#KUPAMBANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 71

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Asante Kwa mafundisho haya mazuri Mungu akubariki pastor

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 10 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa zaidi pastor

  • @user-zb9py3bg8b
    @user-zb9py3bg8b 10 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana mchungaji

  • @judithkyenze1321
    @judithkyenze1321 ปีที่แล้ว +1

    Praise be to God🙏 napenda sana huyu mchungaji. Asante listening from Nairobi

  • @YesuniBwana1214
    @YesuniBwana1214 ปีที่แล้ว +1

    Pastor mmbaga Mungu atusaidie sana

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 26 วันที่ผ่านมา

    Rare revelations (dakika ya 12). Mungu atukuzwe kwa kukufunulia siri zake kwa ajili yetu.
    Mungu akutunze, akufanikishe Kwenye kila njia uiendeayo.

  • @samsonelijah3897
    @samsonelijah3897 ปีที่แล้ว +2

    Munguu akubariki nimejifunza mengi sana kupitia masomo yko

  • @bernardomondi2632
    @bernardomondi2632 ปีที่แล้ว

    Hallelujah Hallelujah Ameen Mtumishi Pastor Mmbaga kwa Neno na mafunzo mazuri

  • @GabrielWarioba-co8qg
    @GabrielWarioba-co8qg ปีที่แล้ว +1

    Naomba mniombee watu wa Mungu naumwa japo cjui naumwa nn mbarikiwe sanaaa

  • @JoyceGalila-sv1ot
    @JoyceGalila-sv1ot ปีที่แล้ว +2

    Be blessed pastor

  • @maelezokitabwire8855
    @maelezokitabwire8855 ปีที่แล้ว

    Nashukuru mungu kwa mahubiri mazuri.nimekutana naiyo kitu shuleni mpaka nika shindwa kuendelesha maomo nilikua na akili ila nilijikuta akili ime kwisha.nime fanya biashara nikiwa nataka panda juu kuna kitu itakuja kuvuruga biashara yangu mpaka narudi chini sana.kweli namie tangu nime amua kufuata yesu naona mambo yamekua mazuri sasa.

    • @maelezokitabwire8855
      @maelezokitabwire8855 ปีที่แล้ว

      Sasa leo mimi ni mushiriki wa kanisa la masalio.msabato

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki mchungaji tunalindwa na roho wa mungu amen 🙏

  • @mogakaedwin2602
    @mogakaedwin2602 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @liliankeyabaraka8195
    @liliankeyabaraka8195 ปีที่แล้ว

    Amen Amen barikiwa sana mutumishi wa MUNGU 🙏🔥

  • @gee5184
    @gee5184 ปีที่แล้ว

    amen

  • @NaomiMshana-lj4tc
    @NaomiMshana-lj4tc ปีที่แล้ว

    Ameni Mungu akubariki Sana kwakujali

  • @NaftaliZaphania-ql9wk
    @NaftaliZaphania-ql9wk ปีที่แล้ว

    pastor Mungu akubariki ,huwa sitalala pasipo kusikiza hubiri lako ndo nilale,Na nlkuw naomba uniombee tupate mtoto Na my wife 🙏🏼

  • @user-rd5hq8cw7t
    @user-rd5hq8cw7t ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana pr mbaga mafundisho yako yananibariki sana

  • @rosemarymallya4458
    @rosemarymallya4458 ปีที่แล้ว

    NOW I/WE KNW CONTRARY SPIRITS ARE REAL🙇‍♀️GOD UR THE ABA TOP OF ALL THE BATTLES COME BACK TO U🤲🤲🤲IJMN🙏🙏
    Bless U pastor Mmbaga🙏🙏🙏

  • @damaricemkanyika8293
    @damaricemkanyika8293 ปีที่แล้ว

    Mungu akubarki kwa mafundisho mazuri kabsa. Huwa unanitia moyo .

  • @josephatkaitira6100
    @josephatkaitira6100 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nilipewa barua ya kusimamishwa na Masomo nikiwa kidato Cha pili wakati nilikuwa msibani wa dada angu bahati mbaya Mjomba aliyekuwa ananisomesha alinifukuza kwake 😢 ila Mungu wangu ni Mwema sana❤

  • @rebeccamwiseneza2431
    @rebeccamwiseneza2431 ปีที่แล้ว

    Asante sana somo mzuri kabisa Mungu akubariki

  • @Silviarajabu
    @Silviarajabu ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana past nimejifunza mengi

  • @RhodaLuvinzu
    @RhodaLuvinzu 9 หลายเดือนก่อน

    Mchuganji mwenyezi mungu akubariki yaani umenipa moyo .Nina mangumu hata hivyoo nahitaji kushare TU na wewe

  • @rehemanashon3739
    @rehemanashon3739 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @BirushaAdam.magoma-oi6hw
    @BirushaAdam.magoma-oi6hw ปีที่แล้ว

    Amina BWANA akubariki sana PASTOR

  • @ernestpaulo1672
    @ernestpaulo1672 ปีที่แล้ว

    Pr. Mungu akubariki sana.

