This is how we end 2024 as we usher in 2025. Alinguruma 2023, ananguruma 2024, atanguruma 2025 na hata milele. Hallelujah! Gonga like kama tuko pamoja.
Ndo maana mnasikia,yote ya Dunia yatapita lakini neno la mungu litasimama, that's why we are here listening to old songs,they really carried a solid meaning.
As we start new year 2024 🎉🎉🎉🎉 lets all gather here and say Simba wa Yuda is Lord Jesus Christ. And when Jesus's voice heard it heals souls ❤ 2024 is our year 😊
Simba wa yuda anaendelea kunguruma 2024 almost 2025 one month to simba endelea kuningurumia nikiwa huku saudia 💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻if you are watching now weka like huku
Is there any other person who feels like literally King David,king David,Moses ,Miriam and all their powerful and glorious procession hqve suddenly vacated heaven and come back on earth with their trumpets,tombourines,stringet instruments,and drums and all in unison with the Holy saints joining into such an emmaculate procession to praise the Lord......May 2024 here I am again
If it's imperatively Inspiring here! What about in heaven.I tell, if you miss heaven here, you will also miss heaven even after here. It's either Yes ✋️ Wait or No or never.
Amen Yesu simba wa yuda ananguruma katika maisha yangu na ya familia yangu yote anatulinda sisi sote na anatupa maisha marefu ya amani,furaha na fanaka yake, Amen asante Yesu Kristo 🥰🥰🥰🙏🙏🙏
Leo ikiwa ni tarehe 17/11/2024 nikiwa Egypt...yani kwa Farao huu wimbo umenirudisha utotoni na saii bado ina bariki kweli nyimbo za kale tutaishi nazo hadi milele🙏🙏
Thanks GOD KWA KUNIGURUMIA MWAKA WA 2024 KWA HAKIKA WE NI MUNGU NILIPITA MAHALI HATA SIKUDHANI BUT ULIGURUMA NIKAFANIKISHA NINAIMANI HATA HUU MWAKA UMESHAGURUMA NI HUSHUDA TU IMEBAKI 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Dunia itapita na mambo yake yote lakin Neno la Mungu litabaki milele,hakika neno la Mungu halibadiliki wala kupita ni miaka mingi toka uimbwe huu wimbo lakin Leo 2024 unasikika na kubariki mioyo ya watu kama umeimbwa jana ❤❤
Sisi wakristo tunapenda UMOJa sana Kuna hii nyimbo ilituweka mahari pamoja sana akuna kanisa aikuwahi kupiga huuu wimbo na watu waliamka kuucheza 1993........2005 ilikuwa tuliinjoi sana makanisa unajikuta kuisubili kwa hamu kubwa jumapili
Pastor Tanui Brook Reformed Church of East Africa, you left a legacy in our lives! Your car used to play these songs and you blessed our hearts! Rest in eternal peace legend! May God continue uplifting your family
@@mercychepngetich5969 aaaw what do you mean? He was such a legend! It was his favourite song, I remember it to date, 10 years down the line since he passed on! Good to hear this! May his soul rest in eternal peace. Thankyou so much for responding to this! I hope you are doing well.
Nakumbuka nyakati zile zilikuwa ngumu mno Ila ni kweli ukiwa na kuvumilia na utamwamini Mungu anatenda muda huu naendeeleea kumtukuza kwa Baraka zake tele. Hakika asingaliakuwa Mungu sidhani kama tungalikuwa hata Leo
This is how we end 2024 as we usher in 2025. Alinguruma 2023, ananguruma 2024, atanguruma 2025 na hata milele. Hallelujah!
Gonga like kama tuko pamoja.
If you watching this beautiful song in 2024 lets gather here
Checking in 🎉🎉🎉🎉❤
I ddnt know there are videos
Am here kumbe nazekaa
Here in Capetown right now ❤🎉
I'm here ooo,watching from saudia but Kenyan
Kma bado unaikubali hii nyimbo bas gonga like❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kabisa hii wimbo inaweza
Ki😢😅@@KIPSANG1mhmoy
Hii haiezi zeeka
2025 still a blessing song 🙏
Ndo maana mnasikia,yote ya Dunia yatapita lakini neno la mungu litasimama, that's why we are here listening to old songs,they really carried a solid meaning.
