Yaani wabongo bwana. Wanataka mtu atafute hela halafu aje awape wao connection kwenye biashara yake. Sasa mnalazimisha awaambie eti awape mchongo😂😂😂. Alichosema ni sawa....hela unatakiwa uwe na akili sio eti upewe connection. Na tusiseme ana dharau, yeye kaongelea wanaomsema sema. Ukuona anakukera usimfatilie.
Only God knows how much grateful i am. After so much struggles I now own a new house and my family is happy once again everything is finally falling into place!!
Allah abariki kazi za mikono yetu Mungu abariki ambacho hawakitaki ambao wanajifunza kunichukia na hawape ambacho hawana uwenda ndosababu ya vitimbi vyao
mm nimependa sana icho unachokifanya mm apo kipindi cha nyuma2019 kulikua nakituo chawatoto mayatima nlikuwa naenda sana kuwasaidia natembea nao sehemu wanazoenda kuwaombea watu dua ila kwasasa nimeshuka sana kimaisha ila mapenda sana kuwasaidia
Hii ujumbe ni kwa vijana wote wanao tamani na kumfuata uyu jamaa: Chef godlove ana ndugu yake wa dam kabisa ambae kuna mdaa wana onekana pamoja, ivi kwanini hule hana utajiri kama yeye ?? Tena yeye mambo zake zote anazi weka public kwanini hajawai ku tangaza biashara yake ??, Na wale ambao walisha jiunga nae wamesha fanikiwa kiasi gani ?? Kiukwel Kwa mtu mwenye busara na hekima kuna maswali nyingi zaku jiuliza, ila tumpongeze kwaku saidia watu ila msi tese mwili na akili zenu kwaku tafuta mafanikio kwake.
Yani kiufupi vijana wa kiume tutafute pesa ili tuje kutamba kama wanavo tamba wenzetu comment zako za majungu hazito mrejesha nyuma mtu yoyote yule na kama unaona jamaa ana feki life basi na wewe jaribu kufeki ili tuone 😅
Hidunia yaleo mtu Akifanikiwa tuu utasikia frimasoni au mchawi yani Mungu Abariki mtuu wakisaidiwa masikini ndotabu tena wa Afrika Awapendi kusaidia wezao imejengeka wakisaidia ni wazungu tuu kanuni ya Mungu iliubarikiwe nikutoa eri kutoa kuliko kupokea Mungu Anahangalia mtu anae wajali wezake hili apitishe baraka zake Zaburi 41:1-2. kaka Mungu Akubariki
Waambie wabongo wawache ujinga mwingi mbona sisi uku kenya mombasa cement alikua akisaidia watu wengi sana mbona atukumzamia maisha yake wabongo mulimaka na freemasons sana wacheni maswali mengi kwa chief godlove?
Hii Dunia Sio ya mama yetu tafteni michongo carry anajaribu kutu entertaining Alafu mnazingua unatukana mtuu humjui laana ndio zimetanda kwenu mungu awasameme bure pumbavu comment humjui aaaaah
Hii interview ni superb 😊
Mwenyezi Mungu azidi kumpa zaid na zaid, ila namuomba Mungu anijaalie niwe na moyo kama wake wa kusaidia masikini
Hongera kaka kwa mchango wako kwa matendo kama haya lazima MUNGU akuinue zaidi
Yaani wabongo bwana. Wanataka mtu atafute hela halafu aje awape wao connection kwenye biashara yake. Sasa mnalazimisha awaambie eti awape mchongo😂😂😂. Alichosema ni sawa....hela unatakiwa uwe na akili sio eti upewe connection. Na tusiseme ana dharau, yeye kaongelea wanaomsema sema. Ukuona anakukera usimfatilie.
Nakubaliana xn na kazi yko tena napenda vile unaongea we n mtu unajielewa naomba niongee na wewe ntafte ili unipe njia nfaulu
Chief nakukubali sana tafadhali nipemuongozo
Only God knows how much grateful i am. After so much struggles I now own a new house and my family is happy once again everything is finally falling into place!!
Chief kijana ambaye anapenda mafanikio lazima hampongeze mwezake aliyefanikiwa hongera sana chief
Allah abariki kazi za mikono yetu Mungu abariki ambacho hawakitaki ambao wanajifunza kunichukia na hawape ambacho hawana uwenda ndosababu ya vitimbi vyao
Mwaka wa mbele ni upi kaka😂😂😂😂😂huu utiaji wa kijana mwenye sura ovyo ataacha
Nakubali chief keep it up
Boss mimi nampeda historic wake Sana ❤❤❤❤❤ Kuja DR CONGO
MWENYE PESA HASEMI
ILA SHETANI ANATANGAZA ILI KUTAMANISHA WATU ILI WAMUASI ALLAH SW.
