WANANCHI WAFURAHI BAADA YA ANAYEDAIWA KUWA JAMBAZI SUGU KUUAWA KIGOMA' 'TUTAPIKA NA KUFURAHI''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 51

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Huu sio mushomwema kwa binadamu Yani ikifikia binadamu anakufa harafu watu wanasheherekea da mungu tujaalie mwisho mwema sisi pamoja na wazazi wetu na vizazivyetu

    • @MsNajma-j7e
      @MsNajma-j7e 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Tabia chema ni silaha..wanao mtetea wawiri na wanaofuraiya mia wap wengi Yan Dunia hapa unavyo ishi ndio unavyo jitengenezea kesho yako

    • @ChasiaTraveller
      @ChasiaTraveller 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ubinadam wake uliishia pale alipoanza kubaka watoto.

    • @maryamabdullah9169
      @maryamabdullah9169 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amiin

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Saf sana me pya sipendi wezi na wabakaji bola wananchi mchukue sheria mkononi police hakuna faida na wapo wengi sana wakamateni na iro kundi lake wauriwe tu na sio kuwaonea uruma wabakaji na wezi na wote mkikamata huweni na hao wasiojurikana mkiwajua huweni sasaiv wananchi tujisaidye wenyewe serekari aitusaid chochoteee,

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Dah hii kali unakufa watu wanasherehekea mungu wang nipe mwish mwema

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mdomo kam mkundu wa mbowe leyla

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@twalibulomy-cd4zd
      Wewe ni mpumbavu kumbe huna maadili

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@zebedayokatamaduni9676 Kichw kikubwa kam pumbu LA mbowe

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Alikuwa sio mwema ktk Jamii

  • @ChasiaTraveller
    @ChasiaTraveller 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nilivyosikia tu alikuwa anabaka watoto namimi nikaanza kushangilia. Yas! Very good riddance!

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi sana! Wananchi mcpotexe muda police,pikeni pilar tamu sn

  • @Azizally-k6l
    @Azizally-k6l 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duuh allah anijalie mwisho mwema
    Yani unakufa watu wanasherekea!!

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kama alikuwa na genge basi watakubali mziki baada ya kusherehekea

    • @fatmaOmmy
      @fatmaOmmy 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweli kabisa na wajue hayupo peke yake kitawaramba

    • @Giftypmushi
      @Giftypmushi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wataona ngosja azikwe

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bila shaka wote mliocoment hapa nanyi no wahalifu

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Weeuweee km kawa tutakula wali na maharagwe ya maweseeeee 😋😋

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uhuni mara zote huleta mauti mapema sana.... Utakufaje sijui.. kwanini ufe na watu washangilie !!!!

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 28 นาทีที่ผ่านมา

    Jaambazi hapo linajikuta big sana Yani kama wanamfagilia😂😂

  • @sadamissa5687
    @sadamissa5687 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukifa watu wanatakiwa walie 😢😢unakufa watu wanashangilia daah Allah atujaalie mwisho mwema

  • @rachelmtoi7857
    @rachelmtoi7857 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ubaya ubaya tuu

  • @AnitaApolinary
    @AnitaApolinary 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ngoja wafurahi tu maana sasa hv matukio yanaongezeka na muafaka haupatikani

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 44 นาทีที่ผ่านมา

    Kwahyo we mama hadi lingekukuta ndio ungeamini

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 31 นาทีที่ผ่านมา

    Inaelekea aliwatesa sana wananchi huy jamaa

  • @KamugishaSupe
    @KamugishaSupe 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MUNGU tupe kufanya mema kwenye jamii

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli mwamba alikuwa changamoto

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 32 นาทีที่ผ่านมา

    Jamani kwetu huku kwa bibi yangu gungu

  • @FahamiaOmary
    @FahamiaOmary 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daaah so sad

  • @ZalkiaBendera
    @ZalkiaBendera ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwan marehem nae anamchango gan kwenye hyo shetehe

  • @ElibarikiMeori
    @ElibarikiMeori 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Atari

  • @elizabethkikoti7265
    @elizabethkikoti7265 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Msifurahie msiweke sura zenu hadharani majambazi wanakuwaga na wenzao hasira za kufa mwenzao zitaishia kwenu

    • @Giftypmushi
      @Giftypmushi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabisa apo ana wa zoom tu wataanza na mmoja mmoja

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 32 นาทีที่ผ่านมา

    Majamaa zake watakuwepo

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aliwatesa sn inaelekea

  • @AlexcpetroCpetro
    @AlexcpetroCpetro 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wakwanza leo nipe lake zangu

  • @remigiusruttasitara2360
    @remigiusruttasitara2360 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Du

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anawenzake huyo ndio watamaliiza watu kwa hasira

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwer

    • @lusakaone7782
      @lusakaone7782 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Na wajaribu, serikali ipo makini

  • @daudikihombo-v2d
    @daudikihombo-v2d 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu utusamehe dhambi zetu kama sisi tuwasamehavyo wadeni

  • @johnmwambasi2299
    @johnmwambasi2299 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani marehemu anasemaje

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hatari sana..watu wanafurahia kifo cha binadamu mwenzao..

    • @SALUMKHALFAN-z4f
      @SALUMKHALFAN-z4f 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      KWANINI TUSIFURAHI NA KILA TUKIO MNAISINGIZIA WATU WASOJULIKANA UNAONA MUNGU ALIVYO BAINISHA KUWA HUO JAMBAZI NDO ALIKUWA ANASUMBUA WANANCHI HALAFU MNASINGIZIA SERIKALI KILA JAMBO LINATAKA UCHUNGUZI NDO UKURUPUKE KUSEMA

    • @MsNajma-j7e
      @MsNajma-j7e 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uyo binadamu arikuwa tishio kwa wananchi sio mzri hanabaka na jambazi sugu we unataka warie na arikuwa anawatesa saf sana...tunataka watu kaam hao wauriwe wanaichi tuchukue Sheria mkononi tu police hakuna faida

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@SALUMKHALFAN-z4f kwa hiyo ni sheria mkononi.. maiti kwenye mifuko tena.nani amewua..wao wako wangapi..wanapata wp ufadhili. uchunguzi unahitajika

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@SALUMKHALFAN-z4fkichwa chako kinafanya kazi ya kufikiri pia au kimebeba meno tu ya kutafunia misosi? Hujiulizi kwanini huyu wamefurahia na wengine wanaopotezwa wananchi wanahuzunika na kuwatafuta? Mkipoteza watu wema kisa wamewashinda akili mtapigiwa kelele tu.