Serikali inajitahidi Sana kujenga miundombinu Bora, 👏👏👏👏👏 Tatizo ni uchafu, na matengenezo. Sasa ona hilo soko linavyong'aa ngoja wakianza kulitumia litakavyokuwa.
@@disanatv4485 Eeh buana ... hakuna taifa ambalo watu wasilipe kodi. tuko huku nje kuna makodi nusu ya mshahara unao upokea ni kulipa bills tofauti tofauti na bado tunakomaa 😅😅
Mh akifanya vzr basi huongwana ni kumpongeza sio kutafuta mabaya na kufanya fimbo ya kumchapia, kwa mara ya kwanza wa tz wanashuhudia muonekano mpya wa soko la kariakoo tokea Enzi kupata uhuru chini ya uongozi wa baba wa taifa.
Sasa kama hilo soko hadi hapo lilipofikia imetumika bilioni 28 tu,, Afu ndo mwijaku anasema nyumba yake imekula bilioni 1.1 kumbe mwijaku muongo sana anataka sifa kwenye hamna😂😂😂😂
Hapana, serikali Huwa inatumia pesa nyingi sana KUJENGA, yani unaweza Jenga msingi Kwa mifuko 20 ya cement ila serikali inatumia mifuko 60 mpka 100 Kwa msingi, utofauti ni huo
HONGERA SANA KWA KAZI NZURI.OMBI KWA MKUU WA MKOA MIMI NAITWA AGNES ALFONCE NI MMAMA MLEMAVU LAKINI NINAUTAALAM KIDOGO WA AFYA.NAOMBA NAFASI YA FREM NA MKOPO KIDOGO KUFUNGUA DUKA LA DAWA BARIDI.NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWA MAMA SAMIA
Mwongooo sana wee mtangazaji.walikuwa hawalipi kodi ya aina yeyote,wacha kudanganya,na mpaka leo hii hawalipi hata sh.moja ya kodi za serikali,mwongoooo sanaa
SHIDA YA WATANZANIA NI KUENDEKEZA UCHAFU NA UMACHINGA HOLELA,WASIMAMIZI WAWE WAKALI NA WOTE WANAOENDEKEZA UCHAFU,KWANI UKIUZA NYANYA NI KAZIMA UWE MCHAFU?MBONA NCHI NYINGINE WANAUZA MBOGA NA NYANYA KWENYE MAZINGIRA MASAFI?
Tuwe wangwana tu, Pongezi kwa Mheshimiwa Rais Dokta Samia. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee 🇹🇿🇹🇿
TANZANIA yetu na maendeleo ❤❤❤ amani na pendo ❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Serikali inajitahidi Sana kujenga miundombinu Bora, 👏👏👏👏👏
Tatizo ni uchafu, na matengenezo. Sasa ona hilo soko linavyong'aa ngoja wakianza kulitumia litakavyokuwa.
Mashaallah...Allah ni mwema mno kwetu
Tumpe mauwa yake Rais wetu, Samia. Kazi nzuri sana
🥇mama maua yakwako izi ndizo habar watanzania tulizoea sikia
Afu kuna mjinga mmoja huko anasema tuandamane 😂😂😂 kweli wale wenzetu njaa ile tusiharibu nchi yetu
Amina 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥰
Kumbe umeona sisi Na Tanzania yetu, Amani TU NA MUNGU WETU.😂😂😂
@@disanatv4485 Eeh buana ... hakuna taifa ambalo watu wasilipe kodi. tuko huku nje kuna makodi nusu ya mshahara unao upokea ni kulipa bills tofauti tofauti na bado tunakomaa 😅😅
WENYEWE wananikeraga sana😢😢😢😢
kweli kabisa tulinde amani ya anchi🇹🇿yetu
Namkubali mama samiah suluhu Hassan, muonyeshe Raisi wetu tapeli Ruto awache uwongo na uwizi namna yakuongoza nchi
Ewala hapo safi Sama.. hilo ndo soko sasa,na benki zipo..tanzania yetu inawakawaka sasa,international levels
Asante sana rais Samia
Mh akifanya vzr basi huongwana ni kumpongeza sio kutafuta mabaya na kufanya fimbo ya kumchapia, kwa mara ya kwanza wa tz wanashuhudia muonekano mpya wa soko la kariakoo tokea Enzi kupata uhuru chini ya uongozi wa baba wa taifa.
Mama mm nakuunga mkono sana kwa maendeleo unayotuletea, Tunakushuru sana
Sasa kama hilo soko hadi hapo lilipofikia imetumika bilioni 28 tu,, Afu ndo mwijaku anasema nyumba yake imekula bilioni 1.1 kumbe mwijaku muongo sana anataka sifa kwenye hamna😂😂😂😂
Hapana, serikali Huwa inatumia pesa nyingi sana KUJENGA, yani unaweza Jenga msingi Kwa mifuko 20 ya cement ila serikali inatumia mifuko 60 mpka 100 Kwa msingi, utofauti ni huo
Kumbe mama haja lala🤝
Love it
Mashaallah tabarak
Safi sana❤🎉
KIMYA KIMYAAA TUNASONGA NA MAMA..
