CHADEMA WALOCHOMA VITENGE VYA PICHA YA SAMIA WAKIPATA CHA MOTO | CCM WAINGILIA KATI VITA NZITO BALAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 91

  • @grasslugala9860
    @grasslugala9860 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    😂😂😂😂😂😂 yaan kitenge chenye picha tu mbona wengine tulishachana visepe vya watoto wetu muda mrefu sana

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Hata uchome hata ufanyaje mama ndo Rais had 2035. Note that ukibisha bas bisha tu

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Kuchoma tu, Kuna time vinafutiwa mavi kwenye picha watoto wakijisaidia 😂😂😂

    • @musa-v3f
      @musa-v3f 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      ni mali ya mtu unampangia nini afanyie?? wapuuzi hawa waje nyumbani kwangu kitenge cha Samia napigia deki

  • @etufaniakahemela5879
    @etufaniakahemela5879 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kemeeni na utekaji na mauaji mkiwa kama wszazi hongeleni sana

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Acheni unafiki kwani yy ni MUNGU? Nendeni huko kuwatafute wasojulikana wanauwa watu kila siku

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Zahanati ni mali ya watanzania siyo hela ya rais kutoka mfukoni kwani vitenge kwani walimuomba?au vitenge ni sehemu ya huduma za jamii?kujenga shule,vituo vya huduma za afya,miundombinu zote kama barabara kuajiri watumishi siyo hisani ya rais ni wajibu wa serikali yoyote duniani

  • @ErastoMsumary
    @ErastoMsumary 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    hapo Ni unafiki tu wananchi wengi wanalalamika kuhsu maswala ya afya kutokana na kutokwepo kwa madawa hospital na madawa mengine ni gali wanashindwa ku afford

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Walipewa zawadi wenyewe wameamua kuichoma na ilikuwa zawadi hawana shida nayo tena. Sasa kivipi washtakiwe hiyo ni sheria gani?ipi??? Ebu acheni uchawa rais keshachemsha nchi ishamshinda nyie mnampambapamba tuu kwa ujinga wenu kwani wananch sisi hatuoni?

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wamekosea sana kuchoma moto kitenge chenye picha ya mama,hawana tofauti na yule kijana wa mbeya nashauri wachukuliwe hatua kali hao bawacha ili iwe fundisho!

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      We mwenyew unaitwa kibwetere,,mbona uliwachoma waumini moto kanisani mpaka leo hujulikani ulipo manina weee

  • @PaulinaSarwat-y2s
    @PaulinaSarwat-y2s 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ccm Mnalilia kuchomwa Vitenge vyenye picha ya Raisi Samia Mbona Ccm hamlalamikii Utekaji na Mauaji yanayofanyika Tanzania.

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Machawa wa CCM mbona kibao ameuawa hamjasema? Wakina soka wamepotea mbona mmekaa kimya nyie?

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwanzo samia kwakweli alionesha nianjema ndiomaana bawacha wakamkaribisha na kumpongeza
    Lakini mama amelewa madaraka alikua kavaa ngoz ya kondoo kwahivyo kuna kila sababu kimkaribisha kwenye mkutano wa bawacha pia kuna kila sababu kuchoma sura yake mbaya

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Nyie ni wehu kweli muwavishe sura ya SAMIA?

  • @HildaKessy-yw7kh
    @HildaKessy-yw7kh 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mashetani wakubwa wewe unaelaani kuchomwa vitenge inaonekana hujawahi kuingia leba ukajua uchungu wa mtoto na bado Hadi tujue hatima ya vijana wetu

  • @SuolFat
    @SuolFat 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ccm mbona mlifanya sana hayo znz

  • @crisantisindani3830
    @crisantisindani3830 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yani wamechoma vitenge vya Picha ya rais alafu Bado wapo mtaani, kweli? Kuwapeleka Kwa pilato😢😮

  • @ramadhanikapona4317
    @ramadhanikapona4317 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Nimeamini kweli upinzani hauwezi kuiongoza hii nchi. Maana ishara ya kuchoma moto hivyo vitenge ni ukosefu wa hekima. Na utovu wa nidhamu.

