Wizara ya Ujenzi
Wizara ya Ujenzi
  • 603
  • 675 018
TAZAMA BASHUNGWA ALIVYOWABANA WAKANDARASI WANAOJENGA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA, 'IKAMILIKE 2025'
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi na usimamizi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Dodoma (Dodoma Outer Ring Road) km 112.3, sehemu ya Ihumwa Dry Port - Matumbulu - Nala (km 60) kwa kiwango cha lami na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya AVIC kuwasilisha mpango kazi utakaomuwezesha kukamilisha ujenzi ifikapo mwezi Machi, 2025.
Bashungwa ametoa agizo hilo leo Oktoba 02, 2024 jijini Dodoma wakati akikagua ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ambapo amemsisitiza Mkandarasi huyo kuongeza nguvu kazi, mitambo na kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha kwa wakati kama ilivyopangwa kwenye mkataba.
มุมมอง: 3 275

วีดีโอ

RAIS SAMIA AAGIZA BARABARA YA SONGEA - NJOMBE - MAKAMBAKO KUANZA KUJENGWA UPYA
มุมมอง 2.3K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Ujenzi kukamilisha maandalizi na kuanza kujenga upya barabara ya Songea - Njombe - Makambako (km 295) pamoja na ujenzi wa barabara ya mzunguko ya Songea (Songea Bypass) yenye urefu wa kilometa 16 kwa kiwango cha lami. Rais Samia ametoa agizo hilo kwa Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, Septemba 28, 2024 ...
SERIKALI KUANZA UJENZI DARAJA LA MKILI NA MITOMONI MKOANI RUVUMA
มุมมอง 18914 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu wa mita 20 pamoja na Daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 ambalo litaunganisha Wilaya ya Nyasa na Songea Vijijini. Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi ...
DKT. MSONDE AHIMIZA KASI UJENZI JENGO LA WIZARA
มุมมอง 73514 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde amemtaka Mkandarasi Vikosi vya Ujenzi anayejenga jengo la Wizara hiyo kuhakikisha anapanga ratiba maalum ya utekelezaji wa mradi huo ili iendane na kasi ya muda wa nyongeza aliopewa. Maelekezo hayo ameyatoa Septemba 26, 2024 wakati Naibu Katibu Mkuu huyo pamoja na Menejimenti ya Wizara hiyo ilipokagua jengo la Wizara ya Ujenzi, katika Mji...
RAIS SAMIA AIPONGEZA AfDB, UTEKELEZAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA NCHINI
มุมมอง 12816 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameishukuru na kuipongeza Taasisi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa kuwa mdau mkubwa wa sekta ya miundombinu nchini ambapo wamewezesha mkopo wa Shilingi Bilioni 630 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa barabara ya Mbinga - Mbamba Bay (km 66) kwa kiwango cha lami na barabara nyingine. Dkt. Samia ametoa pongezi hi...
RAIS SAMIA AKAGUA UKARABATI NA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGEA, BILIONI 40.87 ZATUMIKA
มุมมอง 472วันที่ผ่านมา
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100% Mkoani Ruvuma. Rais Dkt. Samia amekagua Kiwanja hicho, leo Septemba 23, 2024 mara baada ya kuwasili Mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo, kuweka mawe ya msingi ya miradi n...
MKATABA UJENZI WA BARABARA YA IRINGA MSEMBE WASAINIWA | WAZIRI BASHUNGWA ATAKA KAZI IFANYIKE USIKU
มุมมอง 104วันที่ผ่านมา
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Iringa - Msembe inayoelekea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (km 104) kwa kiwango cha lami utakaogharimu kiasi cha shilingi Bilioni 142.56 ili kufungua fursa za kiutalii, kiuchumi na kibiashara kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Utiaji saini mikataba miwili kati ya Wakala ya Barabara (TANROADS) na Mkandarasi wa Ujenzi pamoja na Mhandisi Mshauri...
