#sermon

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 91

  • @frankcyprian1944
    @frankcyprian1944 12 วันที่ผ่านมา

    Bwana ni mwema Naomba uniombee nitoke kwenye mawazo mabaya na ndoto mbaya za wafiu, niombee afya yangu uchumi wangu uwe nzuri niombee nisimame Kwa Mungu.

  • @donaldchacha
    @donaldchacha 10 หลายเดือนก่อน +16

    Waumiini wenzangu jina la Mungu liandikwe vizuri ili kutofautisha Mungu wetu aliye hai na miungu. Wengi wanatunia herufu ndogo (mungu)!

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 9 หลายเดือนก่อน +1

      Waambie kabisa maana wana uvivu sana

    • @joycekerenge3605
      @joycekerenge3605 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa Mungu ....na ....mungu ni majina tofauti ahsante kwa kutukumbusha

    • @joycekerenge3605
      @joycekerenge3605 7 หลายเดือนก่อน

      Shinda mawazo mabaya dhidi yangu mwenyewe...ahsante Mch Mmbaga

  • @ziporamachilu6877
    @ziporamachilu6877 9 หลายเดือนก่อน

    Tuko pamoja ktk maombi nawaombea watoto wangu wote ktk nyumba zao wawe na afya pia uchumi wangu uimarike pia afyangu

  • @ziporamachilu6877
    @ziporamachilu6877 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu wetu azidi kukupa afya mimi nabarikiwa na mafundisho yako maana unagusa pande zote .mimi nimekuwa mwanafunzi darasani ktk kusikiliza na kupona kiroho

  • @DorcasNgumbi-k6n
    @DorcasNgumbi-k6n 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mchungaji kwakazi ambao Mungu anakutimikisha nimebarikiwa n'a nenolake bwana🙏🙏🙏

  • @Joy-mm1ut
    @Joy-mm1ut 27 วันที่ผ่านมา

    Amina mungu akubariki mchungaji kwa mafundisho mazuri ya kutukuza kiimani

  • @munguikojeandedieu5468
    @munguikojeandedieu5468 9 หลายเดือนก่อน

    Na anza kushukuru kwakipindi
    Hiki kiriyopita
    Nawomba musada Wama ombi kwasababu yanyumba yangu hakuna Amani Asante.

  • @wemamuss
    @wemamuss 6 หลายเดือนก่อน

    Somo zuri sana... Mungu akubariki Pastor Dev

  • @ziporamachilu6877
    @ziporamachilu6877 9 หลายเดือนก่อน

    Somo hili ni muhimu sana hakika nabarikiwa sana natamani kila mtu asikilize maana ni uponyaji wa mawazo mabaya .Mchungaji David ukweli sichoki kusikiĺiza mahubiri yako maana kwangu nabarikiwa na kupona kiroho na kimwili

  • @MpelwaMakoye
    @MpelwaMakoye 9 หลายเดือนก่อน

    Amen MUNGU Atusaidie san

  • @MartinyMaryogo-nt6xg
    @MartinyMaryogo-nt6xg 10 หลายเดือนก่อน +7

    amina mtumishi, nipo dodoma, natafta mahala sahihi pa kupokea ukombozi lakini sijapata, najarbu kuomba na kusali sana najarbu kufunga hata siku tatu kavu kwa mara nyingi, nahitahi sana kupokea wokovu wa kweli, lkn napitia changamoto ama vita kubwa sana hata biashara yangu kufa na ni kwa sababu ya kuanza maombi magumu sana, ko niko vitani nahitaji usaidizi wa maombi, MUNGU awabariki sana

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  10 หลายเดือนก่อน

      Pole sana! Nitafute kwa whatsApp +255 755 932 283

    • @florahtmligo-me3zl
      @florahtmligo-me3zl 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu akubariki sana tafuta kanisa la waadiventisti wasabato

  • @PetroMhondeja
    @PetroMhondeja 9 หลายเดือนก่อน

    Pastor naomba yako nahitaji msaada zaidi

  • @christinamafuru4784
    @christinamafuru4784 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki kwa utumishi naomna uniombee nipate mtoto

