Allah awalipe kheri madaktari wamoi huo ndio utendaji wakazi rais wetu samia suruhu hasani kiupande wangu naomba uwapandishe vyeo hao madaktari wamejituma sana hawa kujali pesa wamejali utu asante ni sana
Alafu utakuta mjinga mmoja anasema Tanzania masikini hebu oneni mgonjwa kaokotwa katibiwa hadi kapona hakuna hata alidaiwa bill Mungu azidi kuwalinda wauguzi wetu na serekali iwajali🤲🙏🙏
@@aminamoody5865 Sawa italipwa tu hâta ukoo utachanga bora wameokoa maisha yake ni jambo lakuwashukuru nchi zingine unaachwa hapo ndugu apatikane uanze matibabu
Hakika Mungu ni mkuu, Moi Mungu azidi kuwalinda kuanzia uogoozi, madaktari na wauguzi wote.. Hosiptali nyngn angekutana na wenye roho mbaya, wangemtelekeza!!..kuna hosipitali wahudumu utafikiri watoa roho na sio matabibu!!
Hilo tukio niswa na tukio la juz la ile familia wanaodai ndugu yao kufufuka hali inakuaga ivo wanandugu huchukua miili isiyo yao hospital na kwenda kuzka bila kuchunguza miili kumbe ndg yao yupo hai
me bado najiuliza huyo jamaa aliempa boda aendeshe baada ya mwenzie kupata ajali hakufanya taratibu hata za kutafuta watu wake wakaribu wajue ndugu yao kapata ajali yani inashangaza sana
Yupo sawa dogo hata kumbukumbu zipo sawa sana Navyoona hapo alipo pewa pikipiki alienda mbali kdg hata alipo pata ajali alie mpa hakuna hakujua kaenda wapi,
Pole sana, ila bado akili haiko sawa, ukisikiliza kwa makini hasa kipengele cha kuomba boda kwa mteja uendeshe half wakati huo, mteja unamwacha kazini kwako....
millard ayo huyu jamaa kama nimemkumbuka hivii kwa mbalii alipataga ajali pale rafia bagamoyo road muda wa saa kumi na mbili jioni. Nilimsaidia sana kumchomoa kwenye pkpk iliyomlalia na kumpa huduma ya kwanza alikuwa anatoka damu puani na mkono ulichunika sana adi ngozi nyeupe ilitoka pia walikuwa wamepakizana wawili.kama siyo yeye basi nitakuwa nimemfananisha maana stori yake kama inafanana na yule niliyemsaidia mm. pia alivyoumia kwenye mkono na kichwani ni kama yule nilomsaidia maana alikuwa ameumia vilevile kama yeye alivyoumia
@@rehemamajaliwa inawezekanai amepoteza kumbukumbu ,yaani jinsi alivyoumia mkono na sura yake ni yeye kabisa 100%✓ maana mm ndio nilikuwa wakwanza kumsaidia mpaka niliwapigia na ndugu zake kupitia simu yake na pia nduguzake walikuwa huko Kanda ya ziwa anyways labda story imefanana ila ninauhakika ni yeye na ajali alipata mbeze beach rafia hebu muulizeni vzr
Hii Dunia😭😭pole sana kaka Mungu akupe maisha marefu
Asante Mungu kwa Rogate Pia hongereni Moi kwa ubinadamu mliouonyesha Mungu atawalipa
Mungu akuzidishie umri mrefu pia pole sana tunakuombea upate kupona haraka sana
Mungu awabariki wauguzi wote mliokuwa name kipindi chote hicho
Hongera san hospital ya MOI kutibia mtu pasipo kujali fedha
Mungu wabariki madaktari uliomtibia ndugu yetu
Kiukweri umli wake Bado mungu anamtaka Aishi mana hata hapo hospital asinge hudumiwa bila ndugu Wala pesa ashukuliwe mungu
Dar Pole sana mwangu mimi mpaka leo najua haupo ila baada ya kunitumia hii interview ndo nmeamin upo Mungu ni mwema.asee nafurahi
Pole Sana mdogo Mungu awe faraja kwako. Mbarikiwe madaktari wote mlimtibia.
