"Tusinunue Ndege Kama Tunanunua Machungwa" - JOHN HECHE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 148

  • @nelsonmwaipaja3727
    @nelsonmwaipaja3727 ปีที่แล้ว +3

    Heshima kwa mama na baba mliotuletea jembe hili john Heche

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 6 ปีที่แล้ว +12

    Global TV online
    Asante sana Kwa kutuletea Habari mbali mbali zinazojili Bungeni

  • @malingazeboss9351
    @malingazeboss9351 4 ปีที่แล้ว +1

    Wabunge kama hao serikari ya yangu haiwataki hatakidogo, mungu mpe kijana huyu uraisi anafaa sana

  • @raphaelhitler6411
    @raphaelhitler6411 5 ปีที่แล้ว +1

    Fantastic brother Heche

  • @dicksongodfrey4548
    @dicksongodfrey4548 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubari sana kaka mkoa wetu wa mara hatujawahi kuwa na kiraza

  • @samwelbinagi6129
    @samwelbinagi6129 6 ปีที่แล้ว +24

    the only person who says the truth in the Parliament

    • @samwelmwale2089
      @samwelmwale2089 6 ปีที่แล้ว

      Samwel Binagi safi sana kamanda nimekusoma

    • @arqamibnarqam.7185
      @arqamibnarqam.7185 4 ปีที่แล้ว +1

      @@samwelmwale2089 Viongozi wote wa chadema na Bwege na zitto kabwe.

    • @kizitojessy
      @kizitojessy 3 ปีที่แล้ว

      Tupo na lazima ya mabunge kama hawa uku Drc !

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 6 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana kila ninapoona heche anasimama Bingen lazima nimsikilize hata Nichoke kiasi gani heche bigapu sana piga kazii

  • @festusmagafu9258
    @festusmagafu9258 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana. Mbunge unaejitambua. Mung akubariki Sana mbunge wet.

  • @abelimdugalla3777
    @abelimdugalla3777 2 หลายเดือนก่อน

    Your the one incredible Heche

  • @hamisjingu90
    @hamisjingu90 6 ปีที่แล้ว +11

    Heche nakuombea mungu...maana hakika ya kweli umeyasema

    • @egnokapinga4903
      @egnokapinga4903 6 ปีที่แล้ว

      Jina la Mungu linaanza kuandikwa kwa herufi kubwa.

    • @anozacha611
      @anozacha611 6 ปีที่แล้ว

      👍👍👍👍👍👍👍👍

    • @jacksonmacheye4712
      @jacksonmacheye4712 4 ปีที่แล้ว

      heche oyeee

  • @samwelnyange3252
    @samwelnyange3252 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyu atawasumbua sana hawa mafisadi I like your speech broo

  • @josephngasa9421
    @josephngasa9421 3 ปีที่แล้ว

    Wabunge wapolaji wa Mali za wananchi mnajulikana kwa mtazamo wenu baada ya kuvujiwa kamati mbovu za ulaji wa Mali za wananchi zikaweza kuelekezwa kwenye maedeleo ya nchi mmeanza midomo yenu bungeni mungu hapedi mungu anawaona msiokuwa na uchungu wa nchi hii mtapata rana hamtarudi bungenio Amina

  • @emmanuelgabagendi3169
    @emmanuelgabagendi3169 6 ปีที่แล้ว +7

    Asante Sana kaka

  • @malikjamal9032
    @malikjamal9032 6 ปีที่แล้ว +5

    Bravo Mhe Heche

  • @tonyfredy674
    @tonyfredy674 6 ปีที่แล้ว

    Jamaa yukko vizuri sana.

  • @samsongisiri8913
    @samsongisiri8913 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana tata.

