USTADHI SHAFII AMFUNDISHA QURAN NA BIBLIA MCH. NDACHA KWENYE MAADA YA KUROGWA KWA MTUME MUHAMMAD

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 359

  • @AbdillahiMselem-ig2dm
    @AbdillahiMselem-ig2dm 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallha najivunia kuwa muisilam ata unipe Dunia na vilivyomo sitoweza kuucha uisilam Abadan

    • @BURUNDIB
      @BURUNDIB 5 หลายเดือนก่อน

      @@AbdillahiMselem-ig2dm hhhhhh shetani anatumia njia hiyo hiyo

    • @AbdillahiMselem-ig2dm
      @AbdillahiMselem-ig2dm 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@BURUNDIB ata iweje awezi kutoa katk dini yangu dini ya manabii wote

  • @yusuphomary7410
    @yusuphomary7410 6 หลายเดือนก่อน +3

    Duuh huyu Sheikh Shafii ni mwalimu mzuri Sana anafundisha kwa mifano zaidi ili aeleweke vizur a nafaa Sana kutufundishia jamii. Hata nabii ISSA aliwafundisha watu Kwa mifano zaidi. Sheikh Shafii MUNGU akuongoze.

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 หลายเดือนก่อน +1

      100% Umesema vema 🙏🙏🙏

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 6 หลายเดือนก่อน

      Issa yupi huyo

    • @henrysizya239
      @henrysizya239 5 หลายเดือนก่อน

      Mbona hataki mjadala na Mchungaji Ndacha

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 5 หลายเดือนก่อน

      @@yusuphomary7410 Issa yupi alofundisha kwa mifano??alokua anafundisha kwa mifano ni Yesu pekeake hakuna mwingine

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@henrysizya239kasema alikataa kwa sababu ndacha anapenda kupindisha maandiko na mengine akisoma hamalizi...na sisi tunaofatilia mijadala ilo tumeliona! Ila ukweli utabaki ukweli ndacha amenyooshwa kisawa sawa

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 5 หลายเดือนก่อน

    namuelewa sana Ustadh Shafi,yani naskia utamu kuskiza lugha ya Sheikh Shafi mpaka nalala kuchelewa...mashaAllah utamu sana

  • @JumaJuma-gw1dq
    @JumaJuma-gw1dq 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akbar congratulations shekhe naomba mungu akupe maisha maref shekhe uendelee kufanya dawa

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 6 หลายเดือนก่อน

    Allah Barik kwa maelezo yako mazuri Shekhe

  • @RAMATHANI-eu5dk
    @RAMATHANI-eu5dk 6 หลายเดือนก่อน

    Aslam alykum cheikh shaffi. Manabii wote Mungu walipewa mtihani, asitudanye NDAca

  • @AyubuIkaku
    @AyubuIkaku 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akubariki sheikh.

  • @TheAlman
    @TheAlman 6 หลายเดือนก่อน

    Parfect mashaallah❤❤❤❤❤❤

  • @omarysungi4635
    @omarysungi4635 6 หลายเดือนก่อน

    Shafii unafundisha uislamu vizuri sana

  • @ZukhelRwegoshora
    @ZukhelRwegoshora 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hata wanasayansi wanakubaliana muhammad ni binadamu aliyeathir dunia ki sayansi kwa kiasi kikubwa hata bila aandiko ukiisoma historia ya muhammad utajua tu hakuwa mtu wa kawaida achaneni na maandiko ya kubandika bandika bila kujua chanzo chake yesu alichukuliwa na ibilisi mpaka mliman je kama hufikirii kwa iman ya kikristo inakuaje mungu achukuliwe bila matakwa yake na ibilisi?

  • @joseph-masija
    @joseph-masija 6 หลายเดือนก่อน

    Imani ya kweli siyo ya kimwili kama uislamu. Mawazo ya kidunia na hadhithi

    • @AdamRamadhani-b7t
      @AdamRamadhani-b7t 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@joseph-masija unaumia ukiwa wp

    • @cheapunderage8228
      @cheapunderage8228 2 หลายเดือนก่อน

      Kasome otoke kizani sililiza hoja ww..au ndo wale wale

  • @khalfansaid4756
    @khalfansaid4756 6 หลายเดือนก่อน

    Yesu alikesha kumuomba Mungu aaaaati aepushwe na kusulubiwa acheni fuatafuata zenu mnapenda ufree mnaogopa kuingia uslamu mnaogopa kunamipaka ktk maisha

