KUSHINDA ROHO YA USINGIZI NA UZITO || PASTOR GEORGE MUKABWA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- #jrcchurch #jrctz #Tanzania
Jesus Restoration Center ni kanisa liliopo Mwanza, Tanzania (Kirumba Polisi Mwisho wa Lami) Likiongozwa na Pastor George Mukabwa.
Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa
Gospel Teachings for soul winning Purpose.
Hawwa ndio waubiri wa ukweli wazidishiwe kipawa na MUNGU zaidi
Kwa kweli postor una roho ya ukweli ndani yako ,yaani mahubiri yako inabadlisha hali ya maisha, barikiwa sana 🙏
I don't know nilichelewa wapi kumfahamu mtumishi wa Mungu huyu but definitely kupitia mafundisho yako naona Mungu anazungunza na Mimi kabisa Praise the Lord no more darkness .🙏🙏🙏.
Hakika sina Cha kumrudishia Mungu Kila nikifikiri aliyonitendea kwenye maisha yangu nabaki nasema ASANTE ASANTE YESU KRISTO hakuna wewe kwenye maisha yangu
Baba nipe neeema ya kua macho kwa jina la yesu🙏🙏🙏🙏🙏
Bwana yesu asifiwe pst George, mafundisho yako yananibariki sana yananiongeza hatuwa moja baada ya nyingine.
Amen ,Mimi nahishi tu kwa NEEMA tu ya Mungu ,kama sio huyu YESU 😭😭 sijui ningelikuwa wapi ,, Glory Glory be to God ,,niniti Nguvu mungu wangu Ili nikutumikie nyakati zino za mwisho ,,natamani moyo wangu uwe na KIU ya NENO lako Eeee MUNGU wangu😭😭
Asante pasta kwa mafundisho mazuri mungu akubariki
Nimetoka leo Pastor,,Asante Mungu akutunze sana,,17/11/2024🙏
Ameen,naliinua jina lako Mungu maana unastahili baba,kama siyo wewe Mungu sijui ningekuwa wapi,asante kwa ajili ya mtumishi wako mlinde na kumpa afya njema,muinue kwa viwango vya juu zaidi Baba
Amen 🙏
Asante pasta nimeamka kuanzia sasa
Uyu ndiye mtumishi awalishi watu mikate iila anawalishe Kila neno linalotoka kinywani mwa Mungu na analifikisha kama lilivyo
Utafika mbali sana baba,na mimi napita njia hizi,barikiwa baba🙏🙏nakupenda sana ipo siku tutaonana
Libarikiwe jina la bwana mungu wetu kama sio yeye sijui ningekuwa wapi mungu wetu ni muamnifu amejawa na neema na rehema tele❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Barikiwa sana mtumishi wa mungu ninapenda huduma zako zimenisongesha kiwango chengine
Amina baba Mungu kupitia wewe anazidi kuniinua
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu mafundisho yako yananijenga mno
Kwa kweli mafundisho haya ni mazuri juu mimi nilikua ni melala usingizi lakn kuanzia sasa acha nifanyie kazi mafundisho haya mungu akubariki kwa mafundisho mchungaji
Amina mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukuinua hakika tunabarikiwa sana kupitia mafundisho yako
Ahsante yesu
Mungu akutunze baba .azidi kukupa nguvu na neema y kutufundisha zaidi ❤
JRC mkumbukwe na Mungu daima asante kwa kuabudu pamoja nasi
Ubarikiwe mchungaji wangu Mimi hapo Pana nihusu Mungu anisaidie lazima nitoke
Jmn hili kanisa wamshukuru Mungu amewapa mtumishi wa kweli. Nawaonea wivu.
Mungu akubariki mno baba maaana niwengi tunapona kupitia mafundisho yako
Barikiwa mtumishi wa mungu nimepona kupitia mahubiri haya.hakika wewe ndie
Oooh haleluya mungu ni mwema ❤❤❤❤❤ Kama si mungu nisingefika siku ya leo
Asante ashukuliwe Mungu wa haki kwa fadhili ulizonitendea.
Mafuñdizo yako postor kuna Mahali inanielekeza mungu akufunulie zaidi.
Asante sana MZEE WANGU. Mwenyez MUNGU akutinze
Hakika matendo ya Mungu ni makuu sana maishani mwangu,huwa natafakari namna àmenipigaania katika ndoa yangu iliyokuwa na misukosuko mingi na upinzani mkubwa sana ,nilikua ndo kwanza nimeeolewa nikaiona ndoa ngumu sana nikiwa binti ila Mungu amenivusha ktk Hali ya ajabu sana nashindwa niseme nini Kwa Mungu wanguuu👏👏👏👌❤️Jesus ninaemtegemea maishani mwangu ,ninashuhuda nyingi jamani ,IPO nguvu ya ajabu sana ktk kuomba wapendwa!!🖐️🖐️
Ubarukiwe
Amen!!