  • @Barick2
    @Barick2 9 หลายเดือนก่อน

    Amen nimebarikiwa sana pastor

  • @PlamediBugorhe
    @PlamediBugorhe 9 หลายเดือนก่อน

    Na fatiliya sana mafundisho yako pastor lakini iyi inani jenga zaidi,Mungu atu wezeshe tujuwe ku chaguwa ni nini tuta fuwata naku sikiliza . asanteni na Mungu azidi kukutiya nguvu

  • @ChristopherGambi
    @ChristopherGambi 9 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe mchungaji David 🤝

  • @TrishaMarnene
    @TrishaMarnene 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aendlee kukubariki pastor
    Nimeuona mkono wa Mungu kupitia masomo yako 😭🤲🏽🙏🏽🙏🏽

  • @AndjelaniIlombe
    @AndjelaniIlombe 10 หลายเดือนก่อน

    Tuokowe baba tuwe salama

  • @adolophineheri4603
    @adolophineheri4603 10 หลายเดือนก่อน

    Pasta na hitaji maobi kwa mume wangu hataki kwenda kanisani nihomba sana ila siwezi peke yangu na hitaji msaada wamaibi Amin

  • @annamadatta1213
    @annamadatta1213 10 หลายเดือนก่อน +1

    Somo ni zuri sana nimepata jambo kiasi limebadili sana maisha yangu

  • @ElvinaLuvuno-d7u
    @ElvinaLuvuno-d7u 10 หลายเดือนก่อน

    Asante pastor neno hili limenipa hatua maana nimekuwa Na mawazo Sana Bali neno limenipa hatua neno la BWANA libarikiwe AMEN

  • @calebmakori
    @calebmakori 10 หลายเดือนก่อน +3

    pray for my sister who is possessed by the curses( demons) and my kid who is not able to talk now 12years

  • @angelasteven6015
    @angelasteven6015 10 หลายเดือนก่อน +1

    Eee Mungu unirehemu nipe Amani, Busara, Hekima, Afya njema, kibali🙏🙏

  • @robardmutisarobard4605
    @robardmutisarobard4605 10 หลายเดือนก่อน

    Me ni Richard mutisya toka Nairobi naomba uniombee ndoa yangu my wife arudi kwangu sababu aliniacha kwa uchochezi wa watu amen

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 10 หลายเดือนก่อน +1

    Namshukuru sana Mungu mtoto wangu alikua na uvimbe kwenye ziwa na sasa imeisha ni maombi na kuwa na Imani amepona

  • @RebekaFelix-j2i
    @RebekaFelix-j2i 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu kwa mafundisho mazur naomba uzidi pia kumuombea mama mkwe wangu anasumbuliwa na nyonga kupitia dawa anazotumia kwa sasa zikampe uponyaji

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤ pastor David mbaga kwajina la yesu tunapona kupitia mafundisho haya

  • @ndefisiwaonyango4322
    @ndefisiwaonyango4322 10 หลายเดือนก่อน

    Asante mchungaji mwombee binti yangu mume wake kaambiwa na mumewe hamtaki tena amepata mke mwingine. Wana watoto watatu.

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 10 หลายเดือนก่อน

    Ukweli ni huu,najifunza vtu Vingi sana kwako, May protect you Forever 🙏

  • @GideoniEmmanuel
    @GideoniEmmanuel 9 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji kwangu binafsi umekuwa mbalaka

  • @evelynmukama6033
    @evelynmukama6033 10 หลายเดือนก่อน

    Ninnapokea ushindi dhidi ya mawazo mabaya kwa jina la Yesu.

  • @maryaugustor6983
    @maryaugustor6983 10 หลายเดือนก่อน

    SHALOM MTUMISHI MM NIKO NA SHIDA NYINGIENIKIPOKEA MISHAHARA WOTE HOSPITALI NIKISEMA HUU MWEZI NATOA SADAKA NASIKIA KITU IMEFANYIKA NYUMBANI MIAKA KUMI NA TANO SIJAFANIKIWA KITU CHOCHOTE KWENYE KAZI SASA MAGONJWA MWILINI NISAIDIE NIISHI KIROHO PROGRAMU ZOTE UNAZOFUNDISHA MM NDIO UNAONGELEA.AMEN.

