Alimkataa MWANAUME ALIEMSOMESHA ili aolewe na TAJIRI,yaliyomkuta kwenye HARUSI yake ni zaidi ya MKOS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 454

  • @raymonadsaliboko3068
    @raymonadsaliboko3068 3 ปีที่แล้ว +16

    Jumapili njema kwa wakrito ote! Mungu atuepushe na maovu

  • @sabunitv2121
    @sabunitv2121 3 ปีที่แล้ว +153

    Wanaosikiliza huju wanasoma comment had wanapitwa na badhi ya point nakuback walike hapa!😃👇

  • @fudasiakishe15
    @fudasiakishe15 3 ปีที่แล้ว +2

    Hkuna kitu kibaya Kama maagano, umaskini wa huyu binti ulimfanya ajiingize kwenye matatizo yaliyomvurugia maisha yake. Leo mabinti na vijana tujifunze kumtegemea MUNGU BABA kwa Kila maisha tunayopitia.

  • @mosesdominic3915
    @mosesdominic3915 3 ปีที่แล้ว +9

    Aisee hii ni story ya pilii nasikiliza kutoka kwenye account yakoo , hongera sana bro keep it , utaibadilishaa jamii kwakuiwekea attention

  • @eliasurious7419
    @eliasurious7419 3 ปีที่แล้ว +14

    Ningemuachaa tu Mungu angenipa, maisha mengine yenye mafanikio

    • @urbanboy9699
      @urbanboy9699 3 ปีที่แล้ว

      🙄🙄 utasaidia wangapi hadi kufa kwako?utakufa maskini

    • @maryamahaji9627
      @maryamahaji9627 3 ปีที่แล้ว

      Kutoa ni moy so utajir

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba initokee mimi hiyo baraka ya kupata mwanaume wa kunisomesha sitamuacha Kamwe katika maisha yangu

  • @dennisrono622
    @dennisrono622 3 ปีที่แล้ว +24

    From Kenya mwanamke Huyo alikipata sawasawa displin

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂Slijua hajuii

    • @amanbethod8611
      @amanbethod8611 3 ปีที่แล้ว +1

      Tamaa mbele mauti nyuma, Mungu humlipa mutu kulingana na matendo yake

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

      @@amanbethod8611 ndohivyoo yamemkutaa somo hiloo

  • @happynessathanas8644
    @happynessathanas8644 3 ปีที่แล้ว +4

    Hivi hapa wana_comment wanaume tu au wanawake?
    Maana mm Kama mwanamke nimeshindwa niongezee nn coz sio kwa mabango haya, lakini pia hii story imeonekana kumuangukia mwanamke ebu na wanaume pia wakumbuke na wao wanatuumiza vilevile. Kikubwa tu katika MAHUSIANO mshirikishe mungu akupe ubavu wako, ukilazimisha ubavu wa mwenzio ndio zinakuwepo shida hizoo...

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 3 ปีที่แล้ว +1

      Sasa kwanini amchune masikini alafu akaponee kwa tajiri.!?
      Kama alikutana na huyo tajiri toka mwaka was kwanza si angemuambia ukweli huyo tajiri kuwa hana wa kumsomesha ili aachane na masikini mapema tuu.
      Kuliko kumsubilisha mtu na huku ana gharamia matumizi alafu unaenda kuliwa kizembe na mwingine...
      Yaaani siku hizi ukiahidiwa ooooh! Tusifanye chochote hadi ndoa jua uko karibu kupigwa...

  • @leahjohnsimba1628
    @leahjohnsimba1628 3 ปีที่แล้ว +1

    Hata wanaume wanatuumiza Sana unakuta kaoa kumbe anazaa nje ya ndoa ukifahamu unapigwa kudharauliwa wanaume wamekuwaw wasaliti Sana namuunga mono Daudi kwenye biblia alimlilia yonathani akasema upendo wako ulizidi wa mwanamke, wanawake hupenda kwa dhati hao baadhi hawamjui Mungu

    • @catenzeki678
      @catenzeki678 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kbisa dadangu.Mi nishawai kuona mschana ameolewa na mume na baada ya miaka 3 akaletewa mtoto na mke mwngn aliyezaa nae miaka 2 baada ya kufunga ndoa...wanaume wengi na waongo tena ni wasaliti

