John Heche aongea yote kuhusu kutishiwa usalama wake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 128

  • @transmadale
    @transmadale 6 ปีที่แล้ว +1

    Ukuta wa Mungu ukuzunguke,na wote wanaotaka kufanya mabaya juu yako,yawarudie wao na watoto wao katika jina LA YESU Ameen

  • @jastinmsera9557
    @jastinmsera9557 6 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akuepushie zengwe lolote juu yako

  • @cassianmkeko1514
    @cassianmkeko1514 6 ปีที่แล้ว +1

    mungu atakuongoza Mhe Heche ww ni mpgania haki ktk nchi yetu

  • @emanuelissaya1079
    @emanuelissaya1079 6 ปีที่แล้ว +13

    ukitaka kuwajua watu wasiojulikana gusia 1.5trillion,gusia 26April maandamano, ukitaka kuwajua wasiojulikana Gusia bombardier, Gusia e-passport,gusia suala la demokrasia,kinachopandwa leo ni kidogo, ila impact yake ni kubwa sana, kuzuia demokrasia ni jambo dogo matokeo yake ni makubwa sasa ni jambo lakuamua tuende vipi,only time will tell

  • @merryn4891
    @merryn4891 6 ปีที่แล้ว +1

    Pole baba mwenyezi mungu akuepushie na hao makafiri wasoofia mola wao wanao jitia wao mawe ila kila binadam ataonja mauti mwenyez mungu yu nawe

  • @malikisombi980
    @malikisombi980 4 ปีที่แล้ว

    Pole mheshimiwa mungu yuko na wewe

  • @km-bu3jm
    @km-bu3jm 6 ปีที่แล้ว +3

    when someone claims his life is to be on spotlight it is a serious issue. I think the police should take action, let's not forget, lissu also said the same thing but people ignored him

  • @mlocozdaud5341
    @mlocozdaud5341 4 ปีที่แล้ว

    Mwamini Mungu Mweshimiwa Heche Yote Utayashinda

  • @rosemwakubali334
    @rosemwakubali334 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde

  • @margarethsaramaki1100
    @margarethsaramaki1100 5 ปีที่แล้ว +2

    Ufunikwe kwa damu ya Yesu.mabalaa yawapate wenye nia mbaya nawe.

  • @mashaurikilawa1185
    @mashaurikilawa1185 6 ปีที่แล้ว +1

    duuuhh hii ni hatari,,kama ni kweli unahusika iachie sheria iamue lakini kama hauusiki MUNGU yu upande wako,Mungu akiwa upande wako hakuna litakaro potea kwako Bali wafanyavyo vile itawarudia viongozi sisi sote ni watanzania jamani,mungu atusaidie

  • @jumakitipui1281
    @jumakitipui1281 6 ปีที่แล้ว

    Furaha ilioje kwa mema yako mkuu mungu aendelee kukupa ujasiri na nguvu

  • @faustinmushi6451
    @faustinmushi6451 6 ปีที่แล้ว +3

    Having hakuna sheria inayotupa mamlaka kushitaki kwenye mahakama za haki za binadamu kesi binafsi.
    Ndio kwasababu, Ndani ya nchi tunamaahaka na serikari yetu kwa sasa. Kwasababu wanatuambia ukitishiwa ukalipoti police. Na wakati huohuo same share gene a kesi ya jinai, na mala tu uapojitokeza wanakukamata unakaa ndani kwa kesi ya kusingiziwa yaani uchochezi.
    Inashangaza sana.
    Ukwili halisi ni kwamba nchi hii inapoteza sifa na muda mchache tutakuwa kama Somali.
    Ngoja tuone.
    Haiwezekani mtu(Mh.John Heche) anaeheshimiwa na wananchi wengi, avunjiwe heshima na serikari.
    Haiwezekani.

