Yooote aliyasema huyu Mtumishi wa Mungu, ndo mana wanampiga vitaa daah, Mungu amtunzee Napenda nyimbo zakee huyu mamah daah alijua kubariki My childhood till now❤🎉❤🎉
Ni wa kumbea Sana..nampenda mno..Ukipoteza nafasi kwa Bwana,kuirudisha ni gharama,ili mgarimu daud kukaakwenye Toba miaka mpaka kuimba zabur.Sijui ni darasa gani analopitishwa.
@@norahkimuyu9097 God is merciful, I strongly believe He will revive her. She is anointed to serve God and reach many souls through music. The devil has no dominion over.
2020 anyone? Corona time? I always loved this song (s) and will always will because it gives me comfort in knowing that when Christ comes for his church and those who have died in him, thoso who will be left behind will not say thy were never warned, were never told!! It was right there but you hardned your heart chosing to live the of the king of the world satan🤝
Poor me, always coming back to search for the English translation each time I feel this song Playing in my mind even after 15 years ,authentic gospel 😭😭🙏🙏🙏🥰💕
Huu wimbo unaendana na maisha halisi ya saizi kuliko ata wakati umetoka. Nimeuangalia zaidi ya mara 30 ndani mwaka 2024, Nikama Unabii halisi wa maisha ya kizazi cha saizi. Mungu aturehemu na kutuhurumia, watoto, wetu, Jamii na Taifa letu. Eh Mungu tuokoe na haya majanga, upotevu maadiri, sasa na ata Milele. "2024 winter season in China."
Nikiri Tu hyu Mama Yangu alikuwa mbele ya Muda Saana yaani haya aliyoyaimba hapa Ndo tuko nayo Leo... Mungu akulinde sana mama Rose muhando na ndio maana Mungu alimuokoa na majaribu yote aliyopitiaa alihubiri Neno na Kweli isiyogoshiwaaa.... Nakupenda mama
unayoyapitia ni lazima yakupate kwa sababu kwa uimbaji huu jua kabisa unavunja kazi za shetani, Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu usimame tena Dunia inakusuburi ili watu wazidi kuokoka
@@isaiahmaiyo4746No she signed with Sony back in 2013, and at that time she already did 3 albums including her very first UWE MACHO which was released in 2004. So get your facts right
Revelation 3:11-12 King James Version 11 Behold, I come quickly: hold that fast which thou hast, that no man take thy crown. 12 Him that overcometh will I make a pillar in the temple of my God, and he shall go no more out: and I will write upon him the name of my God, and the name of the city of my God, which is new Jerusalem, which cometh down out of heaven from my God: and I will write upon him my new name.
Am still watching it. This is the real gospel music, man! I remember when I was in class 8, my mum bought a CD of this album, Uwe Macho. I used to watch it twice a day. I would watch it at 5:00pm when I come home from school, and at 9:30pm at night before I went to bed! It really blessed me fully.
Am in Uganda, though i don't understand Swahili very well but am so blessed by all Swahili gospel artists from all African Swahili speaking countries.Jah bless u sister R.Muhando+your team.
Who is still here with me this year 2024 🎉🎉weka like Yakama ni tanu TU ubarikiwe sana
❤
Niko Bado na sing'oki ng'o.
❤❤❤
Ooh Niko hapaaaa
@@YvonneNjeri-cb7yw be blessed sister
Nataka vijana wa 2024 wagonge likes noma hapa🎉
Tunaoendelea kusikiliza huu wimbo 2025 gonga like hapo
Came here in 2024 and whatever Muhando was worried would happen is happening, may God help us
Very sad all has happened
Nani bado tuko wote tunasikiliza huu wimbo 2023
Tuko hapa enyewe ni siku za mwisho rose muhando was right.. 2023 still watching this.
mm hapa rose bado nyimbo zake kwangu ni mpya
Im here.
Here I am...vibes men
🇰🇪🇰🇪
Please sijawahi pata like hata moja, kama unaupenda huu wimbo nipigie like ntashukuru. Amina milele.
Amina bro wangu.
Nani bado tuko pamoja tukisikiliza hii nyimbo 2024
❤
Very powerful
November 2024 bado tupo pamoja kutazama huu wimbo from Canada, nipeni like jamani msinibague 😊 sijawai pata like 😢
Nakuambia huu wimbo uniguza roho kila wakati
❤
Amen , ubarikiwe
Mungu ni mwema 2024 now bado tunaendelea kuvuta Pumzi yake 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
1:49 1:51
N 2:03 2:05
Who is here 2024 and all this things are happening 😢
Exactly All these things are
I'm here with you...
