UHUSIANO WA FUNGU LA KUMI NA BARAKA - MWL. HURUMA GADI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Leo Mwalimu anafundisha uhusiano ulipo wa fungu la kumi na baraka.
    Wasiliana nasi:
    +255 764 500242
    +255 673 500242
    ________________________
    Shiriki Ibada ya Jumapili kanisani Neema na Kweli
    Dar es Salaam: Sinza - Mori
    Arusha: Chama - Tengeru
    Mbeya: Sae
    _________________
    Kuwa sehemu ya familia ya Neema na Kweli: www.podcast.neemanakweli.org
    _______________
    Nunua Kitabu cha "DIRA YA USTAWI" piga +255 764500242 / 673 500242
    _______________
    Kuwa Partner wa Mwalimu Huruma Gadi :
    Mpesa 0764 500242 (HURUMA GADI)
    TigoPesa 0673 500242 (HURUMA GADI)
    _______________
    Kwa maswali, kuombewa au ushuhuda, tupigie:
    +255 764 500242 / 673 500242
    ______________
    Fuatilia Neema na Kweli katika mitandao ya kijamii:
    FACEBOOK
    / neemanakweli
    TWITTER
    / neemanakweli
    Download and Install UZIMA TIME PODCAST APP on google play store:
    play.google.co...

ความคิดเห็น • 12

  • @bennybitoke73
    @bennybitoke73 ปีที่แล้ว

    Hahahaha Maswali yangu ,Maandiko yanasisitiza kumtole Mungu. Swali langu Mungu anakaa kwa wachungaji au kwa kila mmoja wetu. Masndiko yanaposema Mungu pamoja nasi ,kwa lugha rahisi Mungu anakaa ndani ya kila aaminiye. Mungu hayuko juu wapendwaa hahaha

  • @shillahelisha8581
    @shillahelisha8581 ปีที่แล้ว +1

    Hizi sheria za Israel, kanisa halina ulazima wa kutoa Fungu la 10 kwa sheria, Bali tunaweza kutoa kwa Imani, wala sio kwa sheria zile za Israeli, Tukizifuata sheria za Israel inatikiwa tuzishike zote, wala tusiache hata moja, Kitendo Cha kutaka kufuata sheria moja, na kuziacha zingine, tunajiingizia laana, maana imeandikwa Ktk sheria ukikosea ktk moja unakosea ktk yote na Unaanza kuishi chini ya Laana,

  • @janethmwasalyanda3058
    @janethmwasalyanda3058 2 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @godwinnyambulapi6816
    @godwinnyambulapi6816 ปีที่แล้ว

    Duuuh!! Let God punishes the devil

  • @sangameshack8007
    @sangameshack8007 3 ปีที่แล้ว +1

    Mambo mengi unapotosha ndugu

    • @oscarobed6930
      @oscarobed6930 3 ปีที่แล้ว

      Tena wewe mkinga... Utajiri wa kawaida watu wanaumiliki na maagano magumu sana ya mizimu na uganga... Ila kwa Mungu wa Kweli unadhihaki watumishi wa Mungu kwamba ni ujasiliamali mbona kwa Kipande husemi hivyo?
      Ni hekima kunyamaza km jambo haujalielewa ili ujipe muda ulielewe kuliko kupinga bila ufahamu

  • @eusebionjau8993
    @eusebionjau8993 6 ปีที่แล้ว

    Somo hili limetuweka sawa. Ubarikiwe Mwl. Gadi.

  • @abrahambalamba6679
    @abrahambalamba6679 2 ปีที่แล้ว

    Duh! Mimi bado sielewi agano lipi tushike la kale au jipya? Kuna kazi kuiepuka torati.Kama ni utajiri kuna watu hata story ya fungu la kumi hawaijui lakini ni matajiri sana.

  • @festoambakisye4999
    @festoambakisye4999 2 ปีที่แล้ว

    Abrahamu aliendelea kutoa fungus la kumi wakati wote? au mara moja?

  • @lwimboderick7479
    @lwimboderick7479 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana!
    Naomba tafsir ya hii.
    Kumbukumbu la Torati 14:23 Nawe utakula mbele za Bwana, Mungu wako, mahali atakapochagua apakalishe jina lake, zaka ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yako ya ng'ombe na ya kondoo; ili upate kujifunza kumcha Bwana, Mungu wako, daima.
    Kumbukumbu la Torati 14:24 Na njia ikiwa ndefu mno nawe, usiweze kuzichukua kwa kuwa mahali ni mbali nawe mno atakapochagua Bwana, Mungu wako, apakalishe jina lake, hapo atakapokubarikia Bwana, Mungu wako;
    Kumbukumbu la Torati 14:25 ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua Bwana, Mungu wako;
    Kumbukumbu la Torati 14:26 na zile fedha zitumie kwa cho chote itakachotamani roho yako, ng'ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako cho chote; nawe utakula huko mbele za Bwana, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako;
    Kumbukumbu la Torati 14:27 na Mlawi aliye ndani ya malango yako usimwache, kwani hana fungu wala urithi pamoja nawe.
    Kumbukumbu la Torati 14:28 Kila mwaka wa tatu, mwisho wake, toa fungu la kumi lote la maongeo yako ya mwaka huo, uliweke ndani ya malango yako;
    Kumbukumbu la Torati 14:29 na Mlawi kwa kuwa hana fungu wala urithi pamoja nawe, na mgeni, na yatima, na mjane aliyefiliwa na mumewe, walio ndani ya malango yako, na waje wale na kushiba; ili kwamba Bwana, Mungu wako, akubarikie katika kazi yote ya mkono wako uifanyayo.

    • @lwimboderick7479
      @lwimboderick7479 5 ปีที่แล้ว

      Inaonekana hawa jamaa walikua wanakula wenyewe hii zaka.... ;

    • @MwalimuHurumaGadi
      @MwalimuHurumaGadi  5 ปีที่แล้ว

      Shalom Limbo Derick! Hayo yalikuwa maelekezo katika agano la kale kuhusu fungu la kumi.