Natalia Mrembo na msomi aliyetumia Uzuri wake kuuza Juice mtaani kwa Mtaji wa Elfu Tano

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 753

  • @evancechangae
    @evancechangae 7 ปีที่แล้ว +15

    Safi sana mdada. Unajielewa sana Dada. Na warembo wengine kama wewe, waige mfano wako. Naamini utazidi kufanikiwa na unautumia urembo wako vizuri.
    Mungu akubariki kwenye shughuli yako.

  • @alphoncendagije7005
    @alphoncendagije7005 7 ปีที่แล้ว +15

    Chapa kazi Dada. Nilichokipenda kwako tu ni kwamba unaonekana dharau hauna na uzuri wako ndo umeufanya kuwa mtaji wako.Congrats.

  • @cristinamrema5274
    @cristinamrema5274 7 ปีที่แล้ว +27

    Ni kweli kabisa mungu ndiye kila kitu na ndugu wa damu awezi kukusaidia ila mtu baki ana weza kukusaidia na kufika mbali yani sister umeni gusa maisha yangu sana kwani wali mwengu awa ishiwi maneno na Kani fundisha kupigana zaidi kimaisha na ku songa mbele na kushinda kila aina ya vikwazo na majani na ku jiamini zaidi kwa kile unachofanya Hongera sana siste

    • @mariambogozo7819
      @mariambogozo7819 6 ปีที่แล้ว +1

      daah nimekukubali Dada yangu

    • @sheilaobedy6771
      @sheilaobedy6771 4 ปีที่แล้ว

      Nimekupenda sana dada naomba nitundishe na mimi japo aina moja tu hajui

  • @siriyamwanamkemkakamavu
    @siriyamwanamkemkakamavu 7 ปีที่แล้ว +38

    Mwanamke Mkakamavu, safi sana, very proud of you. Umeongea ukweli mtupu.

  • @eunicekwamboka9073
    @eunicekwamboka9073 4 ปีที่แล้ว +12

    Nakupenda bure dada
    Thanks for inspiring slayqueens
    Wafanyekazi kuomoka n polepole 😂 wakenya🇰🇪 mpooooo pitia hapo na like tukingoja kuomoka😜😜😂

  • @noorathadhary176
    @noorathadhary176 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana 4 being open wengine huficha kabisa mafaanikio yao bila kufaham kwamba hyo ni akiba ya manen tu bc may God help u in everything Love u so much ccy

  • @kelvinwainaina3744
    @kelvinwainaina3744 7 ปีที่แล้ว +48

    Woow asante ,,,kila kitu.kinawezekana ni ukweli sitakata tamaa niko nyuma nakuja Mungu niwezeshe

  • @hazelbrown4712
    @hazelbrown4712 5 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah Big Up Sasa Dada.... Mwanamke anafaa kuchangamka kwa vyovyotr vile ilimradi anajipatia Pesa zake za Halali.. hii ndio Ndoto yangu na mimi nije kuwa na Fruit Parlour yangu Binafsi niwe na Bakery yangu maana nimesomea Baker nije kuwa na Caffee yangu... naamini ipo siku Ndoto yangu itatimia In Shaa Allah..

  • @sarahlithoqueen495
    @sarahlithoqueen495 7 ปีที่แล้ว +13

    Mashallah mungu akuzidishie mrembo nmeipenda sanaa kazi yako

    • @miriammeela1210
      @miriammeela1210 7 ปีที่แล้ว

      nimekupenda bure. mungu akubariki dada

  • @kichunawayusuf6336
    @kichunawayusuf6336 7 ปีที่แล้ว +13

    Masha Allah mola awepamoja nawe kipenzi ailinde biashara yako nawenye husdha chachu

  • @janeombongi9736
    @janeombongi9736 6 ปีที่แล้ว +2

    This lady is open..i like making friends with people who are real like her...most people fake alot

  • @yunnahharry8088
    @yunnahharry8088 6 ปีที่แล้ว +11

    You one in a million..., great job

  • @hatbtalveson6581
    @hatbtalveson6581 6 ปีที่แล้ว +15

    Huyu dada kaniliza kwa kweli...!! Nimependa sana aseeh mwili unasisismka kiukweli,HONGERA KWA ULIPOFIKIA

  • @immahjunior3771
    @immahjunior3771 5 ปีที่แล้ว +4

    Ur the very professional speaker congrats ww ni mfano mzurii wa kuigwa

  • @abdubakar5428
    @abdubakar5428 7 ปีที่แล้ว +11

    Welldone Natalia. you courageous and good example

  • @gracemmanga6371
    @gracemmanga6371 7 ปีที่แล้ว +1

    guuuuud sana my dada utabarikiwa sana kwakujitambua vizuri mno ukiwa mzuri lazima ujiheshimu

