Mungu Baba azidi kukutumia. Na azidi kukufunika na Damu yake. Nahitaji kukombolewa kwa hayo mambo yakale. Ju sasa nimeona mbando yananifuata mimi. Na nimeokoka. Niombee mtumishi wa Mungu.
Kwa kweli jina la BWANA YESU libarikiwe sana kwan amekuokoa ili wengi tufunguliwe katika maagano ya laana maana tumefingwa sana, Mtumishi usikate tamaa songambele kwa huduma hii Kwan wengi maisha yetu yamejaa laaana za mababu zetu, Barikiwa sana mtu Wa Mungu
Mungu Na atukuzwe kwa kutupa Neema ya wokovu pia kwa kukuokoa wewe nimejifunza mengi na ninatamani kujua zaidi kuhusu haya mambo ya ujambazi wa wachawi wanaiba mno pembe za nyota zetu washindwe na kuteketea kwa moto wa YESU.
Amen nimerudia hiyi maranyingi nilifanya hatua hizi zamaombi nasasa niko huru namshukuru YESU kwa kunifungua mubarikiwe sana watumishi wa MUNGU Burundi tunawapenda
Woooi naomba Mungu anikomboe Na familia yangu Yesu Kristo atutete Kwa madhabau ya katekela kila maeneo uchawi iliigia madhabau Haya initete Sasa nimechoka kulia kukataliwa Roho wa Mungu niudumie Niko hapa
Asanteni sana kwa nafasi yenu kwa kutuhubiria injili ya Mungu na kutufundisha roho zinazofatilia.Swali langu ni , utajuaje kati ya misukule na hizo roho zinazowatokea watu na kusema kuwa ni mtu fulani amekuja kufanya hiki na kile ilhali pia misukule huja na kusema kuwa ametumwa kuja kuchukuwa fulani au amefuta kitu fulani kwenye jamii
Amen Amen nimefunguka ufahamu, MBARIKIWE SANA WATUMISHI ila Mtumishi Erick naomba uongee sauti maana kwengine hatusikii zile maswali unauliza mtumishi ila twapokea tu majibu bila kujua ulikua umeuliza nini
Wow asante kwa kutufungua macho ati hatufai kuchinja wanyama ili kujikomboa wah tumelaghaiwa sana hapa kwetu...barikiwa sana Mchunganji sijutii kukufuata nimejifunza mengi more love from🇰🇪🇰🇪
Pastor Nashukuru kwa hii mafundisho ila nko na swali hii maombi ni ya kuomba siku moja ? Mm pastor wangu kanisa lilipasuka kwa sai hana na nko mbali na yeye, je naeza mtumia sadaka kwa simu??
Pasta Eric nataka nikutume kwa Mchungaji KATEKELA umuniulizie eti kuota kaka yako kwenye ndoto muko munapigana aiza kugombana inatasfiri nini kwenye dunia yakiroho ?? Plz nakutuma kwaju napenda kuowota sana iyo ndoto naomba ufafanuzi asante sana
Eti ukiota uko porini mara umedumbukia korongoni kupanda huwezi au ukokwenyemilima nawatu waliokufa alafu wanapaa wamekubebe mgongoni ina maana gani maana huwa inanitesa sana na huwa na kemea lakini bado
Sasa hii kutoka katika laana hizi,,ni nani atakea tusaidia kutoka maana sisi wenyewe hatuwezi kujiombea, na wewe mchungaji Katekela hushiki simu,ju wewe ndie unaelewa hii mambo 😢😢tusaidike vipi?

😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Amina, mchungaji Mungu akubariki kwa mafunzo.
Mungu Na atukuzwe kwa kutupa Neema ya wokovu pia kwa kukuokoa wewe nimejifunza mengi na ninatamani kujua zaidi kuhusu haya mambo ya ujambazi wa wachawi wanaiba mno pembe za nyota zetu washindwe na kuteketea kwa moto wa YESU.
Amen nimerudia hiyi maranyingi nilifanya hatua hizi zamaombi nasasa niko huru namshukuru YESU kwa kunifungua mubarikiwe sana watumishi wa MUNGU Burundi tunawapenda
Ameen
Pastor Amiel is so anointed and also hilarious .i am so blessed listening to you Man of God.Watching you from Kenya
Jaman wapendwa naomben nsaidien no ya mch maana nna shida
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwakweli kupitia wewe MUNGU anatusaidia na Burundi tunakupenda sana
My favourite pastor Amieli Mungu Aendelee kukutunza na kukutumia. Promover TV Barikiweni Sana
Nimerudia hii zaidi ya mara kumi ,tafadhari naomba kuongozwa Kwa maombi haya nayaitaji sana , barikiweni sana promover tv mmenisaidia sana
Ee Mungu Asante kutuletea mtumishi Amiel Katekela ilitupone wanadamu Tulikuwa tumeteswa sana na laana za ukoo
Jiwe la yesu ,uwe juu
Amen amen asante kwa mafundisho mtumishi am blessed 🙌👏
Ubarikiwe sana mchunganji kwa kutufungua macho naomba MUNGU akutumie hata saindi especially hapa KENYA.
