FULL KIPINDI CHA RELI NA MATUKIO MAENDELEO YA MRADI WA SGR NA VIVUKO VYA MAGARI VILIPOFIKIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @victorndunguru1016
    @victorndunguru1016 ปีที่แล้ว +7

    Hivi hii Dar Moro Haimaliziki tu? Kuna Kitui Kimepungua ki utendaji wenu. Nikisema mtaingiza siasa mnifunge, ila hata nyiewenyewe mnajua nini mmepunguza mpaka kazi haimalizxiki.
    Tumeanza kutowaamini.

  • @salehsimba5306
    @salehsimba5306 ปีที่แล้ว +6

    Magufuli angekuwepo ukweli usemwe, kutoka Dar mpaka Moro Sasa hivi watu wangeanza safari tokea mwaka 2021

  • @berthatz
    @berthatz ปีที่แล้ว +2

    Yaani kila siku wako kipande cha KAMATA…Mabehewa hadi yatashika kutu..Na umeme ndo shida ya kudumu..Hii hadi tutakapopata kiongozi mzalendo haswa ndo kazi itamalizika.

  • @matheobaha773
    @matheobaha773 ปีที่แล้ว +3

    Mpiga picha anatufanya tusielewee kinachoelezwa kwenye video

  • @jamesjames2368
    @jamesjames2368 ปีที่แล้ว +4

    Sasa mnatuchanganya, hivi hi project itakwisha lini!!!

  • @kamanda007
    @kamanda007 ปีที่แล้ว +2

    Mnatuchosha tuu

  • @noahmadali7150
    @noahmadali7150 ปีที่แล้ว +1

    Mwaka wa 3 asilimia 95 duh au kuna mtu kabonyeza pause bila kujua

  • @HamisLICHOMBO
    @HamisLICHOMBO ปีที่แล้ว +2

    Upuuz tu siasa tu

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo ปีที่แล้ว +2

    Kipande cha Dar Moro tayari kwanini usafiri usianze wakurungwaaa

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 ปีที่แล้ว +1

    Hivi vivuko mbona imekuwa hadithi ya sungura? Yaani vivuko vitatu mwaka mzima, vingekuwa kumi je ingekuwaje?

  • @skunking9254
    @skunking9254 ปีที่แล้ว +3

    Nyie mnazingua tu Nendeni zenu😏😏😏

  • @sammyibrahim8626
    @sammyibrahim8626 ปีที่แล้ว +1

    Kila siku wanatuambia hili na lile hakuna kitu

  • @hashimshaban4675
    @hashimshaban4675 ปีที่แล้ว

    Nyie subirini uchaguzi ukikaribia mambo yote yatakuwa bambam 😂😂😂😂

  • @mmarandu2417
    @mmarandu2417 ปีที่แล้ว +1

    RIP JPM. Labda tutasikia mwekezaji aje atusaidie. Tutajiamini lini, tutajitegemea lini?

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 ปีที่แล้ว

    Ck 8 comment 28 na hi ya 29 mana ake mmewachosha watanzania 😅😅😅😅😅

  • @severinmbanza4950
    @severinmbanza4950 ปีที่แล้ว

    Mpk uchaguzi ndo mtazindua mradi nyie Serikali, hakuna kazi ni kuuza sura tu

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 ปีที่แล้ว +2

    Kichefu kochefu

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 ปีที่แล้ว +1

    RIP mzee baba Magufuli wazio huku ni mwendo wa nguo KANIKI mbele yetu 😢😢😭😭😭

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 ปีที่แล้ว +1

    Uongo wizi na uvivu. Acheni kutudanganya.!!!! Kiongozi wa nchi ni mvivu na muongo akiongoza wezi. Unadhani kuna kitu au miradi itamalizika kwa wakati???? Mfano wa awamu ya nne, uwanja wa ndege ulikwamishwa na uvivu wizi na uongo mpaka Magufuli kaja kuumalizia. Kikwete na majizi wenzake walikuwa wanaiba kila hela inayotolewa kujenga nchi.

    • @omarymkamba3045
      @omarymkamba3045 ปีที่แล้ว

      Magufuli ameongoza miaka mitano na hakumaliza hiyo reli halafu unataka Rais aliyepo sasa amalize kwa miaka miwili tu ?Huyo magufuli unayemsifia alimaliza mradi gani mkubwa zaidi ya maneno mengi tu.Kosa kubwa lilifanywa mwanzo wakati wa kuchagua Mkandarasi huu mradi alitakiwa apewe china badala ya Uturuki.Uturuki hawana uwezo mkubwa kama china

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 11 หลายเดือนก่อน

    Tatizo letu watanzania tumekuwa wabinafsi sana hatuangalii miradi kama hii na umuhimu wake kwa jamii nzima, mtu anajari yakwake tu wala haangalii kuwa kwa kufanya hivyo anachangia katika kuzorotesha ukamilikaji wa miradi. Tuna kazi kubwa ya kuwafundisha raia Utanzania na Uzalendo, vitu ambavyo ni viwili muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu.

  • @muhammadibrahim-yt8ms
    @muhammadibrahim-yt8ms ปีที่แล้ว

    Lini machine Zina Anza kasi..

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 ปีที่แล้ว

    Mifumo ya treni haisomani hivyo tumuwekezee muarabu

  • @liberatedpeople6054
    @liberatedpeople6054 ปีที่แล้ว

    Ebu boresheni jinsi mnabyochukua video za miradi tumieni drones kwa wingi

  • @backlinemgongolwa568
    @backlinemgongolwa568 ปีที่แล้ว

    Mmefer

  • @mkude
    @mkude ปีที่แล้ว +1

    Hongereni TRC hongereni serikali.kazi iendelee

  • @abdallahselemani6423
    @abdallahselemani6423 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni watu wa reli sisi tulio kuwa daresalam tunaona KAZI inavyo fanyika nyinyi mlio kuwa mbali bakini na matusi/. KAZI iendelee

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 ปีที่แล้ว

      Kuma sana ww

    • @abdallahselemani6423
      @abdallahselemani6423 ปีที่แล้ว

      @@shinipapaya846 anayo mama yako hio na ndipo ulipo Toka hapo mwana wa Haram usiemjua baba yako mshenzi wewe mtoto wa zinaa