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 5 หลายเดือนก่อน +1

      Je Mungu alikubali kumuepusha? Nakama alikubali tunaomba andiko hilo

    • @omarinoel1807
      @omarinoel1807 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@joycedimoso8648 26:37 MATHAYO aliomba kikombe kile kimuepuke cha kutundikwa msalabani halafu dua yake ikajibiwa WAIBRANIA 5:7 alisikilizwa kwa kuwa alivyokuwa mcha mungu YOHANA 7:31 YESU ALIANZA KUTAMBA MTANITAFUTA NA HAMTANIONA

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe muongo mathayo 26:37 inasema Hivi akamchukua petro nawalewana 2 wazebedayo akaanza kuhuzunika nakusononeka. Umekaririshwa vibaya hili andiko rudi kwamwalmu wako hpo hajaomba kikombe kimwepuke alihuzunika nakusononeka

    • @omarinoel1807
      @omarinoel1807 5 หลายเดือนก่อน

      @@joycedimoso8648 Dada biblia unaisomaje soma soma 37 mpk 39 mpka ntoke mm msikitini nikifundishe maadam

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 5 หลายเดือนก่อน

      Ebrania 5:7haijasema Mungu kamwepusha na kifo Bali Yesu alikuwa anamtolea maombi nadua Mungu awezae kumuokoa kwakile kitakachoenda kumpata hata kikimpata amuokoe ktk hayo maut hata akifa awe hai Tena Mungu alimkubalia kwakuwa alimcha yeye akafufuka kufufuka kwake inatuonyesha Mungu alipokea Dua zake sio kwamba Yesu hakusulubiwa msalaban kwakukuthibitishia Hilo Ebrania5:8 inasema Hivi Naingawa nimwana alijifunza kutii kwamateso hayo yaliyompata. Umeishia mstar wa7 Kwan huo wa8 haukuuona? Usitafsiri maandiko kwaakir zako tafakar kila andiko unalosoma kabla hujaijibu iliujue andiko hilo linamaana Gani tukisoma biblia kama gazet huwezi ielewa kamwe

  • @PendoKalama-rn8pf
    @PendoKalama-rn8pf 3 วันที่ผ่านมา

    Kumbe Muhammad ni mtume kama wengine ,nlkua nmlonganisha na yesu ,,shafi nimekuelewa sasa Muhammad n mtume kama wewe too mwenye unaeza rogwa na pia unaeza kufa na ukaishia kaburini kama yeye

  • @AntonyManeno
    @AntonyManeno 6 หลายเดือนก่อน

    MUNGU Alimruhusu Setani Kumjaribu Ayubu... Na YESU Alisha Tumwa Na MUNGU Aje Kukomboa Ulimwengu Na Mungu Aliruhusu Mateso Yamkute❤❤❤ Swali Ni Kwa MHAMAD Wapi MUNGU Aliruhusu Arongwe...? Mimi Ninacho Amini Kama MUNGU Hakuruhusu Mhamad Arogwe Basi Alikua Harogeki...???

    • @Z.O.666
      @Z.O.666 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@AntonyManeno brother kwani aleye mroga Muhammed s.a.w sini binadamu na Mungu akamtuma malaika kusoma surah tatu na akapona Alhmdulilah
      Jee yesu hakupaishwa na sheitani na kubebwa kwa vidole vitatu akamwambiya hii dunia yote niyako ukini abudu

    • @BinSultan-t5g
      @BinSultan-t5g หลายเดือนก่อน

      Kumbe yesu alitumwaaa na MUNGU. Hahahaah.waambie na wajinga wenzako kama yesu MTUME

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi 5 หลายเดือนก่อน

    Waislam hawana jipya ni waongo na wanafki wakubwa ,biblia wanaikataa wakati huo wanaitamani ama kweli mhamad alileta matatizo duniani😢😢😢😢😢

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 4 หลายเดือนก่อน

      Soma tena ulichoandika je we mwenyewe kina ku convince ?