NAIBU WAZIRI KASEKENYA AWATAKA WANANCHI KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI UKANDA WA BAHARI YA HINDI
มุมมอง 53414 วันที่ผ่านมา
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi, Godfrey Kasekenya ametoa rai kwa watanzania kuwekeza kikamilifu katika maeneo yenye uwekezaji mkubwa wa miundombinu mbalimbali ikiwemo barabara hususan ukanda wa bahari ya Hindi katika mikoa ya Tanga na Pwani. Rai hiyo ameitoa Septemba 18, 2024 alipokagua ujenzi wa barabara ya Tanga- Pangani-Saadani-Bagamoyo hadi Dar es salam (sehemu ya Tungamaa-Mkwaja-Mkange (...
UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI MBIONI KUKAMILIKA, BADO MITA 2 DARAJA KUUNGANISHWA
มุมมอง 1.1K14 วันที่ผ่านมา
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye urefu wa Kilometa tatu linalojengwa kuunganisha barabara kuu ya Usagara - Sengerema - Geita katika Ziwa Victoria ambapo ameeleza bado sehemu ya Mita mbili ili daraja lote liweze kuunganishwa. Ameeleza hayo leo tarehe 17 Septemba 2024 mkoani Mwanza wakati akikagua Uje...
ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 830 KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL - NINO
มุมมอง 18714 วันที่ผ่านมา
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema Serikali imetoa zaidi ya shilingi Bilioni 830 kwa ajili ya kujenga upya na kwa ubora barabara na madaraja yalioathiriwa na mvua za El -Nino na kimbunga Hidaya nchini kote. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri huyo, Septemba 15, 2024 alipokagua ujenzi wa barabara ya Nyamwage - Utete (Km 33.7) kwa kiwango cha lami inayojengwa na mkandarasi M/s ...
SERIKALI KUJENGA UPYA DARAJA LA MBWEMKURU NA NAKIU, LINDI
มุมมอง 10114 วันที่ผ่านมา
Serikali imesema inatarajia kujenga daraja lenye urefu wa mita 100 eneo la Mto Mbwemkuru lililopo mpakani mwa wilaya ya Ruangwa na Kilwa pamoja na daraja la Nakiu (mita 70), Nmkoani Lindi katika mwaka huu wa fedha 2024/2025 ili kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji kwa wananchi wa mkoa huo. Amesema hayo Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya Septemba 14, 2024 alipokagua miun...
KASEKENYA AWATAKA WAKANDARASI BARABARA YA MNIVATA - NEWALA - MASASI KUONGEZA KASI
มุมมอง 52514 วันที่ผ่านมา
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi, Godfrey Kasekenya amewataka Wakandarasi China Wu Yi na Ms China Communication wanaojenga barabara ya Mnivata- Newala - Masasi (Km 160) kwa kiwango cha lami kuhakikisha wanajenga barabara hiyo kwa ubora uliuokusudiwa na kukamilika kwa wakati. Akizungumza wakati alipokagua barabara hiyo Septemba 13, 2024 mkoani Mtwara Naibu Waziri huyo amesema kuwa kukamilika kwa...
WAZIRI BASHUNGWA AWATAKA WAHANDISI KUENDANA NA KASI YA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA
มุมมอง 16721 วันที่ผ่านมา
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa rai kwa Wahandisi nchini kuendana na kasi ya mabadiliko ya Teknolojia mbalimbali ikiwemo ya Akili Mnemba kutoa suluhu ya changamoto mbalimbali zilizopo katika jamii. Bashungwa ameeleza hayo leo Septemba 05, 2024 jijini Dar es salaam wakati akifungua Maadhimisho ya 21 ya Siku ya Wahandisi iliyobeba kauli mbiu “Kuandaa Nguvukazi ya Uhandisi katika zama ...
BASHUNGWA AYAGEUKIA MAKAMPUNI YA UJENZI YANAYOBABAISHA WATEJA WAO
มุมมอง 32828 วันที่ผ่านมา
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezinyoshea kidole baadhi ya Kampuni za Makandarasi Wazawa zinazoshindwa kutekeleza miradi na tenda za ujenzi wanazopewa kwa weledi na mujibu wa mikataba na kuanza kuwazungusha waliowapa kazi ambapo kitendo hicho kinaharibu taswira ya Makampuni ya Makandarasi wengine nchini. Bashungwa ametoa onyo hilo, leo Septemba 04, 2024 jijini Dar es salaam wakati akifu...