  • @kilulamofi4948
    @kilulamofi4948 ปีที่แล้ว

    Sema baba wewe unafaha mungu Atakulinda hawatowezakukuuwa

  • @allan4real775
    @allan4real775 6 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe mnapenda Tv mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu 6 ปีที่แล้ว

      ngoja atekwe babaako, utalia huku ukiongea maneno alosema dadaake marehem Akwilina

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 6 ปีที่แล้ว

    mzee magu kachemka sana anashindwaje kukemee mambo km hya jaman akiwa kama mkuu wakaya wapimzani tusiwanyanyase

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 6 ปีที่แล้ว

    Nyie ambao mnachukulia kiwepesi wepesi haya mambo sawa lakini ifike mahali tukubali kuna upepo ambao sio mzuri sana unavuma ambao km juhudi za makusudi hazitachukuliwa na kuuacha ugeuke kimbunga basi mimi naona tunapotea na amini usiamini lakini huenda watoto wetu kama sio wajukuu wetu ndio watakaoathirika zaidi, kuna watu wanakejeli wanatukana sawa lakini tujaribu kufikiri mbele zaidi, Na wakati mwingine lazima tujiulize km wazazi wetu huko nyuma Na baadhi yetu tumeishi bila kuyashuhudia haya mambo lakini sasa tunayashuhudia haya, je watoto wetu Na wajukuu wetu wataona nini maana aliyesema polepole ndio mwendo alikuwa na maana sana.
    Mnaokejeli Na kutukana sawa yote ni mitazamo lakini lazima ifike mahali tufikirie Na kuyatafakari kwa kina haya yanayojiri kwa sasa tudumishe amani Na udugu badala ya kutengeneza blocks huyu ni wa upande fulani basi ni adui hapana. Mimi yangu ni hayo tuu mi huwa situkani kwasababu sioni haja ya kufanya hivyo zaidi ni kujidharirisha coz humu tupo watu wazima ambao wakati mwingine fursa tunapeana humuhumu kwenye mitandao ya kijamii Na wakati mwingine kwa mtu ambae hata humfahamu Na hungetarajia.

  • @skitusebastian6533
    @skitusebastian6533 5 ปีที่แล้ว

    Watanzania tupendane sote tu wamoja tumuogope mungu,

  • @yohanakebacho3990
    @yohanakebacho3990 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akusimamie kiongozi wangu

  • @mpelienock
    @mpelienock 6 ปีที่แล้ว +1

    John Heche una akili na ni Mbunge unayewajibika na jimbo lako na ni Mbunge unaejitahidi kutetea watanzania wengi ni Mbunge ambaye elimu yako imekua faida kwa wengi, Hapa bado sana wenye akili wachache watakuelewa lakini fahamu ambazo hazijapevuka watapinga sana, tunahitaji kusema na kuombea taifa hili watu wafunguliwe fahamu zao.
    Njama zote zishindwe Mungu azipishilie mbali kabisa. We send it back to the sender in the name of Jesus.

  • @lembesajackson9351
    @lembesajackson9351 6 ปีที่แล้ว +2

    Mungu yupo atapambana nao

    • @saidfullcreemndabi5765
      @saidfullcreemndabi5765 6 ปีที่แล้ว

      Mmezidi

    • @henryndosi8569
      @henryndosi8569 6 ปีที่แล้ว

      Huna lolote hizo ni bangi za tarime
      hizo ,wewe ni muhalifu sugu

    • @henryndosi8569
      @henryndosi8569 6 ปีที่แล้ว

      Huo utetezi utaenda kujitetea mahakamani kama ulimwagia mtu
      tindikali ujue kesi ya jinai haifi

  • @HassanMasoud-tb8uh
    @HassanMasoud-tb8uh ปีที่แล้ว

    Uyu heche anafaa ata kua raisi tukie sehem tuitengeneze Tanzania yetu jamani

  • @elenajosephu7763
    @elenajosephu7763 6 ปีที่แล้ว

    Sio proper mzee haya ni maisha hv wewe ukitishiwa maisha utafanyeje ukiwa kama kiongoz mkuu, endelea kuamini kama nipropaganda ila juwa maisha yajao yanaweza kufurahisha au kuhuzunisha, muhulumiae anaejiulumia, mfute machozi anaelia utafanikiwa maishani