Pole sana kaka,Mwenyezi Mungu mkubwa,Alhamdulillah!
Mungu ni mwema hongereni sana moi
Asante yesu mm ni mmja wa walioenda msbn, nilivopat taarf hz nimefurah kwel
🥺🥺
Kiukweli nipende kushukuru uongozi wa iyo hospital ubinadamu kwanza
Pole Sana kijana. Wakati mwingine ndugu tuwe na subira. Tusikurupuke. Mungu akutunze uwe na maisha marefu. Amina
Shida hakuna vipimo vya ziada vinavyofanyika kama DNA kujua uhalisia wa mtu kama ndie au la...
Wenzetu hawaziki mpk wapime kujua ndie au sio
Mbona vipo ndg tu walikuwa wazembe @@pendosailo1989
vipimo vipo Ila ndugu hawakupata sintofahamu hata wakapima na inasemekana alipoteza mwezi mzima lazma washikwe na kiwewe @@pendosailo1989
Mungu mkubwa 🙏 insh'allah uwe na maisha marefu!
Mungu ni mwema Sana pole Sana kaka
Daaa pole sana Brother Mungu akupe maisha marefu
Ndo haya ya arusha wanasema mtu kafufuka dah pole sana
😢
😮😮
Kabisa wale walizika mtu sio wao
Moi hongera sana nimewapend I seeee❤
Pole Sana na hongera
Allah awalipe kheri madaktari wamoi huo ndio utendaji wakazi rais wetu samia suruhu hasani kiupande wangu naomba uwapandishe vyeo hao madaktari wamejituma sana hawa kujali pesa wamejali utu asante ni sana
Pole sana I seee jamaaaa
Pole sana wakwetu kumbe tunatoka mkoa mmoja pole sana mdogo wangu
Pole sana kijana Mungu azidi kukulinda🙏
Mungu nimkubwa
Alafu utakuta mjinga mmoja anasema Tanzania masikini hebu oneni mgonjwa kaokotwa katibiwa hadi kapona hakuna hata alidaiwa bill Mungu azidi kuwalinda wauguzi wetu na serekali iwajali🤲🙏🙏
Wakipatikana ndugu wanalipa bills
@@aminamoody5865 Sawa italipwa tu hâta ukoo utachanga bora wameokoa maisha yake ni jambo lakuwashukuru nchi zingine unaachwa hapo ndugu apatikane uanze matibabu
@@aminamoody5865ndio wakati maisha wameshaokoa❤
@@aminamoody5865kabisa
Pole sana kaka imekuaje usikumbuke ajali au ni uchawi wa kutupiwa
Itakuwa aliumia kichwa kwahy kukumbuka inakuwa ngumu
@@janethmdachi5334 itakuwa
Hakika Mungu ni mkuu,
Moi Mungu azidi kuwalinda kuanzia uogoozi, madaktari na wauguzi wote..
Hosiptali nyngn angekutana na wenye roho mbaya, wangemtelekeza!!..kuna hosipitali wahudumu utafikiri watoa roho na sio matabibu!!
Mungu akulinde mwanangu
Amebahtika kua na nugu wanao weza kumtafuta, vipi kwa wasio na mahusiano mazuri na ndugu zao?
Allah atubariki zaidi.
Ndio watashangaa amefufuk
Tatizo ni hilo la umakini tu,..alafu baadae ungesikia mtu kafufuka.....poleni sana ndugu
Nikweli usemacho
Hilo tukio niswa na tukio la juz la ile familia wanaodai ndugu yao kufufuka hali inakuaga ivo wanandugu huchukua miili isiyo yao hospital na kwenda kuzka bila kuchunguza miili kumbe ndg yao yupo hai
Subhannallah pole sana 😢😢
Pole kipenz MUNGU akutunze❤
Huyu Kijana bado ni mgonjwa Kwani hata anavyoongea anaonekana anatumia NGUVU kubwa. Mwenyezi Mungu ni Mkubwa. Aendelee kumponya azidi kuimarika.
