MAHAKAMA YATOA MWILI wa TAJIRI wa MADINI kwa MKEWE - WALIOTAKA KUSHIRIKIANA na DADA wa KAZI KUZIKA..
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- MAHAKAMA YATOA MWILI wa TAJIRI wa MADINI kwa MKEWE - WALIOTAKA KUSHIRIKIANA na DADA wa KAZI KUZIKA..
MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
Nmefrai kama namjua uyu dada,,,ndug wa mume wanashda sana,,Mungu atupe mwisho mwema tuloolewa ,, insha'Allah 🙏
Binafsi hata Mimi nimefurahi kwa hili mahakama mmefanya jambo jema ndugu wa mume baadhi wana roho ngumu sana hawajui nap IPO siku watakufa pengine wakaacha wajane na watoto
Tena ndugu wa mume wa kichaga ni mtihani kwelikweli wao ndio kila maraahakamani na hawashindagi kesi ila hawajifunzi
@@1stladyafrica402 😆😆😆wanaenda kuhudhuria na kuandka majina,,n ndugu Wa Mume wa kichaga kipengele,,kuna yule pia mmama mume wake alifark baada y kutoka kwa mwamposa,,pia ndugu wakaanza kumtenga kwenye kuweka mashada asitajwe nyiiie😭Mungu azd kutulinda wanawake wote wenye ndoa mume auma mno🥲
@@JoyceMwita-e3w inauma Sana shoga ang,,wao hawajal hata ayo maumivu y mke wallah😭
Yasinta ni mwanamke na nusu hongera na pole sanaaa ..Rehema utabaki kuwa dada wa kazi usiye na shukrani mbwa wewe
Wachaga wapuuzi sana na kila siku watapelekwa mahakani kwa kuwanyima haki wajane wa ndugu zao
@@1stladyafrica402Mkipokea mahari mjue mke anahaki na mume wake
Pole sana MKE wa MAREHAM, ila nawakumbusha na hata mimi pia, bila KUJALI DINI ZETU, kwamba hili ni somo kwetu soooote ..... Mungu amekataza ZINA , na ndio chanzo cha migogoro ndani ya ndoa zetu. Mchepuko anataka kutuaminisha kwamba UZINIFU wake na MAREHEMU, kuna chembechembe ya HAKI. Kama kuna kitabu kinadhihirisha hilo....... mnisamehe . ZINA NI HARAM
Safi saana😅 mke lazima aheshimiwe, sio Ndugu, rafiki hapana. 💪
alafu akae nao mbali kabisa.
@@josephineokama2200Atawezaje kukaa nao mbali?
Duu afazali tunashukuru vyombo husika yaani nakosa la kusema mungu Asante Poole mwanangu Lea familia .mungu akuongoze
Haleluyaaaa hakika wewe ni mungu usiyeshindwa pole na hongera yasinta hata mm yalinikuta 2016 na nilishinda na kumzika mume wangu hongera niliumia sana toka nilipokuona mtandaoni siku ya kwanza na nikakumbuka nilikopitia
Pole sana dada yangu,
pole Sana dada
Mwenyezi Mungu akutunze wewe ni mke mwema ulikuwa na upendo na mume wako
Hakika tunashukuru mahakama Kwa maamizi ya Halali mke wake kupewa haki ya kumzika mume wake 🙏
Hawa ndugu walipungukiwa na hekima na busara kwa sababu ya tamaa. Tunashukuru Mwenyezi Mungu kaingilia kati, haki imepatikana!
Asante Mungu.ndoa na iheshimiwe na watu wote
Na waseme AMINA
Amina kubwa🙏🙏
Rehema Bora ungekuwa mpole upate Chochote kwa ajili ya mwanao! Pole sana Yasinta!