  • @safiyasafiya1522
    @safiyasafiya1522 7 ปีที่แล้ว

    Asante my sister natariy yani nimekupenda wallah uko vizuri pia nashukuru kwa kutuma fuzo wadada wezio kwa hili somo zuri ya kujichanganya katika utafutaji me napenda sana kuwa mfanya biashara mzuri pia naomba mungu adijalie ndoto zangu hili ziweze kutimia lnshallha panapo huai from oman then nikirudi uku nataka niige mfano wako love u

  • @shakilashakila5142
    @shakilashakila5142 3 ปีที่แล้ว +2

    I really like this lady 😍 congrats my dear..... life is not easy it's all about fighting & struggling and also your so inspiring ❤️ God bless u more 💕

  • @zawadiabdul3834
    @zawadiabdul3834 6 ปีที่แล้ว +7

    Nimekupenda Dada unamsimamo mnzuri sanaaa Good speach

  • @reymzyramson5210
    @reymzyramson5210 7 ปีที่แล้ว +1

    i real apriciate the lady daaaah yuko real sanaaaa na kweli anajielewa sio kama wengine wanaigiza tuuu

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 7 ปีที่แล้ว +15

    Safi sana mrembo. Nimekupenda mpaka nakuchukia.❤❤ Mungu azidi kukupigiania maana amesema kwenye maandiko yake utakula jasho lako. Maneno ya Mungu hayapiti bila kutimia..

    • @salmaismail9425
      @salmaismail9425 7 ปีที่แล้ว

      Asee we dada umenitia moyo mwenyewe natembeza juice naonekana maskini lakini naingiza pesa

    • @salmaismail9425
      @salmaismail9425 7 ปีที่แล้ว

      Nadhalaulika sana

    • @tommyalpha9224
      @tommyalpha9224 5 ปีที่แล้ว

      kwel bna

    • @tommyalpha9224
      @tommyalpha9224 5 ปีที่แล้ว

      kwel bna

  • @tkvlogs3969
    @tkvlogs3969 7 ปีที่แล้ว +17

    Wooooh beauty with the brain , Big up , i learn a lot .

  • @mariamkizenga1625
    @mariamkizenga1625 5 ปีที่แล้ว +2

    Nice Dada natalia umenifungua akil sana, na nyie muwe mnafupisha matangazo cz matangazo yenu yanachosha kiukwel

  • @bernadethahassanmkandya86
    @bernadethahassanmkandya86 7 ปีที่แล้ว +9

    Hongera sana Natalia! ujasiri wako ndiyo mtaji wako!

  • @berthafoya447
    @berthafoya447 7 ปีที่แล้ว +1

    changamoto ndo njia ya kujifunz na ndiko njia ya mafanikio katika jihudi. hongera dada barikiwa sana

  • @tinasalim5288
    @tinasalim5288 7 ปีที่แล้ว +3

    What a touching and motivating story .May Allah bless your work.

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 7 ปีที่แล้ว +29

    barikiwa dada angu aisee mungu azidi kukupigania AMEEN

  • @joyblessedtv
    @joyblessedtv 7 ปีที่แล้ว +17

    Asante kwa kunitia Moyo stay blessed keep moving.

    • @VimbaMedia
      @VimbaMedia  7 ปีที่แล้ว +1

      +Joyce Blessed bless

  • @rahmakavuna6827
    @rahmakavuna6827 6 ปีที่แล้ว +3

    Thank you so very much.. I'll thank you again and again.. You made me believe that I will soon make it!

  • @shstell
    @shstell 7 ปีที่แล้ว +11

    This woman it's very grateful, inside and out and very wise. However, i do not agree with the arguement that "woman depreciate more than men". A woman is always valuable to the society and no matter what age, she can do wonders. Society wants us to think that so that men can be exalted, but a man can age better physically, but a woman will gain more wisdom mentally. Woman who keep themselves up have proved to age well as well.
    Wisdom and knowledge are everything. Kudos to her though, inspiring story!

    • @justhere5905
      @justhere5905 7 ปีที่แล้ว +1

      Shstell Mar thanks for clarifying that your words are amazing too

    • @cars9969
      @cars9969 6 ปีที่แล้ว +3

      Women do depreciate very fast than men, it plain truth that people don't like to here it.