  • @Barick2
    @Barick2 9 หลายเดือนก่อน

    A'm blessed so much pastor

  • @HappyFrank-m7n
    @HappyFrank-m7n 10 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana pasta nazid kubarikiwa na mafundisho yako MUNGU aendelee kukutumia siku zote

  • @rodahadhiambo3637
    @rodahadhiambo3637 9 หลายเดือนก่อน

    Amen pastor ,mungu alitaka niskie hili hubiri ,limenipa tumaini na kunijenga sana, ubarikiwe sana pastor Mungu azidi kukutumia Kama chombo chake kuwafikia wengi.

  • @vivianong8404
    @vivianong8404 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mahubiri yako pastor imenisaidie sana,siezi sema apa bali sifa na utukufu simrudie mola na ubarikiwe mchungaji

  • @YusuphMarwa-z7r
    @YusuphMarwa-z7r หลายเดือนก่อน

    Itho the badrAndi

  • @olphanyamweya3154
    @olphanyamweya3154 10 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏 pastor nimelipokea Kwa wakati Niko katika hiyo hali ,..BABA YANGU asantii

  • @AndjelaniIlombe
    @AndjelaniIlombe 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu wambiguni wewe ndie muweza wayote tusaidie baba

  • @LoynesMalkusi-zx4yn
    @LoynesMalkusi-zx4yn 10 หลายเดือนก่อน

    pasta nabalikiwa sana na mafundisho yako naomba kubatizwa nisaidie mwalim wangu

  • @edsonkarani3420
    @edsonkarani3420 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akawalinde Wana wangu,awaepushe na maradhi na magonjwa

  • @donaldchacha
    @donaldchacha 10 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana nimebarikiwa sana na somo hili na siku zote nitaepuka maneno na mawazo mabaga na kumshuru Mungu kwa kila jambo.

  • @deogratiasirumva3664
    @deogratiasirumva3664 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Kwa somo nzuri. Nawafuata nikiwa DRC Goma

  • @SuzanRobert-d7o
    @SuzanRobert-d7o 10 หลายเดือนก่อน

    Nisaide maombi mungu anisadie maana ninapojikita ktk kuomba ujazo wa roho mtakatifu ndipo mume wangu siku hio hata rudi nyumbani na kama akirudi basi kutatokea Ugo mvi tu ktk famila yangu

    • @donaldchacha
      @donaldchacha 10 หลายเดือนก่อน

      Kuna tofauti Kati ya "Mungu na Mungu" na Kati ya "Roho Mtatatifu na Roho mtakatifu"! Uwe making kwenye Hilo na kama huwezi Bora utume ujumbe wa Sauti!

  • @AndjelaniIlombe
    @AndjelaniIlombe 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie baba bila wewe atuwezi

  • @NeemaEzely-pj8cr
    @NeemaEzely-pj8cr 8 หลายเดือนก่อน

    Aminaaa

  • @UserUser-gq1ir
    @UserUser-gq1ir 10 หลายเดือนก่อน

    Amina, Asante pastor kwa niondoa n mazoea ya kulalamika kila wakati nimejifunza kitu cha maana katika maisha yangu

  • @paulinematagi-mp3ks
    @paulinematagi-mp3ks 10 หลายเดือนก่อน

    Somo hili limebeba mafaniko yetu yote ya kiroho na kimwili,Mungu atusaidie katika kulifanyia kazi neno hili.Mungu akubariki Pastor.🙏🏼

  • @VeronicaMatutu-mm8hv
    @VeronicaMatutu-mm8hv 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubarik nabarikiwa na kujisikia furaha sana Kila napo sikia mahubiri yako

  • @reallyworshipers1515
    @reallyworshipers1515 10 หลายเดือนก่อน

    Nimepokea uponyaji kwa jina la Yesu

  • @minzasamson1530
    @minzasamson1530 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu msaidie kaka angu awe na maamuzi sahii katika maisha yake

  • @leahmose1808
    @leahmose1808 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Mchungaji kwa neno hili limenigusa na kuanzia leo nimejikubali

  • @callennyanchama4014
    @callennyanchama4014 10 หลายเดือนก่อน

    Pastor mungu akubariki mafundiso mazuri unao tufundisha kila kukija

  • @callennyanchama4014
    @callennyanchama4014 10 หลายเดือนก่อน

    Pastor tena naomba uniombee wasichana wangu wawili wanaumwa na mgongo wote wamejaribu kuenda hospital wamesindikana.Asante mungu akusikie unapo waombea katika Jina la yesu Amina.