  • @saidicontractor1105
    @saidicontractor1105 6 ปีที่แล้ว

    safi mheshima heche sema ukweli japo unauma wataelewa tu

  • @philipowyinjones9645
    @philipowyinjones9645 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubali Heche

  • @kfastak
    @kfastak 6 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @jameschubiri9453
    @jameschubiri9453 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @jumamlimbende9862
    @jumamlimbende9862 5 ปีที่แล้ว +1

    huyu mbunge ni wa wapi jamani sijajutia mb zangu nimempenda bureeeeee

  • @abasibogga4798
    @abasibogga4798 6 ปีที่แล้ว +4

    the trueth pain

  • @martinkarata1097
    @martinkarata1097 5 ปีที่แล้ว +2

    Chadema kuna vichwa wengine vilaza tu ✌✌✌

  • @oscartandula8644
    @oscartandula8644 6 ปีที่แล้ว +1

    wenye mbunge huyu hongereni sana

  • @imoryaugustino3444
    @imoryaugustino3444 6 ปีที่แล้ว +1

    Nice Bro

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 6 ปีที่แล้ว +1

    Hakika!Mbunge mmoja wa upinzani ni zaidi ya wabunge 50 wa ccm.

  • @shownewsdiamond1942
    @shownewsdiamond1942 6 ปีที่แล้ว +25

    Ndomana naipenda chadema

    • @shadrackmwelela6935
      @shadrackmwelela6935 6 ปีที่แล้ว +1

      Chibu Ally kweli kabisa,wabunge wa chadema ni makini sana sana.

    • @anozacha611
      @anozacha611 6 ปีที่แล้ว

      Kama mimi ✌✌✌✌✌✌✌penda sanaaaaaaaaaaaa upinzani❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @anozacha611
      @anozacha611 6 ปีที่แล้ว

      @@shadrackmwelela6935 👍👍👍👍👍👍👍👍✌✌✌✌

  • @desderathalyamuya8856
    @desderathalyamuya8856 6 ปีที่แล้ว +12

    Nguruma baba penye ukweli sema

    • @anozacha611
      @anozacha611 6 ปีที่แล้ว

      👍👍👍👍👍👍👍

  • @kibwanaramadhani5987
    @kibwanaramadhani5987 5 ปีที่แล้ว

    heche like Dr ndlozi of south Africa Parliament "

  • @allybakari7888
    @allybakari7888 6 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana Heche

  • @jabirihussein9811
    @jabirihussein9811 6 ปีที่แล้ว +1

    chadema dam dam

  • @mabengelenathanael9741
    @mabengelenathanael9741 6 ปีที่แล้ว +1

    facts man hache

  • @hashimukilunda829
    @hashimukilunda829 6 ปีที่แล้ว +9

    Taifa zima lingekua na wabunge kama huyu kila raia angekua tajiri.

  • @samwelmwale2089
    @samwelmwale2089 6 ปีที่แล้ว

    safi sana kamanda wambie hao

  • @wilsonyeza8972
    @wilsonyeza8972 3 ปีที่แล้ว

    Kweli mkuu

  • @vicentigiboregibore1007
    @vicentigiboregibore1007 6 ปีที่แล้ว

    safi sana

  • @abisolomonuyokachaguliwaac4048
    @abisolomonuyokachaguliwaac4048 4 ปีที่แล้ว

    Akika mbunge heche nitakukumbuka kamanda.wangu

  • @boniphacemarco9421
    @boniphacemarco9421 6 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana

  • @inohboy5389
    @inohboy5389 6 ปีที่แล้ว +17

    tunataka wabunge kama hawa

    • @adamumuki1242
      @adamumuki1242 3 ปีที่แล้ว

      Jamaaa mkweli sana zlfkichwa

  • @paulsantanatzee8301
    @paulsantanatzee8301 6 ปีที่แล้ว +12

    wapinzani wanaongeaga maswala ya msingi sana bungeni safiii waambie wakusikie ila tatizo wasiojulikana wanawateka sana

  • @felicianbwinyende4884
    @felicianbwinyende4884 5 ปีที่แล้ว

    Fact murah

  • @geofreyjohn1984
    @geofreyjohn1984 6 ปีที่แล้ว

    This man is not Mediocre

  • @rashidsuleiman2663
    @rashidsuleiman2663 6 ปีที่แล้ว +7

    ndege zimenunuliwa kwa kiki.