Hyo ndio yale ya Arusha yule kaka wamezika mait sio yao
Asee pole sanaa lkn kwann mnamuhoji huyu bado kichwa hakija kaa sawa jamn
yan sijui wapoje
Hao marafiki zake wa kazini wana maroho mabaya tuu kwanini wasitoe ushirikiano kwa mdugu na jamaa zake
Allah ashukuriwe
me bado najiuliza huyo jamaa aliempa boda aendeshe baada ya mwenzie kupata ajali hakufanya taratibu hata za kutafuta watu wake wakaribu wajue ndugu yao kapata ajali yani inashangaza sana
Pole.kijana wngu
Yupo sawa dogo hata kumbukumbu zipo sawa sana
Navyoona hapo alipo pewa pikipiki alienda mbali kdg hata alipo pata ajali alie mpa hakuna hakujua kaenda wapi,
Hao watu walio kua nae kwny biashar pia hawan utuuu
Wanatakiwa wachunguzwe..
Duh pole sana aisee khaa
Jaman nimefurahia kwa kweli.. alikuwa anatibiwa bila Kulipia jaman..this is so beutful.. hivyo bili hatalipa?
Atalipaa
Pole sana ndugu
Watu wa Dar tumefikiwa tumezoea Arusha haya mambo😂😂😂
Poleni san lkn huyu jamaa akili hazijaludi
Sasa angewezaje kujielezea🤔🤔
Eeeeh bado akili hazijarudi sawasawa ukisikiliza vzur majibu yake
Kwakweli hayuko sawa, maana anavyojieleza ni hakika akili haiko ok
Hivi unaweza acha mteja halafu unaomba boda yake uendeshe tuu
Daaaah mwanangu Rogati Polee sanaa😢😢
Mungu mkubwa
Pole Sana kaka
Hakika mgonjwa kazinduka,lakini hajapona!Asiruhusiwe hospitali hadi waakikishe kapona na akili kwani bado yupo na maluweluwe!
Amna kitu ww😂
Sahihi yani ukiangalia kwa jicho la 3 utaona hayuko sawa kabisaaa
Amina
Allah awe pamoja n wauguz
Polee sana kaka
Duuuh Yan hospital ya taifa inafanya hayo duuuh
Yan hata cjui niseme nn ila pole dah😭😭😭😭
Pole sana
Duh hadi nimetokwa na machozi
Pole Sana mwsnangu
Sherehe yakutokufa
Kweli uchawi upo
Dah pole sana
Daaah yani Tanzania bado watu wanagaiwa mwili bila DNA kisha ndo munakuja na story za uongo mtu kafufuka. Eti watu bado miiili Mpaka umtambue dah.
Hata fahamu bado.
yaaah kama una mtazamo wa ndani zaidi utaona bado hayupo sawa
yaaah kama una mtazamo wa ndani zaidi utaona bado hayupo sawa
Kweli na shingo haiwezi halafu mzuri mashallah
Isije ikawa mwamba kafufuka😂😂
Akipatikana huyo jamaa mwenye pikipiki hii story itaweza ku balance.
Otherwise mtu anaweza ku generate maswali mengi nayakawa ya msingi
Kwakweli, maana huyo boda sana akili yake haiko okay
Ni kweli ishi ni kwamba kijana akili haijakaa sawa na kumbukumbuku hazijakaa sawa
Pole sana, ila bado akili haiko sawa, ukisikiliza kwa makini hasa kipengele cha kuomba boda kwa mteja uendeshe half wakati huo, mteja unamwacha kazini kwako....
😂😂
Kabisa yani hayuko sawa kabisaaaa
Huyu jamaa bado kabisa, hayuko sawa na hata nahisi anayeongea kama vo yeye vile!