SERIKALI YAWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA WAHANDISI WAZAWA
มุมมอง 3628 วันที่ผ่านมา
Serikali imesema kuwa imeandaa mkakati maalum wa kutoa fursa za ajira na kutengeneza mazingira wezeshi kwa wahandisi wazawa kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo nchini ili kuwainua kichumi na kuleta maendeleo nchini. Ameyasema hayo, Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mheshimiwa Patrobas Katambi, Septemba 3, 2024 wakati akifungua Jukwaa la Wahandisi Vija...
BILIONI 2.5 ZILITUMIKA KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU - IFAKARA
มุมมอง 300หลายเดือนก่อน
BILIONI 2.5 ZILITUMIKA KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU - IFAKARA
MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI - DAR KUSAINIWA MWEZI SEPTEMBA, 2024
มุมมอง 466หลายเดือนก่อน
MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI - DAR KUSAINIWA MWEZI SEPTEMBA, 2024
UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO WAFIKIA ASILIMIA 72
มุมมอง 7Kหลายเดือนก่อน
UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO WAFIKIA ASILIMIA 72
MIUNDOMBINU YA BARABARA NA MADARAJA YAENDELEA KUBORESHWA NCHINI KUPUNGUZA AJALI
มุมมอง 161หลายเดือนก่อน
MIUNDOMBINU YA BARABARA NA MADARAJA YAENDELEA KUBORESHWA NCHINI KUPUNGUZA AJALI
WIZARA YA UJENZI YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI, WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
มุมมอง 65หลายเดือนก่อน
WIZARA YA UJENZI YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI, WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI
SERIKALI KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MAJIJI MATANO NCHINI, MIZANI 78 YAWEKWA BARABARANI
มุมมอง 1.7Kหลายเดือนก่อน
SERIKALI KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MAJIJI MATANO NCHINI, MIZANI 78 YAWEKWA BARABARANI
DKT. MPANGO AAGIZA UJENZI WA BARABARA KUZINGATIA WATEMBEA KWA MIGUU NA BAISKELI
มุมมอง 648หลายเดือนก่อน
DKT. MPANGO AAGIZA UJENZI WA BARABARA KUZINGATIA WATEMBEA KWA MIGUU NA BAISKELI
KWA MARA YA KWANZA TANROADS YAFANYA MAJARIBIO YA MITAMBO YA KUONGOZEA NDEGE UWANJA WA IRINGA
มุมมอง 3.2Kหลายเดือนก่อน
KWA MARA YA KWANZA TANROADS YAFANYA MAJARIBIO YA MITAMBO YA KUONGOZEA NDEGE UWANJA WA IRINGA
BILIONI 840 ZAELEKEZWA UJENZI WA MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA ZA EL - NINO NA KIMBUNHGA HIDAYA
มุมมอง 147หลายเดือนก่อน
BILIONI 840 ZAELEKEZWA UJENZI WA MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA ZA EL - NINO NA KIMBUNHGA HIDAYA
SERIKALI YATANGAZA NEEMA KWA WAHANDISI WANAWAKE UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BARABARA NA MADARAJA
มุมมอง 142หลายเดือนก่อน
SERIKALI YATANGAZA NEEMA KWA WAHANDISI WANAWAKE UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BARABARA NA MADARAJA
SERIKALI INATHAMINI NA KUTAMBUA MCHANGO WA MADEREVA NCHINI
มุมมอง 301หลายเดือนก่อน
SERIKALI INATHAMINI NA KUTAMBUA MCHANGO WA MADEREVA NCHINI
BASHUNGWA AMKABIDHI DKT. MSONDE TAASISI YA TEMESA NA TBA, ATAKA MAGEUZI NDANI YA MIEZI MITATU
มุมมอง 423หลายเดือนก่อน
BASHUNGWA AMKABIDHI DKT. MSONDE TAASISI YA TEMESA NA TBA, ATAKA MAGEUZI NDANI YA MIEZI MITATU
NAIBU KATIBU MKUU DKT. CHARLES MSONDE APOKELEWA WIZARA YA UJENZI
มุมมอง 196หลายเดือนก่อน
NAIBU KATIBU MKUU DKT. CHARLES MSONDE APOKELEWA WIZARA YA UJENZI
KASEKENYA ARIDHISHWA NA UJENZI WA DARAJA LA ITEMBE, "LIKAMILIKE KABLA YA KIPINDI CHA MVUA"
มุมมอง 443หลายเดือนก่อน
KASEKENYA ARIDHISHWA NA UJENZI WA DARAJA LA ITEMBE, "LIKAMILIKE KABLA YA KIPINDI CHA MVUA"
BILIONI 146 KUTUMIKA MATENGENEZO YA DHARULA UJENZI WA MADARAJA MKOANI LINDI
มุมมอง 338หลายเดือนก่อน
BILIONI 146 KUTUMIKA MATENGENEZO YA DHARULA UJENZI WA MADARAJA MKOANI LINDI

