BARABARA YA MALAGARASI - UVINZA KUKAMILIKA MACHI 2025, UJENZI WAKE NI WAFIKA ZAIDI YA ASILIMIA 50%

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya amemuagiza mkandarasi STECOL anayejenga barabara ya Malagarasi - Ilunde - Uvinza (Km 51.1) kwa kiwango cha lami kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa barabara hiyo ifikapo Machi 28, 2025.
    Kasekenya ametoa agizo hilo mkoani Kigoma, Juni 14, 2024 ambapo pamoja na mambo mengine amesisitiza mkandarasi huyo kujipanga na kukamilisha mradi huo kwa wakati kwani mpaka sasa hakuna changamoto yeyote inayokabili mradi huo ikiwemo masuala ya fedha wala vifaa kwa mkandarasi.

ความคิดเห็น • 7

  • @esromkanubo815
    @esromkanubo815 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo ndio habari tunazo zitaka

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tumekuwlewa waziri wetu.

  • @elinamilyatuu7337
    @elinamilyatuu7337 3 หลายเดือนก่อน +1

    Habari tunazozipenda ndio hizi

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 3 หลายเดือนก่อน

      Sahihi kabisa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo Barabara ni tambalale Ila kumekuwa na makusudi kutokamilika kitu cha ajabu pesa inatoka hivi nini au mchezo wakula Hera bila kazi ni aibu sanaa

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 3 หลายเดือนก่อน

    HEE HII BARABARA BADO TU😢

  • @sadocklundi5216
    @sadocklundi5216 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