Ni kweli hajakaa sawa
Dah wangejua wangepima DNA kama walikua wana wasiwasi na mtu mwenyewe 😢
Tatizo hela ya kupima hiyo ni dna na proceas zake
Maisha na kifo ni siri kubwa sana😢
Pole
Huyu bado hajakaa sawa😢
Ni kwel akili bado haijarudi sawasawa
Atakuwa sawa tu polepole.🙏
millard ayo huyu jamaa kama nimemkumbuka hivii kwa mbalii alipataga ajali pale rafia bagamoyo road muda wa saa kumi na mbili jioni. Nilimsaidia sana kumchomoa kwenye pkpk iliyomlalia na kumpa huduma ya kwanza alikuwa anatoka damu puani na mkono ulichunika sana adi ngozi nyeupe ilitoka pia walikuwa wamepakizana wawili.kama siyo yeye basi nitakuwa nimemfananisha maana stori yake kama inafanana na yule niliyemsaidia mm. pia alivyoumia kwenye mkono na kichwani ni kama yule nilomsaidia maana alikuwa ameumia vilevile kama yeye alivyoumia
Ila yeye hakupata ajali saa kumi na mbili kwa maelezo yake,anasema alifunga kaz saa tano usiku akaomba pikipik ila yaliyojir baada ya hapo hajui
Mimi machoz niliokuwa nayo kawaida yangu naomba tu ili muwe mnaniomnea dua niweze pandisha iman yangu sabab maana sikuweza mwachwa mtu
@@bernadetamodest6170akili ake haijakaa sawa amepoteza kumbukumbu...kikawaida mteja hawezi kuka na boda wake kununua chips halafu muuzaji amuache mteja ampe muuza chips boda apige misele....nadhan akili haijakaa sawa amepoteza kumbukumbu...yule dereva bodaboda akipatikana anaweza elezea mkasa...
Sidhani kama ni huyu maana huyu alipata ajali maeneo ya kimara/mbez ndo mana akapelekwa bochi ....
@@rehemamajaliwa inawezekanai amepoteza kumbukumbu ,yaani jinsi alivyoumia mkono na sura yake ni yeye kabisa 100%✓ maana mm ndio nilikuwa wakwanza kumsaidia mpaka niliwapigia na ndugu zake kupitia simu yake na pia nduguzake walikuwa huko Kanda ya ziwa anyways labda story imefanana ila ninauhakika ni yeye na ajali alipata mbeze beach rafia hebu muulizeni vzr
Apo mnanichanganya jaman au walitaka kumtoa kafala jaman ?
Kwe
Swali langu Uyo aliyemiazima bodaboda yy akujua?
Swali zuri na la msingi mwandishi hajauliza ni vema amtafute wenye pikipiki hapo hapaeleweki.
Kalijibu kasema yule mtu aliempa boda anamjua ni bodaboda wa pale kijiwenii
Alizinduka Kwa mda gani?
Mwili umechomwa moto... Ina maana wewe sio mzuri kwenye familia yenu
Kumbe huko hai!!
Duuuuuuuu😮
mtangazaji nawewe upo kama mgonjwa
Mhuuu
Intro inakuwa ndefu mno ndg mwandishi okoa MB zetu.
Huyo mgonjwa hana fahamu uzur kwahyo akimkatisha atampoteza kabisaaaa
Story ina utata, why you don’t want to go back pale kijiweni? They know the story
Akili yake haiko sawa bado....anahitaji utulivuu sio rahisi ameaffectika kisaikolojia
Daa Dunia hiii hatali kweli
Waandishi hamna busara. Huyo mgonjwa kichwa hakiko sawa.
Ni kwel kichwa bado hakikosawa
Sasa... hospital zina kaz gan kupima vina saba7mbkq wat wazike mt ambae sio wao? Wat wanapima mbka mifupaa ya mika 70 sasa inakuwaj apo
ukute ndugu wenyewe ndo walitaka kuchukua sababu ilikua maiti ya muda mrefu
Uondio ubinadamu ongeleni madocta
DNA ikashindikana kupimwa au
😪😪😪😪🙏🙏🙏🙏🎎
Kwani Tanzania hakunaga DNA test Kwa maiti zisizotambulika??!!!! Hii ni masikitiko.
Kwahyo mwenye boda2 akutafuta boda yake??
Hajui kitu
@@rehemamajaliwaEe Mungu Uturuhurumie
Ndugu walitakiwa kupima DNA ule mwili pmja na mzazi
Vp alie mpa pikipik alikua nae au
Hakumbukiii.....bado hayuko sawa
Kijana bado kidogo hayupo sawa
Pole sana kaka,Mwenyezi Mungu mkubwa,Alhamdulillah!
Pole sana