Zanzibar beautiful island,,, nyumbani ni nyumbani tu kwengine tunatafuta maisha tu,,,nitarudi tu Zenji,,,skuli yangu Haillesalissie na Tumekuja,,,,nipo Cameroon
ingekuwa kisomo chakur_an bure musingekwenda hapo lkn kwa vile nimoto mnajazana na hela zenu kutowa ama kweli bilisi anaakili sana anawajaza tu ni mijanadume umeenda at na wake zao ina lilah waina ilahim rajghuni msiba mzito huuu
Huu ukimwi umewamaliza watu wengi tangu hapa afya yake haikuwa nzuri na wala sio pombe na sigara kama mama yake alivyosema mimi nakunywa pombe kila siku na nipo bonge na sipungui mpaka niache pombe
2024 listening 👂 KING 👑 OF ALL TIME OMAR KOPA ❤
Allah ghfir lahu, wa rhamhu wa skanhu fil Jannat!
2022 listening 👂 haiishi Hamu sauti ya kutoa mzungu ulaya
Aiseeee.... huu wimbo ni hatari... kijana aliweza sana
Ishakuwa mibibi hawo wanawake 2023
Mungu akulaze pema penye wema....,..amin
Très belle voix et une magnifique musique j aime beaucoup 🇩🇿🥀🌸🌷🌹⚜️⚜️⚜️⚜️⚜️🌺🌻🎼🎵🎵🎵🎵❤️🌺🌻🎶⚜️🌹🌷🌸🥀🇩🇿
Ulijua kuimba+kucheza pia. Pumzika kwa amani Omary Kopa
Siishi kukuangalia almaruhumu omari kopa japo haupo mungu akupe kitabu chako kwa mkono wa kulia
😭😭nyimbo inakosha jmniii Allah mrehemu mja wako ,,Amiin
Allah akulaze lahali pema peponi ameen inshaallh 💔🥺😭😭😭😭😭😭
Daaaaahh mwenyezi mungu,ni kweli twapita die sote, ni ujumaa sana
Best Singer,Allah akupe kauli thabit
Allah aiweke roho ya marehem peponi amina
omari kopa we mungu akufanyie wepes akupunguzie adhabu ya kabl
Mwenyz mungu amlaze mahala pema peponi
Innalillah wainna ilaih rajiun 😭😭😭😭miss more Omar
Sema innikumbusha mbali sana,Allah akufanyie wepesi Kila penye uzito Juma wangu🤲missed💔
we miss your sweet voice! Mungu akurehemu!!! RIP
ismail mukama inshaallah
Dalila Naufali 2023❤
Omar had a very beautiful voice...and he never struggled with it...it oozed naturally ❤
Mungu akupunguziye adhabu ya kaburi akupe raha ya milele
R.l.P Omar kopa mungu Akupe mema yako kwa mkono wakulia 😂😂
Mungu akulaze maala pema ameen
Mshindani wa Omar Kopa alikuwa ni Omar Kopa mwenyewe❤
Nilimpenda sana. Mungu amupe kauli thabiti na amueke kwenye mkono wake wa kulia.
Dah huyo omar yussuf kopa alikuwa anajua kuimba wacha masihara kweli chema hakidumu
Allah akulaze pema ln shaa Allah, Aamiin.
Sasa taarab ilikuwa ndio kama hivi 😍😍 RIP Omary Kopa
Was a true taarab Guru
Hatufiki mahakamani kesi ni yetu wenyewe ww unisifu mm nami nikusifuwewe
maashallah nice song.we remember with this song.
Mashaaallah Allah amuondolee adhabu ya kabirin na apumzike kwa amani
🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾
Ma favorite tarab I can listen to dis more Dan 5 tyms .. Allah akurehem
Tokea aondoke Omar kopa mziki wa taarab umepungua kasi Zanzibar
Zanzibar beautiful island,,, nyumbani ni nyumbani tu kwengine tunatafuta maisha tu,,,nitarudi tu Zenji,,,skuli yangu Haillesalissie na Tumekuja,,,,nipo Cameroon
P
Pamoko
Home sweety home
Mashallah Omar Yusuph Kopa
kizuri hakidumu
Mungu akusamehe
King of Taarab💖💖💖💖
Mungu amlaze mahali pema peponi
ingekuwa kisomo chakur_an bure musingekwenda hapo lkn kwa vile nimoto mnajazana na hela zenu kutowa ama kweli bilisi anaakili sana anawajaza tu ni mijanadume umeenda at na wake zao ina lilah waina ilahim rajghuni msiba mzito huuu
Dunia hadaa. Allah atupe mwisho mwema. Awarehemu maiti zote kwa jumla.