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bro hekima ipi nidhamu ipi..?
      Kama mtakubaliana na mtu halafu asifanye makubaliano ww utamchekea au vipi....au utampigia makofi na kujikomba kwakwe
      Hao wamechoma wakidai hakuna hata Moja lililotekelezwa

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mpumbavu wew huyo raisi wako angekuwa na busara angechapisha picha za nembo ya chadema kwenye vitenge then angewapelekea ,,wew na raisi wako wote hamna fikra

    • @thanksrjhood9508
      @thanksrjhood9508 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      mbona stika kibao za kampeni na kura zinaharibiwa na cyo kesi, demokrasia, huwezi force watu waabudu mtu.
      hapo ni hard copy, na ukija soft copy na AI !

  • @Habarimpyamedia
    @Habarimpyamedia 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mdomo komaaaa..inchi ishaharibika hii..maana nlitaka nitoe bonge la neno

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Angalia mpumbavu huyo asiejielewa het samia hakujenga vituo vya Afvya pesa ya kodi ndio imejenga pesa Bila usimamizi Iinaweza kujenga wewe mpumbavu sana kumbe

  • @piusmaduka
    @piusmaduka 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nawaza tu, hivi hata kikiisha haipaswi vitupwe kwa vile tu vina picha ya rais? maana watu wasije kuingia kwenye 18 bila kujua

  • @KhamisSeif-t3d
    @KhamisSeif-t3d 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sijapata kuona watu wapumbavu kama Watanzania wamevurugwa akili na watawala wao

  • @MkudeSimba-p3f
    @MkudeSimba-p3f 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Watieni ndani!

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bado hamjatosheka na hao mliowake ndani

  • @MkudeSimba-p3f
    @MkudeSimba-p3f 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tena huyu mama Samia aheshimiwe kwa marefu na mapana! AmetangazaTanzania kimataifa na ameeleweka na anakubalika fedha za kigeni kibao !acheni chuki binafsi !

  • @MehmetMtonga
    @MehmetMtonga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wewe mama kama teuzi umekosa uyo ni RAIS wawatu wote miaka 2000

  • @AlfredAlfred-yd2mg
    @AlfredAlfred-yd2mg 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hakuna lolote penye mzoga ndio nzi wanajaa, kwanza wawalipe wastafu mafao yao eti kikokotoo!

  • @ImaculathaMasuka
    @ImaculathaMasuka 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hawa chadema hawajielewi. Wao wanaweza kulingana na Rais wa nchi? Sasa wakichoma kitenge wanampuguzia nini Rais? Wachovi hao. hawana lolote.

  • @isakwisamwamlenga
    @isakwisamwamlenga 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ccm nyie wasenge

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Chadema ni wakorof na wamekosea sana hata kama ulikuwa hutaki ungegawa wa watu wengine wapo wengine tuu hawana hata nguo mnachoma nguo mtashindwa kuwa mtu kweli hii sio sawa

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Akili we huna kama mlivyo wanaccm ,,kwa akili ya haraka haraka Iran anapigana na Israel afu Israel achukuwe dawa apeleke Iran anategemea nn ..nyie ccm ni manyumbu akili zenu fupi ndo mana hata mahakamani wanashelia wenu na selikali yenu inashindwaga kec

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umaskini kitu kibaya yasni huto tuvitemge mnaona bonge la dili jamani aibu sana hii

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uboleshaji uko wapi KADI za watoto ni sh 1000 dawa hakuna wajawazito tuna lipsa sh 40000 tunaenda na kalatas krapsi tunaenda mayo pea 5 Nye mtatwambia Nini

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sio mbaya wao wamechoma nyie mnalani je wko wapi Akina Soka kama Akina nyundo wamefungwa

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mliwapa vya nini wakati mkijua hawako upande wenu?

  • @alexmichael5850
    @alexmichael5850 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Muuze bandari zetu mtupe vitenge aseeee huo ni ujingaaqq

  • @eliashimwela5854
    @eliashimwela5854 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Busara itumike. Tuache kupoteza muda kujadili mambo yasiyo na tija. Tutsishia hata mtu akiuangalia/akikutazama yatazuka malalamikiano.
    Hivi mnaona mijadala hiyo itatupeleka pa,uri? Wataumia wasio na manufaiko ya hayo. Tutu u dhambi zetu tumuogope Mungu ili atupe hekima na busara.