    • @leahjohnsimba1628
      @leahjohnsimba1628 3 ปีที่แล้ว

      @@catenzeki678 wewe uliona mimi nimefanyiwa hivyo Two times nimeangalia furaha ya watoto

    • @leahjohnsimba1628
      @leahjohnsimba1628 3 ปีที่แล้ว

      @@catenzeki678 Tuangalie furaha ya watoto na tusali Sana mdogo wangu

    • @catenzeki678
      @catenzeki678 3 ปีที่แล้ว

      Dah!Pole sana dadangu.MUNGU azidi kukutia nguvu

  • @jasminmollel9681
    @jasminmollel9681 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimefurahia sana Hugo ndie mwanaume shujaa mwanzoo alimpendea mini alafu aje amkatae bora wakale mxhicha wrote ela zote alizomsomeshea wee ongera Brook na iwe fundisho kwa wanawake wore duniani

  • @shabanshomary7421
    @shabanshomary7421 3 ปีที่แล้ว +11

    Nazani somo lime eleweka hi inatukumbusha tusi nga'nga'nie mahusiano ambayo hayana mwelekeo kwani inakuja kuleta kidonda kikubwa moyoni mtu umemtoa kwenye shida lakini badae ana kuja kuku geuka nakuku zalau anasahau kabisa aliko toka Emwenyezi mungu utupe wapenzi wakufanana na mwoyo yetu 🙏🙏🙏like comment 👈

    • @mariamyoyote8172
      @mariamyoyote8172 3 ปีที่แล้ว +1

      Amin yaraby

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 ปีที่แล้ว +1

      Amina inshaallah kher,maneno y'ako yapo sahihi

    • @doreenmakori7363
      @doreenmakori7363 3 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @francescafrancesca8901
      @francescafrancesca8901 3 ปีที่แล้ว +1

      Wakati mmoja natumika masas 14 kwa siku,
      Ninatumika kwenye baridi -30°C karibu miezi misita kwa mwaka,
      Alafu kama mwanamke tumekubaliana kuoana ,
      Ni namuhudumia kwa kilakitu, alafu ananigeuka nitapata ujasiri wa kumusamehe kabisa?
      Muwe mkweli,
      Pesa zinachosha kwa kuzipata,
      Ikiwa mulifanya makubaliano, ni vizuri kutekeleza mukhataba.
      La sivyo amekuuwa kiukweli.

  • @leahjohnsimba1628
    @leahjohnsimba1628 3 ปีที่แล้ว +15

    Jamani kama humtaki mtu mwambie mapema jamani

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว

      Aah ww, wanaume hamuwajui nyinyi yakikutokea ndio utajua

  • @Craytos_Baraka
    @Craytos_Baraka 3 ปีที่แล้ว +15

    Tamaa za hela hizi zinawatafuna sana dada zetu

  • @joycemabarika584
    @joycemabarika584 3 ปีที่แล้ว +3

    Mchimba msomeshe chuo cha dini, hata ukiachana naye anamjua Mungu

  • @lotionetv2833
    @lotionetv2833 3 ปีที่แล้ว +8

    John ili kupata furaha yake ya maisha ilipaswa asimuoe uyo binti.

    • @frankyohana5617
      @frankyohana5617 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @ibrahimmayige9748
      @ibrahimmayige9748 3 ปีที่แล้ว

      @@frankyohana5617 ni kweli kabisa

    • @keyabdurah757
      @keyabdurah757 3 ปีที่แล้ว

      Yeye. Kaoa pesa zake. Hajamuoa abiola

    • @leahjohnsimba1628
      @leahjohnsimba1628 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa huyu hawezi kupata furaha kabisa mapendo hayalazimishwi

  • @leahjohnsimba1628
    @leahjohnsimba1628 3 ปีที่แล้ว +1

    Kupoteza muda wa mtu/ kutokuridhika/ kifupi kuzingatia amri za Mungu kuwa mkweli kunaepusha sintofahamu hizi

  • @modricempire1179
    @modricempire1179 3 ปีที่แล้ว +5

    Ivi hizi story ni za kwel??