Mashaaallah Allah akuajalia pepo Omar Koppa..
mashallah atokei MTU anae juwa kuimba km marehemu Omar kopa mpaka sasa hayupo hebu sikiy maneno yak
hakuna aliejipodoa hapa lakin ingelikuwa sasa ungewaona wanawake walivojimekapu
good sana
yaaanii wewacha tuu
Maneno yako sadakta
Xwa xwa hamna anaeweza kuimba kma marehem
Kama mapenzi ya ndani nikuongezee dah song taam.
Warembo pole pole jamani jasho ya macho yanitoka 😂😂🖐
Allah akuepue na adhabu ya kabri
huyu alikuwa mwimba taarabu nasauti alijaliwa kuitumia
mashairi pia alijua kuyatunga
Zamzam unaoneshea ulimkubali sana marehem omar yussuf kopa
Hiindotarabu mashaallah
beautiful island Zanzibar
جميل جدا ❤
"Madanga" kwa sannnnaaaaaa!😂
Yani hii nyimbo naipenda kwel...R.I.P...omar kopa
Naipenda hii nyiimbo jamani
Naikumbuka hiyo siku vyema Sana r.i.p omar
Alah akurehemu
He was my favourite
Amazing♥️♥️♥️
que dieu t'accepte le paradis
Imewza sanaaaaa
Allahu Akbar emagine ndio namuona sura leo..who uploaded this😭😭😭😭😭😭😭Allahumma arhamhumma wasakanah filjanna
Amiin
amiin thumma Amiin
Bin Seif uyo
Ladha yaaaaaaaaaako ni tamuuuuuuuu
R.I.P Omar kopa mungu akulaze maala pema pepon.
Rip Ommy
dah 👐
Paix à son âme
Hiz ndo taarabu,, imepoa mpk raha, tamu balaa,, R. I P...
😥❤
@@zuhrazuhra4051 sema unapenda nn.....
Do very nice voice
hakuna aliyekuwa anampata omar kopa kwa sauti
LEGEND forever habiby Omar Kopa RIP lovely Brother
Huu ukimwi umewamaliza watu wengi tangu hapa afya yake haikuwa nzuri na wala sio pombe na sigara kama mama yake alivyosema mimi nakunywa pombe kila siku na nipo bonge na sipungui mpaka niache pombe
Sawa mama yake omary kopa😅
Ulimpima kumbe ,kufa niibada kuishi ni bahati, uwe na ukimwi uwe na homa kufa kupo tu mshukuru Mola pumzi aliyokupatia
Continue resting in peace
Huu wimbo ni 🔥
Samahani Alifariki mwaka legend
bomoa wee tutajenga keshoo hahaha
Miss u omar
Allah akueke pema
Asante Kopa wangu
R.I.P
Masha Allah
Woo nice voice
mashaallah
Inna lilahi wa Ina ilaihi rajiun mungu ailaze Mahali pema peponi roho yake Insha_allah
R. I. P omary
Maskin Yuko zake kaburini
Mashallah
Lal salam
"wacha waseme watanyamaza wenyewe" hapana chezea omari kopa wewe
Tena akusamehe xn xn
R. I. P
Tammuu ladha yake
Mungu ampunguziye azabu yakabur
😢😢😢😢😢😢😢
R.l.p
He is nice does he still sing
?
Alread died
@@sudaissoud3670 oh sorry to hear this so young very lovely voice
Zuri
Rip
maneno kuntu hayo
Mashalla
Allahu Rahamma Omar Kopa
Shamsa Kenya ...dont be stupid....
Iddi Milao Reason has to why I'm stupid
Translate in english please....
😂😂😂😂😂
Tamu ya chai sukari naam
Maya Mohamed Sema unataka nini mwenyewe nieleze kama mapenzi ya ndani dozi nikuongezee
Wimbo mzuri sana shairi limepangika vizur
Yani kiukweki mh anakuambia,nipepe kwa hisani nikale uku nikisema na wewe uwepembeni polepole ukihema
wacha waseme
Watoto wa elfu mbili wanapata tabu kujua hizi pesa ni dollar au nipesa gani ya tz ilikuwa na rangi hii waambieni please😂😂😂😂31/05/2024
Too much skin bleaching thou
Really it is not a skin bleaching....it is a mixture of Arab and African blood....
Original zanzibar skin colour