ความคิดเห็น

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hovyo sana barabarani ya Hombolo Dodoma haijulikani itakuja kujengwa lini yani ni shida kwakweli

  • @yustomwaisomania2587
    @yustomwaisomania2587 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    An mnafanya kazi kwa mazoea sana mnatukera barabara njia nne Jijini Mbeya hakuna kinachoendelea mkandarasi kakimbia

  • @VisentJohn-r3r
    @VisentJohn-r3r 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anaona nimkandalas mzuri

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uswahili na kufanya kazi kwa mazoea kumerudi kabisa, yaani wanabangaiza bangaiza tu.

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    safi sana

  • @iskiji1240
    @iskiji1240 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Miradi ya bongo haijawahi kamilika kwa wakati

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii wizara siyo ile tuliyoifahamu. Mkurugenzi wa Tanroads hafahamiki, haonekani, barabara ya nanenane tungi imelala, kituo cha daladala cha station ya treni morogoro walikwangua udongo tu..hakuna kinachoendelea.

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jitahid kuongeza ukali mheshimiwa Hii wizala inaitaji wazili ambae mkali sana.

  • @AmanaHassan-cy4fi
    @AmanaHassan-cy4fi 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tulihisi Bashungwa ungekuwa mkombozi kwa barabara zetu. Kumbe nawee ni wale walee... Idara yako kwa sasa imekuwa ovyo kabisa. Mh Rais...Mh Rais... Wizii mtupu. Njoo hapa Msongola ni uchafu+ kinachoendelea km3 tuu. Fyoooo hamna cha kata funua walaa nn ni kujihimarisha Majimboni mwenu tu.

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 3 วันที่ผ่านมา

    Tunataka maendeleo na sio mandamano.

    • @faustinluambano2958
      @faustinluambano2958 3 วันที่ผ่านมา

      Bila maandamano ya kushijikiza hamna kitu. Wezi wa Madaba amewaacha tu.

  • @idrissamohamed1100
    @idrissamohamed1100 3 วันที่ผ่านมา

    Safii

  • @AmonBambanza
    @AmonBambanza 3 วันที่ผ่านมา

    Tunakuombea mama asante kwa kuendelea kutuletea Maendeleo, kazi inaendelea

  • @ebenezerlawuo6667
    @ebenezerlawuo6667 3 วันที่ผ่านมา

    Barabara ya ushoroba wa pwani utoke Mogadishu, lamu, mombasa, tanga. Bagamoyo, Dar es salaam, kibitti , lindi , mtwara hadi beira ndio itakuwa imekamilika Pwani yote. Ushoroba wa kati nao toka musoma, arusha, kibaya , dumila, kilosa, mikumi, ifakara, hadi songea, ushoroba wa magharibi nao

  • @washingtonngullo1988
    @washingtonngullo1988 3 วันที่ผ่านมา

    Barabara zingine zinakutoa jasho nsalaga ifisi mbeya inakutoa kamasi na tia watu hasara majeruhi vifo maliza kimoja kwanza acheni proganda

  • @CharlesEdwardCvanoedward
    @CharlesEdwardCvanoedward 4 วันที่ผ่านมา

    Kazi iendeleeee

  • @djoe8266
    @djoe8266 4 วันที่ผ่านมา

    Hiyo sehem nikama mnacheza tu hapo apaitaji karavati panaitajika daraja hao walio ujiwa wote wanapajua na. Shangaa kwann hawasemi ukweri sababu ya kujaa maji hapo 1 makaravati ya zamani yenye matundo madogo 2 huo mtu nimkubwa unapitisha maji mwaka mzima ata kipindi cha jua sasa ikinyesha mvua yanaongezeka 3 maji mengi hutokea milimani kisarawe yote hutililika hapo Kinacho tokea ni hivi mvua kubwa ikinyesha kisarawe ndio chanzo huanzia maji yatakuja hapo yakifika yanakuja kwa kasi kubwa yakifika yanakutana na tundu ndogo za karavati hivyo haji hutawanyika kwenye hilo eneo nakufurika hadi juu ya barabara Yakipita masaa kama mnne hadi sita inategemea na ukubwa wa mvua maji hupunguza presha na kupita kwenye karavati na barabara huludi kwenye hali ya kawaida Nini kifanyike kutoa hizo karavati zote kisha kujengwe daraja tatizo litakua limeisha maji yakija na presha yatafata njia iliyo kubwa