  • @mtatiromgeka7270
    @mtatiromgeka7270 5 ปีที่แล้ว +1

    Hapa nipo pamoja

  • @yousufharthy6876
    @yousufharthy6876 6 ปีที่แล้ว

    Duniani kote biashara kama hizi zinafanywa zaidi na mashirika mbali mbali ili kutunza mali binafsi.
    Kuzimanage vizuri najuu yahivyo nyingi hufeli na kupata hasara.
    Serikali haiwezi kuekeza pesa kwenye shirika last ndege na kutegemeya kufaidika hasa kwa vile asilimiya kubwa wasafiri ni Serikali yenyewe Ambayo hazilipi madeni yao.
    Nnaipa hii miaka 3 itafilisika

  • @mwanyanjecharles1331
    @mwanyanjecharles1331 6 ปีที่แล้ว

    endeleeeeeeeeeeeeeni kuongea kuna siku mtasikilizwa tusife moyo ndugu zangu niko pamoja na ninyi wazalendo sio tu watu wanakaa tu humo kila hoja wao ni kupga meza tu na kusema ndio badala ya kushauri serkali to do somethng gud for our country nawapenda sana wasema kweli MUNGU yuko pamoja na ninyi ameeeeeeeeen !!!!!

  • @christopherduyas6505
    @christopherduyas6505 6 ปีที่แล้ว

    Heche Nakutambua Sn

  • @gaspermassawe7397
    @gaspermassawe7397 6 ปีที่แล้ว

    Kundi LA wezi Siku zote halisikilizi hoja za msingi kwani sana MANUFAA YA WEZI WAO.

  • @sabathosaid7098
    @sabathosaid7098 6 ปีที่แล้ว

    kweli pot MARA wametusahau saana na huu ni kutokna na ujinga wetu na viongozi waliopo madarakani hawajali

  • @leilaomarytumbua3998
    @leilaomarytumbua3998 5 ปีที่แล้ว +1

    Wote wasomi chadema laha

  • @hidayausanga382
    @hidayausanga382 3 ปีที่แล้ว

    Mmmmmh

  • @nelsonnmwaipaja6980
    @nelsonnmwaipaja6980 5 ปีที่แล้ว

    2020 heche upo upstairs xana

  • @abisolomonuyokachaguliwaac4048
    @abisolomonuyokachaguliwaac4048 4 ปีที่แล้ว

    Tunataka wabunge kama hawa Tanzania kama wa tano tunge kuwa mbali

  • @wilbertcharles9129
    @wilbertcharles9129 6 ปีที่แล้ว +4

    Point tupu,chato kunaumuhimu gani kuliko Mara kujenga uanja

  • @paschalmathayo6619
    @paschalmathayo6619 6 ปีที่แล้ว +5

    wabunge wa chendema wonte ni kiboko

  • @martinusdamian3085
    @martinusdamian3085 6 ปีที่แล้ว +1

    Ndg yangu Heche hakuna cha mistake hapo wala nn, hao masisiem yanafanya makusudi tu, wanakimbilia kununua mindege mibovu na hela wameificha sasa sijui tutuo wapi hela ya kupanda hiyo mindege yao mibomu

  • @3malis
    @3malis 8 วันที่ผ่านมา

    Hela ya balimi 😂😂😂

  • @aloycemalya4701
    @aloycemalya4701 6 ปีที่แล้ว +30

    Chadema tunavchwa kumamake yani mpka raha

    • @anozacha611
      @anozacha611 6 ปีที่แล้ว

      Kula tano kwa👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊

    • @tazaremtula6801
      @tazaremtula6801 6 ปีที่แล้ว +1

      Ccm wanamuabudu magufuli

    • @michaelmathew8309
      @michaelmathew8309 6 ปีที่แล้ว

      Hahahahahahaha yaan umenichekesha mno

    • @petersanagaya2916
      @petersanagaya2916 5 ปีที่แล้ว

      Kichwa cha matusi hadharani duuu balaaaa

  • @babillonbyser8250
    @babillonbyser8250 6 ปีที่แล้ว +27

    Mimi hata watoto wangu nina waaminisha chadema hakuna wajinga

  • @josephmasindi7348
    @josephmasindi7348 6 ปีที่แล้ว

    Kinachoniuma sana ni kwamba mbuga ya serengeti iko mkoa wa Mara lakini makao makuu ya mbuga hyo yako Arusha why jaman😭