Mhh... yaani Mwenyezi Mungu atusaidie sana wanawake wote .. tunapitia mengi sana kwenye maisha ya ndoa. Imagine your HG anatembea na mume na ndio anapika ... What do men really expect kwa familia kwa situation kama hii? Mke na watoto wanaweza hata kuuwawa.. mhh i leave this to God
hawezi kutembea na HG hivyo hivyo, jiangalie chanzo ni ww Wala house girl sio wa kumlaumu. atakuwa alishindwa kupata vya halali au vina masharti lukuki
@@piusmadukawee usiongee kwanguvu ....kwa kweli kuna wanaume wabaya hii dunia sijawahi ona kuna mwanaume anamuacha mke wake kisa kazaa hajapona uzazi bado mwanaume anapita na housegirl hapo chanzo ni mke ? Fikiria unachosema
@@piusmadukaumalaya ndo una wacost kaka...mumrudie Mungu...tamaaa ya dhambi ni umauti😮
@@josephinemkini948 ni kweli maana umalaya ni umalaya tuu wanaume wanatafuta pa kujifichia makosa yao badala kujirekebisha ....tabia mbaya ya mke haiwezi kukufanya uwe malaya kama hujaamua kua hivyo hiyo ni dhamira ya mtu binafsi kujikabidhi kuzimu kwa hiari yake
Umeniklumbusha kitu@@karibunyumbani3824
Pole sana mdogo wagu Asinta
Pole sana mpendwa Mungu akutie nguvu
Basi hapo watajifanya wanasusa na kumtenga,ila kwa sababu ya hela watasalitiana wenyewe kwa wenyewe😂😂. Kama nawaona Ndugu team A na B,sasa na ile michepuko itatulia ukute ilikua inatiwa kiburi na baadhi ya ndugu
na ndoilikua hivyo Yani ndugu wa mume bana halafu michepuko nayo Haina akili kabisa
Rehema uwe na hofu ya Mungu. Mke wa marehemu Mungu aendelee kukupa hekima na Mungu atasambaratisha hivyo vigenge.
Acheni Mungu aitwe Mungu kila jambo upangwa na .wenyez Mungu aijalishi unacho au huna
Mungu amejibu ❤ 👏
Safi sana mahakama kwa kutenda haki
Hii ndo haki Mungu ni mwema
Hongera sana Yasinta
Safi sana hakimu japo siwafahamu maana ya mke wa ndoa ni Nini?yeye ndiye atakaemnzika mumewe km walivyoapa kanisani mama atamnzika mume na mume atamnzika mke nyie ndugu inawahusu Nini nyie ni kushiriki kuhakikisha Kila kitu kinakaa sawa
Mwenyezimungu amesha chukua chake apo kazi bule
Pole dada Ayasinta. Jamani nawafahamu kupitia hoteli ya m.john. mirerani waimba Kwaya wa bwana hatima mkaowana.
Ndugu wa mume 🙌🏼🙌🏼
POLE SANA DADA YETU. WAJANE WANAONEWA SANA NA NDUGU WA KIUME. HAPO UTAONA WANASEMA MALI ZA MAREHEMU ZA KWAO. SERIKALI TULIANGALIE HILI. AKIFA MME MJANENA WATOTO WANANYANYASIKA SANA.
Safi sana asint
Safi sana data yangu
Mungu atalisimamia kila hatuwa
Hivi kumbe Kuna ck mahakama inatendaga haki? Duh huyo hakimu ni mcha mungu itakuwa maana ck hizi haki Iko mwenye pesa tuu kwenye nchi hii ya Tanzania masikini Hana haki nimeona mengi mno kwenye mahakama zetu
Hapo inaonekana mke halali anataka marehemu azikwe sehemu ambayo ngudu wakitaka kuuza washindwe kuuza coz kutakua na kaburi. Hilo ni moja AU. Mke hataki marehemu azikwe sehemu yenye potential Area coz marehemu akizikwa hapo yeye atashindwa kuuza.
UPANDE WA NDUGU SASA
AU ndugu wanataka azikwe sehemu yenye potantial area ili mke asiuze au wanataka azikwe sehemu ambayo haina soko coz hawana shida napo harafu sehemu ambayo wanashida nayo hawataki kuweka kaburi coz watashidwa kuuza ( potantial area ) . Sasa hapa waandishi ilibidi wajue mbali na marehemu Kusema akifa azikwe wapi. BEHIND THE SCENE. Kuna issue ya kimaslai. Hiyo ni Social Pyschology tu.
