Amina amina 1 Kor 5:7 Basi, jisafisheni, mkatoe ile chachu ya kale, mpate kuwa donge jipya, kama vile mlivyo hamkutiwa chachu. Kwa maana Pasaka wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka, yaani, Kristo;
Haya mafundisho ni adimu Sanaa kuyapata na haswaa ktk kizazi hiki Cha mafuta ya upako,maji,kokoto,vitambaa,mchanga kutoka kaburi la Yesu,picha na sanamu za Yesu mzungu.maana "Mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache"
Upo sahihi mchungaji nashukuru sanaa kwa kunifungua fikra nilisumbuka sanaa Mungu akubariki uzidi kufundisha kweli
Amina amina
1 Kor 5:7
Basi, jisafisheni, mkatoe ile chachu ya kale, mpate kuwa donge jipya, kama vile mlivyo hamkutiwa chachu. Kwa maana Pasaka wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka, yaani, Kristo;
Mungu akubariki sana Mtumishi tumeteseka saana mko wapi mtudaidie maana tunaambiwa sisi ni majizi
Mungu AKUBARIKI SANA MCHUNGAJI Umenibariki Sana kwa mafundisho Yako hakika nimefunguliwa akili na Roho kwa mafundisho Yako🙏🙏
😅 ongeza sauti mtumishi
Amen amen glory belongs to God
Revelation from the Lord God bless you 👏👏
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu mafundisho ni sahihi
Ukweli umenifurahisha mtumishi WA kweli
Haya mafundisho ni adimu Sanaa kuyapata na haswaa ktk kizazi hiki Cha mafuta ya upako,maji,kokoto,vitambaa,mchanga kutoka kaburi la Yesu,picha na sanamu za Yesu mzungu.maana "Mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache"
Ukweli mtupu kabsa
Amina
Very powerful revelation...
Nimebarikiwa
Ameen
Ahsante Mchungaji
Unanibarki sana.
Amina
Your blessed Groly to God
Naomba nipate contact yako
Maana ili ili upendwe na mchungaji lazima utoe fungi LA kumi na usipotoa huoneshi ushirikiano na hupati kibali chochote
Huyu kanisa lake liko wapi na linaitwaje
Kisutu shule ya secondary ya wasichana