dunia na hakuna anaejua hukmu isipokuwa Allah.
Allah akulipe Kila la kheri shekhe wetu hao masalfi waliwacheka walokole wa kikiristo sijui wenyewe ni kinanani?Kwa hakika Wana KERA sana kuvaa ngozi ya kondoo wakat ni chui
Wewe mwenywe hii media kuweka kwako hiyo picha ya mtu uliyemlenga ufahamu kuwa unachokifanya hapo ni kuchocheya malumbano na hii kuchocheya malumbano ni katika tabia za unafiki . Muogope Allah unachokifanya kinafidhiwa na utaenda kulipwa. Naomba Allah anihifadhi mimi na Kila muislamu Kutokana na tabia zote za kinafiki.
Watu wa vitabu walioamini wakatenda mema wataingia peponi ikiwa hawatomshirikisha Allah. Tena wale waliopita nasi hawa walokwisha birua Injil na Tawrat na wasioitaka kabisa Qur-an. Qur-an 3:199
Na watu wa kitabu wanaomuamini Allah (s.w) , na ulichoteremshiwa wewe na walichoteremshiwa wao, na wakatenda mema na wasimshirikishe Allah (s.w). .. 3.199
Enyi walioamini! Tubieni kwa Allaah tawbah ya nasuha (kwelikweli); asaa Rabb wenu Akakufutieni maovu yenu, na Akakuingizeni Jannaat zipitazo chini yake mito. Siku ambayo Allaah Hatomfedhehesha Nabiy (Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم) na wale walioamini pamoja naye. Nuru yao itatembea mbele yao na kuliani mwao, watasema: “Rabb wetu! Tutimizie Nuru yetu, na Tughufurie, hakika Wewe juu ya kila kitu ni Muweza. [At-Tahriym: 8]
Shekh kaeleza vzri lakin sjaskia kama kmtaja mwanachuon gani au swahaba gani alitafsriii hivo hiyo aya ya 62 suurat bakaara.kwamba wanao abudu viumbe watalipwa ujira kwa Allah. Naomba ufafanuzi kidg hapo Samahan kwa usumbufu
Lakini tuseme ukweli salafi hawana kheri na uislamu, wameacha hata kusoma bismillahi Rrahmani Rraheem kwa sala, kato hawasomi moyoni wala kwa siri, wamefanya msikiti kuwa nyumba za ukimya na ubinafsi na wala hawataki dua kamwe. Dua ni miongoni mwa vitu Allah anapenda sana na dua especially kwa sala na baada ya sala. Tuzingatie sana kuhusu dua za jamaa na tuzingatie sana umuhimu wa bismillahi kwa kusoma Qur'an aidha kwa sala ama qiraha. Bismillahi Rrahmani Rrahim ni neno sheitan yuaogopa sana na hakuna fatiha bila Bismillahi Rrahmani Rraheem.
Innaalillahi wa innaailayhi rajiun sikutegemea kabisa kama sheikh msellem angeweza kutoa tafseer dhaif kama hii na amefanya khiyana sababu hajasheheresha na wala hajasimamia tafseer yoyote ya mwana chuoni na watu wanashabikiatu hawa masheikh wanapoteza watu
Wewe ni zaidi ya dhahabu laiti watu wangejua thamani yako basi ungenunuliwa zaidi ya wacheza mpira lakini mpaka media za kidini siku hizi dili hawana mpaka ubunifu wa kazi
Mashallah umefafanua vzr shekh ila nashkuri kwakua sote ni waislam basi tusinyoosheane vdole hasa kwakueka picha zidi ya wengne maana lengo ni kufanikiwa siku ya mwsho
Al habib nakukubaki kwa elimu yako, asilimia miamoja. Hivi ndio wanatakiwa maulamaa wetu. Naonba uwaelimishe hao wasiojua kutowa elimi waache kuwakhofishe wasikilizaji. Nungu akuhifadhi
Anachozungumza Ni Talbisi. Bado Hajarud ktk Kufuata Sunna. Kama Mtume Alisema Yatatokea Makundi 73 Ktk huu uislam.Leo hii utalikataa vip hili na wakat ni Waaqii kabisaaa. Kuna Mashia,Maibadhwi,Makadiyani,Masufi na Twariqa zao,Makhawaariji na Makundi yao,.....Halafu wakataa eti waislam hawana Makundi
Hakika hekma ni kheriii kubwa
I wish nikuone live hakika nakupenda kwa ajili ya Allah
Allah akuhifadhi kipenzi chetu
Allah anasema "humpa hekima amtakiae natakaepew hikma basi hiyo ndio amepewa kheri nyingi" Mashaa allah sheikh wetu umepewa hikma allah akuzidishie
MashaALLAH
Hii ni zaid ya lulu maishan mwetu.