  • @jkokech8956
    @jkokech8956 4 ปีที่แล้ว

    Damu ya Yesu Kristo ikuzingile kuanzia Utosi kutoka unyayo

  • @lutakiiza4671
    @lutakiiza4671 ปีที่แล้ว

    Nitapataji namba yauyu mtu

  • @mpelienock
    @mpelienock 6 ปีที่แล้ว +1

    Songa mbele Kaka hakuna asiyejua kua wewe ni Mbunge resourceful na mwenye hoja za msingi zinazofaa kuikosoa serikali ikikosea.

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 6 ปีที่แล้ว

    Watanzania tunaelekea wpi jamni mungu atunusuru

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 6 ปีที่แล้ว

    Mtu Akikutioshia Maisha The Best Way Ni Kumyanyua Yeye! Serikali Inahusika na Uhuni, Basi Na haki na Usalama Wetu Utapatikana kwa Uhuni 100 Times Over!

  • @wrghkjdghklljg3819
    @wrghkjdghklljg3819 6 ปีที่แล้ว

    hivi kwa nn tazania imekuwa ya kesenge zamani haijakuwa hivi tena wabunge walikuwa wanaheshimiwa sasa hivi naona kama watu wakawaida tu mungu awasaidie tu

  • @jacobmwalusamba4478
    @jacobmwalusamba4478 6 ปีที่แล้ว +2

    Umeisha ueleza umma katoe taarifa polisi

  • @rhodalifa5368
    @rhodalifa5368 6 ปีที่แล้ว

    Mungu asimame cjui tunaelekea wapi !!

  • @chassesinamba3561
    @chassesinamba3561 6 ปีที่แล้ว +2

    siasa za jpm tumeshazistukia atakama kweli tunajua uongo wake wake wa kihutu naubashite tu unaowasumbua kupoteza amani tz ataware mudawote tumemjua jpm

  • @lucasgasper5235
    @lucasgasper5235 5 ปีที่แล้ว +1

    WATANZANIA SIO WAJINGA TUNAONA

  • @avax5717
    @avax5717 6 ปีที่แล้ว

    Hovyoo, kwan lazima muongee

  • @edisonntumo2569
    @edisonntumo2569 6 ปีที่แล้ว +3

    Anayetaka kukudhuru hakuambii Heche, acheni kutuweka katika mazingira yenu. Mmezidi kulalamika. Woga ni dhambi imeandikwa kwenye Biblia. Acheni hizo, nendeni majimboni kwenu.

    • @ndelemwalonde2145
      @ndelemwalonde2145 6 ปีที่แล้ว

      Edison Ntumo Lisu ilikuwa ndugu

    • @iniestamaduka8624
      @iniestamaduka8624 6 ปีที่แล้ว

      kwani lissu ilikuwaje. sialisema hvyo hvyo mkadharau

    • @TheOne-fi6cs
      @TheOne-fi6cs 6 ปีที่แล้ว

      +Iniesta Maduka Alisema wapi... maana taarifa zilitoka kuwa yeye alikua akiwaambia wanachama wenzake km anafuatiliwa but haiuwahi kutoa taarifa polisi... nan anaweza kumtishia MTU na aoaendelea kumwacha awe huru km huyu anaeongea tyu hapo, hiyo ji kampeni isiyo na maana... Wanataka kutuletea propaganda nyingine za ajabu...

  • @amanunika8133
    @amanunika8133 6 ปีที่แล้ว +1

    Songa mbele tu hata yesu aliteseka aliuawa kwakusema ukweli hh nchi yetu sote cyo yahawa nyoka wakijana

  • @tanzania2559
    @tanzania2559 6 ปีที่แล้ว

    Wewe nani mpaka utishiwe?