    • @mussahassan2937
      @mussahassan2937 3 ปีที่แล้ว

      Ata Kam Si za kwel lkn haya mamb ww ushawahi kuyasikia au ushawahi kuyaona ktk jamii

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 3 ปีที่แล้ว +4

    Nisingemdai Mali na ningemuacha aolewe na ampendaye tyuuu ndoa si kulazimishana kila mtu Mungu anampa wake

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 3 ปีที่แล้ว +5

    Zama hizi ukiambiwa tusifanye chochote hadi ndoa jua tuu upo karibu kupigwa changa la macho

  • @elizaedward5608
    @elizaedward5608 3 ปีที่แล้ว

    Pole kaka huyo si Mke anapenda pesa tu.

  • @meddymalinza9040
    @meddymalinza9040 3 ปีที่แล้ว +4

    Dah!; Kweli mchumba hasomeshwi na Johnson hachek na kima

  • @smilest.boy.01
    @smilest.boy.01 3 ปีที่แล้ว

    Polee Abiola tuwe wakweli tusifate tamaa za maisha inasikitisha

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 3 ปีที่แล้ว +2

    Msomeshe mwanao au ata mamaako kama bado kijana akasomee ata coz ya upishi ya mda mfupi ili aboleshe mgahawa alikua anauza na kupata pesa zilizo kukim ww wakati unasoma kuliko kumsomesha mwanamke ambae ni mpenzi wako.

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 3 ปีที่แล้ว +2

    Msijiulize kwanini ila jiulizeni nyie mna mshilikisha Mungu?

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 3 ปีที่แล้ว +2

    Mm ningemsamehe tyuuu Mungu mwenyewe angenilipia kwakweli

  • @naftaliiddi4780
    @naftaliiddi4780 3 ปีที่แล้ว +6

    Kabisa mimi ningekuwa nwanaume huyo siwezi kumuoa tena maana hiyo inaonekana nikufosi upendo

  • @emmaculatekuya162
    @emmaculatekuya162 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu binti hakuwa mwaminifu hata kidogo. Johnson angemsamehe tuu alafu amuache aendelee na maisha yake. Kumuoa mwanamke asiyekupenda nisawa na kuishi na adui yako nyumba moja.. ni bora shetani unaemjua kuliko malaika usiyemjua....

  • @evansbuberwa1235
    @evansbuberwa1235 3 ปีที่แล้ว

    Tends wema usidaimalipo kwa mwanadamu Dada huyu yuko kwenye utumwa WA mapenzi kwani anaishi naye kwa hofu ..mimi ningemuacha tu aendelee na maisha ila ningekubali kurudishiwa gharam ili nisiwe na kinyongo

  • @annajaydenjayden3517
    @annajaydenjayden3517 3 ปีที่แล้ว

    Sioni kosa la huyu msichana yupo sahihi kabisa mapenz Ni hisia huenda alikubali kuweka maagano kutokana na dhiki aliyokuwa nayo pia kutaka kufikia ndoto zake lakin hakuwa na mapenzi kabisaa na huyu kijana

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 2 ปีที่แล้ว

    Waenga walishasema mpenz anasomeshwi
    Ila sasa ubishi na ujuaji mwingi tulio kuwa nao ivisasa ndio yanatokea aya

  • @hhhghyghgg8640
    @hhhghyghgg8640 3 ปีที่แล้ว

    Jonson asingemwoa huyo bint maana hakuna mapenzi hapo hatakua na raha na hata hiyo ndoa haitadumu maana moyo wa huyu msichana haumpendi huyo mwanaume bora angakubali wamrudishie gharama zake tu na hatafute mke mwingine huo ndio ushauri wangu

  • @carolinenjiro41
    @carolinenjiro41 3 ปีที่แล้ว +6

    Tamaaa ndio iliyomponza, angeolewa na Johnson maisha yake uangezidi kuwa mazuri Sana kuliko alivyotarajia kuolewa kwa tajiri, utajiri Ni upendo, maelewano, na kupendana, nimejifunza kitu,Aviola alikosea Sana tamaa imemponza

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว

      Amna dear bora twende tu kwa hao matajir,kuliko kuanza maisha na limwanaume umekuta linalala chin mkapambana wote mkapata alaf linakutema linakula na wwngine halikugawii chochote zaid ya kukuachia mitoto alaf mitoto yenyew umejifungua kwa kisu unaachwa na makovu ya uzaz mmh