Ame
Amina baba ubarikiwe
Amen
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, Neema ya uzima ikufunike,uishi miaka mingi nimejifunza na kupokea kwa kiwango kikubwa.
Nipo south Africa 🇿🇦 toka nianze kumfatilia pastor George nimebadilika saana
Amina mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana Kwa mafundisho. Nakuelewa sana unachofundisha ni maisha ya Bwana Yesu,. Tunapaswa kumfuata yeye.
Amen nashukuru sana Mtumishi wa Mung ubarikiwe
Ameeen❤❤ thanks God for TH-cam watumishi kama hawa tungewapata wapi.
SHALOM pastor George mukabwa Mungu akuzidishie mafuta
Nabarikiwa sana na mafundisho yako mtumishi mungu akubariki sana nimekua nikikufatilia sana
Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu,,nakutazama nikiwa Kenya na unabariki moto wangu sana,,,nimejifunza mengi Toka kwako,Nena neno kwa maisha yangu ya wokovu na pia kwa huduma yangu ya uimbaji na kuongoza maombi kanisani,,,ubarikiwe sana 🙏🙏🙏
Bwana asifiwe pastor,,nabarikiwa sana,, from Kenya ,westpokot county
Leo hii Nimepokea maono kwa jina la yesu🙏
Ujumbe mzuri
Ameen mtumishi asante kwa ujumbe huu mtumishi God bless you 🙏
Amen
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu awe nawe siku zote za maisha yako azidi kukutumia.
Amen mtumishi wa mungu akubariki sana Ninabarikiwa sana na mafundisho yako.mungu aendelee kukuinua zaidi katika viwango vya juu zaidi 🙏🙏🙏
😭😭😭🙌🙌Mimi hata sijui asingelikuwa huyu Mungu kunitetea kwa mkono wake wa nguvu adui angelinimaliza nasema tena ASANTE YESU 🙏🙏
Amen 🙏 🙏 🙏 from kenya you are a blessing to many 🙏people
Same here 🇰🇪🇰🇪 this man of God is sually a God's sent
Mingu qkibariki sana mtumishi mimi naitaji kuwa macho kiroho
From Kenya, listening 🎧 from Arabia.......Who else is feeling the presence of God while listening this man of God Daily ananijenga kwa imani....aki Mungu amubariki🙏🙏🙏🙏🙏
Aki mimi.i wish nilimjua huyu mtumishi kitambo.ananibariki na kubadirisha mawazo yangu ninapomskiza.more grace unto him
Baba Mungu mkumbuke mtumishi wako huyu na uzidi mpa,maarifa
Amen Amen sina chakumrudisha Jehova
Mungu Nina Ku rudishiya utukufu wako mwenyewe una stahili.
Mubariki paya mtumishi wako Pastor Gorge apekuwa baraka sana iwangu
😊😊😊😮
ASANTE NIMEONA MKONO WAKO🙏🙏🙏
Asante Yesu ....leo tar 21/11/2024
Aminaa Mungu ninasema Asante Mungu mwaminifu maana nimeona mkono wako mkuu maana umenipe kibali tena mwezi moja pokea sifa na utukufu maana unasitaili Baba mtakatifu maana mim kwa akili yang nilipanga safari ukaniambia bado mda mwanangu Mungu Asante maana nakuona kila saa kwangu Mungu pia namwombea mfunike kwa Dam ya Yesu kiristo mtunze mlinde Mubarak san Amina 🙏🙏 🙏
48:08
Nabarikiwa sana from bukoba
Mafundisho ni mazuri sana Barikiwa
MUNGU akutunze kwa umri mrefu uendelee kua Baraka kwa wengi we love you so much
Amen. Ninapokea nguvu mpya 🙏
Nabarikiwa sana🇰🇪🇰🇪
Hakika Ni Mungu tu, Amen.
Anayekufuatilia atapokea kitu kutoka bwana
Amena Sana🙌🙌🙌🙌🙌
Amina Sana 🙌🙌🙌🙌🙌
Mungu akubariki mtumishi ,mungu akupe maisha marefu ili akufunulie na mengine utufundishe zaidi ,tunatamani kumwona Mungu kupitia mafundisho yako , naitwa wema mbawala nipo ruvuma wilaya ya Mbinga ,fanya ziara na huku kusini
Barikiwa sana
Kazi ya Mungu haina makosa neno la Mungu ni tamu kabisa
Nabarikiwa na
Mahubiri yako Mungu wangu Nipe macho ya rohoni na nisilale usingizi wa mauti Amen
Asante Bwana,naomba uzidi kunifungua kupitia mahubiri haya kupitia mtumishi wako❤❤❤🙏🙏🙏
Postor,umekuwa msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu,Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.
