Duh! Barakah Magufuli AMVUNJA MBAVU Rais MAGUFULI, Amwagiwa PESA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2019
  • Duh! Barakah Magufuli AMVUNJA MBAVU Rais MAGUFULI, Amwagiwa PESA..
    Rais Dkt John Magufuli, leo Desemba 14, amepokea Ndege mpya ya Tanzania (Bombardier Q400) iliyokuwa ikishikiliwa nchini Canada ilipoanza safari kuja nchini baada ya kuachiwa.
    Ndege hiyo imepokelewa Disemba 14, 2019 katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza.
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    HABARI MPYA DAILY:
    th-cam.com/users/playlist?list...
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    th-cam.com/users/playlist?list...
    GLOBAL RADIO TV:
    th-cam.com/users/playlist?list...
    EXCLUSIVE INTERVIEW:
    th-cam.com/users/playlist?li

ความคิดเห็น • 122

  • @barakachengula9144
    @barakachengula9144 4 ปีที่แล้ว +103

    gonga like twende pamoja aliye gunduwa Baraka magufuri kachapia jina la makamu wa raisi

  • @zawadiomary8195
    @zawadiomary8195 4 ปีที่แล้ว +119

    Duh kijana Baraka anaweza kwa kweli, na wewe pia ukiwa unamukubali gonga like yako ili tukujuwe kama wewe mzalendo wa nchi yetu Tz.

  • @RuzoOwzy
    @RuzoOwzy 4 ปีที่แล้ว +27

    Camera man anazingua sana. Mbona hachukua sura ya raisi wakati jamaa anaongea, na watu wanaotajwa...

  • @AliMohamed-kd1uc
    @AliMohamed-kd1uc 4 ปีที่แล้ว +14

    Hahaaaa Baraka umeamua hongera sana

  • @user-mr3fn1hc2y
    @user-mr3fn1hc2y หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri Sana kaka

  • @tazamaelinnko3722
    @tazamaelinnko3722 4 ปีที่แล้ว +8

    😁😁😁😁😁Nimecheka sana jaman

  • @thestorybooktv4847
    @thestorybooktv4847 4 ปีที่แล้ว +3

    Safi

  • @danielwanchage8734
    @danielwanchage8734 3 ปีที่แล้ว +7

    I can't say anything just to laugh🤣🤣🤣🤣
    Likes ziko wapi jamani

  • @shakilasanga5225
    @shakilasanga5225 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah Baraka upo juu

  • @iongwaezekiel9060
    @iongwaezekiel9060 ปีที่แล้ว

    Veri nice baraka

  • @ndahanimundo9075
    @ndahanimundo9075 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 4 ปีที่แล้ว +8

    ingekuwa dar ungetiwa chini ya ulinzi lakini magufuli wawatu hanaga tatizo kwa mwenye kujitafutia rizki,kwanza ndo anafurahi dah kijana unajitaidi kaka.

    • @bovabeda7261
      @bovabeda7261 4 ปีที่แล้ว

      Waambie hao mana hadi wanakera mxiooooooo

  • @neustaantony3498
    @neustaantony3498 3 ปีที่แล้ว

    Very nice my uncle B

  • @sifagerana1923
    @sifagerana1923 4 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂 Baraka Magufuli kiboko yaoooo duuuh nme enjoy saana hajawahi kosea hasa hapo kwenye Ngumi Jiwe

  • @majaliwalucasally5118
    @majaliwalucasally5118 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana ndugu baraka Mungu awe pamoja nawe kipaji chako kizidi kukuwa unaweza sana tu

  • @zagaronondo8130
    @zagaronondo8130 4 ปีที่แล้ว +13

    .mnaosema hajawachekesha mkachekeshwe na wake zenu sio lazima baraka kwani mnamlipa aunt mlimlipia nauli ya mwanza? inahuuu!

    • @wardawarda3427
      @wardawarda3427 4 ปีที่แล้ว

      Mbavu zangu mie eti wakachekeshwe na wake zenu hilo nalo neno

    • @peterkasenene5501
      @peterkasenene5501 4 ปีที่แล้ว

      Ha ha ha

  • @charlessamson5328
    @charlessamson5328 4 ปีที่แล้ว +1

    Safiii

  • @juliusjaliwa9887
    @juliusjaliwa9887 4 ปีที่แล้ว +4

    Daaaaaa mungu neema zako nizakila mtu asante kwa kumupa Baraka Magufuli kibali machoni pako kwa kumushika mukono kumwinua juu na hata Rais anasimama kwa kusalimia nakijana huu mungu upewe sifa

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 ปีที่แล้ว +6

    Rest In Peace Rais Wetu 😭😭😭😭

  • @shoelcatholine-onewiththeearth
    @shoelcatholine-onewiththeearth 3 ปีที่แล้ว

    Very nice guy. So sad that we lost a great man like magufuli

  • @africanhappyadventure6951
    @africanhappyadventure6951 4 ปีที่แล้ว +4

    Haaaaahaaaaaaaaa...Eti wa ngumi mkononi..Ukajikuta ziwa Victoria..