Yaa ALLAH kwa rehma ZAKO mjaalie maisha marefu yenye afya njema mja WAKO huyu. Na umkalie Mwisho mwema 🤲🏽
Shekhe huyu ni mnyenyekevu sana...roho nzuri sana..nimependa hutuba yake. Be bllesed shekhe.
Shukran Skh Mseleem. Allah ijaziik milion kheir. Tumefaidika. Allah akupe umri na afya.
Mwenyezi MUNGU Amjaalie maisha marefu yenye kher baraka furaha na mafanikio mema maishan mwake Shekh Mselem
Shekh asalaam alaykum hyo ndo mitihan kupimwa allah kaahidi nusra kwa wanaoinusuru din tambua nusra ya allah i kariib akujaalie miongon mw mashahid wa din hii tukufu
Shukran sheikh allah akulipe duniani na akhera
Allah akuhifadhi
Mashallah. Sheikh wetu kipenzi tunafurahi kila tukikuona na tukisikia darsa zako allah akujaalie afya njema wewe pamoja na familia yako amiin
Uko sawa shekhe wetu🎉 Allah akupe mwisho mwema wenye kheri zotee
ALLAH AKUBARIKI SHK MSELLEM ALLY MSELLEM.
Ewe M/muungu mjalie Mwisho mwema sheikh Mselem bin Ali amiina🤲🏻
Allahumma ameen, sote pia
amin
Allahumma Amiina
Kuweka picha ya sheikh fulani haifai watu wa riyadhTvznz ,kazi yenu mulete elimu tu, ushabiki acheni,analofanya Huyo sheikh mlumuweka ni haq na sisi twajua,kwaiyo musifanye sheikh wetu Allah amrehemu Msellem kuonekana kwamba anaongelea mtu fulani (ilhali sio hivyo )hio ni makosa waislam
Acha ushabiki kwe masuhara ya dini
Allah akupe umri mrefu na akupe afya njema
Allah akuhifadhi na kila shari shekh wetu tuendelee kunufaika kwako.
Mwenyezi mungu alimwambia muhammad nimekukamilishieni yenu nayo niya uislamu. Na mtume wenu nimuhammad kwahivyo wakina musa issa nuhu lbrahim watahukumiwa tofauti .
moja katika masheikh ninaowakubali sana sana,mungu ampe umri,hikma na kheri nyingi!sio vijana wetu wa sasa,kaz kutiana moton tu....
Yupo vzur sana
Shekhe Allah amuongoze na ampe umri mrefu sana Inshallah.
Allah akulipe kila la kheri na akuepushie kila la sharri na atujaalie sote mwisho mwema Inshallah 🙏
Shukran sheikh..mselem... *Hakika ya aliepewa hekma amepewa heri nyingi*
MASHAALLAH, jazzakallah kheir sheikh Bega kwa bega mpaka Firdaus
Nampenda sana Kwa ajili ya Allah Sheikh Mselemu Bin Ally
Allah anijalie nionane na huyu sheikh face to face
Jazakllahu khairan... Sheikh
Nampe shekhe mselem maana anatafsir Quruan kwa vizury kwa utaratibu bila ya papala Allah akuhifadhi shekhe
Allah akuhifadhi ukuengeze busara na hekima,wewe huna kiburi,nakupenda sana.
Sheikh Allah akuhifadhi akulilpe kheri duniani na akhera
Mashaallah shekhe mselem
Alhamdullah Maa shaa allah mwenyezmungu atatufanyia wepesi zaid yaliza nyota ya zanzibar ilipo kua haipo shekh wetu
Usimdharau kiumbe yeyote wa Allah huenda akawa bora zaidi mbele ya Allah
Fact ukhty
Alhamdullah tumelia tumekesha kumuomba Allah awatoe masheh wetu jela leo Alhamdullah
ALLAH akuhufadh shekh
Ila nyinyi watu wa Media si vyema kuweka picha ya kumlenga mtu kama hivi - ujumbe utamgusa anayehusika lakini mnavyofanya basi sdhani kuwa ni busara.
