Salama me huwa napenda sana unapowaleta watu km huyu jamaa na wengine km yeye kwa mfano wakati wa kipindi cha mkasi hadi leo huwa naangalia ulipomkaribisha kingwendu. Yaani kipindi kinachangamka
huwa tuna judge vitu kwa haraka sana, huyu jamaa anapoint kubwa saaaana. I just wish watu wengi sana wangeona au kusikiliza hii, sio kusikia no kusikiliza ni madini makubwa mno. Thanks man
this man is totally diferent na watu wengi wanavyo mchukulia namkubali sana
Dakika 9:10 mpaka dk 10 JAMAAAAA KAONGEA POINT SANA with reference 🙏🙏 I GOT A LESSON MAN. Salama & Kumbuka THANKS
Dada salama napenda kipindi chako nimempenda kumbuka sana ❤
Et ctak kuchanjwa chale kama kibao cha kashata ila nmecheka mwee🤣🤣🤣ila kumbuka
I didn’t want this interview to end, Dr. Kumbuka anajua kuweka tabasamu kwenye sura za watu
Kumbuka is sooo funny wallahi😅😅😅
🤣🤣🤣🤣 ati mbona hawatuonyeshi wanavyokula Amoxlin 🤣🤣🤣🤣 we ❤ you kumbuka,thanks Salama kwa kumleta huyu jamaa.
This is the best interview ever,am going to watch it again shah!
Dr kumbuka nampenda mpaka naumwa. Mungu amuweke
get to know this man today, He is very smart😊
Kumbuka kama Kumbukeni nakupenda sana my brother watching you from Australia ❤❤❤
Nakupenda Bure kumbuka ahsante salama nakupenda Sana zaidi mzenji mwenzangu
I love it salama akicheka😂😂😂😂😂😂😂😂 ila salama unajua mama
Amazing interview ❤✌️🇧🇮
Kumbuka mwenye kumbukumbu zake
Nimependa how you look today salama
Daah jamaaa yuko soo fun aiseee nimependaa sàana interview yake
Hahaaaa madam salama Leo kazi unayo kwa mzaramu huyooo utafrah mpaka utakapoenda kulala utakumbuka interview hii kwa maneno ya kufurah tu.🤣🤣🤣🤣🤣
Et Andudu andada 😂😂😂.
Uyu mshkaji kuna time anatoa stresss za maisha
Nice🎉
Piga keleleeeeeee kwa kumbukaaaaaaaaa akeeeeeeeee ( weweeeeeeeeeeeeeee) yaaani Leo nimecheka Sana Sana Sana Sana 🤣🤣🤣dah kumbuka si mchezoooo
jamani mwenzenu nampenda kumbuka sijui niongee lugha gan mnielewe nampenda mnooo 💚💚
Aahhh leo nimecheka sana wallah i had to comment😂
I had a lot of fun
Jaman jaman Dr kumbuka noma nakupenda Sana dada salama kazi unayo
Nime enjoy leo siyo poa kumbuka anaongea mno
Unanifurahisha kumbuka
Penda sana Kumbuka❤❤❤
Kumbe Lina akili hili jamaa
Next tuletee Zai KijiweNongwa😅
next Zuwena
umenenepa da salamaa hadi raha, kumbe wewe mzuriiii
Ana akili sana
Salama me huwa napenda sana unapowaleta watu km huyu jamaa na wengine km yeye kwa mfano wakati wa kipindi cha mkasi hadi leo huwa naangalia ulipomkaribisha kingwendu. Yaani kipindi kinachangamka
Juma lokole tuna mtaka
kaka nakubali san mzaramo mwezangu
Kumbuka ni mweupe si unaona ngozi ya kichwani pia nyeupe
huu mda mdogo sana atleast 1hr ingetosha
mm napenda salama anavyochekaa tuu
Kumbuka leo umenichekesha sana ati usomewe sura ya zubbah 😂😂😂😂😂😂😂
"USIPO-EDIT, UTA-EDIT-WA."-Dr. Kumbuka.
