ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Innalillahi Wainna ilayhi rajiun,Rabbi amghufiliye pale alipoteleza,awafariji familia yake hususan mke/wtt wake pia pole kwa wanaYanga + wapenda michezo wote Tz.Baki Allah,kazi yk Mola haina makosa,Buriani Yussuf Manji.
Ila kuna namna ya watawala kuchangia maradhi ya manji, RIP BAbu ramadhani wa kariako.
Mungu ampe pumziko jema
R.I.P.Marehemu.Poleni Wafiwa.
Wite dunian tunapita innalilah wainna ilah rajiuni
Poleni wafiwa
hii ndio dunia unaishi miaka 49 wasifu unasomwa dk 1.
Poleni sana
Life is spiritual
Alikua na miaka 49Hadi anafariki.bado alikua kijana
R.I.P MANJI
Rest in Eternal Peace
Safari njema! Msalimie JPM.
Waswahili bwana mnapenda kebehi kama wewe hutokufa
@@FahadAbubakari si ametangulia.
Amefariki akiwa mdogo daa ☹️☹️☹️
Sn miak 49
Duuu Bado Mdogo jamani 75? Mungu turehemu jamani
Kwwli jmn mika 49 tu
Muulize Mungu@@nishaabdula5015
Ingefika Oct 14 2024 ndo anafikisha umri 49 kwa hiyo kwa sasa anamiaka 48
Watanzania huwa hawalijui hilo. Mwaka ukianza mpya anajiongezea mwaka
@@priscajube4239 nimegundua hilo pia LOL
Misukosuko.
Juzi chalamila alimtaja kariakoo ,akasema tulifukuza wafanya biashara kama manji sembuse nyie
Yaani unamtaja mtu anakufa ni dhambi iliyoje.huyo RC hana hekima
Huna akili ww, kuna uhusiano gani baina ya kifo cha manji na maneno ya RC chalamila@@gililwise
Innalillahi Wainna ilayhi rajiun,Rabbi amghufiliye pale alipoteleza,awafariji familia yake hususan mke/wtt wake pia pole kwa wanaYanga + wapenda michezo wote Tz.
Baki Allah,kazi yk Mola haina makosa,Buriani Yussuf Manji.