    • @DeoMollamu-ey4tk
      @DeoMollamu-ey4tk 9 หลายเดือนก่อน

      Kama ni mgongo jaribu wawe wanalala sakafuni au kitanda miti au kichanja Mungu atawasaidia wasilale kwenye godoro tena hadi wanapo tengamaa ubarikiwe na bwana

  • @eustina0
    @eustina0 10 หลายเดือนก่อน

    Aminaa Mungu atukuze siku zote

  • @nancyatandi2183
    @nancyatandi2183 10 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi niombee dhidi ya kuota nikifanya tendo la ndoa Kwa ndoto, kula Kwa ndoto.

  • @harunarashidy-k6t
    @harunarashidy-k6t 10 หลายเดือนก่อน

    Pasta niombee nipate wateja katika kazi yangu ya ufundi wa chelehan

  • @lucaspengo310
    @lucaspengo310 10 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki pastor

  • @aishasabubakari2642
    @aishasabubakari2642 10 หลายเดือนก่อน

    Amina pasta nabarikiwa sana

  • @virginiav4595
    @virginiav4595 10 หลายเดือนก่อน

    Maombi.kwa.mume.wangu.ako.na.changa.moto.za.kiuchimi

  • @ErnestMasasi
    @ErnestMasasi 10 หลายเดือนก่อน

    Asante pastor, nimebarakiwa sana.

  • @roseeeleee
    @roseeeleee 10 หลายเดือนก่อน

    naomba mtumishi niombee wanangu

  • @sauud2some471
    @sauud2some471 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mutumishi wa Mungu tunaomba Mungu atusaidie sana tujue Ile kweli kabisa 🙏🙏🙏

  • @Nyanda_Jr
    @Nyanda_Jr 10 หลายเดือนก่อน

    Timely Message. I needed to hear this. Glory To God for this pastor.

  • @veronicawilsonmbwambo1054
    @veronicawilsonmbwambo1054 10 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana

  • @barikimatabishi3544
    @barikimatabishi3544 10 หลายเดือนก่อน

    Na kufuata sana.❤

  • @janelulambo3957
    @janelulambo3957 10 หลายเดือนก่อน

    Naomba uniombee naita kuwa kijijin niliko Toka kalibia Kila siku,naita kalibia Kila siku,hii kwangu naona haijakaa sawa,naomba kuombewa nimechoka nahz ndoto.

  • @perisbosibori2249
    @perisbosibori2249 10 หลายเดือนก่อน

    I appreciate You LORD for everything You've done in my life and the rest I leave them in Your able Hands. Be blessed Pastor for this timely message, 🙏🙌.

    • @NasembaMjema
      @NasembaMjema 10 หลายเดือนก่อน

      Pr Mungu azidi kukutumia vema na barikiwa na masomo yako

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 9 หลายเดือนก่อน

    Amen God bless you Pastor 🙏🏼 🙌

  • @kgness5645
    @kgness5645 10 หลายเดือนก่อน

    Weeeh timely message indeed! May God bless you with more wisdom to save more souls Pastor

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 10 หลายเดือนก่อน

    Amen!❤❤❤❤❤❤❤

  • @MeryMbwambo-jk8il
    @MeryMbwambo-jk8il 10 หลายเดือนก่อน

    Paster nabarikiwa sana na masomo yako lakini ninachangamoto ya uchumi naomba mniombee naanzisha biashara kwa mda baadae inakufa na sijui shida iko wap

  • @DuncanJohn-bw4wn
    @DuncanJohn-bw4wn 10 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 10 หลายเดือนก่อน

    AMEN

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 10 หลายเดือนก่อน

    ❤ amen

  • @ChristineSavai
    @ChristineSavai 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @alidnyalusi5710
    @alidnyalusi5710 10 หลายเดือนก่อน

    Pasta tafadhar naomba kujua ulipo niweze kuja maana mwanangu anapitia wakati mgum sana

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  10 หลายเดือนก่อน

      Pole sana! Nitafute kwa WhatsApp +255 755 932 283

  • @reallyworshipers1515
    @reallyworshipers1515 10 หลายเดือนก่อน

    Nimepokea uponyaji kwa jina la Yesu