  • @chrisjacob4057
    @chrisjacob4057 3 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo nitamaa na mm kuna limoja limekula pesa zangu nyingi tu lkn saiv linasema ety atuendani mbaya zaid hata mzigo sjawahi kula

  • @amnaalshabani2777
    @amnaalshabani2777 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mganga aje na huku atusaidie kwa hawa wanaume wanaotutesa

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 ปีที่แล้ว +2

    Ningekua mimi ningemsamehe najua aliyemuowa itafikia watazoeyana nafsi itafikia itamsuta naatamsaidia alie msomesha zaidi yagarama aliye msomesha

  • @teddylameck21
    @teddylameck21 3 ปีที่แล้ว +1

    Unamsomeshaje mtu ambae aujammiliki ..ndio hayo unakuja msomeshea mwanaume mwenzio ..subil umilik umtunze mkeo ..aujamuoa looo

    • @v_i_p1109
      @v_i_p1109 3 ปีที่แล้ว

      Alaf kaangalie maisha ya wazazi wake 😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว +5

    Mm hayo ndositaki kabisaa Bora nipambane nawanangu mm kama mxaxi asome apate maisha yake mwanaume yy nikutuzaa sio kufundishaa mwisho itakuwa kama hayaa mm sitaki

  • @spiyerharoun1670
    @spiyerharoun1670 3 ปีที่แล้ว +13

    Jonson Amuache tu hiyo siyo ndoa bwn Jonson ananafasi kubwa mbele ya Mungu

    • @dianawillson2762
      @dianawillson2762 3 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli jonson amuache kwa sababu yawezekana mungu alitenda jambo hilo ili kumsaidia binti apate elimu ni changamoto tu halafu kila mtu atakuwa hana amani karma ndowa

  • @yassirnanubai3914
    @yassirnanubai3914 3 ปีที่แล้ว

    Johnson atafute binty mwingine amwache huyo,,,,bt love is not all about the money love is love am Yassir Nanubai from Kenya

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 3 ปีที่แล้ว

    Angekubali kurudishiwa gharama tu..Mwanamke asiyekupenda roho yako iko rehani

  • @sirbinladen786
    @sirbinladen786 3 ปีที่แล้ว +2

    *Habar zenu ndugu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za maradhi mbali mbali kila Alhamisi saa2usiku karbuun mjifunze ingia TH-cam andika sir Binladen 786*

  • @raymondsospeter1176
    @raymondsospeter1176 3 ปีที่แล้ว +3

    Duuh asee kama mwanaume mi mi wanarudisha gharama zangu zotee na fidia ya kupotezeana muda hafu maumivu yamapenzi tutaugulia yataisha

    • @abuumakamba887
      @abuumakamba887 3 ปีที่แล้ว

      Dah cku zote wanawake co watu wa kuwaamin

  • @ghaniyashaban9845
    @ghaniyashaban9845 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli alifanya makosa lkn mm nina maoni tafauti kumbukeni kua katika age aliyo kua si ya kukata shauri la siku za usoni bado utoto na akili iko kwenye kukua huna nafasi kubwa ya kubadilisha mawazo hakuona kudhulumu huyo kijana ni makosa mama yake angeli mshauri

  • @janewanjiku5673
    @janewanjiku5673 3 ปีที่แล้ว +2

    Tommorow depends on today

  • @paschalkondrad2808
    @paschalkondrad2808 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka mzungumzieni Pablo escober itakua poa Sana namikubali Sana kaka shedi

  • @alexkyando7155
    @alexkyando7155 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama humpendi mtu kwanini unachukia pesa zake...niainafulani ya kuchukua laana za watu

  • @maryamdunga3896
    @maryamdunga3896 3 ปีที่แล้ว +10

    Naogopa sana kula kitu chamutu Allah niepushe nahaya majaribu

  • @mohamedjumaa5205
    @mohamedjumaa5205 3 ปีที่แล้ว +4

    Hio ni kawaida kwa wanawake wa afrika hata mimi yamenikuta sio ajabu ukiwa na moyo mdogo unaweza ukaua ila jonson angemuachia mungu