  • @jumadea7957
    @jumadea7957 6 ปีที่แล้ว +1

    njoni kwenye majimbo yenu mfanye kazi. kiki hatutaki watu tunashida nyingi

  • @siddyoneonlinesi5433
    @siddyoneonlinesi5433 6 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nitawAkagulieni magari yenu kila siku

  • @mashimbazephania3511
    @mashimbazephania3511 6 ปีที่แล้ว +5

    ivi nyie mmeishiwa sela stard za miguu ni uzembe wa driver, eti unatishiwa maisha we unamapya yapi tz mpinzani wa kweli ni zito kabwe wengine mazwazwa2

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu 6 ปีที่แล้ว

      ngoja atekwe babaako, utalia huku ukiongea maneno alosema dadaake marehem Akwilina

    • @lucasgasper5235
      @lucasgasper5235 5 ปีที่แล้ว

      Wewe ndio zwazwa unazani kuna mtu utambadilisha rudi shule

  • @kuchiafricancinema
    @kuchiafricancinema 6 ปีที่แล้ว +1

    Wenye mamlaka na nchi yao hawataki kuguswaa AF ata mkisema bado haina maana kikubwaa watanzania tusipende kudharau mambo lazma tupaze sauti wanachi kwa pmj

  • @elipokeandosy3945
    @elipokeandosy3945 6 ปีที่แล้ว

    uko vizur kamanda wetu wa nchi

    • @tundulisunimchawihuyuryan8613
      @tundulisunimchawihuyuryan8613 6 ปีที่แล้ว

      Elipokea Ndosy pole kamanda mungu yupo mbele yako wala usiogope

    • @husseinkulumbiza8894
      @husseinkulumbiza8894 6 ปีที่แล้ว

      Akuna kitu nisichopenda ,kila siku viongozi wetu kugombana!,maendeleo yatapatikanaje kama viongozi tuliowachaguwa kutuletea maendeleo Wao kila siku chuki! Naomba tumtangulize Mungu kwa kila jambo,Natupendane sote kama watanzania,Mungu Atusimamie tuwe na Roho za Upendo kwa kila mmoja wetu,Aamin.

  • @skitusebastian6533
    @skitusebastian6533 5 ปีที่แล้ว

    Basis wavifute vyama vya wapinzani kuliko haya yanayoendea

  • @davoo2555
    @davoo2555 6 ปีที่แล้ว

    Wasifananishe Tanzania na Rwanda Nchi ambayo ni kama Mkoa mmoja tu wa hapa Tz. Tanzania upinzani hautakwisha wala wapinzani hawataisha sababu tunaupenda upinzani.

  • @ibrahimchacha3707
    @ibrahimchacha3707 6 ปีที่แล้ว +2

    acheni ushamba na nyie anazungumuza ukweli

  • @ayubumwita5438
    @ayubumwita5438 6 ปีที่แล้ว

    Wanaokuonea watajikwaa wala hawatashinda usiwaogope hawa miungu watu maana kila MTU atakufa.

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 6 ปีที่แล้ว

    lakini lakini mkumbuke nyie mnayefanyia watu uovu huu kusingizia watu na nyie mtayapata tu kwa familia zenu" heche mungu atakutetea tu na watskao fanya hivyo wataona

  • @sigorijoseph4977
    @sigorijoseph4977 6 ปีที่แล้ว

    Kila anaenyanyuka anatishiwa sasa hii imezidi

  • @edwardmakonge3371
    @edwardmakonge3371 4 ปีที่แล้ว

    hecheee mh!!!!!!mbona unapenda sifa nani akutishie wewe nani una nguvu gani??

  • @Kathren-ed7xb
    @Kathren-ed7xb 6 ปีที่แล้ว +8

    Tushachoka na hizo movie zenu nendeni kwenye majimbo yenu mkafanye kzi tangu mwezi wa pili hukuongea leo unaongea ili iweje
    tunatala amani siyo kiki zenu

    • @kabhikachambala3392
      @kabhikachambala3392 6 ปีที่แล้ว

      Kathren 2016 . Ni muhimu kusema jambo hili. Kw usalama wake.