I'm here too
I am here with you
Prophet song
Kama bdo upo 2024 like tumshukuru MUNGU kwa uweza wa yte
Yooote aliyasema huyu Mtumishi wa Mungu, ndo mana wanampiga vitaa daah, Mungu amtunzee Napenda nyimbo zakee huyu mamah daah alijua kubariki My childhood till now❤🎉❤🎉
2024 mko wapi🎉
❤❤
tupo🤸🤸
Hapa April
Tupoooo from 2004 to 2024 ni kumshukuru mungu kwa pumzi
I'm lusaka
Bado nasikiliza nyimbo kali za Rose twende pamoja kama unazipenda
Mimi pia napenda nyimbo zake zote Mungu akubariki Dada
Nani anazipenda hizi nyimbo za rose na anaziangalia mpka Leo 2021
Am here now june 2021
I'm July
Tuweni Macho Dunia imechafuka 🙏🙏
Me🙋🙋🙋🙋
Still in 2022 they got some vibes never got bored with this album since my childhood
Mi 2022
After Christina Shusho, we now want Rose Muhando TBT concert.... Ile kudance nimedance hapa.... nani ako ready compe 😂😂😂😂
I swear😂
😂😂😂😂😂🙌
Mimi Bado nausikiliza wimbo huu una ujumbe mpana sana
Pia nimeamua peke yangu coz huta simama na baba, mama, ndugu wala jamaa; oh my, may God bles u sister for that inspirational gift.
Kama unatazama hii 2023 gonga Like twende sawa
Tupo pamoja
Tupo pamoja
Her songs never get old 🖤
Love you Rose
Kenya🇰🇪🇰🇪
Mimi nazipenda nyimbo zake mom R
Still watching 2023,Rose muhado original,wa saa hii ni imitation
Tunapomalizia 2024, makofi tafadhali kwa miss ROSEE
Tunamaliza mwaka huu wa 2024, na bado Niko hapa. Good song
Neno la Mungu litazidi kuwa lipya.
Rose abarikiwe
Nani yupo namimi 2019?
May God bless you dada Muhando.
From Rwanda I love you
ataopon
Karangwa Fred December 7th 😊🙏🏻
2020 nimepoz hapa naenjoy tu
mm hapa 2020
Hallelujah, be blessed @Muhando 4.2020 From Rwanda
who is watching mteule uwe macho in 2019🤗
MUNGU akubariki sanaaa mtumish wa bwana
vp
My all time favorite ✋✋✋
Nko ndaani mteule Uwe macho
you are definitely the first
She was going through a lot but Glory to God, She won the fight and She is now winning souls to Christ. God bless you Madam Rose.
I see Russia, Hamas, Gaza today and see Rose saw all this coming. You internet how our ladies are surely nobody changed You were truly ahead of time
This lady had seen the future .all what is happening currently may God have mercy on us.
This lady was ahead of her time.
Tanzania has talent musically (both secularly and gospel)
Ni wa kumbea Sana..nampenda mno..Ukipoteza nafasi kwa Bwana,kuirudisha ni gharama,ili mgarimu daud kukaakwenye Toba miaka mpaka kuimba zabur.Sijui ni darasa gani analopitishwa.
God was preparing her
that’s y she’s still a hit despite of the challenges
God does not forsake his
Indeed, Tanzanians are natural Musicians
2020 Nani Ata simama mbele za mungu aulize adhabu hii ya corona 👌
,,,,,,00000000000000000..0.0.00000.0000.....000000.....0.. .0...9.9.00000..9.9000
Mteule kuwa macho
Dada hakika wew ndio malikiya wa nyimbo za din
Ll
Mteule uwe macho wewe
This woman is annointed, there's something special about her 🖤🤍💚❤🖤
True 💯
Q
No lie
True
2023 and everything she in the song is happening...maandiko yanatimia
I'm here 2024 to watch and listening this message from the leaving God. Asante mtumishi Rose Mhando
Nilijua niko peke yangu 2024 kumbe tuko wengi, hii kazi ilikuwa na mafuta ya kipekee. Barikiwa sana mdada Rose kokote ulipo ❤❤
Nakumbuka mbali sanaa nikiwa mdogo enzi hizo MUNGU akubrk mtumish wa MUNGU 2019 bado naipenda hii nyimbo GOnga like tuonyeshe upendo
Tuwe macho kweli wapendwa
2021 I'm still listing this....ni nani atasimama mbele yake
2021
A song that has a very deep meaning.its now Wide Open.Everywhere.
Really good to listen this song lift my soul to God
Mary mutheu
Asante mama mungu yu nawe mie nafarijika Sana kupitia wimbo huu
I love so Much This music
From Ivory coast 🇨🇮
Everything she sang is coming to pass in this generation
2023 tuwe macho mwajionea wenyewe wakenya 🇰🇪 Rose muhandos message is a wake up call
Rose Muhando is need of the prayers of every person that God blessed through her music... Am in the list
All is well with her in JESUS name...Amen and Amen....
