🇹🇿 UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI WAFIKIA 78%, "ANALIPWA KWA WAKATI," HAKUNA KILICHOSIMAMA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2023
  • Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa serikali inalipa kwa wakati madai yote yanayowasilishwa na Mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye urefu wa kilomita 3.0 na Barabara unganishi zenye jumla ya kilometa 1.66 lililopo jijini Mwanza ambapo ujenzi umefikia asilimia 78 ya Utekelezaji.
    Ameyasema hayo akiwa Mwanza katika ziara ya kukagua Daraja hilo linalounganisha Barabara Kuu ya Usagara - Sengerema - Geita katika Ziwa Victoria kwa kugharimiwa na Serikali kwa jumla ya shilingi Bilioni 716.3
    Bashungwa amesema kuwa Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan Ujenzi wa Daraja hilo ameupa kipaumbele kikubwa kwa kuhakikisha Mkandarasi hatoki nje ya mradi kwa kutoa fedha kuwezesha madai yote ya mkandarasi kulipwa ndani ya muda ili kuhakikisha anafanya kazi bila kusimama.

ความคิดเห็น • 20

  • @davidluangisa4515
    @davidluangisa4515 8 หลายเดือนก่อน +5

    Gonga like zangu..wa kwanza to comment...

  • @user-xx8jx6tb7d
    @user-xx8jx6tb7d 8 หลายเดือนก่อน +3

    Na wajenz pia hongeren mwaya kwa Kaz nzur

  • @stephanolungwa-yz6ww
    @stephanolungwa-yz6ww 6 หลายเดือนก่อน +2

    Simba

  • @BarackIsmailJoseph-zy6ep
    @BarackIsmailJoseph-zy6ep 8 หลายเดือนก่อน +3

    Well done

  • @kiatu
    @kiatu 8 หลายเดือนก่อน +2

    Next Zanzibar-Dar es Salaam Bridge - long overdue.

  • @user-sg3yk1ov5s
    @user-sg3yk1ov5s 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hakika magufuli ulikuwa Jembe letu sema tu MUNGU alikupenda mapema Sana umefanya Kazimil kubwa Sana MUNGU aendelee kukutunza huko uliko

  • @AstonyMathayo-hn9th
    @AstonyMathayo-hn9th 8 หลายเดือนก่อน +3

    Magufuli alisema tutamkumbuka kwamazuri nasio mabaya😢

  • @UjenziAdrea
    @UjenziAdrea 8 หลายเดือนก่อน +3

    Makufuli safi

  • @user-xx8jx6tb7d
    @user-xx8jx6tb7d 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman hapo kupita panahtaj mtu ambae sio muoga kama mim Maana naweza patwa na kizunguzungu.

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona mnamsifia sana
    Acheni matendo yajieleze yenyewe

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 8 หลายเดือนก่อน

      Ujinga tu ushamba sija skia wa Kenya wana mshukuru MTU kama mungu kila SAA ujinga

  • @user-yb7tu2yo2i
    @user-yb7tu2yo2i 8 หลายเดือนก่อน +2

    mbona humshukuru alieanzisha huo mradi?😢😢😢😢😢

    • @oklahommy9838
      @oklahommy9838 8 หลายเดือนก่อน

      Labda una masikio mazito ndio maanaa rudia tena video utasikia

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mtuache!!!

  • @fundiwamoldzapevingblock6378
    @fundiwamoldzapevingblock6378 7 หลายเดือนก่อน

    Lipo wapi ilo daraja mwanza au dar

    • @UjenziTv_
      @UjenziTv_  7 หลายเดือนก่อน

      Mwanza

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Jama whole speech ni Ku mshukuru raisi wa tz tume logwa huyu mama is not doing a favor hiyo ni development!!!! Ujinga tu Ku shukuru like villager's

  • @matheobaha773
    @matheobaha773 8 หลายเดือนก่อน

    Maelezo yamejaa "nakushukuru" mpka kero

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 8 หลายเดือนก่อน

      Wanapepelea ulaji wao ndio Tz yetu