  • @sakuvedoh_3696
    @sakuvedoh_3696 3 ปีที่แล้ว +7

    Bobu fanya mpango wa story za reptilian,ambao inasadikika walikua wa kwanza kuishi duniani,pia wanadai kua hii dunia ni yao.blessed bro

    • @jackrineemmanuel599
      @jackrineemmanuel599 3 ปีที่แล้ว

      Daaah inauma sana madada wenzangu jaman tuache tamaa lizika naulichonacho pia usalit sio mzr bora kam MTU humpendi mwambie mapem ajitoe ,hlo nifunzo tujifunze

    • @lidyamarki3751
      @lidyamarki3751 3 ปีที่แล้ว

      Pole kwao

  • @mariamsingano7376
    @mariamsingano7376 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaah! Painfull, wakati mwingine shida zinatuongiza katika mahusiano ambayo sio sahihi jaman😢

    • @janeeesailon7325
      @janeeesailon7325 3 ปีที่แล้ว

      Upo sahih kumsaidia mtu hakumaanishi umuoe, mapenzi na shiida ni vitu viwil tofaut

    • @leahjohnsimba1628
      @leahjohnsimba1628 3 ปีที่แล้ว

      Mariam umesema kweli shida hutuingiza katika mahusianoyasiyo rasmi duu we should take care

    • @mdedsm5522
      @mdedsm5522 2 ปีที่แล้ว

      Tamaa sio shida

  • @gateteemile1662
    @gateteemile1662 3 ปีที่แล้ว

    Mschana huyo ni mkora hana mapenzi anapenda pesa.kijana huyo hakitakiwa kumuowa bintu huyo sababu hamupendi

  • @millionairejeffreysunofbez3766
    @millionairejeffreysunofbez3766 3 ปีที่แล้ว +4

    Mm ningemsamehe, 100%

    • @anahanah9145
      @anahanah9145 3 ปีที่แล้ว

      Daha sijui kunakuaj ndani

  • @sanciroandrea8826
    @sanciroandrea8826 3 ปีที่แล้ว +2

    Wapo wengi wa namna hii, ila nikuachana nae kwani ameshaonesha hana mapenzi ya dhati

  • @labanmwesibahati5815
    @labanmwesibahati5815 3 ปีที่แล้ว +1

    Siku zote usaliti hauwezi kumsaidia mtu Bali ataishia kujutia

  • @samwelijoab3425
    @samwelijoab3425 2 ปีที่แล้ว

    Congratulations

  • @gibronkombe2890
    @gibronkombe2890 3 ปีที่แล้ว +8

    Atampenda mbelekwa mbele, force sometimes works

  • @lukasiobedi456
    @lukasiobedi456 3 ปีที่แล้ว +1

    Inauma sana na kama ingekuwa ni mm nisinge muoa maana hakuwa na upendo kwangu

  • @rahmajuma9510
    @rahmajuma9510 3 ปีที่แล้ว +5

    Daaah sijuwi tunakwamaga wapi wallah

  • @issaally8817
    @issaally8817 3 ปีที่แล้ว +1

    huyo jonson ameonyesha udhaifu mkubwa sana alitakiwa awe na msimamo kama alishamkataa basi aendelee na maisha yake maana hapo hakuna upendo tena huyo mwanamke anaweza kumtafutia siku akakatisha uhai wake kwani anajua wazi anaishi na mwanaune asiyempenda.huo ni sawa na mtego mwanaume ipo siku atajutia

    • @lidyammari3384
      @lidyammari3384 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli ukikataliwa kubali Ila usirudi nyuma

    • @agnessyusuphisthestarmgimw8322
      @agnessyusuphisthestarmgimw8322 3 ปีที่แล้ว

      Mungu wangu angelikuwa Ni Mwanangu namtoa Johnson wangu nampeleka nchi za mbaali akapoteze Mawazo huko lakin no kwa Huyu Dada maana namuokoa asiingie mkenge Tena!! Vijana kuwen Makin wasichana wa Sasa wengi Ni wanalenga shilingi hakuna upendo wa kweeli!