Asante Yesu kwa ajili ya Neema ya kumsikia mtumishi wako George,
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍 Amen nimeelewa
Amen!!!!Mungu naomba unipe maarifa yakuingia nakutoka. Niwe kichwa naniwe mkuuuuu sanaaaaa
ubarikwe pastor by sammy nakukumbuka sana🙏🏾🙏🏾
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu... Nashkuru Mungu umenitoa mahali.. Amen
Asanteh Mungu Kwa kunilinda kulinda familia asanteh kulinda mtumishi wako pia,
Huyu mtumishi ananibariki sana sana. Mungu akuzidishe akupake mafuta mabichi kila iitwapo leo
❤amen Mungu anisaidie nishinde roho ya uzito kwanzia leo nimesikia neno la Mungu kupitia mtumishi wake
God bless you mafundisho yako iko sawa kbx Niko Saudi Arabia
Asante mungu kwa huu ujumbe pastor mungu hakubariki sana
Ameen BABA MUNGU azidi kukulinda ,,unanibariki sana na mafundisho yako 🙏🙏🙏🥰
Mungu huu amoja nawe
Asante mtumishi wa Mungu mafundisho yako yamenizaidia sana,kutoka Kenya.
Nashukuru kwa neema ya mungu amenipa siku ya leo aninunganishe na ushirika wa roho mtakatifu pamoja nanyi kwa jina la yesu krito mkombozi wetu Emen emen 🙏🙏🙏 mungu wa amani akulinde akupiganie kila wakati
Kwakweli mchungaji mungu azidi kukubariki Kila siku unanipa kitu kipya ndani yangu ,
BARIKIWA MTUMISHI KWA MAFUNDISHO..AMEN AMEN 🙏
Kweli kama si mungu kijana yangu angeuawa na majambazi mungu kweli asante
Aksante sana Mungu kwa ajili ya mtumishi wako past George Mukabwa.
Amen amen sina cha kukurudishia wewe Jehova🙏🏻🙏🏻
Mungu akubariki sana mtumishi nimejifunza kitu kipya
Mungu akubariki Sanaa mtumishi was bwana,nabarikiwa Sana na mafundisho yako baba ,Mungu akutunze akupe Tena maono siku Hadi siku,zaidi Mungu aongeze maarifa kwako ili nasi wasikiaji tupate kupona nafsi zetu ,naitwa wema naishi Ruvuma wilaya ya mbinga
Nabarakiwa namafundisho Yako Bab Mungu azidi kukupa mafuo
Bwana Yesu asifiwe pastor George Mukubwa, nabarikiwa sana na mafundisho yako. Nipo Dar es salaam. Nitafurahi siku moja nikikutana na wewe, you always speak about my life when you preach. Mungu akubariki sana
Karibu sana
@@ShamahMassoy asante sana
Ubarikiwe pastor mafundisho yako yananijenga sana kiroho.
@@ShamahMassoyMina mc unanibariki sanaaaaaaa 👏
Huwa nabarikiwa nafunguriwa namuona MUNGU KUPITIA kipidi hiki siku nikikuona nitafurahi sana
Nabalikiwa sana na huduma zako
Amen mchungaji barikiwa sana🙏🙏
Asante sana mtumishi wa Mungu,Mungu akubariki sana,kuna kitu umenibadilisha sana ktk maisha yng,Mungu akukumbuke uendelee kutufungua
Amen,umenibariki mtumishi wa Bwana,ni Rumari Letimba nikiwa Kenya samburu
Amena❤
Roho wa Mungu nisaidie
Amen and amen thank yesu
Sifa na utukufu ni Kwa Jehova aishiye milele barikiwa Kwa mafundisho mchungaji mukabwa
Amina mtumishi hakika namshuru Mungu kwaajili yako, kunakitu nimepata kupitia mafundisho haya
Pastor you are a great blessing to me,I love your teaching..am from Nakuru county in Kenya
Amen! Amen! Amen May God bless you abundantly mtumishi wa Mungu
Mungu ni mwema sana.
Mtumishi mahibiri yako yanamwanga mkubwa sana. Hakika tunaangamia kwa kukosa maarifa. Nimejifinza mengi.
Nimesililiza nikiwa chato geita Tanzania.
Balikiwa sana postor mungu akuongezee hekima mingi saana Niko kenya
Am watching from Nairobi, nimebarikiwa zaidi na Mungu akuzidishie uhai ili uendelee kutuelimisha❤❤❤ mafundisho.