Huyo bachu mwenyewe hana busara hata moja
@@shamimnassor6192 Mimi sijauzungumza upande wowote Ila hoja ni kuwa Sheikh Mselem hakumtaja mtu, Bali amezngumza kwa ujumla wake - hivyo aliyemo yumo. Lakini kwanini hii channel iweke picha ya Mtu fulani?
@@alhilaltvonline huwenda Kuna ujumbe utakao mfaa kwenye khutba hii
@@shamimnassor6192 InshaaAllah kheri akhuy. Allah atuhifadhi. Atuongoe na kutuondoshea kibri.
@@alhilaltvonline amin amin ALLAH atuongoze sote mm nachukia sana haya malumbano ya viongozi wa dini na ndio makafiri wanatembelea madhaifu haya na kupata nafasi kuwahadaa waislam wenye elimu ndogo..angalia yule mchungaji WA kenya ndacha anavoyouchafuwa uislam na vitabu zake za uongo na kuna watu wanamuamini,so watu wale ndio wakupigana nao sio sisi twapigana wenyewe kwa wenyewe
Alhamdulilah maalim wetu ,wewe ndio tumekuelewa
Tabaraka Allah Rabury Araminii
Assalam Alykm warahmatullah wabarakatuh.
Hii Anatumia tafsiri ipi? Naomba kujua tafadhal.
Jazaakallahu khayran Sheikh
Swifiwatu ttafaaasiir cha mwanazuoni ally swaabuni
Taabu Kubwa Iliyopo Kwasasa Tunajisomea Wenyewe. Twende Tukasomeshe Kwawanaostahiki Kutusomesha. Tusijisomee Tu.
صفوة التفاسير - الشيخ محمد بن علي الصابوني
Napenda san kumskiiza huy sheikh wng mselem bin ally... Allah ukujaalie mwish mwema
MashaAllahu ❤
Assalamualaiku alykm warahmatullaah, naamshekh jazaaka ALLAH khaira,
Ila Nina uwelewa tofauti kidg kwamba hao mayahudi manasara walio tajwa niwale walio amini kabla ya MUHAMMAD SWALLALLAAH ALAIHI WASALLAMA, walio muamini issa kisawa sawa na musa kabla ya mtume MUHAMMAD, lakini baada ya kuja mtume hawatakubaliwa Imani zao kulingana na tafsiri ya ibnu kathiir na wengine na ushahidi Ni aya hii :-
وَمَنْ يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَنْ يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ
Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.
Pili hadithi ya mtume
والرسول صلى الله عليه وسلم يقول : " لو كان موسى حياً ما وسعه إلا اتباعي " .
Kwa mba hata Kama nabii Musa angekua hai Ange mfuaata MTUME SWALLALLAAH ALAIHI WASALLAMA kwasababu sheria zake zimeshapia.
Pia ANASEMA :-
وعَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ عَنْ رَسُولِ اللهِ صلى الله عليه وسلم أَنَّهُ قَالَ: "وَالَّذِي نَفْسُ مُحَمَّدٍ بِيَدِهِ لاَ يَسْمَعُ بِي أَحَدٌ مِنْ هذِهِ الأُمَّةِ يَهُودِيٌّ وَلاَ نَصْرَانِيٌّ، ثُمَّ يَمُوتُ وَلَمْ يُؤْمِنْ بِالَّذِي أُرْسِلْتُ بِهِ، إِلاَّ كَانَ مِنْ أَصْحَابِ النَّارِ". رواه مسلم.
Kwamba hato nisikiliza Mimi yahudi Wala nasara katika umahuu na Kisha asiniami kwa Yale niliotumilizwa ila atakua nimiongoni mwa watu wa motoni.
Kuonesha kwamba lazima mtu awe muislamu kwaanza kwa kupiga shahada ya kumuamini ALLAH na MTUME.
Sahihi 👌
Sahihi 👍
Nasubilia majibu ya hii comment.
Islam Eliasi,Allah akubarik shekh mselem Ally
Masha Allah shekhe
Allah akupe pepo inshaallah
❤❤❤aamin
Shukran Sheikh
Subhanaallah kumbe mashekhe watazania dini mmeifanya kama watu wasiasa wanavyo pigana vita ya inchini na nyinyi ndio mnaelimisha dini kwa watu na ndio mnao leta picha mbaya ya dini 💔💔Inalilah wainalillah rajuuni mwenyezi mungu amjalie mpatane nampendane muache chuki binafsi
Mijadala na hikma kama hizi ndio sahihi, sio yule kijana mdogo aliekosa heshima.