  • @maxsenziusmgani6666
    @maxsenziusmgani6666 3 ปีที่แล้ว

    Kinacho tugharibu vijana wasaiz nitamaa hujui mume hela alizipata kwa mfumo gani au alipata tabu Kias gan ili uwe nafuraha Leo hii unamsaliti mwenyez mungu hapend hata mwanadam hapendezew na Hilo tujifunze kuwa na maagano ya ukweli

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 ปีที่แล้ว

    Tamaa mbaya jamn

  • @ibrahimndui2180
    @ibrahimndui2180 3 ปีที่แล้ว

    Angeachana naye cos Hana upendo wa shati kwake .....you angelipiwa na M/Mungu

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w 3 ปีที่แล้ว

    Huyo Mwamba Johnson amesahau kauli mbiu yetu Wanaume wa Bara la Africa kuwa Mwanamke asomeshwi ni bora usomeshe Dada zako au Watoto yatima utapata heri kwa Mungu.

  • @jescawalwa2619
    @jescawalwa2619 3 ปีที่แล้ว +3

    Aniola wa cku hiz wako wengi mno,Mungu awafanyie kama ya aniola kwa kweli hasa ma aniola kwa wazazi wetu daah

  • @yohanatoroka111
    @yohanatoroka111 3 ปีที่แล้ว +3

    Mimi singe kubali tena kumuowa kwa sababu kama namtesa garama zangu yote nitasamee kwa sababu mungu doo apa gee kila jampo

    • @frankyohana5617
      @frankyohana5617 3 ปีที่แล้ว

      Kabisaa kwan Mara ngap tumepoteza au kudhurumiwa vitu vya thaman??

  • @maryamahaji9627
    @maryamahaji9627 3 ปีที่แล้ว +1

    Nibaht ilioje mt anaemupend kwa dhat kusomeshwa , so vizr alichifany

  • @leonardleonard6164
    @leonardleonard6164 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke huyo hafai kwani ana tamaa na sio mwaminifu,jamaa hakutakiwa kumrudia tena

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mwanamke amekosea padogo sana kama alikutana huyo tajiri tangu shuleni si angemuambia toka mwanzo akaona amsubilishe mwenzake alafu chuoni kaenda kutoa mzigo kirahisi tuu kwa jamaa mwingine. Duuuuh!

    • @carolinenakirutimana1559
      @carolinenakirutimana1559 3 ปีที่แล้ว +1

      Wasichana mjilekebishe kijana alifanya hayo kwa kua amemchagua miongoni mwa Wasichana wengi. Sasa huyo mwengine kijana wenda hangemlipia masomo. Alifanya mbaya

  • @OmbogaMusa-bp3op
    @OmbogaMusa-bp3op ปีที่แล้ว

    Huyo Binti hafai kuolewa na Johnson mara ya pili

  • @msetikebwasi1469
    @msetikebwasi1469 3 ปีที่แล้ว +4

    Anapokuwa na njaa zake na wewe ponea hapo hapo ,baadae wanakuwaga busy sana .

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa, wanabadilikaga hawa viumbe ni bora ule mzigo na umuoe kabisa ndipo umsomeshe. Wakiendaga chuoni wanasahau yote ya kitaani

  • @sofletjackson7379
    @sofletjackson7379 3 ปีที่แล้ว +1

    Ningekuwa mm ningemuachia mungu mali zinapatikana na zinaisha nisinge lazmisha kumuoa

    • @francescafrancesca8901
      @francescafrancesca8901 3 ปีที่แล้ว

      Ni vizuri kuwapa fundisho hawa wa ma binti.
      Unajuwa mwenyewe pesa kuzipata jasho inayo kutoka,
      Halafu analeta mchezo wa kihuni:
      Ati nimempata ninaempenda!

  • @simonsweka7305
    @simonsweka7305 3 ปีที่แล้ว

    Niliambiww nimsomeshe mchumba duh mm nliona Kam mzigo maan nlikuwa nasomesha Hata wadgo Angu akaamua kuniacha haya maisha kumbe hapoo...yapo maisha haya nlihic n mm tyuu...nkaamua kutengana nae Hata mm maan wasomi cku hizii duh ningekiona cha mtema kuni kumbee

    • @wilfredelimeleki4543
      @wilfredelimeleki4543 3 ปีที่แล้ว

      hapo ungemsomesha angekuletea shida badae,ishara yenyewe kama hyo kasepa.mapema huyo ni kama kupe

  • @timothyniyibigira2110
    @timothyniyibigira2110 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama mimi Timothy from 🇧🇮, singemuowa tena wangelipa garama zangu zote tukaachana wazima bro badae namuacha apite na mi ni pite watu wakamcheka sana, badae nikachukuwa lingine machine bro, ikawa funzo kwawengine kabisaaaaa. Huyo njo mtazamo wangu.