CONCLUSION
Nyumba zote au kiwanja venye makaburi ndani yake huwa haviuziki labda inunue serikali.
Pole sana dadaangu wala usiogope hao walev,wsikutishie kuhusu kaburi waliochimba iwe kisima cha maji hiyo sio kaburi maana haijawekwa wakfu na mchungaji au sheh pole sana mm jiran ,mazishi ni line kwani tuko mbali
Hata akiuza auze ni Mali ya mumewe na watoto haihusu mtu safi sana
Safi sana dada yangu😃😃😃😃
Mwenye haki ni mke asante I mahakama kwakufata haki
Ndugu wa MUME mara nyingi ni shida sana kwa jamii nyingi utafikiri Yasista hakuzaliwa. MUNGU TUSAIDIE
Waweza kuta ndugu ndio wamemwaisha ndugu wao kwa mola kwa manufaaa yao wenyewe ila sasa naona mambo yao yamekwama jitahidini kutafuta mali zenu wenyewe,mwacheni mke amzike mume wake,,
Acheni tamaa mke ndio mwenyehaki tamaa ya mali acheni mali zawatoto
Yani hawa ndg walijua hawa mahawara hawana nguvu ndo maana walisimama upande wao na mwili uzikwe nyumbani msiba ukiisha wangefukuzwa km mbwa na mali kurudi kwao. Lkn asante Mungu wa haki uliye mume wa wajane na bb wa yatima kwa kusimamia haki. Mungu azidi kumtia huyu mama moyo mana vita itaendelea tu
Ndoa na iheshimiwe
Naomba namba za huyu wakili, nimemkubali aiseee,,,,,,
Na mimi anisaidie kwenye jambo langu.
Nimefurahi
Kama ni haki itabaki haki chuki ya wenye Hila Haina nafasi mbele ya mungu
Apo saw mdogo wagu safi sana wakuesimu ao majiga walitaka warlike kweye ilo daga lake
Yani wanatak kumtia ndugu Yao motoni hiv hiv kumzika ndugu Yao kwa mzinifu
Sasa dada umeshinda kesi utamzika peke Yako ndugu wakikususia?ila Mimi sijui ningekua Mimi binafsi ni ndugu ningekuachia uzike
@@kamarhelo motoni ni motoni tu utaenda kwa matendo Yako uliyoyafanya hata uzikwe na watawa tupu mbinguni utavuna ulichokipanda
@@Yassinselemankwani ndugu WA mume wakisusa ndo mtu hazikwi?
@@anastaziamathias8861 hiali yenu sasa kuzika au kusafirisha
Nimefrah sana mke kupewa haki yake mke anahaki kabisa ya kumiliki Kila kitu Kwa mme wake ndugu punguzen tamaa za mali
Karibu Tanzania nchi ambayo ndugu wa mume wanamlinda Housegirl kuliko mke wa ndoa😢
Ni roho mbaya na za chuki tu.
Hiyo ni issue binafsi sio suala la Tanzania.😂😂😂
Maskini rehema jirani yangu😢
Wachaga wanapenda sana kuonea wake wa mareemu hasa wakijua ana mali
Siyo wachaga wote wewe!! Ni wale mambumbu.
Mweu sana kuzikwa ni kuzikwa tu
Wapole san
Ata kama ni haki kua na huso wa huzuni kua katika hali ya kuomboleza huo ni msiba tena wa mume wako,,
Li babaz napenda unakichwa chepes sana! Unatililika kama unasoma
WEWE WAKILI UNA BUSARA SANA UNAWATETEA WAJANE. NDUGU NI WABAYA SANA HUWA WANANYANG'ANYA MALI ZOTE WANAACHA WATOTO WANAHANGAIKA. SERIKALI LIANGALIENI HILI. WAJANE WENGI WANAHANGAISHWA SANA.