  • @julianaedward4190
    @julianaedward4190 5 วันที่ผ่านมา

    Hongera Vikosi vya ujenzi

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 6 วันที่ผ่านมา

    Ni siasa tu mnatupiga haiwezekana majengo yote yalianza karibu muda ulifanana lakini kwenye umaliziaji yapo majengo baadhi yalikamilika zaidi ya mwaka umepita sasa alafu mengine mpaka leo yanasusua, si vibaya mkaweka wazi kuwa tunajenga kwa kulingana na kiwango cha budget za mwaka za kila wizara na si vinginevyo

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 7 วันที่ผ่านมา

    BASHUNGWA ANA UWEZO KIKAZI , MAELEZO YAKE YANAFANANA NA KAZI ILIYOFANYIKA , INAFURAHISHA ANAMPONGEZA KILA ALIYEHUSIKA HATA WANANCHI TOFAUTI NA WENGINE AMBAO HUEGEMEA KUSIFIA UPANDE MMOJA TU !! VERY NICE SPEECH !!

  • @elifasiscawa5698
    @elifasiscawa5698 7 วันที่ผ่านมา

    😂

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 9 วันที่ผ่านมา

    Kwani barabara za lami huwa zinaingia mchanga sana hadi barabara zinakuwa ndogo hakuna magari ya kufagia barabara

  • @GodsonLaiza
    @GodsonLaiza 11 วันที่ผ่านมา

    Brother I have plenty ideas for our country ,strategies and ways cox there's something lacking

  • @sarleem12mo23
    @sarleem12mo23 12 วันที่ผ่านมา

    Mwasonga patajengwa lini kila kukicha ahadi tu utekelezaji 0

  • @keminchawhite1809
    @keminchawhite1809 15 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri 2:12

  • @RajabuMnyimwa-nu9rs
    @RajabuMnyimwa-nu9rs 15 วันที่ผ่านมา

    Mama njoo muolo uwangaliee dalaja linalojengwa baada yakujenga dalaja languzo wamejenga dalaja bokx kala vati yakija maji tutazama muolo mzima kwanini waweke kifuss chaudongo tena wakati maji tumeyaona

  • @barakamwamasage-hy2jo
    @barakamwamasage-hy2jo 27 วันที่ผ่านมา

    Mkuu wakandarasi hari mbaya kuliko maelezo

  • @LORDRICKNKYA
    @LORDRICKNKYA หลายเดือนก่อน

    Natoa Lai kwa waziri wa ujenzi na wizara nzima kuhakikisha mpaka ifikapo mwakani mwezi wa 8 barabara hii ya kuanzia njia panda ya makabe mpaka msumi iwe imejengwa kwa kiwango Cha lami Tena katika uimara kama ilivyo katika ilani ya CCM ni aibu kwa wizara, waziri na mbunge wa ubungo barabara mbovu, haipitiki kipindi Cha kawaida na mvua ndio usiseme kabisa, mabinti wa shule wapo hatarini kutokana na ufinyu sana wa daladala na kulazimika kupanda lift za pikipiki daladala zinashidwa kuwepo kutokana na ubovu mkubwa wa barabara. Kwahiyo wizara na waziri husika wahakikishe ilani hiyo inatimizwa Tena katika ubora kabla ya mwakani mwezi 8

  • @LORDRICKNKYA
    @LORDRICKNKYA หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana,, ila je barabara ambayo inaanzia njia panda makabe mpaka msumi ambayo ipo kwenye ilani ya CCM 2023/2024 kwa kiwango Cha lami maana ni barabara kubwa je itaendwa kujengwa na kukamilika lini na je msipo itimiza mtakuja kuwambia nini wanajimbo la ubungo wakazi wa njia panda makabe mpaka msumi toka kuubwa kwa dunia barabara kubwa hii hajawahi kuwekwa lami na mpaka mwakani ilikuwa inabidi iwe imekamilika ilikuwezesha au kuonganisha mtandao