Very much true
Old school but hitting like it was released yesterday ❤❤❤❤❤❤❤❤, thank you @Kijitonyama choir for the good 👍👍👍👍👍👍 work.
As we start new year 2024 🎉🎉🎉🎉 lets all gather here and say Simba wa Yuda is Lord Jesus Christ. And when Jesus's voice heard it heals souls ❤ 2024 is our year 😊
Amen 😊
Hallelujah
Simba wa yuda
Amen!
Simba wa yuda who's with me as we start 2023 with this....amen
Me here
Estamos juntos
Is that you mummy❤
Simba wa Yuda ananguruma❤❤ Ee Yesu Simba wa Yuda ukaungurume mwaka 2024🙏🙏 niuanze salama nikiwa na wewe na familia yangu, Amen
Amen ❤
Hallelujah 🙏
Upako hauzeeki kama Mungu aishivyo hajawahi kuwa mzee na hatakuwa mzee siku zote
How I miss the childhood lifestyle, attending church service without problems in our hearts, then dancing to this song with undisturbed minds
Still enjoying it October 2024
Upako kumbe hauzeekagi..nilianza kuusikia na kubarikiwa na huu wimbo nikiwa na miaka 7 hivi Nina miaka 34 na bado upako ndani ya wimbo bado unagusa
Upako hauishagi
This song really reflesh mind 4:15
Mungu hazeeki wala neno lake milelee
@@elizabethkinyanjui3323y
😊000
Hu,wimbo,na,sikia,kulia tu,jamani hebu,yesu ajukwe usukani,maisha yangu,na,anilinde,ju ya,mahatu,mengi
Lolela umone kuwama kwa Lesa...wait upon the lord in order to see his goodness🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲BEMBA from Zambia.....subiri ❤️❤️
Simba wa yuda anaendelea kunguruma 2024 almost 2025 one month to simba endelea kuningurumia nikiwa huku saudia 💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻if you are watching now weka like huku
@@JaneMogere-my3fi Mimi nasugua hamam bila stress kabisa nokiburudika na hii nyimbo
@@NeemaStephen-oe4wwniko nafua nikiwa naiskiliza
Is there any other person who feels like literally King David,king David,Moses ,Miriam and all their powerful and glorious procession hqve suddenly vacated heaven and come back on earth with their trumpets,tombourines,stringet instruments,and drums and all in unison with the Holy saints joining into such an emmaculate procession to praise the Lord......May 2024 here I am again
If it's imperatively Inspiring here! What about in heaven.I tell, if you miss heaven here, you will also miss heaven even after here. It's either Yes ✋️ Wait or No or never.
Here in 2023,dancing and celebrating the Lord with this spirit filled glorious gem.
Heaven we are going I tell you💃💃💃
Still being blessed🎉❤❤
Hizi nyimbo kweli zilikua na utukufu sana. I personally am blessed when listening to the song 🙏
Sana
Who's here in 2024 😢😢😂😂💽🙏🙏🇲🇿
Am here 2024 November 9
I ain't here!
I'm here 21 november 2024😂
me here i thank god fir the gift of life
We are here
As teenager till now @38yrs...the songs is Soo powerful
as I am starting 2025 let voice of simba wa yuba nguruma on plans and future .
Amen Yesu simba wa yuda ananguruma katika maisha yangu na ya familia yangu yote anatulinda sisi sote na anatupa maisha marefu ya amani,furaha na fanaka yake, Amen asante Yesu Kristo 🥰🥰🥰🙏🙏🙏
Amina! Yesu ni Bwana!
❤ BwanaYesu Asifiwe wimbo huu unabamba mtima wangu naukibali sana haushiwi utamu masikionimwangu esu nguruma mwaka 2025 maishani mwangu
Hii nyimbo aisee nakumbuka msim kama huu wa ckukuu kwenye mkesha kanisan full kubalikiwa jmn
Nairobi Kenya represented 2023. Amazing song, tamu sana
The Lion of Judah is roaring 🤗🥰
May it roar throughout 2024 in peace 😊
Leo ikiwa ni tarehe 17/11/2024 nikiwa Egypt...yani kwa Farao huu wimbo umenirudisha utotoni na saii bado ina bariki kweli nyimbo za kale tutaishi nazo hadi milele🙏🙏
This song energises my spirit in worship. I am non Swahili speaker but my spiritual hears it.
Praise God.