  • @gracefrancos2705
    @gracefrancos2705 7 ปีที่แล้ว +1

    am inspired.. Mwenyezi Mungu akujaalie zaidi Dada Natalia

  • @feliscuragi4779
    @feliscuragi4779 4 ปีที่แล้ว +1

    Gorgeous lady inside out, 👏🏼 I've really been inspired, shukran

  • @doricyaudax7288
    @doricyaudax7288 7 ปีที่แล้ว +7

    Uko vizuri dada, ila kujieleza bado, kabisa, haunyooshi Maelezo.. ila big up.kila kitu taratib

    • @iddyamri2629
      @iddyamri2629 5 ปีที่แล้ว

      Doricy Audax Tunamuelewa zaid kwa kile anachofanya maelezo ni ziada tu

  • @thebisadorychannel7574
    @thebisadorychannel7574 4 ปีที่แล้ว +1

    You made me cry sweetheart😥
    You are A Super Woman keep it going💝🤗

  • @deboralazaro50
    @deboralazaro50 5 ปีที่แล้ว +8

    nimekupenda bure dada hauko tofauti na mm sipendi vya kupewa

  • @marymulusha7850
    @marymulusha7850 7 ปีที่แล้ว +5

    kutoka leo you are my role model...I have learnt alot from you😘😘

  • @mariamhussein7620
    @mariamhussein7620 3 ปีที่แล้ว +2

    Well hata mimi namaliza degree yangu ya kwanza but target yangu ni kubobea kwenye biashara ya Chakula and I believe I will make it asante sana dada umenimotivate and I won't give up

  • @keziahndunda6344
    @keziahndunda6344 5 หลายเดือนก่อน

    Thank you for inspiring me as I start my hawking business you are beautiful, and I know am also beautiful I can do anything through Christ who strengthens me

  • @zawadiabdul3834
    @zawadiabdul3834 6 ปีที่แล้ว +3

    Wasichana wengi Warembo hawapendi kujituma kanzi kudanga big up

  • @werubintalijuma3118
    @werubintalijuma3118 6 ปีที่แล้ว

    masha Allah nimependa sana jitihada zako Dada Alia nivizuri umekua mfano wakuingwa na vijana wenzio.Mola akupe maarifa na Kheiri kwa kazi yako In sha Allah.

  • @israeljoseph3438
    @israeljoseph3438 6 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante dada umenipatia motivation ....vzr sna big up

  • @merjanewanjikum9565
    @merjanewanjikum9565 3 ปีที่แล้ว +1

    Umenitia nguvu my sister God bless you alot

  • @husseinhamidu2116
    @husseinhamidu2116 6 ปีที่แล้ว +1

    Utafika mbali Sana, nimejifunza ki2 kwako sister thank you

  • @zhnnnsafisanamweshimiawata1312
    @zhnnnsafisanamweshimiawata1312 6 ปีที่แล้ว +2

    shukrani dada mim naomba niwemwanafuzi wako unipemarekezo

  • @jimmyjohn8184
    @jimmyjohn8184 7 ปีที่แล้ว

    dadangu nimekupenda sana namna unavyopambana, safi saana. Mungu akufanikishe zaidi na zaidi, amen.

  • @rachaelmichael345
    @rachaelmichael345 2 ปีที่แล้ว

    This woman is wow i like her , she's so inspiring, she's just like me.God bless u

  • @joyceisack5930
    @joyceisack5930 6 ปีที่แล้ว +8

    Zanana nimekupenda bure hakika umenishawishi sana

  • @fatmajuma8889
    @fatmajuma8889 7 ปีที่แล้ว +1

    Sister imenitouch story yako Ya maisha .Mwenyezi Mungu azidi kukubariki 🙏

  • @rizzy4604
    @rizzy4604 2 ปีที่แล้ว

    Umenigusa moyo mrembo,God bless the work of ur hands💛

  • @bbybye3135
    @bbybye3135 7 ปีที่แล้ว +1

    very nice. ..am supporting you dada. ..you are great

  • @cookwithflozzy2763
    @cookwithflozzy2763 7 ปีที่แล้ว +2

    Good job....uv got such a strong spirit..big up

  • @alicefriday4056
    @alicefriday4056 7 ปีที่แล้ว +6

    Nimekupenda sana hongera

  • @seamansilver1840
    @seamansilver1840 6 ปีที่แล้ว +2

    Daaa adi nimelia..big up sana zanana umenifanya niamke nlipolala

  • @lucaschambika5437
    @lucaschambika5437 5 ปีที่แล้ว +1

    A strong hero of herself...i like dat!!