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 หลายเดือนก่อน

    Habari nzuri

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du หลายเดือนก่อน

    Hili neno 'lakini' siku hizi linatumiwa sehemu siyo stahiki. Mara nyingi linatumiwa kwa kukusudia 'na', 'pia', 'vilevile' au 'aidha'. Tatizo la kuiga iga ndio inakuwa kama hivi. Chunguza kwanza halafu ndio uige, panapostahiki. Lugha siyo fashion.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 หลายเดือนก่อน

      Hao ndiyo waharibifu wa lugha, hayo wanayapata kutoka kwa wanasiasa na kwa baadhi ya viongozi wa dini flani wanaongiza manjonjo yao kwenye lugha kumbe ndiyo wanaharibu pasi na wao eidha kwa kujua au kutojua.

  • @mduda_i
    @mduda_i หลายเดือนก่อน

    👏

  • @OdhiamboLazaro-y8o
    @OdhiamboLazaro-y8o หลายเดือนก่อน

    Yaani hapa arusha tanroad Hamna mipango kabisa mmeshindwa kujenga daraja za juu Kwa waenda Kwa miguu,kilombero,mianzini sanawari.

  • @LweguRutaserwa
    @LweguRutaserwa หลายเดือนก่อน

    Excellent Job!

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 หลายเดือนก่อน

    Nyie mnakaa ofisini tu,Buguruni pamejengwa kivuko ila watu wanapita chini mbona kusiwe na sheria ya kuwakamata na kupigwa faini. Fuso au tandem ndio zinaharibu barabara zinabeba mzigo mkubwa sana wapunguziwe gvm

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 หลายเดือนก่อน

    Kwenye Component hiyo Lazima na kupanda miti kando ya barabara. hawapandi miti wala haaachi sehemu mahsusi kwa ajili ya miti kwa mpangilio zuri wakati wanajenga na ikijapandwa baadaye inakuwa hovyo na haipendezeshi mazingira au barabara

  • @pascal2415
    @pascal2415 หลายเดือนก่อน

    Hichi kitu nimejiuliza sana

  • @keminchawhite1809
    @keminchawhite1809 หลายเดือนก่อน

    Good job

  • @EliaKiyaulilo-gg4cb
    @EliaKiyaulilo-gg4cb หลายเดือนก่อน

    Hongereni Kwenu,,

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc หลายเดือนก่อน

    Wamekutana wote walikuwa NECTA

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc หลายเดือนก่อน

    Huyu Mzee ni wa Elimu sana sana.

  • @emmanueljengo8103
    @emmanueljengo8103 หลายเดือนก่อน

    Ahxante baba kwa kuliona hili viva dereva 🙏💪💯

  • @section8ight174
    @section8ight174 หลายเดือนก่อน

    JAMANI MSISAHAU KUZIFUKIA NYAYA ZA UMEME CHINI YA ARDHI. NYAYA ZA JUUJUU NI MAMBO YA ZAMANI HAYO!!

  • @JohnPastory-j2dy
    @JohnPastory-j2dy หลายเดือนก่อน

    temesa wabovu sana

  • @DenisFelician
    @DenisFelician หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri Sana Serikali yangu but tunaomba Hilo eneo Serikali Kwa kushilikiana na private sector watazame namna ya kuweka mji wa kisasa kama sehemu ya kumuenzi muasiasi wa daraja hili la JPM

  • @jovaswai1587
    @jovaswai1587 หลายเดือนก่อน

    Mradi mkubwa wa billions of dollars mnauelezea kwa camera ya simu..

  • @AloneChuga
    @AloneChuga หลายเดือนก่อน

    Rip jpm

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 หลายเดือนก่อน

    gooood❤❤❤❤

  • @josephmartin292
    @josephmartin292 หลายเดือนก่อน

    Vituo vibadilishwe mjini viwe dizaini nyingine mavituo yanatia aibu

  • @MariaIsabel-l6i
    @MariaIsabel-l6i หลายเดือนก่อน

    Mbona ujenzi wa barabara ya mbande - msongola umesimama kwanini???je nikweli Septemba mtakamilisha???