@@kindi4926 Hakika na huo ndio uislam na ndio hekima na busara za kulingania uislam. Sio matusi au dharau au chuki. Tanzania hii kwetu ni hazina kubwa.
Maashallah
Nyie Riyadhtv znz mnazingua mamb ya din msifananishe na udaku achen kuchonganisha mashekh kwa mashekh: hapo anasoma Qur'an itakayomgusa ndo huyo huyo msilazimishe aonekane kamuongelea mtu huo ni ichochez ambao Allah amekataa
Swadakta
Wanataka followers kwa kivuli cha dini
Allah akupe mwisho mwema
Kisiwa cha maalifa shekh: mselem Ally. Nasaha zako ni nuru kwa wamchao Allah:
Shekh mungu akulinde
Sharti hapo ni kumuamini Allah. Ni wazi kuwa ukimuamini Allah ni lazima umkubali mtume S. A. W, ndio kusema hao Mayahudi, Waswabiin na Naswara ili wapate kuingia Peponi ni lazima wamkubali Mtume S.A.W na Manabii wote wa Allah. Na ndio Uislamu.
👍
Uko sawa sheikh
Mashaallah sheikh
Shukran kwamba umewakubali wema waliotangulia
Hata mimi nimewakubali sana hao wema waliotangulia ila hawa wema walioko wallahi ni tafauti kabisaaaa.Maneno yao wallahi hayaniingii akilini kabisaaaa
@@husnamohamed9448 ayo matamanio yako tu
Allah akuhifadhi shekh mselem kwa kuwa ukweli wauma usihofu Allah humpenda msema mkweli
Ukiwa pocho huwezi kumfahamu sheikh mselem ila ss tunamuelewa sana
Pocho
@@khamishamad5044 pocho ni nini? 🤣
Mashallah sheikh wetu
Mzee wasomee vizurii wakuelewe lkn ukaee na mwanaoo mdongee mwenzako mtoto wa Bachu umsomeshee vizurii
Allah akulipe hakika umefikisha.
Shekh mselem sema kwel japo kua chungu
Kama ingekua nchi zetu ziuadilifu mselem aliy engekua kadhi lakini sii nchi hizi zinekosa uadilifu
Sheikh mselem na muhammad bachu wanafahamiana viziri msiweke picha za uchochezi mnaharibu
Mbona Mohd BACHU kasema yeye akiwapinga muamsho na kuwachukia sana kwa sababu akifanya maandamano lakin walipo weka jela akiwaombea duwa walipo toka akatowa hutba kuwa makhawareej ni wafanyao maandamano ktk nchi vp ?
Shekhe wewe Allah atu patie umuri mlefu napenda sana kuskia mawaiza yako
Basi yule ambaye Allaah Anataka kumhidi, Humfungulia kifua chake kwa Uislamu. Na yule ambaye Anataka kumpotoa, Hufanya kifua chake kuwa na dhiki chenye kubana kama kwamba anapanda kwa tabu mbinguni…[Al-An’aam: 125]
Shekh mselem basi ijumaa itaekewa hutba usemwe
Hahahahahaahhahaa sasa ah hahaaa
Na kama ukiwatii wengi walioko ulimwenguni, watakupoteza na njia ya Allaah. [Al-An’aam: 116]
Na Allaah Anajua zaidi
As long as watakuwa wanaamini Allah yupo na wanafanya amal njema.....hawatojutia mwisho wao. Hizi Aya usipokuwa mankini utajitatza bure. Be positive hakuna mkamilifu katika dini na dunia na hakuna anaejua hukmu isipokuwa Allah.
💯 💯 sheikh
Kawa munguu? Hata umpe uhakiwa wa 100%%
Usimpe asilimia zote hizo hakuna Mwanaadam mkamilifu
@@شيخنيف Kuna point kuzungumza ndio nimemuga mkono 💯 💯.sio kma ni mkamilifu
@@abdullahalbalushi3856 sawa Muhimu Point imezingatia Qur-an ama Sunna basi hakuna shida
Allah akulipe Kila la kheri shekhe wetu hao masalfi waliwacheka walokole wa kikiristo sijui wenyewe ni kinanani?Kwa hakika Wana KERA sana kuvaa ngozi ya kondoo wakat ni chui
Hii Aya naona haijapata mfafanuzi wa kina utende mema unavyotenda na unajua Mungu yupo na hauximamixhi xwala 5 bc ujue n bure kabixa.
