Wakwabaji walianzia kwa Magufuli akaishia kupotea ghafla akiamini kuwa alikuwa muungu aliyepaswa kuabudiwa. Alianza Innocent Bashungwa aliyempigia magoti akamzawadia uwaziri. Ni njaa tu ya kawaida ambapo ubongo umeacha kutumika, unatumia utumbo. Hakuna cha mila hapa..
Wewe vipi au sio mtanzania mwezetu? Kila kitu chadema. Wengine apa ni ccm na tunamshangaa huyu rais na kuna wengine hatuna chama pia. Usipende kuwahukumu chadema kwa kila kitu. Km huna hoja kaa pembeni.
Njaa mbaya sana yaani angekuwa mama yangu anarudi nyumbani ningemwambia mama njaa yako mbaya sana😂😂😂
Kila mtu Na Mila zake acha ushoga 😅😊
😂😂😂😂😂wewe
@@adiaygo8546 shoga baba yko kazaa kichwa maji
😂😂😂😂😂😂
Kweli kabisa. Hadi aibu, dah!
Mishetan😮😮kuzim inawatu wengi
Ni kuwava mama ni wangoni ukiingia songea shukrani zetu lazima kugarauka .wangoni oyooooo😊
Oyooooo
Ilo linagaragara ni lilafi limeshiba damu za watanzania
ACHA UPUMBAVU, UNA USHAHIDI?! UTAFUNGWA UKAFUMULIWE JELA HUKO MAMMAEE!!
Alafu kesho mulalamike Njaaa
Hizi mila nimezependa sana
Mama samia shikamoo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mwenzenu anazunguka kuandaa kura ya mwakani mnaacha kumkosoa anapo kosea mnagara gara 🤣🤣🤣 shenzi Tanzania🇹🇿 tunapata shida jamani
Kwabaa kwabaaa kwabaa kwabaaa! Twatukwabii Samaaa/ Samiaaaaa! @ Hah hah hah! Warioba njoooooo huku kuna ile kitu kisifia ATM ! Ok
Upuuzi mtupu
Wakwabaji walianzia kwa Magufuli akaishia kupotea ghafla akiamini kuwa alikuwa muungu aliyepaswa kuabudiwa. Alianza Innocent Bashungwa aliyempigia magoti akamzawadia uwaziri. Ni njaa tu ya kawaida ambapo ubongo umeacha kutumika, unatumia utumbo. Hakuna cha mila hapa..
Kwetu rahaaa.👋👋👋😅😅
Kwa wangoni tunaelewa ihiii
Kweli wajinga hawaishi
Hah hah hah hah! Ok
Kweli mama piga kazi
Jessica falecs 79
Haochadema wanamfano gani wa maendeleo kwao wasenge wasenge tu piga kazi mama
Elimu Elimu Elimu. Ok
Wewe vipi au sio mtanzania mwezetu? Kila kitu chadema. Wengine apa ni ccm na tunamshangaa huyu rais na kuna wengine hatuna chama pia. Usipende kuwahukumu chadema kwa kila kitu. Km huna hoja kaa pembeni.
Chadema wa na Nini mafala tu@@dianaleo6067