Fahamu matibabu ya ugonjwa wa 'nyama za pua': (MEDI COUNTER - AZAM TV)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • Katika kipindi hiki, ukwanza utaifahamu kwa kina pua ya binadamu ikoje, imeundwaje na ina nini. Utafahamu chanzo, dalili na matibabu ya tatizo la ugonjwa wa nyama za pua.
    Ni kipindi cha Medi Counter kinachoruka kupitia Azam TWO kila Jumatatu saa 1 usiku.
    Hapa utakutana na Dkt. Emmanuel Ole Lengine ambaye ni daktari bingwa magonjwa ya masikio, na pua

ความคิดเห็น • 101

  • @lilianingowi1192
    @lilianingowi1192 4 ปีที่แล้ว +9

    Doctor habari Mimi mwanangu anasumbuliwa na Hilo tatizo/ushauri..naomba kuweza kupata Tiba yake,umri wake Ni miaka 5

  • @Annha-lt7hh
    @Annha-lt7hh 3 หลายเดือนก่อน

    asante dokter mwanangu anahilo tatizo pua moja anamiaka3 je hiyo dawa ya supamaket itamsaidia

  • @yohanamabula7088
    @yohanamabula7088 3 ปีที่แล้ว +7

    Doctor maelezo mengi sana tena ya kitaalam zaid toa ushauri au dawa maana unakula MB ambazo ni gharama pengine hata msaada usiwepo

  • @nahimanajoyce3055
    @nahimanajoyce3055 7 หลายเดือนก่อน

    Tatizo uyo doctor maneno mengi sana

  • @haroubrashid-lc8xc
    @haroubrashid-lc8xc ปีที่แล้ว +1

    Hospitali ekenywa magomeni muembe chai

  • @haimisiamigo8639
    @haimisiamigo8639 4 ปีที่แล้ว +4

    mimi ninae kaka yangu anatatizo pua yake haipati harufu yoyote hapati harufu ya chakula wa harufu ya kinyesi

  • @AlbetEdward
    @AlbetEdward 2 หลายเดือนก่อน

    Docta naomba namba yako

  • @barakaamanimaloda8936
    @barakaamanimaloda8936 3 ปีที่แล้ว +5

    Nitumie namba zako na mwanangu anatatizo kazaliwa nalo pua zake zimeziba ana pumulia mdomoni

  • @haimisiamigo8639
    @haimisiamigo8639 4 ปีที่แล้ว +2

    kwan doctor anaweza kwenda kununuwa dawa au MTU lazima ande sipitali?

  • @mamuuj9187
    @mamuuj9187 3 ปีที่แล้ว

    Kipnd kizur
    Naomba mtutaftie dr ataezungunzia pia mafundofindo la watoto na athar zake na tiba zake

  • @semeninassoro1133
    @semeninassoro1133 4 ปีที่แล้ว

    Namba zenu

  • @beatkalizabongonahippoprnb5362
    @beatkalizabongonahippoprnb5362 3 ปีที่แล้ว +1

    Dr mimi nimuanga wa hilo tatizo

  • @JoyceSingano-zn5wd
    @JoyceSingano-zn5wd ปีที่แล้ว

    Naomba namba zako doctar mjukuu wangu anateseka natatizo hilo

  • @salimmnzava1883
    @salimmnzava1883 11 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji no za doctor

  • @siahkisombe6170
    @siahkisombe6170 2 ปีที่แล้ว +2

    Hllw ninaomba namba za doctor ninasumbuliwa sana nahizo nyama jmn

  • @amoizyofficial8672
    @amoizyofficial8672 4 ปีที่แล้ว +2

    Naombeni namba ya Doctor me muhanga wa hili tatizo

  • @sashatom9463
    @sashatom9463 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Mimi ndio natesek nahuo ugonjwa Mimi mpaka nahisi akili yangu inamafua natakakua mwehu mmh

    • @muna1744
      @muna1744 ปีที่แล้ว

      Vp na unabanwa na mafua?