  • @mangalamlala3516
    @mangalamlala3516 5 ปีที่แล้ว +15

    I just love her😍💖💖

  • @imeldanoel2827
    @imeldanoel2827 7 ปีที่แล้ว

    Sio siri umenitia nguvu ya mafanikio, sasa utakuwa role model wangu. Hongera sana dada

  • @janetmunyirich9429
    @janetmunyirich9429 7 ปีที่แล้ว +8

    she's so inspiring! use what you have, i love that. + that juice looks so fresh 😋

  • @prettyajumy4227
    @prettyajumy4227 7 ปีที่แล้ว +13

    Dah ww dada mungu akubarikiiii

  • @jumannechapembe8280
    @jumannechapembe8280 6 ปีที่แล้ว +3

    Dada wew mazuri Sana Lakini unasauti mbaya. 😀😀😀😀
    Hongera wew ni Malikia wa nguvu big up

    • @zainabumohammed8334
      @zainabumohammed8334 5 ปีที่แล้ว +1

      kwani Akiwa Na Sauti Nzuree Itakusaidia Nini Na Hiyo Mbaya Alokua Nayo Inakuharibia Nini jiongeze

  • @neemashabani1589
    @neemashabani1589 2 ปีที่แล้ว +2

    Tunafatilia interview ya Natalia 2022 gonga like ...

  • @rizkimantasha5
    @rizkimantasha5 7 ปีที่แล้ว

    ongera sanaaa na mungu akuzidishiee kila la kheri!!katika kaz ya mikono yakoo 👏Natar

  • @consolataaloycemgumba3735
    @consolataaloycemgumba3735 7 ปีที่แล้ว +6

    you are my hero stand strong

  • @mankakileo8423
    @mankakileo8423 7 ปีที่แล้ว +8

    Waoo nice sanaa tuko pamoja

  • @farwatskitchen13
    @farwatskitchen13 6 ปีที่แล้ว +1

    Real inspiration 👍

  • @theresiagreyson9606
    @theresiagreyson9606 2 ปีที่แล้ว +1

    So inspiring woman, bravo👏

  • @BahatiNdogosa
    @BahatiNdogosa 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe dada Mungu aendeleye kuku ongezea

  • @teddyinbloom
    @teddyinbloom 5 ปีที่แล้ว

    Daaaa.....Am a form three student.... Sister umeni inspire kichiiiziii....

  • @halimamohamedy3571
    @halimamohamedy3571 7 ปีที่แล้ว

    ma sha Allah dad nimekupenda mpk bac na nimejifunz kitu kutok kwako mwenyez mung akuongoze zaidi

  • @dianaahdarlingkenya7616
    @dianaahdarlingkenya7616 7 ปีที่แล้ว +2

    great Job Beautifully hard work pays keep it up God bless u

  • @abasimfaume1482
    @abasimfaume1482 7 ปีที่แล้ว

    Wow, I like much dada.
    Ladies wanapaswa kuutumia urembo wao kwa fursa +ve mfano dada is a good example to be followed

  • @haniphaathumani7554
    @haniphaathumani7554 4 ปีที่แล้ว

    Asante umenipa nguvu ya kutokata tamaa nmekuelew san dada ake mungu akuzidishie

  • @kinandamahaza342
    @kinandamahaza342 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sanaa Dada. You are very bright one. We love girls like u

  • @muchiameir7416
    @muchiameir7416 6 ปีที่แล้ว +5

    Hongera Dada, unatuinspire sana watanzania pamoja na walisoma.

    • @muchiameir7416
      @muchiameir7416 6 ปีที่แล้ว +1

      Yaani nimecomment kabla haujalia....yaaani mhhm, kweli tusikate tamaa...

  • @ommythegreatblog7040
    @ommythegreatblog7040 7 ปีที่แล้ว +3

    you are hero sister....you teach me ways to go forward

  • @wardeeswai716
    @wardeeswai716 4 ปีที่แล้ว

    Am proud of you sister umenishawishi kitu tena haswa sisi wasomi halafu ni warembo tunatakiwa tujiamin

  • @rebecaalbertmillanzi5882
    @rebecaalbertmillanzi5882 5 ปีที่แล้ว +2

    Watching it in 2019...uyu Dada anantia hasira ya kutafuta pesa

  • @navongelysrlynsozsye8494
    @navongelysrlynsozsye8494 7 ปีที่แล้ว

    God bless you NATALIA...U REAL DESERVONG SIS...
    GOD IS EVERYTHING.!

  • @malaikamartin6559
    @malaikamartin6559 7 ปีที่แล้ว

    asante Sana.. nlikwsha Kata tamaaa ila nainuka Rena. God bless you dear.