Kijana una pupa huna skills za kisikiliza, umefika darasa la ngapi? Hebu msikilize vizuri
Dini hii kuna wanachuoni,wenye maarifa zaidi na wanaojua tafsiri zaidi,wala si dini yakuzungumza tu watu wakusifu.wanachuoni ndio dira ya uislamu.
Mashallah Bora uambie ukweli Mana dini no moja ila wameifanya ziwe dini nyingi
Huyu shekh inabidi umsikilize kiupole ndio utamuelewa. Na mimi namuelewa kila wakati
Sawa kabisa
Tumeni link ya whasap ya mawaidha kwamwenyenayo
Wewe mwenywe hii media kuweka kwako hiyo picha ya mtu uliyemlenga ufahamu kuwa unachokifanya hapo ni kuchocheya malumbano na hii kuchocheya malumbano ni katika tabia za unafiki . Muogope Allah unachokifanya kinafidhiwa na utaenda kulipwa.
Naomba Allah anihifadhi mimi na Kila muislamu Kutokana na tabia zote za kinafiki.
Masalaf wafitin tu hapa kwetu zanzibar
Watu wa vitabu walioamini wakatenda mema wataingia peponi ikiwa hawatomshirikisha Allah. Tena wale waliopita nasi hawa walokwisha birua Injil na Tawrat na wasioitaka kabisa Qur-an.
Qur-an 3:199
Qur-an 6:21
Na nani dhalimu zaidi kuliko anayemzulia uwongo Mwenyeezi Mungu, na akazikanusha ishara zake? Hakika madhalimu hawafanikiwi.
Qur-an 6:22
Siku tutakapowakusanya wote pamoja. Kisha tuwaambie walioshirikisha. Wapo wapi washirikishwa wenu mliokua mnadai?
Na watu wa kitabu wanaomuamini Allah (s.w) , na ulichoteremshiwa wewe na walichoteremshiwa wao, na wakatenda mema na wasimshirikishe Allah (s.w). ..
3.199
@@alhamdulillah5796 ahsante sn
Sasa hizi p8cha mbona zimewekwa hivi yani makusudio niyepi???
Picha hazijaendana labda alieweka hajui anachokifanya
Alhamdu lillah
Mashaallah
Hujmb ww
Enyi walioamini! Tubieni kwa Allaah tawbah ya nasuha (kwelikweli); asaa Rabb wenu Akakufutieni maovu yenu, na Akakuingizeni Jannaat zipitazo chini yake mito. Siku ambayo Allaah Hatomfedhehesha Nabiy (Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم) na wale walioamini pamoja naye. Nuru yao itatembea mbele yao na kuliani mwao, watasema: “Rabb wetu! Tutimizie Nuru yetu, na Tughufurie, hakika Wewe juu ya kila kitu ni Muweza. [At-Tahriym: 8]
mashallah ni shekh mwenye elmu ya juu Allah amuhifadhi aendelee nadaawa kutumbusha amin
Shekh kaeleza vzri lakin sjaskia kama kmtaja mwanachuon gani au swahaba gani alitafsriii hivo hiyo aya ya 62 suurat bakaara.kwamba wanao abudu viumbe watalipwa ujira kwa Allah. Naomba ufafanuzi kidg hapo
Samahan kwa usumbufu
*HIYO Aya Ni MANSUHU Sheikh mselem ebu angalia vizuri*
Mbona ameiweka sawa hayo makundi 4 wakimuamini Mtumme Muhammad s a w na kuikubali Qur an hao ndio wamafaulu
Hebu na ww msikilize vizuri usikurupuke ku comments
@@AliHassan-oe8sy Acha kukurupuka
Darsa za sheikh msellem inakua ni wapi na muda gan ?? Naomba niambiwe
Kabla hajaekwa mahabusu ilkua jumatatu masjid nour ila kwa sasa sielewi
Dini lazima uguse engo zote endelea kutupa daawa sheikh mselem wanobweka waache wabweke
Nakukubali kaka,lkni samahani usitumie lugha ya kubweka anaebweka ni mbwa so nimakosa kumfananisha mwanadamu mwenzako na mbwa
Wanakera sana lkn nashkuru kwa kunikumbusha
@@khamisrubea5083 na ukweli unakera eti
Alafu nyie Riyadh mtafute heading nzuri kama waislam mnaweka heading za ajabuajabu muwe makini
Lakini tuseme ukweli salafi hawana kheri na uislamu, wameacha hata kusoma bismillahi Rrahmani Rraheem kwa sala, kato hawasomi moyoni wala kwa siri, wamefanya msikiti kuwa nyumba za ukimya na ubinafsi na wala hawataki dua kamwe.