    • @TheOne-fi6cs
      @TheOne-fi6cs 6 ปีที่แล้ว

      😜😜😜

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu 6 ปีที่แล้ว

      ngoja atekwe babaako, utalia huku ukiongea maneno alosema dadaake marehem Akwilina

  • @kenethmufuruki4363
    @kenethmufuruki4363 6 ปีที่แล้ว

    SASA KAMA WANAJULIKANA SI UKAWAFUNGULIE MASHITAKA......ACHENI KUTAFUTA HEADLINES

  • @bestbahati3009
    @bestbahati3009 6 ปีที่แล้ว +3

    Siku hizi mnakimbilia media tu.

    • @TheOne-fi6cs
      @TheOne-fi6cs 6 ปีที่แล้ว

      Hapo chacha

    • @mohamedsultan4019
      @mohamedsultan4019 6 ปีที่แล้ว

      Best Bahati waende kwa bashite

    • @amanimallya2451
      @amanimallya2451 5 ปีที่แล้ว

      nasoma na mdada anaitwa bahat kama ww ni pimb chuo kizima hana akili kama ww

  • @lessonwizzy7972
    @lessonwizzy7972 6 ปีที่แล้ว +2

    Hama nchi we we they must lost you

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu 6 ปีที่แล้ว

      ngoja atekwe babaako, utalia huku ukiongea maneno alosema dadaake marehem Akwilina

    • @amanimallya2451
      @amanimallya2451 5 ปีที่แล้ว

      yan hujui ata ulichokiandka yan umeandka sjui kilugha yan msiosoma weng n ccm hapo ndo napomshukuru mungu mama ww sizan hata kama la saba ulimalza sio kwa broken hizo zlzovunja rekod et hama nchi we we they lost you😂😂😂😂😂😂 andika hiv "hama nchi they will loose you" matako ww wa ccm

  • @emanuel1990ism
    @emanuel1990ism 6 ปีที่แล้ว +2

    hhehehehe,,iz story zenu bwana daah

  • @christmasmachele5589
    @christmasmachele5589 6 ปีที่แล้ว

    Ushuzi tu hakuna lolote njoo kwenye maandamano kesho tukuchezeshe kiduku

  • @shepherdizotarimo8227
    @shepherdizotarimo8227 6 ปีที่แล้ว

    Huku kutishana siku Tukitekenyana tutaheshimiana

  • @habibumallanga6392
    @habibumallanga6392 5 ปีที่แล้ว

    Kama uyo msiba mfungeni maana ana mdomo mm cjui ata chama gan

  • @ibrahimally6455
    @ibrahimally6455 6 ปีที่แล้ว +2

    Hahahhaahahahhaha😂😂😂😂😂😂 daaaahhh

  • @shabbymakapane3212
    @shabbymakapane3212 6 ปีที่แล้ว

    Acha Unafiki nyie Ndio Mnaochafua Amani ya Nchi yetu na kutengeneza Chuki Baina ya wa Tanzania MNA Sahau kua Siasa Sio vita au Chuki.Chuki na Uhasama Mnazitingeneza nyinyi Msisahau Tunawasikia Kauli zenu kila wakati kwenye mikutano yenu.

  • @ibrahimnaftar330
    @ibrahimnaftar330 5 ปีที่แล้ว

    We nikichwa mjomba nakukubal

  • @elminakalunga4030
    @elminakalunga4030 6 ปีที่แล้ว

    Maandamano vipi waheshimiwa? Hata maandalizi hamna!

  • @tanzania2559
    @tanzania2559 6 ปีที่แล้ว

    Mbona hujatuambia ufisadi uliotokea chadema, h😂😂😂😂😂

  • @saidpolenikwamsbakinidi6232
    @saidpolenikwamsbakinidi6232 6 ปีที่แล้ว

    Msiogope endeleen kufichua ufisad walitwambia ufisad umeisha lkn ndio ivo tirioni zishapigwa tnzagiza hhhh

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 6 ปีที่แล้ว

    Wapinzani wabongo shida tupu sasa unatueleza sisi tukusaidieje? Kama umeshindwa kukoma basi komaa kelele zanini sasa.