Songs of the times with sincerity,no show offs
Thanks GOD KWA KUNIGURUMIA MWAKA WA 2024 KWA HAKIKA WE NI MUNGU NILIPITA MAHALI HATA SIKUDHANI BUT ULIGURUMA NIKAFANIKISHA NINAIMANI HATA HUU MWAKA UMESHAGURUMA NI HUSHUDA TU IMEBAKI 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Simba wa yuda atanguruma tuende ngambo 2025🎉
One of the best Tanzania has produced... 2023 still sounds fresh
Am here watching from Uganda
Lazima anguruma kwa wamutumainio tu❤❤❤
Mimi pia mwimbaji tafadhali nipeni subscription
Who is here in 2025
I'm here 🎉
🎉
Here from Zambia 🙏🏽😊💃🏾
👋
Still a blessing in 2025
Kweli nyimbo ihi ina upako, nataka Simba angurume katika nyumba yangu adui arudi nyuma. Amen
Amen
Simba wa Yuda niyo Yesu muchungaji wangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hakika hakuna na Kama mungu, sitaacha kamwe kutukuza yeye maishani mwangu Amina
Wanasalimu wanakilutheri wote katika jina la mwana yesu kristo....ELCK na ELCT
Leo nimejikuta naimba huu wimbo. Acha Mungu aitwe Mungu.
Wimbo mtamu sana.
Dunia itapita na mambo yake yote lakin Neno la Mungu litabaki milele,hakika neno la Mungu halibadiliki wala kupita ni miaka mingi toka uimbwe huu wimbo lakin Leo 2024 unasikika na kubariki mioyo ya watu kama umeimbwa jana ❤❤
Uyu Mungu ni simba wa Yuda kweli, hallelujah
Nimeparikiwa na nyimbi kanisa ya yudub
Akiguruma mvua inanyesha.
Wenye wanawatch December 2024 mko wapi siwawoni
I'm watching and listen properly now
Since when i was mutoto until now, nasikilia this song2022. Mungu ni Simba wa Yuda, kweli❤. Mungu asifiwe, hallelujah. 🙌🏾🙌🏾
Is nice song Mey God bless you all
Who's here in 2024🎉❤😢
Simba wa Yuda Yani Naupenda huu wimbo mpaka Naupenda tenaa❤❤❤
Eeeei it's still as sweet as yesterday.i watched this and danced in mindolo at the college. Am telling you God's glory never goes old 😂❤
Kweli kanisani raha❤❤TBT ya nguvu .Muimbaji aendelee kubarikiwa mahali alipo 🎉
Kwl abalikiwe zaidi
Nikisikia huu wimbo imani yangu inaongezeka Amen
My elder brother died in 2004 singing this song, Emmanuel hope u are an angel watching over me😢😢life is tough 😢😢😢
Jina ya Mungu ipewe sifa milele na milele
Oct. 2024 km upo hapo tuonane kwa 👍
Enziizoo nilikuwa kijana mdogo sana nilikuwa nyimboo hiii ikipigwa sikamatiki kwa kucheza saivi na miaka 31 sasa 😂😂😂🙏🙏🙏💥
😂😂😂😂😂😂😂hata mm baba alikuwa akitupanga njomukasheze nitawapi pipi 😂utacheza hadi kufa😂😂
2024december Let us praise his name.
Tunakaribia kufunga mwaka tumshukulu mungu na huu wimbo
November 6th 2024 God thank you for life wewe ni simba wa yudah
I woke up singing this song in my mind am blessed aky🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nimerudi kuiangalia tena 15/12/2024
Nipo hivihivi from Pretoria South Africa but am a Malawian 🎉🎉😅
16/12 2024
17 /12/2024 saa 23:37 usiku, Twendekazi mwanawane
19 /12/2024😅
I love this when worship and praise was not corrupted by the worldly standards
amina nina barikiwa kupitia nyimbo zako mtumiishi
Greetings from Uganda,Jesus Christ reigns ❤
Tunaoendeleaa kutizama huu wimbo leo tujuane
wale wa 2025 tuko wapi
Simba wa yuda
Imagine ithought I was alone here 2023 .. and am surprised to see you guys 🙀..be blessed and know that's how we Will all see each other at HEAVEN 😢
Amen
Hapo ni wakati wokovu ilikuwa wokovu kamiili.wacha yesu atawale milele🙏
I love this song so much while I was in salgaa my mum may your soul rest in peace ❤🎉this song made me remember my mum love you likes to follow
every family while I was growing up hard this on their CDs😂😂 a blessing to have heard this masterpiece
Very true😂😂na ile ya around the corner
@@shemgodwill2671 Jesus is coming😅😅
❤❤❤😂😂😂😅😅😅
Wimbo ,ata neno lolote lamungu hazeiking.kila saha nimpya tu,hamujambo sana wenye sikilizeni,mungu awabariki🙏🙏🙏🙏🙏
Simba wa yuda ,,naomba ukagurume maishani mwangu n change it for your glory
Amen naamini mwaka huu atanguruma Simba wa Yuda ktk maisha yangu.