  • @goodluckbarakc7603
    @goodluckbarakc7603 3 ปีที่แล้ว

    Wanaangaliaa chamaaa wapee akiliii haooo

  • @michaelmathew8309
    @michaelmathew8309 6 ปีที่แล้ว

    Kweli uwanja wa ndege ni muhim kwa Mara jmn

  • @shadrackmwelela6935
    @shadrackmwelela6935 6 ปีที่แล้ว +6

    ATCL chini ya huyu mkuu imeshikwa pabaya na viongozi makini wa UPINZANI

  • @ezekielmburu3418
    @ezekielmburu3418 2 ปีที่แล้ว

    Haha,today hizo ndege za Airbus ziko grounded due to faulty manufacturing

  • @hellenmwakalindile9347
    @hellenmwakalindile9347 5 ปีที่แล้ว

    We mwehu unaponda ndege halafu unataka uwanja utengenezwe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @magaumasiaga3120
    @magaumasiaga3120 6 ปีที่แล้ว +1

    nikweli kabisa heche (taghamba)

    • @deusoden3614
      @deusoden3614 4 ปีที่แล้ว

      Magau Masiaga Huyu si ndie aliitukana serikali ya kikwete kuwa nchi haina hata ndege.Kwa makufuri anadai makufuri ananunua ndege kama machungwa.Duh! nyie binaadam ni shida.

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 3 ปีที่แล้ว

    Chadema wabunge mnao nakubari lakini rais hamna twende kazi

  • @ellyjacob9897
    @ellyjacob9897 6 ปีที่แล้ว +2

    shikamoo

    • @mmandafausta2999
      @mmandafausta2999 6 ปีที่แล้ว

      ELLY JACOB GmbH Iggy nutty UUP ooppppppppph

  • @mariamsuma3003
    @mariamsuma3003 3 ปีที่แล้ว

    Walibebwa kweli na magu

  • @adolfkambala3214
    @adolfkambala3214 6 ปีที่แล้ว

    Hawa vijana makini wa chadema ni watu makini sana,utamfananisha na kibajaji.

    • @chriskimaro3614
      @chriskimaro3614 6 ปีที่แล้ว

      kibajaji akili zake ni kama bajaji mbovu tu.

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 6 ปีที่แล้ว +1

    mitu ya Mara balaaa

  • @katungenyanda6177
    @katungenyanda6177 6 ปีที่แล้ว

    JPM usiwasilikize hawa wenu wanasumbuliwa na bangi ndege lazima zinunuliwe Kam njugu potelea mbali

  • @petrosewando3539
    @petrosewando3539 5 ปีที่แล้ว

    Ila we in mwanaume

  • @farihiayusuph6405
    @farihiayusuph6405 6 ปีที่แล้ว

    we ndo mbunge ata uraisi unakufaaa

  • @kelvinchuwa2212
    @kelvinchuwa2212 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kunawatu wanaona mbali leo wanakukumbuka na wanawataka tena mabebelu

  • @hamisabdallah3244
    @hamisabdallah3244 6 ปีที่แล้ว +3

    ndege zinanunuliwa tu kama hamtaki ninyongeni

    • @fetyykisabo4747
      @fetyykisabo4747 6 ปีที่แล้ว

      HAMIS ABDALLAH kiraza

    • @likandapahasani3139
      @likandapahasani3139 6 ปีที่แล้ว

      Siku ukikuwa utaelewa

    • @yousufharthy6876
      @yousufharthy6876 6 ปีที่แล้ว

      Hamis. Utaziona zikiruka tu huwezi kumiliki .
      Usafiri Dar mpaka Arusha ni Mishahara yako ya miezi 2 ikiwa unayo hiyo kazi

    • @williamchrispian1752
      @williamchrispian1752 6 ปีที่แล้ว

      HAMIS ABDALLAH naamin umekoment kwakuwa una smartphone ila wewe ni kiraza tena hujielew wala Hujui matatizo ya hayo yanayo zungumzwa ngoja miaka 5 ijayo utagundua ubaya WA hayo yazungumzwayo lofa wew

  • @hotnews2637
    @hotnews2637 5 ปีที่แล้ว

    huyu ndo kiongozi bora kuria mkoa wa mara

  • @francisdaudisibuti1882
    @francisdaudisibuti1882 6 ปีที่แล้ว +1

    Mula nigho wange kulala muyo

  • @solomonsolomon3497
    @solomonsolomon3497 5 ปีที่แล้ว

    Ccm haawataki watu Kama hawa wanataka wa kusifu na kuabudu nataman bunge lingekuwa na wabunge 200 wa upinzan inchi ingekaa vzr chadema wana vichwa hatar hachana wazee wa Ndiyo