  • @mpelienock
    @mpelienock 6 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa Mungu atakulinda fanya kazi na uendelee kutoa hoja zako za kuijenga serikali bora wenye akili wanakuelewa.

  • @tronline6959
    @tronline6959 6 ปีที่แล้ว +3

    Huna lolote acha kutafuta kick za kijinga, pigania wana Tarime waliokutuma uwaletee maendeleo.. Watanzania wanazidi kuwachoka na hizo drama zenu

    • @eliafredrick532
      @eliafredrick532 6 ปีที่แล้ว

      Zakayo Chacha Wangwe acha upumbavu mtoto wa shujaa uliesaliti ukawa mbweha muokota mifupa
      Mjinga sana wewe,unataka urahisi wa maisha na chakula?

    • @fredrickryoba2452
      @fredrickryoba2452 6 ปีที่แล้ว

      mbona ww yalikushinda shame on you

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu 6 ปีที่แล้ว

      ngoja atekwe babaako, utalia huku ukiongea maneno alosema dadaake marehem Akwilina

    • @perfectbarschapter7051
      @perfectbarschapter7051 6 ปีที่แล้ว

      mdogo wake kachomwa kisu na police unasemaje?

  • @patricknassania9728
    @patricknassania9728 6 ปีที่แล้ว +3

    Kiki hizi longo longo tuh hakuna jipya

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 6 ปีที่แล้ว

    katishiwa na red brigade siyo mtu mwingine

  • @wrghkjdghklljg3819
    @wrghkjdghklljg3819 6 ปีที่แล้ว

    hatutaki ndenge kuma ww

  • @yaletbweye5565
    @yaletbweye5565 4 ปีที่แล้ว

    Acha ushamba wewe,maneno yako hayana madhara

  • @solomonitv7808
    @solomonitv7808 6 ปีที่แล้ว +12

    Hakuna awezae kutishia maisha yako acha propaganda endelea kututumikia maana tumekuchagua ili utuwakilishe vyema usilete propaganda.....Yesu alisema kuwa aliye tayari kuyapoteza maisha yake kwa ajili ya watu wake Mungu atayalinda....Acha kelele piga kazi

    • @aggraypeter.5008
      @aggraypeter.5008 6 ปีที่แล้ว +2

      Solomoni TV Anasema Anachokiona Usimbishie Hata Wanamtishia Kifo ndo kinaua

    • @solomonitv7808
      @solomonitv7808 6 ปีที่แล้ว

      Aggray Peter......Mh anaonge anatengeneza. Ajenda.....Nchi yetu haiwezi kuendelea kwa Kutengeneza matukio na kuyasovu... ukimsikiliza kwa makini zaidi utajua nini anawaza Mh...ndio maana ni kasema arudi jimboni kwake.

    • @sigorijoseph4977
      @sigorijoseph4977 6 ปีที่แล้ว

      Solomoni TV sasa nini kinashikana kuuliwa sasa mmevaa ngozi ya alimasi

    • @shaibsaleh2651
      @shaibsaleh2651 6 ปีที่แล้ว

      ACHA usenge ww

    • @sharoondanny718
      @sharoondanny718 6 ปีที่แล้ว

      Solomoni TV
      We unajielewa ww

  • @amenyekibona8730
    @amenyekibona8730 6 ปีที่แล้ว +4

    umeripoti police station au unaongea na vyombo vya habari tuu,

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu 6 ปีที่แล้ว

      ngoja atekwe babaako, utalia huku ukiongea maneno alosema dadaake marehem Akwilina