  • @salimmnzava1883
    @salimmnzava1883 11 หลายเดือนก่อน

    Naombeni namba za doct

  • @saumhassan8019
    @saumhassan8019 ปีที่แล้ว

    Naomba namba nataka kuja ufanya matibabu ya pua

  • @allyasia3662
    @allyasia3662 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba yako doctor hapa nilipo naumwa hata pumzi cna

  • @bahatimwambagi1035
    @bahatimwambagi1035 2 ปีที่แล้ว

    Jamani dokta namba zasim tafhali mimi ninavijinyama pia kichwa kinaniuma sana mafua yananibana sana

  • @EmmanuelAlberto-f3g
    @EmmanuelAlberto-f3g 10 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba.namba

  • @EmmanuelAlberto-f3g
    @EmmanuelAlberto-f3g 10 หลายเดือนก่อน

    Unapatikana wapi.dogt

  • @martinmbaga2268
    @martinmbaga2268 3 ปีที่แล้ว +1

    Dr hospital ipo wapi

  • @salimmnzava1883
    @salimmnzava1883 11 หลายเดือนก่อน

    Garama za kutoa nyama puani

  • @bahatimwambagi9144
    @bahatimwambagi9144 ปีที่แล้ว

    Jamani matibabu shingap mi nateseka sana

  • @husnankuluvi1975
    @husnankuluvi1975 4 ปีที่แล้ว +2

    Naomba kujua gharama za matibabu ya nyama za pua

  • @ramadhanshaban6873
    @ramadhanshaban6873 5 ปีที่แล้ว +1

    Doctor anapatikana wap Nina hilo tatzo

  • @aminamassa7507
    @aminamassa7507 2 ปีที่แล้ว

    Uk wp

  • @anamagabilo6753
    @anamagabilo6753 6 ปีที่แล้ว

    Ningeomba namba zenu kwa maelezo zaidi

  • @AminaAbdala-f2s
    @AminaAbdala-f2s ปีที่แล้ว

    Habar doctor mimi mtoto wangu Akilala usiku Anakoroma sasa cjui tatizo nini 8:37

    • @MimahHassaQ-jc8qw
      @MimahHassaQ-jc8qw 10 หลายเดือนก่อน

      Yan mm ndo ktu chanitesa kuhus mtt wang

    • @reginageorge8257
      @reginageorge8257 2 หลายเดือนก่อน

      Ninyama za pua ata wangu ivo akapimwa akakutwa nazo

  • @lovelyelioth4608
    @lovelyelioth4608 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako doctor

  • @sianyange9321
    @sianyange9321 3 ปีที่แล้ว +1

    Jaman mm mwanangu anamiez nane,afu pua moja inahizo nyama zapua ntafanyaje

    • @shammytv1719
      @shammytv1719 3 ปีที่แล้ว +1

      Duh mpeleke hospital ..pole sana. Watakuambia tu wamtoe maan bado mdg mno

  • @lovelyelioth4608
    @lovelyelioth4608 2 ปีที่แล้ว

    Mm pia doctor Nina shida hiyo sihisi harufu yoyote na nitatozo la mda mrfeu naweza kupona na pia chanzo ni sikio Hadi Leo sija pona

  • @saidahajj4436
    @saidahajj4436 2 ปีที่แล้ว

    Hospital ipo wapi na inaitwaje

    • @adirianajacob7173
      @adirianajacob7173 ปีที่แล้ว

      Jamani hawa watu hawasemi hospitali wala hawatoi namba ukiwapata nijulishe

  • @tatujafari9033
    @tatujafari9033 ปีที่แล้ว

    Je tatizo hili linaweza kurudi tena hata baada ya mgonjwa kufanyiwa oparesheni mara mbili?

  • @healthylifestyle9092
    @healthylifestyle9092 6 ปีที่แล้ว +1

    tunaomba jina la hospital na mawasiliano na daktari

    • @suleimanmuhammed1347
      @suleimanmuhammed1347 2 ปีที่แล้ว

      Mashallah hi spitali na madokta wake huduma zao nzuri sana sema ni bei lakini ndio matibabu .

    • @HadijaRajabu-pr9di
      @HadijaRajabu-pr9di 7 หลายเดือนก่อน

      😢bei gani?.​@@suleimanmuhammed1347

  • @geraldkihango3631
    @geraldkihango3631 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba Mimi ni mhanga

    • @Vincentmbuya
      @Vincentmbuya 4 ปีที่แล้ว +3

      mi si daktari kwa taaluma ila hili tatizo ninadawa yake, tuwasiliane naweza kukusaidia ila iwe ushapata vipimo ikabainika tatizo ni hilo

    • @kaimumonero2877
      @kaimumonero2877 4 ปีที่แล้ว

      Ndio

    • @beatkalizabongonahippoprnb5362
      @beatkalizabongonahippoprnb5362 3 ปีที่แล้ว

      Ulifanikiwa

    • @beatricembuya6403
      @beatricembuya6403 3 ปีที่แล้ว +1

      @@Vincentmbuya naomba hiyo dawa ya sinners Vicent mimi na watoto wangu wote tuna hii kitu.