@@norahkimuyu9097 God is merciful, I strongly believe He will revive her. She is anointed to serve God and reach many souls through music. The devil has no dominion over.
I pray that GOD to restore her life
Also am with you.
Lkmjhg I'm h do can change j hi hi hi jjju no i
Song made me go to church till today
I'll never get tired for listening to old muhando she was the best
Nipo hapa bado nazidi kubarikiwa....na namuombea rose muhando alipo mungu asimame nae kwa wakati huu mgumu ...Amen
Amin mungu atamfanyia reheme
Mm hapa nabarikiwa na huu wimbo San rose nakuombea San Kwa mungu hakuponye
Who else notices her accent is more close to Kenyan Swahili 🇰🇪 . We appreciate this great music and Artist too 🇹🇿
Swahili is from Tanzania originally and singing has no accent
Rose is more Kenyan difference ni ID tu😄
@@mcback4384 Swahili originated from the Kenyan coast then the trading spread to Zanzibar. Read your history before misleading people
@@picsandvidstv1348 never ever
Huna haya unajikomentisha uozo wako hapa pumbavu kiswahili cha Tanzania nyie wakenya siwapendi km nn
She was going through a lot,yet she sung with all her might,Thank you God for restoring Rose again.2021..
this is the reason she defeated the devil akashinda mauti Glory be to the Most High
True.
Thanks to Lord 🙏 Jesus Christ
For sure God has done well to her again!!
2004 i was very innocent but😊 i loved this song for life❤❤❤❤ very good song❤❤😊 it is 20yrs later strong❤ 2024 show love please❤❤❤
As a Kenyan,I tap in the this blessings. Thank Madam Rose for the anointing over you. Thank you God Almighty for your Daughter
2020 anyone? Corona time?
I always loved this song (s) and will always will because it gives me comfort in knowing that when Christ comes for his church and those who have died in him, thoso who will be left behind will not say thy were never warned, were never told!! It was right there but you hardned your heart chosing to live the of the king of the world satan🤝
Nani ikohapa 2020 rewo anisaidiye kuusikiriza huuu wimbo nyimbo zahuuu dada yangu Rose zanibariki sana
Nko apa na ii Corona
Nani Yuko nami mwisho wa 2019 nipe like haki mama rose be blessed and god lift you up again...🙏🙏🙏🙏
Poor me, always coming back to search for the English translation each time I feel this song Playing in my mind even after 15 years ,authentic gospel 😭😭🙏🙏🙏🥰💕
It's almost 20 years since the song was released in 2003 or 2004
This song was a prophecy .Now is 2023 and it's realy happening.Woooi God have mercy.Christ Jesus is coming soon.Iet's us repent.
There will never be like Rose Muhando
There never will be
🎧 2021😩still enjoying these beautiful songs by Rose Muhando.💗
I love the song ever
Same here
here I am in 2024 listening to this song.....I will get tired of listening to your old songs kwa sababu hazichoshi rudi huku si yenye uko sahii
She is the best,kilawimbo wake iko na barua,mwenye sikio asikie
Who gonna rescue us people if not God, ooh load besiege our lives, give us right directions in everything, I don't want to go to hail
Huu wimbo unaendana na maisha halisi ya saizi kuliko ata wakati umetoka. Nimeuangalia zaidi ya mara 30 ndani mwaka 2024, Nikama Unabii halisi wa maisha ya kizazi cha saizi. Mungu aturehemu na kutuhurumia, watoto, wetu, Jamii na Taifa letu. Eh Mungu tuokoe na haya majanga, upotevu maadiri, sasa na ata Milele.
"2024 winter season in China."
Gonga like kama bado huko hapa august 2024
She prophesied through this song, all is coming to pass. May God rescue us😢😢
Imgn it has come to pass as we look with eyes.....
Exactly
Jesus is coming soon
Anaye sikiliza huu wimbo 2023 like jamani,,, na kiukweli yasemwayo kwenye huu wimbo nayaona
Duhh nimesikiliza huuwimbo nikaitazama nadunia ilipofikia basitu Mungu tusaidie
5/10/2023 being Blessed this morning with Rose Muhando songs
Sometimes i think this song was a prophecy, we a in a world of lgbtq , na makanisa imenyamaza tu mungu tusaidia 😭
Nikiri Tu hyu Mama Yangu alikuwa mbele ya Muda Saana yaani haya aliyoyaimba hapa Ndo tuko nayo Leo... Mungu akulinde sana mama Rose muhando na ndio maana Mungu alimuokoa na majaribu yote aliyopitiaa alihubiri Neno na Kweli isiyogoshiwaaa.... Nakupenda mama
unayoyapitia ni lazima yakupate kwa sababu kwa uimbaji huu jua kabisa unavunja kazi za shetani, Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu usimame tena Dunia inakusuburi ili watu wazidi kuokoka
True yote ni majaribu Nina iman mungu atamsimamisha tena
Sema mama !! Mungu wetu wambinguni ukuandalie makao makuu mbinguni amen
Swal la ushoga limekithiri sasaiv Mungu wangu tufiche wapi watoto wetu wa kiume Mwenyez Mungu atuhurumie 😢😢😢
Locked in watching ROSE who else is here
2022 na bado na sikiza huu wimbo unanikumbusha mbali sanaa..keep up good work madam rose muhando ubarikiwe mama.