😢😢😢
Rehema tamaa zako zimekuponza😂bora ungemteka akununulie kiwanja aandike jina lako na akusimamishie mjengo na biashara
Amejengewa mjengo mkubwa tu ni jirani yangu
Bac alitakiwa kumheshimu mke mkubwa ili watoto wawe pamoja haya ni maisha tu
Ndugu wa mume acheni midomo ona sasa mlivyo jizalilisha
Mahakama imetenda haki
Nimefurah utafikir yasinta ni ndugu yangu
Hii ndio maana hata mali za marehemu zinapuputiga kama majani ya mti
Kwa iyo wanagombea maiti😢😢😢
Wanagombea hela sio Maiti
Arusha harar Sanaa Kwa ayo mambo
@@AminaLibisaNi mkoa upi ambao sio hatari kwa hayo mambo tuhamie huko?
Njoo kwetu Shinyanga my der
Hatari Kwa kweli wachaga oyeeeeeeeee 😀😀😀
Yani uyo dada wa ndani ningekuwa mimi ningemubomoa
Nihaki tu
Kinachogombewa sio mwili bali pesa alizoacha mwanaume .mtu anawqtoto wa5 mnawezaja kumtenga mkewe?😊
Afadhali
wakome
daaah
inakera sanaaa
Ndugu hamjifunzi tu. Kwa nini hamjatambui? Yaani kila siku mambo kama haya yanajitokeza mnafikiri Serikali imelala usingizi sheria msumeno. Sasa wewe beki 3 usie na aibu unajifaragua kwenye ndoa za watu kikowapi dunia tunapita na nyie mabeki 3 wengine muwe katika hili darasa.
Mnamsumbua marehemu. Mwacheni apumzike kwa amani
Nan alimdanganya mke wa pili achimbe kaburi wakat hana ndoa na marehemu 😮
Hapo Kuna ndugu mmoja mwenyew mpango mbaya na Mali za marehemu swali langu ni moja mapadre hua hawaziki MTU bila kujua ameowa au la Sasa hapo ilikuaje akaja kuzika bila kujua na mke na jee kaolewa au laa😂😂😂 hapa Sasa ndiyo ninapo zidi kuikataa hii dini taratibuu😂😂
@@deogratiusyudatadei5658 yuda askariot hakosekan 😂😂
Mabinti wa siku hizi hawana maadili kabisa
Safii
Mtu kafiwa lkn mnamuhangaishaa na kuutesa mwili wa ndugu yenu
Watu wanamaajabu kweli. Hawaoni hata aibu. Huyu mama ni mke halali wa ndoa. Isitoshe ana watoto 5 na mume wake. Ndugu hamuoni aibu. Huyu marehemu masaa yote yuko na mume wake usiku wanaongea mipango yao kama mke na mume. Watu acheni kuingilia familia za watu.
Ndugu wanataka mali hawana lolote wamuache mke afanye anavyotaka anajua yeye ataishije na watoto wake
Wahuni hao waroho wa mali wamwache mke halali amzike mumewe
Hivi hao ndugu wa marehemu inaonekana Wana shida kubwa Wana mfumo dume ck hizi hamna ndugu yenu si ana familia na mke wa ndoa wao ndo wanapanga siyo nyinyi ndugu walitakiwa kumsaidia tuu shemegi yao
Bora umewakunja mapema umewapunguzia nguvu ya kukusumbua kwenye mirathi
Kwer kabsq
Bora Wewe wakili unayetetea Haki ya kweli, kuliko yule WA dodoma anayetete uovu,kwanza inabidi achuguzwe yule hukute amesababisha wengi wasio na hatia, kupata hukumu
Hakuna wakili anaetetea uovu acheni mihemko
@@rumdeesonsoa1811kwahiyo yule wadodo alikua anatetea nini?