  • @hassanhuka7675
    @hassanhuka7675 หลายเดือนก่อน

    ATI Mohamed si nabii Kwa sababu amerogwa, kwanza wakubali yesu sio Mungu Kwa sababu alisulubiwa

  • @jannffer
    @jannffer 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mambo ya ukristo inatakika uwe na roho mtakatifu ili uelewe bibilia huongelelea mambo mengi so roho wa mungu atusaidie kuelewa na ni vizuri kila nambi alitumwa na Mungu tumuzikize ili tuweze kujua mapenzi ya Mungu kwetu

    • @SaleheKijazy
      @SaleheKijazy 6 หลายเดือนก่อน +2

      Roho mtakatifu ana paswa kuwa nayo mtu wa aina gani w una dhani. Au una taka kusema bibilia haija andikwa kiswahili ime andikwa lugha ya kiroho mtakatifu someni acheni upimbi. Jitu zima ume kaa kanisani kosoma una jua una somewa mwenzio c ujinga huo ndio Mana mna ambiwa muoane wanaume kwa wanaume mna kubali. Mana kusoma hamtaki

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@SaleheKijazy
      1 Wakorintho 2:14 Mtu ambaye hana Roho wa Mungu hawezi kupokea mambo yanayotoka kwa Roho wa Mungu kwa sababu mambo hayo ni upuuzi kwake; na hawezi kuyaelewa kwa kuwa hayo yanaeleweka tu kwa msaada wa Roho.
      Yesu ni Mungu/Mwana au kufa na kufufuka kwake msalabani ni upuuzi kwa muislamu!!

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 หลายเดือนก่อน

      Wacha Porojo Kila Mtu BINADAMU Ana Roho MTAKATIFU

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 หลายเดือนก่อน

      @@chapchap-oz1ou 1 WAKORINTHO 2:14 Uliyotoa Ni Maneno ya MUNGU Au Maneno ya PAULO ???😜😜😜 WARAKA WA KWANZA WA PAULO KWA WAKORINTHO 2:14🤪🤪🤪😜😜😜 Hebu Soma MARKO 7:6-9 Uone YESU Anasemaje ? na MARKO 8:33 😜😜😜

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@shabbymakapane Wacha Porojo Kila Mtu BINADAMU Ana Roho MTAKATIFU
      Ungelikuwa na Roho Mtakatifu hungemkana Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai!!

  • @DaudiMwangati-id1tk
    @DaudiMwangati-id1tk 6 หลายเดือนก่อน +1

    Unasema Mtumeame😢tabiliwa kwenye Biblia Sio kweli wew shehe ueleweki umesema Biblia yauongo alafu unasema mtume katabiliwa kwenye Biblia tena ndacha unamwogopa kweli wew huwezi mwoga..

    • @Mrlover8435
      @Mrlover8435 6 หลายเดือนก่อน

      Umemuelewa kweli

    • @ibraheemqassim3018
      @ibraheemqassim3018 6 หลายเดือนก่อน

      Amesema biblia imetiwa mikono hajasema biblia yote ni uongo yapo maandiko ya kweli na ambayo yamewekwa na watu kwa matakwa yao

  • @Temu456
    @Temu456 6 หลายเดือนก่อน +5

    Uyu ni muhoga sana yani ndacha amekubali kujadiliana naye kwa vitabu anavyo vitaka yeye ila bado Ana complain come on bro kama una jihamini una jua na una hoja zenye nguvu kajadiliane nane acha kujitetea tetea bali uhoga uho

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 6 หลายเดือนก่อน

      Tatizo jengine la ndacha anaweka tafsiri anavotaka yeye ni bora anukuu ilivyo alaf aseme kuwa yeye hajaamini maneno anayonukuu kuliko kutoa tasfiri zake Nina ushahidi wa aya nyingi ameweka tafsiri zake na sio mafundisho ya uislam yalivyo

    • @Temu456
      @Temu456 6 หลายเดือนก่อน

      @@MohamedMohamed-u3t1n akunakitu shafii anajua niku jitetea tu akuna hoja ata moja ambayo mwislam Ana weza ku pambana na mchristo nayo

  • @baqirmkilindi9369
    @baqirmkilindi9369 6 หลายเดือนก่อน

    ولا يفلح الساحر حيث اتى

  • @PendoKalama-rn8pf
    @PendoKalama-rn8pf 3 วันที่ผ่านมา

    Wakristo hawana chuki nauislam kwakua sote niwamoja lkn kwakua wakristo wanawatafuta watu kama nyinyi waislam ili mrudi katika njia ya kweli..na nyinyi kwakua hamtaki kumfata yesu ndo mnaona mnatetewe lkn sivyo....na ndo maana mnatumia biblia kwa manufaa ya maelezo yenu lkn mkiulizwa mnaikubal biblia mnakataa..mtaelewekaje waislam

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona mungu wa wakristo aliuliwa awasemi kitu

    • @pastorafande142
      @pastorafande142 6 หลายเดือนก่อน

      Toa andiko Mungu wa wakristo aliuawa

    • @nubianqueen6700
      @nubianqueen6700 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@pastorafande142 anndiko ya nini?? Yesu si alikufa msalabani au? Si huyo mungu wenu.