Kwa watumish wa 2019 like hapa kam unaelew kaz hiz
2024 hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah am here to listen to this Gospel 🥰🥰🥰
Just listened to the lyrics,Rose was ahead of time.The kind of immorality happening now,homosexuality...she sang them all.
I never stop listening to Rose. She will always be the best. God bless you ❤❤
Never underestimate the power of a gospel song
When Rose was not featuring other artists she was more anointed than nowdays
Right...but she was a captive of Sony production back then ...now she is as free as oxygen
That's true
True I see that too
@@isaiahmaiyo4746No she signed with Sony back in 2013, and at that time she already did 3 albums including her very first UWE MACHO which was released in 2004. So get your facts right
She had prophetic eyes,, she saw far then than we could see. Her words are like a piercing sword in the heart of a sinner. God help your generation
2024 and is still a blessing it will be sung by the future generation
May she live longer to have another album like this one.
the prime Rose Muhando times, they were very powerful songs
Mungu akufanyie wepesi upone kwa araka
Ameen🤲🤲❤
BIBI MAMA YETU YUKO MKE WA UKWELI MVAO WAKE HESHIMA KABISA 🤟🏾🤟🏾🤟🏾👍👍👍👍✊🏿✊🏿✊🏿❤❤❤❤
Nani atasimama mbele ya hasira ya Bwana .....God have mercy on us
This song was released when I was in class 7 now am working class it has been a blessing to me.wapi likes za Rose our mother.
2022 and still among my best hits
tupo pamoja
Revelation 3:11-12
King James Version
11 Behold, I come quickly: hold that fast which thou hast, that no man take thy crown.
12 Him that overcometh will I make a pillar in the temple of my God, and he shall go no more out: and I will write upon him the name of my God, and the name of the city of my God, which is new Jerusalem, which cometh down out of heaven from my God: and I will write upon him my new name.
Am here may 16 2022
Pamoja
huyu ndo rose mhando ninayemjua mm so wa sasa anaruka ruka tu
Am still watching it. This is the real gospel music, man! I remember when I was in class 8, my mum bought a CD of this album, Uwe Macho. I used to watch it twice a day. I would watch it at 5:00pm when I come home from school, and at 9:30pm at night before I went to bed! It really blessed me fully.
Hello? Hope all is well with you
Ni wimbo utakaosikilzwa muda mrefu sana tokana na ujumbe wake. Abarikiwe Rose
Wah wah this is more than a talent but being annointed by the holy spirit
This song is becoming more real as days go by. Wateule tujiandae
Am in Uganda, though i don't understand Swahili very well but am so blessed by all Swahili gospel artists from all African Swahili speaking countries.Jah bless u sister R.Muhando+your team.
If you are Ugandan then you don't know Kiswahili the language of east Africa mean cares Western culture than African, ni ushamba huo.
byolaba ebigenda mumaso munsi byeyayimbako nga ebis....
@@josephmchila6467 ka vile umeongea na hasira vile lakini sote ni wtoto wa Mungu hi ni mpaka
hujaongea vizuri hata kidogo
jirekebishe kaka
Ako na mudomo chafu kabisa mungu akurumie😢😢
Hii album ya Rose uniguza Roho yangu! Tunakuombea sana Rose uendelee kutuimbia nyimbo za kutufariji
Rose was a prophet for sure, she was really and truly chosen 💯
Yaani 13 years ago I used to play Rose Muhandos songs for hours! Her songs blessed me and she is one of my favorite with Don Moen and Lenny Le blanc
Nani anaupenda huu wimbo kama mimi
Mm kakangu 🙏♥️
Mungu niwezeshe niwe macho katika siku hizi za mwisho
Nimim naupenda wimbohuu
wengi tunaupenda wimbo huu"the old is gold"
Imagine here admiring you rose October 2019 from USA
May God restore this grace Rose operating.mteule uwe macho siku hizi ni za mwisho
y 5. m
mmm km
m
Nani atasimama na kutuliza ghadhabu ya Bwana siku za mwisho...2023 soo powerful and spirited
Monday 23rd September 2024... We are still here. God bless you Rose.