NEEMA NA KWELI SEHEMU YA II - MWL HURUMA GADI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Tambua tofauti iliyopo kati ya agano la kale na agano jipya, sababu ya Mungu kuingia agano mara ya pili, na jinsi ya kuishi sawasawa na agano jipya. Ungana na Mwalimu Gadi akichambua utofauti huo, nafasi na ushirika wako katika agano.
    Kwa kupata somo kamili tembelea: www.podcast.nee...
    Facebook: @ neemanakweli
    Twitter: @ neemanakweli
    Email: info@neemanakweli.org
    Tel: +255 764 500242 / 673 500242

ความคิดเห็น • 7

  • @abrahambalamba6679
    @abrahambalamba6679 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nimeipenda hii injili.

  • @pendomatei846
    @pendomatei846 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa mungu mungu akubariki nakuomba nipo mbali Ila ninaamini sema Neno moja tu nami pendo Matei chuwa uchumi wangu utakuwa salama mwalimu wangu

  • @jorgesarahchannel3082
    @jorgesarahchannel3082 6 ปีที่แล้ว

    nmebarikiwa sana sanaa na Neno LA Leo. I wish ungekua dar nmeskia umesema upo arusha .ubarikiwe na bwana naomba uwe unapost kila video ili na sisi wa mbali tukue kiroho.

  • @mrjooh1505
    @mrjooh1505 6 ปีที่แล้ว

    mumgu akubaliki mtumishi wa mungu mm nimtoto wa mchungaj waneema nakwel tbr

  • @rogathrugaiya8015
    @rogathrugaiya8015 7 ปีที่แล้ว

    amen barikiwa mtumishi

  • @AlexMaduhu
    @AlexMaduhu 3 หลายเดือนก่อน

    😅

  • @jorgesarahchannel3082
    @jorgesarahchannel3082 6 ปีที่แล้ว

    bwana apewe sifa ! kwa kanisa unapatikana wapi mwalimu ? mim nipo maeneo ya airport dar es salaam