Dua ni miongoni mwa vitu Allah anapenda sana na dua especially kwa sala na baada ya sala. Tuzingatie sana kuhusu dua za jamaa na tuzingatie sana umuhimu wa bismillahi kwa kusoma Qur'an aidha kwa sala ama qiraha. Bismillahi Rrahmani Rrahim ni neno sheitan yuaogopa sana na hakuna fatiha bila Bismillahi Rrahmani Rraheem.
Tubieni Enyi waja wa Allaah acheni ukhawaarij
Khawarij Yuko wapi hapa sasa😂
Kwani Ili watubie waje kukwambia wewe au we ndo mwenye daftari la watu wanotubia unaandika?
Hawa riyaztv wakajifunze dini Co kugombanisha mashekh mselem jee alimtaja mtuu waache ujinga hao
Allah atuongoze sote tuliotoa michangio tofaut
HIVI WALE WASIO KUWA WAISLAMU AMBAO WANAMINI MUNGU PAMOJA NA KULIPWA SIKU YA MWISHO NAO WATAINGIA PEPONI????
Alie kua c muislam haingii pepon ata amin kias gan mpaka akubal kuslim awe muislam na atende mema
hata mm najiuliz hili swali
Qur-an sura 40 aya ya 40 inaeleza vizuri ilo swali, lkn ndo mungu anajua zaidi
"3:85" Qur-an , Jipu lipo hapa
Pia Qur-an 43:67-70 inaeleza vizuri tu, M. Mungu anajua zaidi
Allah humma amin
Innaalillahi wa innaailayhi rajiun sikutegemea kabisa kama sheikh msellem angeweza kutoa tafseer dhaif kama hii na amefanya khiyana sababu hajasheheresha na wala hajasimamia tafseer yoyote ya mwana chuoni na watu wanashabikiatu hawa masheikh wanapoteza watu
Umeeonaaaeeee wacojuwa ss wanavoshabikiyaa
Mm mwenyewe cjaelewa maana mi najua makafir wte moton sasa ujira gn huo watapat mbele y mmola wao
Mmmm mbona shekh amefasir saf au hujamuewa sikiliza mpaka mwisho
Kama Ningekuwa Mwislamu Kabla Ya Ukristo, Basi Shekhe Pekee Ambaye Angenifanya Nibaki Kwenye Uislamu Ni Huyu, Vinginevyo Ningesharitadi.
Allah akfnyie wepes
Nadhani bachu amekuskia maana baleghe haijamuishia
Allah atuhifadh
Wewe ni zaidi ya dhahabu laiti watu wangejua thamani yako basi ungenunuliwa zaidi ya wacheza mpira lakini mpaka media za kidini siku hizi dili hawana mpaka ubunifu wa kazi
Mashallah umefafanua vzr shekh ila nashkuri kwakua sote ni waislam basi tusinyoosheane vdole hasa kwakueka picha zidi ya wengne maana lengo ni kufanikiwa siku ya mwsho
Al habib nakukubaki kwa elimu yako, asilimia miamoja. Hivi ndio wanatakiwa maulamaa wetu. Naonba uwaelimishe hao wasiojua kutowa elimi waache kuwakhofishe wasikilizaji. Nungu akuhifadhi
mashallah
ww
Anachozungumza Ni Talbisi.
Bado Hajarud ktk Kufuata Sunna.
Kama Mtume Alisema Yatatokea Makundi 73 Ktk huu uislam.Leo hii utalikataa vip hili na wakat ni Waaqii kabisaaa.
Kuna Mashia,Maibadhwi,Makadiyani,Masufi na Twariqa zao,Makhawaariji na Makundi yao,.....Halafu wakataa eti waislam hawana Makundi
Mwalimu akishatoa mtihani basi anaesahihisha ni mwalimu na sio m.fnz mwenyewe kujisahihishia .
In case you dont know
Hujamuelewa shekh
@@salamanyale2226 Ww umemuelewa haya twambie
Wewe mwenywe unacheka malumbano ni miongoni mwa wanawo chocheya malumbano muogope Allah unachokifanya kinafidhiwa na utaenda kulipwa
naomba namba ya sh mselem nataka nimuulize suali lang
Hili genge linalojiita Salafy ni wahuni watupu
Wewe je hahhaahaah
Ni kweli ndg yangu Uledi, wanaojiita salaf ni hovyo tu.