  • @nshimirimanadjamilla7270
    @nshimirimanadjamilla7270 3 ปีที่แล้ว

    Ok 👌 shukran

  • @mbushimbushi1524
    @mbushimbushi1524 6 ปีที่แล้ว +2

    Daaaah Dada asanteeee sanaaa kwakunipa ujasir wa ajabuu

  • @gshenlgospel7485
    @gshenlgospel7485 7 ปีที่แล้ว +38

    elfu tano ulikuwa mbali mi nilianza na 1800 mpaka sasa Nina miliki mzogo wa maana
    so keep it up Lady's

  • @renatusernest6285
    @renatusernest6285 7 ปีที่แล้ว

    Congratulation Dada umepigaa hatuaa ni mfano wa kuigwaa Mungu na akubariki

  • @munirmuhamed5908
    @munirmuhamed5908 7 ปีที่แล้ว +3

    She is genius!!! Anaongea Fact Mwanzo Mwisho...

    • @joshuasamson4872
      @joshuasamson4872 7 ปีที่แล้ว

      may your blessed abandoned due to such great inspiration !

  • @judioman1041
    @judioman1041 7 ปีที่แล้ว +16

    asante da nataria nimejifunza vtu vingi kutoka kwako

  • @wambuijoseph5989
    @wambuijoseph5989 3 ปีที่แล้ว +1

    Iron lady. ❤️I'm inspired. 🙌🙏

  • @deborahmakisha
    @deborahmakisha 7 ปีที่แล้ว

    Hongera sana dada kwa kazi nzuri sana Mungu akupiganie

  • @hurumamwakiluma5485
    @hurumamwakiluma5485 7 ปีที่แล้ว

    Me nimependa kauli moja huyu dada na kusoma kwake ana spirit ya kutoajiriwa, iyo ndo spirit ambayo itamfanya awe tajiri na ndo mana hupo hapo. Safi sana Dada tupo nyuma yako!🛴

  • @stellamwanika5317
    @stellamwanika5317 3 ปีที่แล้ว

    Zanana nimependa majibu yako hongera sana,🙏🙏🙏🙏

  • @muhammadmwinyi3225
    @muhammadmwinyi3225 7 ปีที่แล้ว

    hakika kila kitu kina changamoto zake,big up dadangu,Mungu akubariki.

  • @godfreymallo7314
    @godfreymallo7314 7 ปีที่แล้ว +2

    hahahaa unaanza kudepreciate please don't say that again.
    I just love the way you express yourself...
    the way you know things...
    they say
    it will come to time when the learner will inherit the world while the learned ones will find themselves beautiful equipped with the world no longer exists.

  • @getrudejbmirei187
    @getrudejbmirei187 5 ปีที่แล้ว +2

    Daah your very strong I like many things from u

  • @SuperKibwana
    @SuperKibwana 7 ปีที่แล้ว

    wazo zuri sana kwa kweli. Hongera sana Mdada. Na ni changamoto kwa wengine

  • @arafamiraji3992
    @arafamiraji3992 6 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda sna dadangu pia umenifanya nami niamke kwa kwel duuhh hongera sna sna

  • @g-spack
    @g-spack 4 ปีที่แล้ว

    Natalia God bless u your an inspiration to all those young ladies who think bleaching and being socialites is the only thing that can make them money...your life story is amazing

  • @japhetkitenge7613
    @japhetkitenge7613 7 ปีที่แล้ว +1

    daaah huyu mrembo nimemwelewa sana aisee hongera ni wachache warembo wenye kujituma kama hivi.

  • @paulinasamwel3975
    @paulinasamwel3975 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante san dada angu kwa ushauli mana kunabinadam mwengne wapot kwaajol ya kukatisha tamaa

  • @ahmedmakame1687
    @ahmedmakame1687 6 ปีที่แล้ว +1

    Nice one u encourage me every thing can happen

  • @cmsa1r
    @cmsa1r 7 ปีที่แล้ว +23

    What an incredible and an inspiring woman. I would love to visit her location while I am in Tanzania and also help spread her business name to others...
    And one knows where in particular this business is located? Thanks

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 7 ปีที่แล้ว +1

      Beto Beto 👌👌👌

    • @wardasalim3583
      @wardasalim3583 5 ปีที่แล้ว +1

      u should help ambao hawana shes already successful

  • @chapamtukironge2375
    @chapamtukironge2375 7 ปีที่แล้ว +86

    ZERO TO HERO ,uoga wako ndiyo umaskini wako ,congrats!

  • @BidayoTV
    @BidayoTV 6 ปีที่แล้ว +1

    Nice dada, nimekupenda bure keep on moving