    • @asifiwekitunga4655
      @asifiwekitunga4655 2 ปีที่แล้ว

      @@Vincentmbuya naiomba no yako

  • @malangunda7365
    @malangunda7365 5 ปีที่แล้ว

    Iyo hospital ipo wap kiukwel ilo tatizo linanisumbua

    • @jacklinemazigo4647
      @jacklinemazigo4647 5 ปีที่แล้ว

      Malan Gunda me pia nina hilo tatizo nashindwa kupumua vzuri

    • @fakijuma7735
      @fakijuma7735 4 ปีที่แล้ว

      Ipo magomeni

    • @cuteniluu6612
      @cuteniluu6612 2 ปีที่แล้ว

      @@fakijuma7735 hospital gan!?

    • @asifiwekitunga4655
      @asifiwekitunga4655 2 ปีที่แล้ว

      Mwanangu ana mwezi na nusu ngoja nimshughulikie

  • @onolinaludasi4206
    @onolinaludasi4206 5 ปีที่แล้ว

    Ekenywa Hospital iko wapi

  • @EmmanuelAlberto-f3g
    @EmmanuelAlberto-f3g 10 หลายเดือนก่อน

    Nitumie.namba

  • @alaynaathmn6142
    @alaynaathmn6142 4 ปีที่แล้ว

    Doctor dawa ni kama zipi

  • @amileyissa9684
    @amileyissa9684 6 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba ya doctor nina mwanangu anaugonjwa huo

    • @kentjosse786
      @kentjosse786 6 ปีที่แล้ว

      naomba mawasiliano nipate tiba

    • @neemajoel9280
      @neemajoel9280 5 ปีที่แล้ว

      Nenda wapo magomeni

    • @Vincentmbuya
      @Vincentmbuya 4 ปีที่แล้ว

      @@kentjosse786 dawa za asili zipo na tatizo halijirudi ka upasuaji, karibu. note mi si daktari kwa taaluma ila dawa zipo, karibu

    • @margretdionese493
      @margretdionese493 4 ปีที่แล้ว +1

      @@Vincentmbuya nipe namba yako please

    • @sikujuaramadhan8006
      @sikujuaramadhan8006 3 ปีที่แล้ว +2

      Naomba namba zenu

  • @jacklinemazigo4647
    @jacklinemazigo4647 6 ปีที่แล้ว

    Doctor naomba msaada wa dawa nitumie nn nina nyama za pua zinanisumbua mpaka masikio yanaziba

    • @shamimmchome9245
      @shamimmchome9245 5 ปีที่แล้ว +1

      Tumia mlonge utaniambia baada ya mwez ukienda kupima hamna kitu

    • @natepam4486
      @natepam4486 5 ปีที่แล้ว

      Shamim Mchome unatumiaje huo mlonge? Msaada tafadhali

    • @zuweinaally1347
      @zuweinaally1347 5 ปีที่แล้ว

      @@shamimmchome9245 unatumia vipi

    • @jacklinemazigo4647
      @jacklinemazigo4647 5 ปีที่แล้ว

      Shamim Mchome jamani natumiaje mlonge mpenz

    • @marysamki7369
      @marysamki7369 5 ปีที่แล้ว

      naomba naomba yako doctor

  • @malangunda7365
    @malangunda7365 5 ปีที่แล้ว +1

    Hospitali unapatikana wap jibuni

    • @neemajoel9280
      @neemajoel9280 5 ปีที่แล้ว

      Malan Gunda magomeni kwa shekh yahya ukifika hapo uliza utaelekezwa

    • @neemajoel9280
      @neemajoel9280 5 ปีที่แล้ว

      Malan Gunda magomeni

    • @stephenisuja3943
      @stephenisuja3943 4 ปีที่แล้ว

      Ok

  • @royalkiss5502
    @royalkiss5502 4 ปีที่แล้ว

    Namba zunu mmesahau kututajia