  • @kamambashabani4602
    @kamambashabani4602 3 ปีที่แล้ว

    it so wounderfull geme waache kushoboka

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 3 ปีที่แล้ว +3

    hapa wanawake/mabinti mjifunze jambo

  • @alleoo273
    @alleoo273 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake tunajisahau sn Mungu atusaidie kwakweli alie tuloga alikufa aki😂 tunatema karanga kwa bigjii zakuonjeshwa😅

  • @eliudmaster2175
    @eliudmaster2175 3 ปีที่แล้ว +4

    Wadada mbona hamkoment kitu

  • @AMJtiktok
    @AMJtiktok 3 ปีที่แล้ว +5

    Wacha wee uko 🔥🔥

  • @saimonmussa9834
    @saimonmussa9834 3 ปีที่แล้ว

    Amwache mungu anajua atakacho mlipa jonson

  • @tresorkabongo8758
    @tresorkabongo8758 3 ปีที่แล้ว +3

    Uh she’s a traitor ☹️☹️

  • @mansourjuma3731
    @mansourjuma3731 3 ปีที่แล้ว +3

    Dah ama kweli wanawake wanasomeshwa Cherehani tu😭😭

    • @gressjoseph5615
      @gressjoseph5615 3 ปีที่แล้ว

      Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @lizzybahati9833
      @lizzybahati9833 3 ปีที่แล้ว

      Kwani cherehani yenyewe anasoma bure🤣🤣🤣🤣🤣

    • @babuizi4424
      @babuizi4424 3 ปีที่แล้ว

      Bora hata cherehani haina mazara san

    • @lizzybahati9833
      @lizzybahati9833 3 ปีที่แล้ว

      @@babuizi4424 dah 🤣🤣🤣🤣

  • @markomhelela6066
    @markomhelela6066 3 ปีที่แล้ว

    Pole huyo mke hafai

  • @mathayomaneno4137
    @mathayomaneno4137 3 ปีที่แล้ว

    Ni kawaida kbs maana alivunja ahadi yake kwa mwenzake!

    • @gracehchungia740
      @gracehchungia740 3 ปีที่แล้ว

      She needs to be displined so that to be a lesson to others

  • @mbeyacity2858
    @mbeyacity2858 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh twende kazi aniola ilibidi wamuache ivoivo kwa wengine iwe funzo

  • @alimwajeza7138
    @alimwajeza7138 3 ปีที่แล้ว +5

    Dah! Pia Mimi Naona yananikuta juu mpenziwangu tangia kusafiri ywanionyesha makubwa Sana lakini mungu atanipa ujasiri

    • @leahjohnsimba1628
      @leahjohnsimba1628 3 ปีที่แล้ว

      Nitafute nikushauri nipe no yako ya wasapu

    • @hassanisadiki824
      @hassanisadiki824 3 ปีที่แล้ว

      @@leahjohnsimba1628 Mimi pia ntk ushauri

    • @leahjohnsimba1628
      @leahjohnsimba1628 3 ปีที่แล้ว

      @@hassanisadiki824 nakupataje boogie 0622398556 muralist ushauri bure kumbuka
      Nitumie no nnakupigia

    • @hassanisadiki824
      @hassanisadiki824 3 ปีที่แล้ว

      @@leahjohnsimba1628 nita kuchek watsp kupitia hii no yk

    • @leahjohnsimba1628
      @leahjohnsimba1628 3 ปีที่แล้ว

      @@hassanisadiki824 karibu Sana

  • @alleoo273
    @alleoo273 3 ปีที่แล้ว +2

    Maoni yangu Johnson alikua na upendo wakweli

  • @thomasmpola908
    @thomasmpola908 3 ปีที่แล้ว +2

    Naitwa Thomas mpola nipo Tanzania ingekua Mimi ningemwambia anirudishie gharama zangu zote