😂😂😂😂 yaaani tusipo changamka tuta editiwa 😂
@@husseinkashushu3395 Yaani!
Party 3 please yani leo nimecheka kama chizi
Sasa kitanda cha uvungu cha nini jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂
First coment
Eti kasoma kipindi cha nyoka wa kijani😅😅😅😅😅
Nime enjoy 😅😂♥️♥️
utajikuta unapangisha fremu zote🤣🤣🤣🤣🤣
Nimechelewa kazini kwa sababu ya mpunga wa ifakara daah, huyu Jamaa ni bundi duuh 😂😂
Dah .... Kumbuka wanipa raha mie😂
Salama ww ni mzur jaman
Kumbuka muongo unapaka mkorogo
Hyu hapaki mkorogo
Juma lokole
Hujambo mrembo mambo
Chawa kama mke wapili kasoro kulala zamuuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Salama jitahidi uweuna mlatakumbuka marakwamar maanatunaogeza sikuza kuisha😂😂
😂😂😂😂kwenye mkorogo Mim hoiiii jamn Niachen naumwaaaa
Mmmmmm kwa mganga hupendi....basi ứsiwaongelee wanaoenda...
Unajichubuwa Kumbuka Acha Unafiki Bwana Wewe Ni Mweusi Na Ndo Maana Una Sugu Mkorogo Wako Wa Bei Rahisi Wewe🤣😂😅
Sio kila sugu ni mkorogo
Mwangalie kichwan inamana anapakakorogo adi kichwa
@@tatotato506 umezungumzia sugu ndiomana nikakwambia sio kila sugu ni mkorogo kuna watu wana sugu ila hawatumii mkorogo
Second comment
dalali wetu huyu dalali maneno
Da salama tunamuomba @ Zai kijiwenongwa utuletee
Nilichokiona kwa kumbuka a anamadudu yalimvunja ndo akawa hivo na hayo ni madudu ya jadi
😂😂😂😂😂jiki
😂😂😂 SHENZI SANA KUMBUKA ETI UNAPIGWA SURAT ZUBBA 😂 UNABAKI UNAZUBAANAYO 😂
Alinichekeshaaaaa kwa sautiii hapaaaa
Nimecheka sana
Hahahaaa et atawawekea jiki mkoboke kama fundi welding
Mda hautoshi please
Anayoyazungumza huyu jamaa ndo uislamu unavyotaka
Kabisa nyengine za salaaaaaaa
Hataqagi quongopa vi2 vya quongopa
Interview kucheka mwanzo mwisho 😂
huwa tuna judge vitu kwa haraka sana, huyu jamaa anapoint kubwa saaaana. I just wish watu wengi sana wangeona au kusikiliza hii, sio kusikia no kusikiliza ni madini makubwa mno. Thanks man
Inter view na faiza ally
Mzaramo anaongea huyuuu!!hahahahha
🤣🤣🤣enzi za nyoka wa kijani weengiii
Yaani 🙌😂🙌
Suratul zubba hahahhahahhahahajajjaja htr
Mbona utajikuta Fremu zote umepangisha🙈🙈 KUMBUKA wewe
Nimecheka 😂
Kumbuka mwny kumbu kumbu zake 🤣🤣
Kumbuka ni mtu na nusu
Salama leo mbavu zitaumaa😂
Sura tul zubaa 😂😂😂😂😂
Maisha ni unyenyekevu hapo umesema
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ntawatilia jiki
😂😂😂
🤣🤣😀🙄🙄
Surat Zubaa 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😝Mganga 🤣
Kubuka wewe🤣🤣
Sura zubbat😳 tuzidishe sala
🤣
Surat zubaahh🤣🤣🤣🤣🤣
Unazubaa tuu
Ndio nimeickia leo tangu nazaliwa🤣🤣
Juma lokole
😂😂😂😂
Juma lokole
Juma lokole