Love it... tzzz we are proud of you mama Samia
I am appreciate
Tanzania ni yamaendeleo
Mama samia tano tena🎉🎉
Amazing 😍😍😍
Ongera mama tupige kwa vitendo ivo wala usionge sana🙌🙌
Jengo nzuri ira sie watanzania soko tutalichafuliwa tatizo mazingira choo hakitamani
Best job,ila sasa mteja kupanda mpka juu 😢
Kikubwa tuitunze AMANI ya 🇹🇿
Mama samia woyeeeeee
Kazi nzuri ya Samia hii
Naweza kupotea hapo sio kwa uzuri huo🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Bora ww mi ntapotea mazima😂😂
Good
Ufisadi kwenye ugawaji wa ivo visehemu vya biashara angalieni sana hata soko la stend ya JPM
😂😂😂😂 alie. Sikia ukikanyaga nyoka ukionajani unkimbia nyoosha kidole juuu
Mbona la mwanza halikamiliki wakati lilianza 2019 kabla ya hili
hili lilichomwa makususdi ili likarabatiwe maana tofauti na hivyo ingekuwa ngum sana
Mulilichoma kwa makusudi eti watu wanasema,la mbagala,la machinga bs moto huo ni balaa
Lini linafunguliwa
Lilipo Waka tu moto, nilijua tu kuwa Watakuwa na mpango kulijenga upya au kukalabati.ila kuwatoa hivihivi isingewezekana,
HONGERA SANA KWA KAZI NZURI.OMBI KWA MKUU WA MKOA MIMI NAITWA AGNES ALFONCE NI MMAMA MLEMAVU LAKINI NINAUTAALAM KIDOGO WA AFYA.NAOMBA NAFASI YA FREM NA MKOPO KIDOGO KUFUNGUA DUKA LA DAWA BARIDI.NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWA MAMA SAMIA
Mtaa wa kongo unaingiza kila siku kodi Milioni kumi na moja na hapo zinginezimeingia mifukoni na hapo kadi itazidi
Tumieni akili, soko linaungua leo, halafu kesho kutwa michoro ipo tayari
Si lilichomwa kusudi
Jamani tuzingatie sasa Usafi jengo hilo zuri ila tukishindwa kuwa wastara u tutaliharibu.
Yasiwe mabanda nje ya soko wafanya biashara watendaji tu wasichukue jiji kuwe na uwazi iwe sheria kali sana na endelevu
Wawe wasafi basi wafnya biashara....maana pamejengwa vizur Sana ila usafi muhim
Sasa narudi nyumbani kumenoga, nakuja kuwapikia wafanyabiashara. Choka kusugua Kuta na vyoo vya washashi
Hapo kwenye gorofa 8 umetupiga
🎉🎉🎉
Upatikanaji wa chumba sas
Utangoja milele
Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Sasa mbona hamjalionesha lote
Usafi sasa
❤
Well
Lipo Zuri sana, tumepiga hatua kitaifa kwakweli
Mwongooo sana wee mtangazaji.walikuwa hawalipi kodi ya aina yeyote,wacha kudanganya,na mpaka leo hii hawalipi hata sh.moja ya kodi za serikali,mwongoooo sanaa
Wewe unalipa sh. Ngapi?
@@omarybakunda2554 nalipa kodi zote za serekali ,labda nawewe mi mwizi wa kulipa kodi ndo maana imekuwasha
Kwa nini usimpe muda injinia aongee?
Amna jipya hapo serikali ya wezi 😁😁😁
Wekeni escalator acheni uswahili
🎉
😊
SHIDA YA WATANZANIA NI KUENDEKEZA UCHAFU NA UMACHINGA HOLELA,WASIMAMIZI WAWE WAKALI NA WOTE WANAOENDEKEZA UCHAFU,KWANI UKIUZA NYANYA NI KAZIMA UWE MCHAFU?MBONA NCHI NYINGINE WANAUZA MBOGA NA NYANYA KWENYE MAZINGIRA MASAFI?
Walinda legacy wana hasiraaaa!
Lkn kodo zetu ndo zimejenga sio serikari
Acha kukaza fuvu, hujui kama serkali ikiwa mbaya unaweza ukalipa Kodi na serkali hiyo isijenge. Kwa hiyo shukuru serkali
Ulichangia shingapi wewe binafsi?
Huko juu kuko wazi wale wenye kujirusha kwenye magorofa sitakuwa rahisi kwao😢
😂😂😂😂wamerahsishiwa
Acha wajirushe
Tutawazika😂
walichoma ili wajenge
Mngewaambia tu wafanyabiashara kama mnataka kulirekebisha soko sio kwa kuwachomea moto bidhaa zao
Acha roho mbaya
Kweli
,👌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
🎉🎉🎉🎉
Litakua soko la mabos tupu
Lakini kwa idadi ya vizimba na namna kariakoo inavyoendeshwa na biashara, huoni watafaidika wauzaji?
Wakubwa na watoto wao ndo watapata nafasi
Gorofa za juu nahisi itakua nyumba za mabundi tu
🎉🎉🎉
🎉