  • @BeathaChambo
    @BeathaChambo 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mbona hamuongelei utekaji vitenge tu vinawaumiza roho

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu anaangalia maisha yake tumia wewe mwenyewe

  • @AdijaNjovu
    @AdijaNjovu 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Unatetea unyama endelea mwisho msaliti nae husalitiwa

  • @MehmetMtonga
    @MehmetMtonga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wakichoma kwani wame mpiga viboko

  • @marwamagere
    @marwamagere 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Zahanati hajenga samia suluhu zimejenga Kodi za wa Tanganyika acha ujinga we chatanda

    • @sofiakhan9706
      @sofiakhan9706 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwahiyo akijenga rais wa chadema pesa atatoa mfukoni mwambie basi anze na mkoa aliyekuwa mbunge ajenge zahanati kwa kutumia mfuko wake 😅😅😅😅😅

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ww unaongelea kuchoma hivo wangenepishia watoto

  • @nicolaskalunde
    @nicolaskalunde 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Umeongea vyema ila umepotoka hapa Je, Zahanati ni harambee ya chama Cha kijani au Kodi za wananchi? kwa point hiyo tu.
    inaonesha shuleni mnafuata vyeti ili muombee kazi nasio kuelimika acheni kuchukua Kodi ili wasije huko Zahanati. Mnawafundisha watu kuwa chawa yaani kusifiwa sifiwa2 lazma kukosolewa sometimes.
    Ndio maana Africa viongozi ni wafia madaraka. Is time to change attitudes.

    • @gweahshoo5120
      @gweahshoo5120 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bro sasa ulitaka mama atoe ela mfukon mwake akujengee kituo cha afya?wanaposema kajenga haimaanish katoa ela mfukon ni kwa kuwa vimejengwa chini ya utawala wake dats mins kodi zetu kazisimamia vyema..mbona Magu anasifiwa kwa kujenga flyover kwan katoa mfukon mwake?zote ni kodi zetu..

  • @HabibuSalumu-iv5wl
    @HabibuSalumu-iv5wl 32 นาทีที่ผ่านมา

    Kuchoma sio ustaarabu kwani hapo inawasaidia nini,aliwapa wangekuwa hawataki wangerudisha

  • @RonaldoJr-h1o
    @RonaldoJr-h1o 2 นาทีที่ผ่านมา

    Hayo madogo tukutane 2025, chama cha wauwaji na watekaji nyara raia watu wanatekwa na kuuwawa thn nyie mpo kimya bora walivyo choma nawapa hongera

  • @CharlesElias-zh5hz
    @CharlesElias-zh5hz 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mama sio bibilia au koloan hio. Acha wachime SI mliwapa asa shida nn wames

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwani kuna shida gani kama hawavitaki?

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Msituletee ujinga wenu apa nyie wauaji wakubwa! Polisi msiwe mafaka kutumwatumwa ovyo na kujipa laana za bure lindeni raia na mali zao acheni kujiingiza kutetea ccm tumechoka jamani hii nchi kwani vipi?!!!! Uonevu mtupu! Na rais ni mwanamke!?

  • @RobertBartazary
    @RobertBartazary 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu mama naye kaz haiwez

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 19 นาทีที่ผ่านมา

    Walikosea sn kuna w2 wanahitaji sn vitenge wao wanachoma aisee ila mm miaka5 mtajuta

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hao wote wanaowatetea wanawake wa Chadema waliochoma vitenge waliovyopewa na mheshimiwa Rais hao niwajinga na wehu .Hata kama walipewa na hakwaupewa niwahuni naniwasenge tu .Hawatumuweze mheshimiwa Rais kwa ujinga walionao na hawana hoja kabisa

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwa hiyo we ukienda kuoga unavaa kitenge au msuli ,? Mwanaume mzima unalilia kitenge shoga wew

    • @joshuahamis2738
      @joshuahamis2738 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe ndio mwehu kabisa

  • @EdiltrudesMbonde
    @EdiltrudesMbonde 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Shida ni nini?

  • @AmosRugaimukamu
    @AmosRugaimukamu 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Picha kitu gani ???

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sasa hela kwake mbona na wewe hujitambui

  • @AsaphAroko
    @AsaphAroko ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huwezi kutoa pongezi kwa mahakamani ni haki ya mahakama kutoa hukumu.