  • @bahatimellita6619
    @bahatimellita6619 3 ปีที่แล้ว

    B60 tiari huko

  • @tourevidal7439
    @tourevidal7439 6 ปีที่แล้ว

    ✌✌✌✌✌✌✌

  • @hezronmwalyundu5305
    @hezronmwalyundu5305 5 ปีที่แล้ว

    Viatu vinapanda vyakula bidhaa za ujenzi ccm unatupeleka wapi

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 6 ปีที่แล้ว +8

    VITA NI VITA TATA
    NA KWELI WATU WA MARA TUNA MSIMAMO
    NA UMOJA
    KITU PEKEE KINACHO TUTOFAUTISHA NA MIKOA MINGINE

  • @georgejoseph8638
    @georgejoseph8638 3 ปีที่แล้ว

    Tarime tunachagua vichwa

  • @nedkatunge5702
    @nedkatunge5702 3 ปีที่แล้ว

    Hili nalo jinga jizi la ng'ombe halina lolote

  • @johnnyarara2711
    @johnnyarara2711 5 ปีที่แล้ว

    Poti endelea kutetea mara imeachwa nyuma

  • @michaelkinga821
    @michaelkinga821 6 ปีที่แล้ว +2

    hizo fedha zinazopatiwa halmshauri za maeneo husika zinazotangazwa Mara kwa Mara na migodi tofauti tofauti sio matunda ya marekebisho ya mikataba hiyo?

  • @fredybuha2872
    @fredybuha2872 5 ปีที่แล้ว

    Wewe ni msomi na mtafiti mm nakukubari ila inji za Africa hwataki watu kama wewe hii ndio shida

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 6 ปีที่แล้ว

    Hakika maneno yako yataishi bro

  • @michaelmuchomerson2658
    @michaelmuchomerson2658 5 ปีที่แล้ว

    Mura sema mura, wewe ni wa mara nyerere raisi mwenye hekima duniani kote mara , rais obama the american president the best ever duniani ni wa mara hapo hapo ni mipaka tu imewatenganisha, kweli mara kuna vichwa, mara hoyeeeee, we hold the world hata kama hamutaki kujenga infrastracture. Mungu anatuonekania mura basachiii.

  • @amesadicki9142
    @amesadicki9142 6 ปีที่แล้ว

    duuuuh

  • @yassindeffu88
    @yassindeffu88 6 ปีที่แล้ว

    magufuli Mimi nasema nunua endelea kununua hawa nikawaidayao kupinga maana hawa nivigeugeu

  • @devotamwenga4939
    @devotamwenga4939 5 ปีที่แล้ว

    na kabudi ameondoka

  • @mossymotowazima4924
    @mossymotowazima4924 6 ปีที่แล้ว +3

    vichwa ngumu hao.

    • @dadileonard2392
      @dadileonard2392 6 ปีที่แล้ว

      Acha PumbA zakO ww Kwa kuwA Nyerere ndo katokea kule ndo kila maendeleo wapelekewe auco babA.

  • @kinglance9816
    @kinglance9816 6 ปีที่แล้ว

    heche mnyama trllioni 400 ni miaka mia nne

  • @suleimanbakar1271
    @suleimanbakar1271 4 ปีที่แล้ว

    wambie heche hao ccm ni panya buku tu

  • @abisolomonuyokachaguliwaac4048
    @abisolomonuyokachaguliwaac4048 4 ปีที่แล้ว

    Msemakweli heche.msoma mmempiga.chin jembe.hilo mtamkumbuka

  • @mohammedsalim6398
    @mohammedsalim6398 6 ปีที่แล้ว

    Wanapita ARUSHA bw kuna mtalii anapitia Musoma mjini? Ndege tushanunua Hakuna jinsi nyingine. Hatutaki kukopa ni kanunua cash tu. Kwahiyo Nyie ndio mnayshauri mzuri tu? Hebu waacheni wafanye kazi wamalize mda Wao bw.

  • @moshilaurent9753
    @moshilaurent9753 5 ปีที่แล้ว

    1 chad=200ccm unastahili kuitwababa.

  • @martincosmas3144
    @martincosmas3144 6 ปีที่แล้ว +3

    heche wewe jembe hogera wana gugulumatu kwenye maskio