  • @sifunijonathan7854
    @sifunijonathan7854 6 ปีที่แล้ว

    kelele bhana

  • @mohammedsalim6398
    @mohammedsalim6398 6 ปีที่แล้ว

    Nyie hamumuami MUNGU mini? Kila anaesema kitu mitandaoni au bungeni? Mchana wake tu mnaanza nimetishiwa maisha. Kila mpinzani? Mara zito Mara lema Mara Esta? Jamani msituletee Hizo tabia halafu heche kuna Mkurya WA kupotezwa? Propaganda zenu tu

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 6 ปีที่แล้ว +3

    Wew Kiki waachie kina hamorapa acha pres zakijinga

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu 6 ปีที่แล้ว

      ngoja atekwe babaako, utalia huku ukiongea maneno alosema dadaake marehem Akwilina

    • @kijanamatata7135
      @kijanamatata7135 6 ปีที่แล้ว

      Larick Mtui kuma la mamako

    • @larickmtui2852
      @larickmtui2852 6 ปีที่แล้ว

      Kijana Matata wewe ni shoga kama baba yako ndio maana ulizaliwa nje ya Ndoa mama yako alikua Malaya anajiuza uwanja wa fisi

    • @kijanamatata7135
      @kijanamatata7135 6 ปีที่แล้ว

      Larick Mtui asifiae mvua imemnyeshea, huwez ongelea kitu ambacho hujawahi kukiona ktk familia yako, nafikiri bila shaka familia yako iko hivyo

    • @larickmtui2852
      @larickmtui2852 6 ปีที่แล้ว

      Kijana Matata haya ni mawazo yako

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 6 ปีที่แล้ว +5

    Tumewachoka yani kilasiku kilamtu anasema anataka kutekwa 😂😂😂 juzi juzi meya wa dms leo ww nawengineo

    • @mohamedsultan4019
      @mohamedsultan4019 6 ปีที่แล้ว

      bradock shomary shodri kwani uwongo

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu 6 ปีที่แล้ว +1

      ngoja atekwe babaako, utalia huku ukiongea maneno alosema dadaake marehem Akwilina

    • @TheBlkk100mk
      @TheBlkk100mk 6 ปีที่แล้ว

      MDOGO WA JOHN HECHE AUAWA NA POLISI.
      Hali si shwari katika Mji wa Sirari wilayani Tarime jimbo la Tarime Vijijini ambapo mdogo wa Mbunge wa Tarime, John Heche, aitwaye CHACHA HECHE SUGUTA, ameuawa akiwa chini ya Ulinzi wa Polisi na ana jeraha la kuchomwa kisu. .
      .
      .
      Ndugu wa marehemu wanasema wakati alipokamatwa na Polisi alikuwa mzima kabisa. Muda huu mabomu ya machozi na risasi vinafurumushwa kuwafukuza wananchi kutoka kituoni.
      .
      .
      Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara, RPC Mwibambe amekiri Askari wake kuhusika na mauaji hayo ya kijana huyo aliyezaliwa mwaka 1989. Chacha Suguta ni mdogo(upande wa Baba mdogo) wa Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche(CHADEMA)
      .
      .
      John Heche anasema kuwa kijana huyo alikamatwa na Askari wa Jeshi la Polisi usiku wa jana akiwa Baa akiwa mzima kabisa. .
      .
      Heche amesisitiza kuwa baada ya kufariki, Askari wa Polisi walitaka kuutupa mwili wake lakini ilishindikana kwa sababu eneo walilotegemea kuutupa kulikuwa na Mlinzi aliyewafukuza, ndipo walipoamua kuupeleka mwili wake kwenye chumba cha kuhifadhia maiti (Mortuary) ya Tarime.
      .
      .
      #Mtatiro J

    • @shahidhassan5293
      @shahidhassan5293 4 ปีที่แล้ว

      Akili yak finyu

  • @lameckbalekele2901
    @lameckbalekele2901 6 ปีที่แล้ว

    Acha asila ya kijinga

  • @tanzania2559
    @tanzania2559 6 ปีที่แล้ว

    Mbona hujatuambia ufisadi uliotokea chadema, h😂😂😂😂😂