  • @stellamwakatulile3202
    @stellamwakatulile3202 3 ปีที่แล้ว

    Mmmm wanawake mungu anatuona

  • @sarehehussein9362
    @sarehehussein9362 3 ปีที่แล้ว +1

    Hilo ni fundisho kwa wengine

  • @francisalphan6789
    @francisalphan6789 3 ปีที่แล้ว +1

    Story nzuri keep it up brp

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w 3 ปีที่แล้ว +1

    Huo ndio ukweli sasa kuwa hapo hakuna mapenzi ya kweli bali ni huyo Mwanamke anaogopa agano la Wazee wa Kimila tu bac.
    Hapo Baharia mwenzetu kaingia chakike ni dhahiri kwamba huyo Mwanamke alimtumia Jamaa kama daraja lake la kufikia mafanikio yake ila hana mapenzi nae hata kidogo, ni heri wafute ilo agano na amwache huyo dem aishi maisha atakayo yeye😐😐😐

    • @haikajohn7580
      @haikajohn7580 3 ปีที่แล้ว

      Uliyemtia moyoni kumtoa ningumu

    • @user-ot2io4cy6w
      @user-ot2io4cy6w 3 ปีที่แล้ว

      @@haikajohn7580 Ni kweli ila kama hakupendi ni heri umuache ili baadae usije ukaumia zaidi na kujutia maisha yako yote na ikafikia hatua ya kuyachukia mapenzi.
      "Utapona mdogo mdogo"

  • @stephenhebron9838
    @stephenhebron9838 3 ปีที่แล้ว

    Hii ni fundisho, japo kuwa ni dhambi lkn hata kujinyonga kwa ajiri ya kuumizwa kmapeñzi ni dhambi na shauri hawa wadada wafanyao namna hii wafanyiwe mauzauza ya namna hiyo na Kuzidi, Maana Wakazidi mnao!

  • @ayubumwasambili826
    @ayubumwasambili826 3 ปีที่แล้ว +3

    Ulikosea sana broo kumsaidia huyu dem

  • @ndiiyolazaro769
    @ndiiyolazaro769 3 ปีที่แล้ว +5

    Mii binafsi ningemsamehe na arudishe garama yangu yote ya kumsomesha kwa maan hawezi tena kunipenda kwaiyo Bora tu alipe garama

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa, kama akikubali kunirudishia gharama bora iwe hivyo.

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 ปีที่แล้ว +1

      Mjomba wangu alimsomesha mdada yakamkuta mwisho akusaminiwa tena basi akamwachia mungu.

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 3 ปีที่แล้ว

      @@julihanjosephyjs6361 Yaaani matokeo ya kumsomesha mchumba mara zote huishia hivi hivi kwahiyo haitakiwi kujaribu kabisaa

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 3 ปีที่แล้ว +1

    Brother umefanya mistake kubwa sana kumsomesha huyo dada.Kwani huna ndugu zako wenye shida

    • @ezekiahmwangoka5109
      @ezekiahmwangoka5109 3 ปีที่แล้ว

      Kwani wewe haujawahi honga unasema mstk toka hapo watu wananunua hadi meli nakuwapeleke wapenzi use me kusomesha

  • @hezronmangulamangula9718
    @hezronmangulamangula9718 3 ปีที่แล้ว

    Akuzalie kwanza ndipo umfanyie hivo malipo hapahapa duniani mungu awaepushe

  • @feisalfarsy6562
    @feisalfarsy6562 3 ปีที่แล้ว

    Mm namshaur jonhson amuachie tu aniola mana hpo hamna mapenz kuna ku ektiana tu

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +1

    Maelezo yenu mazuri sana ila hatuoni picha halisi na anaezungumziwa mdau

    • @frankyohana5617
      @frankyohana5617 3 ปีที่แล้ว +2

      Ha ha ha mdau yaliyemkuta

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +2

      @@frankyohana5617 Hahahahahaaa eeeeh bhana tunataka tumuone muhusika aliekutwa na janga ilo mdau maana tunaona watu wengi wengi hatujui yupi mdau

  • @merryissack1448
    @merryissack1448 3 ปีที่แล้ว

    Angekuwa ampendi animwambia kaka wawatu hiyo nitamaa ya kutaka kuolewa na tajili na kusaau alikotoka tuache tamaa

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 3 ปีที่แล้ว

    Mtihan jaman