unaongea point chef
Nakubali xnaa mzee,,,
😂😂😂😂😂😂😂SEMA HUYUU JAMAA ANAKITU ANAKIFICHA CHA AJABU SANA SEMA TUACHE KILA CHENYE MWANZI KINAMWISHO ATAZIKUMBUKA SANA HIZI INTERVIEW 😢😢😢😢
Kweli kabisa
Iko wazi pesa za uhanisi sio kaka
Nawaza kama ww😢😢😢
Ndugu tusifike huku wapo matajiri wamekufa na UTAJIRI wao Kama yule TAJIRI wa ndurudoto Arusha 😅😅😅 mengi kafa akiwa tajiri
Ameulizwa swali anazunguka mmubuyu tena anakuwa mkali kweli,huyu ametumwa na shetani kupitia nguvu ya pesa
Mw. Mungu akubariki
Congratulations 🎉 keep up bro
Kama mtihani ashafeli..swali alilouliza hajajibu mpaka interview inaisha😂😂
Kwa wanaokaza fuvu ndo watasema hajajibu
Lakini ashajibu
Mpaka useme hela uliotoa Jenga na wewe golofa tuone
Hela za giza huwa hazina maelezo wala majibu....ndio maana jamaaa anazunguuukaaaa hatoi jibu
Anazunguka mbuyu.
Kweli ndani ya kenya watu wakukubali bro
Huyu kajiunga na Freemason 😂
Sasa Mwijaku amesema mchango katoa yeye kumbe kapewa😂
Unafanya kazi gan
Baba hongera
sema pia unajibu kisiasa sana broo inamaana siudanganye ataunafanyakazi flani2,,,!!!
Chief pleaz nataka kujiunga na nguvu ya pesa jicho la tatu mi nipo mosh mjin
Leo king'amuzi kipo sawa
Masha allah
Uyu akipigwa vizuri atatja hela anatoa wapi
Akipigwa na nani
😂😂😂😂
Kama huwezi kuwainfluence vijana kwa kuwaonyesha michongo inayoeleweka acha kubwata ovyo na kuonyesha pesa zako
Ndio MKUU 😂😂😂
God love uko vizir
Caption iendane na video plsss😂
Nipo Kenya nakukubali chief...
Kweli bro hiyo gari kenya haina man
Aiseee bro wewe ni jinia bro the way majibu unayo jibu unajibu majibu sahihi sana
Baba wa wajane🤔🤔🤔🤔
Wa kumnyenyekea ni Allah tu range prado jeep safari yetu ni moja na gari jeneza😢
Hahahah haluna rang hapo bro
Nikweli kabisa
Bana ujajibu swali😅😅😅😅
Mzee pesaro mini alafu hauna mabeby.....aaaaah
Kwenye level ya life jamaa yupo kwenye stage ya self actualization😂😂..watu wachache sna wamefika hii level dunian
Mungu akubariki kwa utoaji wako nakubaliana na wwe mia mia utajiri wenye huwezi kumsaidia mtu basi hizo hela ni makaratasi
Fika ile stage ya Ginimbi but uzae usife kama Ginimbi bila mtoto but big up+254
Hogera sana
mm nimependa sana icho unachokifanya mm apo kipindi cha nyuma2019 kulikua nakituo chawatoto mayatima nlikuwa naenda sana kuwasaidia natembea nao sehemu wanazoenda kuwaombea watu dua ila kwasasa nimeshuka sana kimaisha ila mapenda sana kuwasaidia
#nakubari chifu ww nidunia
Kataa wahuni@polepole
Hii ujumbe ni kwa vijana wote wanao tamani na kumfuata uyu jamaa: Chef godlove ana ndugu yake wa dam kabisa ambae kuna mdaa wana onekana pamoja, ivi kwanini hule hana utajiri kama yeye ?? Tena yeye mambo zake zote anazi weka public kwanini hajawai ku tangaza biashara yake ??, Na wale ambao walisha jiunga nae wamesha fanikiwa kiasi gani ?? Kiukwel Kwa mtu mwenye busara na hekima kuna maswali nyingi zaku jiuliza, ila tumpongeze kwaku saidia watu ila msi tese mwili na akili zenu kwaku tafuta mafanikio kwake.
Barikiwa chifu God Love kwa mchango wako wa rambi rambi
Can you please help me with money to buy my 2boys clothes for December holidays R5000
Yani kiufupi vijana wa kiume tutafute pesa ili tuje kutamba kama wanavo tamba wenzetu comment zako za majungu hazito mrejesha nyuma mtu yoyote yule na kama unaona jamaa ana feki life basi na wewe jaribu kufeki ili tuone 😅
big point...