  • @mshangajunior8642
    @mshangajunior8642 4 ปีที่แล้ว +10

    Kweli anaeza kucheka tuu ndo anakosea

  • @haidaromar2079
    @haidaromar2079 4 ปีที่แล้ว +5

    Nakukubali sanaaa

  • @morisindabila1846
    @morisindabila1846 4 ปีที่แล้ว +7

    Fraha Yangu Ni Kuona Tanzania Yangu Songa Mbele

  • @juliaslengai3323
    @juliaslengai3323 4 ปีที่แล้ว +9

    😂😂😂😂😂😂unaweza ukaja kujitia kiherehere ukashukia upo ziwa Victoria

    • @izack9191
      @izack9191 4 ปีที่แล้ว +1

      Hapo kuna Neno kabisa

  • @rehemaradhid5716
    @rehemaradhid5716 4 ปีที่แล้ว

    Jamaniii

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 4 ปีที่แล้ว +2

    Baraka magufuli uko vizuri

  • @sadaathumani71
    @sadaathumani71 4 ปีที่แล้ว +1

    Upo vizur

  • @paulomollel8179
    @paulomollel8179 3 ปีที่แล้ว

    Ha baraka umetisha

  • @kimanthimasila619
    @kimanthimasila619 2 ปีที่แล้ว

    I like this

  • @djchila1290
    @djchila1290 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyo ndio baraka

  • @privatusngemera2914
    @privatusngemera2914 4 ปีที่แล้ว +2

    atamzawadia kabla ya 2022

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 4 ปีที่แล้ว +1

    Aiseh! anampatia Mzee Sana.

  • @dianarweyemamu7106
    @dianarweyemamu7106 3 ปีที่แล้ว

    🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @modeemojombo5662
    @modeemojombo5662 4 ปีที่แล้ว

    Kawaida sana.

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว +6

    Wajamaa wa ngumi mkononi😂

  • @allyjumanne5400
    @allyjumanne5400 4 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa usanii walo

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว +6

    Leo sauti ime mshinda kisogo sijui ni joto la mwanza?

  • @user-wc9zg6hk5s
    @user-wc9zg6hk5s 4 ปีที่แล้ว +1

    Imetuliaaaa hio hoyooooooooo

  • @dasmileofficial9702
    @dasmileofficial9702 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyuuu fala anajua mpka anaharbu

  • @privatusngemera2914
    @privatusngemera2914 4 ปีที่แล้ว +3

    namtabilia baraka ipo siku atazawadiwa gari na rais wetu

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 3 ปีที่แล้ว

    THE BIGGEST BOSS NASRI

  • @naythardarling1115
    @naythardarling1115 4 ปีที่แล้ว

    Zaidi ya xana tanzania ni nchi tajiri najivua kuwa mtanzania original

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 ปีที่แล้ว +2

    Unawez jitia kiherehere ukajikut upo ziwa Victoria hapo umeuwa 🤣🤣🤣🤣

  • @frankmalimba5539
    @frankmalimba5539 4 ปีที่แล้ว

    Kijana huyu kwer anakipaji sana hongera sana

  • @johniemarsha1561
    @johniemarsha1561 3 ปีที่แล้ว

    Rip magufuli

  • @farajhassan9875
    @farajhassan9875 4 ปีที่แล้ว +1

    Leo baraka kapotea sauti imemkataa kabisaaaaaa.,,amebugi

  • @vero57
    @vero57 4 ปีที่แล้ว

    Huyo nani katolewa kwenye kiti??

  • @annmutua4008
    @annmutua4008 3 ปีที่แล้ว

    Rip Magufuli

  • @ibrahimmwendo7379
    @ibrahimmwendo7379 3 ปีที่แล้ว +3

    R.I.P MAGUFULI😭

  • @manasedaniely8218
    @manasedaniely8218 3 ปีที่แล้ว

    Rest in peace
    Dr john pombe magufuli

  • @jerumayamwasomola1065
    @jerumayamwasomola1065 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa kiiutani utani ndio anatoka kimaisha hivo...

  • @erickwanjala8011
    @erickwanjala8011 7 หลายเดือนก่อน

    Rest in peace

  • @mipawabaya3068
    @mipawabaya3068 4 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂

  • @daudimasano5326
    @daudimasano5326 2 ปีที่แล้ว

    Magufuri oyee

  • @saidasalehe7511
    @saidasalehe7511 4 ปีที่แล้ว

    Yani utazani mwenyewe vire

  • @mwanadamtz1298
    @mwanadamtz1298 3 ปีที่แล้ว

    R.I.P JOHN POMBE BARAKA ANZA KUCHAPA KAZI KUWAKUMBUSHA WATANZANIA ALICHOKUWA AKIKIFANYA RAISI WETU

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 ปีที่แล้ว +1

    😃😃😃😃

  • @mikarospius8084
    @mikarospius8084 4 ปีที่แล้ว +1

    Idirisi sulutani mbona mlikuwa mmemufunga?