  • @lennysam4126
    @lennysam4126 ปีที่แล้ว

    Amen baba yangu njoo sababu because am at the verge of giving up for my son is drowning in addiction father help him

  • @eustina0
    @eustina0 ปีที่แล้ว

    Mungu atukuzwe siku zote Aminaa🙏🙏🙏🙏

  • @ernestpaulo1672
    @ernestpaulo1672 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Pastor

  • @newhopeonline5818
    @newhopeonline5818 ปีที่แล้ว

    Pastor mbaga ubarikiwe

  • @hassanhussein6161
    @hassanhussein6161 ปีที่แล้ว

    ameni sana mchungaji nabarikiwa sana na masomo yako

  • @rosemarymallya4458
    @rosemarymallya4458 ปีที่แล้ว

    TUPO WA IMLA BABA 💃💃🙋‍♀️✋🙋‍♀️✋👍

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 ปีที่แล้ว

    Barikiwe sana pastor

  • @raheljose9524
    @raheljose9524 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana Pastor 🙏

  • @jacksonsemit7154
    @jacksonsemit7154 ปีที่แล้ว

    Sauti haijakaa vzr

  • @jacksonsemit7154
    @jacksonsemit7154 ปีที่แล้ว

    Pr ubarikiwe

  • @neemajonas5459
    @neemajonas5459 ปีที่แล้ว

    Asnt sn pr. Umenifungua sn na nasikia kuongezewa nguvu za kusonga mbele.

  • @lacandylove
    @lacandylove ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @ElizabethMuhoka
    @ElizabethMuhoka ปีที่แล้ว

    Ni mimi au pastor umepungua

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 ปีที่แล้ว

      Amepungua kivipi mbona sentensi tata?

  • @apostlezizi
    @apostlezizi ปีที่แล้ว

    Amina pastor

  • @marthajoseph8167
    @marthajoseph8167 ปีที่แล้ว

    Nabii wa uongo!!! Ndani ya waadventista wa sabato. Kinyume na Hellen G. White, pole sana.

    • @ellycondanptyltd3437
      @ellycondanptyltd3437 หลายเดือนก่อน

      Mungu na akukemee ewe shetani! Kwa maana u kinyume na habari njema ya ufalme wa Mungu!

  • @reginaoyugi7283
    @reginaoyugi7283 ปีที่แล้ว

    Amen🙏🙏

  • @Aliceerasto
    @Aliceerasto ปีที่แล้ว

    Naamini nitashinda uchaguzi katika chuo cha UDSM nikiwa raisi wa kwanza mwanamke na Mungu atatukuzwa

  • @ngassa1tv331
    @ngassa1tv331 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sanaa

  • @shaluamagandi2184
    @shaluamagandi2184 ปีที่แล้ว

    God bless you PASTOR. 🙏

  • @bizichachachartiel8240
    @bizichachachartiel8240 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa nikiwa Burundi

  • @jonaskaminsa1810
    @jonaskaminsa1810 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @rehemaedward9494
    @rehemaedward9494 ปีที่แล้ว

    umenigusa sn mtumishi

  • @erickmuema2393
    @erickmuema2393 ปีที่แล้ว

    Pastor hapo kwa kuamka 2 hadi 4 usiku ni ukweli tangu nimeaza kuamka hio time nmekuja kujishangaa sana

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 ปีที่แล้ว

    ❤Nabarikiws sana na maombi yako

  • @leawamukota9217
    @leawamukota9217 ปีที่แล้ว

    AMEN pastor

  • @annastaziacharles8493
    @annastaziacharles8493 ปีที่แล้ว

    Bwana ni mwema pastor nlikua naomba kujua japo umegusia kidogo sana kwenye hili somo manifestation and meditation maana saiv kuna magroup watsup unalipia ilikua trained kudeal na haya mambo kiroho zaidi kwamba chochote unachowish kupata unakipata tena kwa wakati ulio wish kua nacho je hii imekaaje ni sahihi?

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  ปีที่แล้ว +1

      Kuwa makini saana! Unaweza kujifungamanisha na nguvu za giza bila kujua

    • @yakobolusasu1821
      @yakobolusasu1821 ปีที่แล้ว

      @@MahubiriPrMmbaga kweli Mchungaji mimi mwenyewe nilikuwanawafatilia saana nikawa navutiwa ila roho nyingine ikawa inanikataza,ck moja nikajalibu, niliota ndoto nimeenda kwa ibada ambayo cjawahi ifanya nashukuru Mungu alinionya

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  ปีที่แล้ว

      Amen

  • @leaharusei5131
    @leaharusei5131 ปีที่แล้ว

    During my time i don't understand mpaka sai i was just excellent in class work but exam 😢

  • @geraldmaro6574
    @geraldmaro6574 ปีที่แล้ว

    Pasta unatutia nguvu tukaze mwendo maana pwani si mbali

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @shaluamagandi2184
    @shaluamagandi2184 ปีที่แล้ว

    God bless you PASTOR. 🙏

  • @catherinekihengu2420
    @catherinekihengu2420 ปีที่แล้ว

    Amina