Fact bro
Uchawi. Mshirikina, mapete ya uchawi
Wewe mtangazaji toka wakenya mdomoni mwako usiekele maneno wakenya chief twamkubali
Huyu jamaa hana kazi yeyote kuna namna anapata hela kwa kutumia nguvu za giza lakini very soon atatoweka kwenye ulimwengu wa hizo pesa
Ujumbe umemfikia huyu shetani
Nawew tafuta hizo za giza na matako yako
@@saidilome-ue2df😂😂😂😂😂😂
Mzee pesa mingi alafu mabeby haunaaa???....aaaaah
Unga😄
Jibu swali unafanya biashara lipa Kodi ya serikali. Ndo maana wanahoji.
Mungu azidi kukutunza kukupa hitaji la moyo wako my brain
Kenya bro reng ni 50 million ksh weka kwa pesa ya tzd
Tuashum ni million 50 we unazongap kama mkenya mbn mnajikuta mbwa nyinyi na hela hamna
kaka wambie burooo tusaidiane ata sisi. Tuwe kama ww nakukubali Sana ngependa kampan yako kwangu buroo pulix
Hidunia yaleo mtu Akifanikiwa tuu utasikia frimasoni au mchawi yani Mungu Abariki mtuu wakisaidiwa masikini ndotabu tena wa Afrika Awapendi kusaidia wezao imejengeka wakisaidia ni wazungu tuu kanuni ya Mungu iliubarikiwe nikutoa eri kutoa kuliko kupokea Mungu Anahangalia mtu anae wajali wezake hili apitishe baraka zake Zaburi 41:1-2. kaka Mungu Akubariki
Kwahiyo ukitaka kujiunga kwenye group utalatibu unakuaje
zilongwa mbali zitendwa mbali jibu unafanya kaz gan
Kenya is another content be carefull....
Huyu nani kwanza ,,Yani uyo jamaa Kenya atumjui,,, million mbili ya tz apa Kenya fundi garage anatengeneza bila ugumu
Chif hapo kwa mayatina upo sawa
Bro nahakika umeshinda vita vngisana mpaka umefika kumilik pesa ww ni tajir watafel wao sio ww
Mbona hajajibu swari😅
Jeneza halina matairi 😆😆😆
Me nk na mafanikioa ambay wazi wao hawana daah chief imetosha
Nakubali mkuu
Jibu swali., unatoa wapi pesa.?!
Akil gan unayotumia
Haaaa jama kwelewa swahili ni vigumu... Question is so simple where do you get money from!/which business?????????
Mmmmmh hapo Kuna shida
Nikweli chif nimekukubali
Viela 200, 300. He means 200m au 300m😂😂😂😂😂😂
Mtoto mdogo shida nyingi sana hivi uko na wazazi kweli wewe?🤔
Xana brother
Mtangazaji boya kabisa saplaiz ndo nini😂
Hakikaaa pesa huleta maneno
Wenye roh mbaya hawawezi na hawana moyo kama wako bro powa chief
Silazima ujue kaxi mtu anafanya ili ufanye nini
Waambie wabongo wawache ujinga mwingi mbona sisi uku kenya mombasa cement alikua akisaidia watu wengi sana mbona atukumzamia maisha yake wabongo mulimaka na freemasons sana wacheni maswali mengi kwa chief godlove?
Freemason kama freemason😂😂 hakujibu swali 😂😂😂
Hata pididi alikuwa anasaidia vijana nakulea mtoto ssie wakwe ila nyuma yapazia alikuwa namazito
I LOVE YOU TH-cam ❤❤❤😂😂😂😂😂😂
Mke wa godlove ni yupi? Kama huna mke sisi wakenya tumeamua kukupa mke ukue shemeji yetu.
Hii Dunia Sio ya mama yetu tafteni michongo carry anajaribu kutu entertaining Alafu mnazingua unatukana mtuu humjui laana ndio zimetanda kwenu mungu awasameme bure pumbavu comment humjui aaaaah
Jibu unafanya BIASHALA gani? Na unalipa Kodi ya selikali wp?
What are you doing for a living?
Ni swali la kawaida sana kijana mdg anashindwa kujibu hili swali kuna namna apa
instead of asking him questions, go and do secret investigations, that's the common sense of journalism
Mnataka kazi yake mbona yenu haijui😂😂😂
Duuu ukweli utajulikana tu siku moja
Fanya kazi uache uhoro
Fanyeni kaz iviakiwambia kaz anayofanya mtaifanya masikini wanamaneno sana
Wawache wivu watu wasake helaaaaa
Weekaa ukisubil ukwel watuwanasonga
Lengiiiiiiiìiiiiìi
Apo kwa yatima sikuamini mm acha hiyo tabia bro usiwa kule masikini mungu anakuona
Chief isije kua na wewe ukienda kwa PDiddy na wewe husemi 😂
Hyu akishikiwa fimbo atasema ukweli 😂😂 kama pesa zipo au taabu to
MAELEZO MENGI MZEE BABA