Haaaaa,safiiii
Wata msusia
Ndugu wa mume tusche ushetani. Km una mji fata yanayokuhusu kwako tuachie mawifi miji yao. Tabia mbaya na chafu sana. Kupanga ya kaka yenu wakati ni mtu mzima na alikua na mke na mji. Natamani wanaofanya haya wahukumiwe na wao watumikie na yale mashamba ya wafungwa wapelekwe wakalime
Safi sn mm
Ila amejikaxa sana
Hapo kazi bado hajamaliza maana ndugu watamuandama
Oweo au Owenya na wewe?
Awawezi kuja aibu yao
Kama mama anawengee mkishidwa mnapinduliwaa chaapiuuu leteni
Wachaga wenye mali x nyingi uoenda kuzikwa kwenye eneo lenye nyumba yake kali ya thamani hili isijeuzwa
Wadai hizo zahabu na Sim zake
Ingekuwa msiba wa fukara kusingekua na haya yote
Nawashauri ndugu wa marehemu km ni mali katafuteni zenu mmeleta aibu sana Kwa jamii mali ni familia ya marehemu tuu nyie hamuhusiki
Mke kafiwa lakini nyuso hinaoneka hana hata majonzi , kwavile kuna pesa angekuwa masikini usingesikia yote hayo
Hongera mwana mama Ila vaaa kilemba ww. Ni mfiwa , jaman
Ndugu wa mume huwa wanakichaa au hivi hawajui mke ni mali ya mume na mume nimali ya mke
Wanavisebengo sana
Wanajua sana Yana mfumo dume shida yao ni pesa hawajui kingine Wala hawajui Sheria mali zote ni za mke na mali za mke ni za mume mpo?
Apo sw
Mke ni rafiki tu kwahyo swala la kuzika mwili wa marehem ni la ndugu na sio mke mke asubili mirathi na sio Kung'ang'ania mwili ambao hauna faida nao. Na anaebisha avae uhalisia wa mtoto wake kafariki alafu mke wake anataka amzike na anakoswa heshima mbele ya ndugu zake na marehem inauma sana na haipendezi
Ukioa au kuolewa mnatoka kwenye familia za wazazi wenu na mnaanza familia yenu kwahiyo wewe na rafiki yako mnazaaga. Rafiki ni rafiki na mke ni mke ai mume ni mume
Achaufala ww ndo nyie mnaoingilia familia za ndugu zake
Mke.amehitaji mme.wake axikwe.sehemu aliyohitaji wakati wa uwahi wake
Achana nae hawa ndo walewale wasiyo juwa dhamani ya Mke wala Mume Hata ndowa zao nyingi husimamiwa na ndugu zao
Mako yako
Hv yule aliesem mjane amezaa nje ya ndoa Yuko wap njoo uku
Wanaume tujifunze kuweka mambo yetu sawa mapema kabla ya kifo ili kuondoa hizi sintofahamu ambazo hazina ulazima.
Pili nakupongeza yasinta mke wa marehemu kwa kutambua haki zako.
Ungelegea hapa mwanzoni tu imeenda
Kabisa bila kuweka mambo sawa ni shida sana
Mke nae sio wa kumuamini sana maana ata yeye anaweza kukuondoa
@@rumdeesonsoa1811Ukweli wanaujua wenyewe marehemu na huyo mke halali!
Sie wengine tunyamaze kimya,
Huyo jamaa pia kuzaa na Binti wa kazi uwezi kujua alioitia changamoto Gani mpaka kufikia hiyo hatua!
Pengine mke wa ndoa alijisahau Sana Kwa kujiona yeye ndiye wa halali na kuanza kuleta vitimbi Sasa mwamba akaona isiwe tabu!
Nanyi wake wa ndoa muwe mnatambua nafasi zenu Kwa waume zenu na siyo kumkabidhi Binti wa kazi hata kupeleka maji ya mumeo kuoga. Ukiruhusu hayo yote kubaki na kuruhusu huyo Binti ahudumie na mengine kama tendo la ndoa😢
Ata kama ni haki kua na huso wa huzuni kua katika hali ya kuomboleza huo ni msiba tena wa mume wako,,
Ww unamuona ana furaha hapa?