  • @mawaidhatv8557
    @mawaidhatv8557 4 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mwanaidi6551
    @mwanaidi6551 3 ปีที่แล้ว

    Dah kama magufuli mwenyeweeee pambeeee

  • @almacyokha8524
    @almacyokha8524 4 ปีที่แล้ว +16

    hahaha bangi ziruhusiwe

  • @misconsolaiha5881
    @misconsolaiha5881 4 ปีที่แล้ว +2

    Wala sijacheka kbs

    • @alexanderpius1992
      @alexanderpius1992 4 ปีที่แล้ว +2

      Sio sababu yako kama hufatiiagi hotuba za raisi utachekaje!!?

  • @vero57
    @vero57 4 ปีที่แล้ว

    Mdomo mali jamani, ukiimba pesa inaingia, ukichekesha watu pesa inaingia safi sana 🤣🤣

  • @Petersetebe9924
    @Petersetebe9924 4 ปีที่แล้ว

    Ila camera man, haujatulia cjui Editor unatuonyesha watu wengne muda mreefu

  • @mwacitywakanay2101
    @mwacitywakanay2101 3 ปีที่แล้ว

    Uuuuuuwiiii

  • @allysasya7119
    @allysasya7119 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyo jamaa ni hatare

  • @brigitamash2007
    @brigitamash2007 4 ปีที่แล้ว +5

    sijui magufuli ana ona hii kwl

  • @tz7976
    @tz7976 3 ปีที่แล้ว

    Kashindwa kutaja jina la makamu wa rais mama SAMIA SULUHU HASSAN

  • @user-pf9cd6zj1g
    @user-pf9cd6zj1g 4 ปีที่แล้ว +3

    Wala haja weza kumi iga raisi makufuli wala hache keshi

    • @joycembawala8781
      @joycembawala8781 4 ปีที่แล้ว

      Mmmh wivu tu tafuta kibali

    • @sakayonsakihunga3496
      @sakayonsakihunga3496 4 ปีที่แล้ว

      We ulioweza mbona hujaonekana

    • @gregorychogelo2013
      @gregorychogelo2013 4 ปีที่แล้ว

      Kuandika kwenyewe huwezi, nenda shule kwanza.

    • @victorjunior2073
      @victorjunior2073 4 ปีที่แล้ว

      Kachekeshe wewe

    • @Mahonda8080
      @Mahonda8080 4 ปีที่แล้ว

      Kuandika hujui masiki, hauna elimu ,kichwani hakuna kitu rudi shule kuna memkwa sikuizi

  • @zuusaidibushiri5556
    @zuusaidibushiri5556 4 ปีที่แล้ว

    Kama namuona akihesabu mwenyewe anaita fungu la kumi

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 4 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU NI WAAJABU

  • @onesmokigomba8182
    @onesmokigomba8182 4 ปีที่แล้ว

    Ndo rais wa 2025

  • @sultanking9936
    @sultanking9936 4 ปีที่แล้ว

    Kwel duniani wawiliwawili😀😀😀

  • @barromapenziking3967
    @barromapenziking3967 4 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaha

  • @maicoemmanuel9792
    @maicoemmanuel9792 3 ปีที่แล้ว

    Mikutano ya ayati maghufuri

  • @privatusngemera2914
    @privatusngemera2914 4 ปีที่แล้ว +1

    utabili

  • @antybabybintrashid2333
    @antybabybintrashid2333 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jaman

    • @alitwalib3003
      @alitwalib3003 4 ปีที่แล้ว

      Antybaby Bintrashid nampenda

  • @ashasuleiman9908
    @ashasuleiman9908 3 ปีที่แล้ว

    Mchezo ya kihindi

  • @frolenciawilliam63
    @frolenciawilliam63 2 ปีที่แล้ว

    No baati bukuku

  • @jamesnestory1907
    @jamesnestory1907 4 ปีที่แล้ว

    Mwaumeanza munch kwanzamengine badae

  • @sultanking9936
    @sultanking9936 4 ปีที่แล้ว

    Pacha wasaut yamagufuli😀😀

  • @venitarugemalila3971
    @venitarugemalila3971 3 ปีที่แล้ว

    Kweli ucje toka manundu hahaaa

  • @arubukasigwa4743
    @arubukasigwa4743 4 ปีที่แล้ว

    Kiufupi we unajikasa

  • @hamadali5062
    @hamadali5062 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania raha tupu

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l 3 ปีที่แล้ว

    Leo kakutana na kakake pacha wake wa utani😄

  • @davidrukaku487
    @davidrukaku487 3 ปีที่แล้ว

    Usk mwem

  • @TheBestPhone7918
    @TheBestPhone7918 4 ปีที่แล้ว

    🍎😅😅😅😅😅😅

  • @elihudihamisi8805
    @elihudihamisi8805 4 ปีที่แล้ว

    G

  • @zakariajoseph7890
    @zakariajoseph7890 4 ปีที่แล้ว +1

    Hata hawezi mpuuzi tu jk ndo mpango mzima

  • @ndahanimundo9075
    @ndahanimundo9075 3 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @maicoemmanuel9792
    @maicoemmanuel9792 3 ปีที่แล้ว

    Mikutano ya ayati maghufuri

  • @mahamudurajabu3846
    @mahamudurajabu3846 4 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