October 2024🎉🎉 haichoshi Mungu wetu anaunguruma💪🏾💪🏾💪🏾🙏🏼🙏🏼🙏🏼
this song brings back the nostalgic childhood memories ,still a blessing
Sisi wakristo tunapenda UMOJa sana Kuna hii nyimbo ilituweka mahari pamoja sana akuna kanisa aikuwahi kupiga huuu wimbo na watu waliamka kuucheza 1993........2005 ilikuwa tuliinjoi sana makanisa unajikuta kuisubili kwa hamu kubwa jumapili
Na Bado tunaenjoy 2025 hii 😂😂😂
Pastor Tanui Brook Reformed Church of East Africa, you left a legacy in our lives! Your car used to play these songs and you blessed our hearts! Rest in eternal peace legend! May God continue uplifting your family
I can't believe I found your comment..I'm from Brooke and this song used to grace our Sunday morning adi hapo new testament 😊😊😊wooow
@@mercychepngetich5969 aaaw what do you mean? He was such a legend! It was his favourite song, I remember it to date, 10 years down the line since he passed on! Good to hear this! May his soul rest in eternal peace. Thankyou so much for responding to this! I hope you are doing well.
You mean he isn't alive? Am broken.😢
I do not understand the language but the voices and the music touches my soul. I can feel Gods great love. Viva Africa Viva.
88
Simba wa Yudah ananguruma meaning the Lion of Judah roars....
Kweri kuna watu wana nyota ya wimbaji nami naomba hiyo nehema us kwimba
Songs that can take you somewhere in the spiritual realm
Being blessed by this song like have never heard it before ,, since childhood and now am mother of two
Wimbo Safi, mmeuvaa vizuri saana!!!
Old is gold subiri uone baraka za Mungu💯
Aisee Mungu ni mwema naupenda sn huu wimbo
Since childhood I still can't get enough of this song..God bless you
Be blessed
I love this song Soo much, hooo lika baba, lika Saka, labo sika,,
Still enjoying the song in December 2023
2025 here we go 🔥🔥 praise God
powerful song still enjoying from zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Kwali wimbo unaupako mwingi sana BWANA Ameinuliwa
2025 still here, Kenya itaokoka. Glory to God.
Am so blessed by this song ,I heard it when I was a kid and to it hits hii choir ibarikiwe Amen
Turazikunda nyimbo za mungu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Nakumbuka nyakati zile zilikuwa ngumu mno Ila ni kweli ukiwa na kuvumilia na utamwamini Mungu anatenda muda huu naendeeleea kumtukuza kwa Baraka zake tele. Hakika asingaliakuwa Mungu sidhani kama tungalikuwa hata Leo
Watching from Zambia 👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌am blessed by their music 🙏
Huu wimbo duuu,!!!!
Aiseee basi tu, hii dunia......
Ningependa wacheza vyombo wanipigie gospel yangu
Junior Kenya kisii
Entering 2024 as I listen to this song. Hallelujah
2022....iam still getting blessed with this vessels of honour 🙏🙏🙏
2023
this is one of the best gospel praise song that has brought light in my life.
may God bless you forever. ...AMEN!!
Watu wa nyagacho.... mnakumbuka time ya crusade how we used to sing the song ... with love ♥️♥️♥️♥️♥️🙋♂️🙋♂️🙋♂️🤦♂️🤦♂️🤦♂️🙏🙏🙏🙏🙏💚💚💚💚
Wueh, tuko hapa bro..those were the days. I dearly miss them 😭
2023 and still blessed with this poweful song
It remains as if it was sung this month ...Gods grace