Muchungaji. Nimeparikiwa sana nahaya mafundisho
Amina mtumishi wa Yesu ubarkiwe
Woooi naomba Mungu anikomboe Na familia yangu Yesu Kristo atutete Kwa madhabau ya katekela kila maeneo uchawi iliigia madhabau Haya initete Sasa nimechoka kulia kukataliwa Roho wa Mungu niudumie Niko hapa
Ubarikiwe mutumishi
Asante sana mtumishi ubarikiwe sana
Amen ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu, na Bwana akuzidishie maarifa.
ameni asante nimejifunza kitu asante barikiwa na mungu
Mchungaji Mungu akubariki sana
Asanteni sana kwa nafasi yenu kwa kutuhubiria injili ya Mungu na kutufundisha roho zinazofatilia.Swali langu ni , utajuaje kati ya misukule na hizo roho zinazowatokea watu na kusema kuwa ni mtu fulani amekuja kufanya hiki na kile ilhali pia misukule huja na kusema kuwa ametumwa kuja kuchukuwa fulani au amefuta kitu fulani kwenye jamii
Amen Amen Amen 🙏 🙌 santi kwa somo mzuri
Mungu yumbema
Nashukuru mwenyezi mungu kwa kukuokoa na kutufungua macho ubarikiwe mtumishi hakuna afui atakupata damu ya yesu I pamoja nawe Amen🙏🏻🙏🏻
Mungu akubariki
Wee asante. San. Baba
Amen Amen nimefunguka ufahamu, MBARIKIWE SANA WATUMISHI ila Mtumishi Erick naomba uongee sauti maana kwengine hatusikii zile maswali unauliza mtumishi ila twapokea tu majibu bila kujua ulikua umeuliza nini
Wow asante kwa kutufungua macho ati hatufai kuchinja wanyama ili kujikomboa wah tumelaghaiwa sana hapa kwetu...barikiwa sana Mchunganji sijutii kukufuata nimejifunza mengi more love from🇰🇪🇰🇪
Mtumishi nimebariwa nahaya mafundisho haya sana Mungu wa mbinguni awabariki popote mnapo kanyaga patakus penu
Ubarikiwe sawa mchungaji kwakutujulisha mambo haya, Asante sana
Asante mtumishi kwa mafundisho Mungu akubariki
Amen
Powerful message may God bless you and increase you
❤Amina nimebarikiwa sana na nitaomba kwa familiar yangu mpaka ifunguliwe... Asante sana promover kwa kazi njema... Mungu awabariki zaidi
Katika neema ya bwana yesu waja ituongoze na kutufungua kwa vifungu vyote ambavyo shetani ametuvunga sana...mbarikiwe sana mch..
Amina
Ameen ubarikiwe sana mtumish
Mtumishi nakutafuta face book sikuoni au kazi zako nzuri wengi tumebarikiwa
Amena Amena
Mungu awabariki Sana watumishi
Amen 🙏
Ameen
Ameni ameni muchungaji
Ezekiel 16,1,7
Nime jengwa sana ubarikiwe mtumishi
Ashukuriwe Mungu aliyekuokoa mch katekela yaani kwa jinsi nilivyopokea haya mafundisho sitabaki Kama zamani, ubarikiwe mno mno
Mtumishi nasubili mihuri na sura za kitabu Cha uchawi . . Watu tukombolowe na nguvu za Giza . .
Mimi nakushukuru Sana mtumishi kwa mafundisho AMINA AMINA
Mtumishi sio denge, wee chapa injili, kwani nywele ni nini ! Ubarikiwe sana
Pastor Nashukuru kwa hii mafundisho ila nko na swali hii maombi ni ya kuomba siku moja ? Mm pastor wangu kanisa lilipasuka kwa sai hana na nko mbali na yeye, je naeza mtumia sadaka kwa simu??
Wacha Tule chenye uzima 🙏
Marko 16,15
Hakika kweli kbs tulikuwa hatujui haya ila tangia nikufatilie mengi nimejifunza ubarikiwe sans
Napenda kukuuliza ivi mchungaji, sadaka yaukombozi ninaweza kuitowa Kwa mchungaji wangu pekeyake tu? Ao naweza kuitowa Kwa mchungaji ninaye penda ?
Kuhusu hatuwa izi 7 ya ukombozi ambozo ulifundisha yaani nikushukuwa siku 7 yamaombi nakila siku nikuombeya kipengele kimoja tu?
Thanks ninafuatilia nikiwa Kenya inzofivungo nzote na ndalili nzote ulivyoziongelea nzikona mama yangu na dada yangu wote ni mweu nifanye Nini?
Mchungaji tunakuelewa
Mimi ni citegetse amida naomba uniombeye mutumishi wamungu
Hakuna uchawi kwangu na familia yangu
Mch: Amieli umenibariki sana kwa mafundsh yk naomba unisaide nipate namba yk ya cm jina lang naitwa victor
Hayo maombi ni ya fasting?
Pasta Eric nataka nikutume kwa Mchungaji KATEKELA umuniulizie eti kuota kaka yako kwenye ndoto muko munapigana aiza kugombana inatasfiri nini kwenye dunia yakiroho ?? Plz nakutuma kwaju napenda kuowota sana iyo ndoto naomba ufafanuzi asante sana
Eti ukiota uko porini mara umedumbukia korongoni kupanda huwezi au ukokwenyemilima nawatu waliokufa alafu wanapaa wamekubebe mgongoni ina maana gani maana huwa inanitesa sana na huwa na kemea lakini bado
Kwel saratoba sio wokovu utakaswe na umaanishe uache dhamb nimekuelewa
Ubatizo wa maji tele
Mch katekella kama una ziara za injili mikoani naomba tuwasiliane uje ata kweny kanisa letu
Sasa hii kutoka katika laana hizi,,ni nani atakea tusaidia kutoka maana sisi wenyewe hatuwezi kujiombea, na wewe mchungaji Katekela hushiki simu,ju wewe ndie unaelewa hii mambo 😢😢tusaidike vipi?
Kweli kabisa wengi tunaitaji deliverance
Amen