  • @RonaldoJr-h1o
    @RonaldoJr-h1o 6 นาทีที่ผ่านมา

    Samia mast go Bora vilivyo chomwa Moto havina umuhim wowote kwa watanzania nyie wauwaji watekaji nyara watanzania tumewachooooka saaaaana, mbwa nyie, kazi gani mzuri unayoisema ww mbwa Alie ifanya watu wanatekwa na kuuwawa thn yy yupo kimya, na kusema hizo ni drama Ila hayo madogo tukutane 2025,

  • @AllyUssein-z5l
    @AllyUssein-z5l 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Tunataka akizetu tumechoka 😢😢😢😂😂

    • @allythabiti8150
      @allythabiti8150 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Haki naww mwanaume

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    We mubibi em tuliza matako

  • @LeonardSanare
    @LeonardSanare 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nyie niwanafiki tu hakuna ilo mmesimamia ilo mbona mengine umsimamii

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hata wakichoma mama atabaki kuwa raisi wao hawana rais Mwingine na upumbavu wao

  • @MehmetMtonga
    @MehmetMtonga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mliwapa vyanini

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kumbe BAVICHA ni wajinga sasa. Hapo warudishe na maji waliopewa kumamamao. Ujinga mtupu.

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 47 นาทีที่ผ่านมา

    ACHA KELELE
    KAMA WEWE UMESHIBA WATU WANA NJAA WANA HASIRA
    NI MAAMUZI YAO SI ALISHAWAPA NI MALI YAO KWANI SHIDA NI NINI

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange 15 นาทีที่ผ่านมา

    Acheni uongo na propaganda,waacheni BAWACHA waendelee na program zao kichama kwani Hawashawishiki na wala Hawahongeki wana Misimamo.Msiwavuruge hawako pamoja nanyi .

  • @evelina9621
    @evelina9621 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ombeni.sana.dua.baraka.kwa.mola.wetu.kulambana.kuishe.kazi.moja.kulenga.uchaguzi.akili.ifanye.kazi.kimyakimya

  • @johnjulius3092
    @johnjulius3092 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Keeemeni utekaji picha inamaana gani

  • @JeremiaMpozi
    @JeremiaMpozi 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Nyie hao

  • @heavenkimambo1318
    @heavenkimambo1318 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Si vyso jamani mbona CCM mnajiona hii nchi ni yenu nakungoa bendera za wapinzani

  • @EmmanuelSeleman
    @EmmanuelSeleman ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanatakiwa wafungwe

  • @zakariawilliam-3816
    @zakariawilliam-3816 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Samia tunataka awondoke kwenye madaraka Tena haraka Sana

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    NI UPUNGUFU WA UFAHAMU KUCHOMA PICHA ISIO YAKO.

  • @phillipmasungwa7365
    @phillipmasungwa7365 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    NINYI NI MACHAWA WA SAMIA.

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Watu wameyachoka manguo yenu

  • @evelina9621
    @evelina9621 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kwann.raisi.awape.vitenge.vya.chama.chake.picha.yake.huo.ni.ushindani.siasa.atumia.kitu.ngingine.kama.wamenunua.kwapesa.zao.hasara.hakuna.mjardara.wanawake.mjitafakari.tumieni.mambo.kuokoa.nchi.tanxania.ccm.wanawake.mnasema.lugha.mbaya.mara.nyingi.mwe.mnanyama.kukosoana.kupungue.walilieni.wanaume.waopotea.na.tawambeleza.watoto.wenu.wanaume.wote.pazeni.sauti.ifike.juu.mbinguni.mungu.awasikie.tanzania.yote.iomboleze.misiki.makanisa.dini.zote.tuombe.tufunge.sua.kwa.molo.wetu

    • @muharamijuma1569
      @muharamijuma1569 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hao Waliochoma Vitengè ni Machangu wa Chadema WAPUUZŴE WAMESHIDWA SÌASA

    • @joshuahamis2738
      @joshuahamis2738 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wanapuuzwaje wakt viongozi wao hawajulikani walipo na viongozi wa ccm wamekaa kimya hv hamuoni hiyo ni dhambi kabisa

    • @piusmaduka
      @piusmaduka 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      nimeona manjongi njongi sijaelewa hata​@@joshuahamis2738