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@nubianqueen6700kati ya Mohamed na Yesu nani yupo hai na nani ni maiti

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 6 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@nubianqueen6700 wewe Yesu ni Mungu WA Muhammad kaumbwa na Yesu atamfufua na atamuhuku siku ya mwisho

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 6 หลายเดือนก่อน

      Tena bila ya ridhaa yake

  • @johnuwezo8311
    @johnuwezo8311 6 หลายเดือนก่อน

    Shehe shafiii anajua maaandiko sema shida yake ni kwamba yani uisilamu anauona kwamba ndio njia ya uzima sisi wakristo tuna tunakataa mtume kwasababu waislamu wanamtoa yesi au Paulo afu ndoo wanamchomeka mtume sehemu ambayo biblia ilikusudia Yesu au Paulo Hilo ndio shida yangu

    • @MeddyMasuddy
      @MeddyMasuddy 6 หลายเดือนก่อน

      @@johnuwezo8311 tunashkuru kumbe ni shida yko binafsi bs pole

    • @hafsakirao398
      @hafsakirao398 6 หลายเดือนก่อน

      @@johnuwezo8311 😂😂😂😂seriously???

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 6 หลายเดือนก่อน

      Mnasema Yesu ni Mungu mara mwana wa Mungu na kwenye huo utabiri inaonesha atakuja Nabii. Kwanini ung'ang'ane awe Yesu wakati mnasema Yesu si Nabii?

  • @mobutu3884
    @mobutu3884 6 หลายเดือนก่อน

    Shafii muongo sana, watoto wa Kikristo hawafundishwi mambo ya waislamu wala huwezi kuta ibada za watoto waislamu wakitajwa, ila nishashudia vitoto vya madrassa vinaita watoto wa Kikristo mtaani makafiri, yani huko madrassa mnawajaza chuki watoto ndio maana vinakuwa vinaamini wakristo ni maadui zenu hata humu wapo mashahidi kama walisoma madrassa ni msiba mzito

    • @SaleheKijazy
      @SaleheKijazy 6 หลายเดือนก่อน

      Ww nawe akili yako Kama ndacha

    • @SaleheKijazy
      @SaleheKijazy 6 หลายเดือนก่อน

      Na uki taka kujua mtu kafiri ni mtu wa aina gani kasome yuda 1:4

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 6 หลายเดือนก่อน

      @@SaleheKijazy haya muulizeni shafii hili swali au nijibuni nyie anasema uislamu haukuanzishwa na mohamad bali ulikuwepo hata kabla ya mohamad, Sasa je kuna uislamu pasipo quran?

    • @SaleheKijazy
      @SaleheKijazy 6 หลายเดือนก่อน

      @@mobutu3884 manabii wote walikuwa waislam na vitabu vyote ni vya kiislamu injiri zaburi taurat na Quran. Kama una bisha nitajie mtume yoyote mkristo na uni ambie sehem gani walipo kuwa Wana fanya IBADA zao hapa duniani na sehem zao za kihistoria ili tujue

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@SaleheKijazywatoto wao wanawafudisha ugaidi ndiomaana wanawaita watoto WA kikristo makafiri ndiomaana wanaasila wakati wote hata huyo shafi anaonyesha alivyo na asila

  • @JamesMoses-jd1yq
    @JamesMoses-jd1yq 6 หลายเดือนก่อน

    Wapinga Kristo kiukweli kazi mnayo

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 6 หลายเดือนก่อน +3

    ACHA MANENO MBONA UNAMUOGOPA NDACHA UDEBATE NAYE,
    KAMA UNAJIAMINI MWAMBIE KAMA N KIDUME KWELI Mpigie cm

    • @Mrlover8435
      @Mrlover8435 6 หลายเดือนก่อน

      @@hamisijuma3276 kwa nini yeye asipige bas na yeye muoga

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 หลายเดือนก่อน

      Nani Anaye Mtaka Mwenzie ??? NDACHA Kakimbia Gen z huko kwao Kaja Anajifabya Anamtaka Shafi yeye Ndio Aende au Ampigie Shafi ,

    • @JumaJuma-gw1dq
      @JumaJuma-gw1dq 6 หลายเดือนก่อน

      Ndacha ndo anamuogopa shekhe shafii, shekhe anaongea ukweli halisi kabisa mungu awe nae

  • @nancyenock5601
    @nancyenock5601 5 หลายเดือนก่อน

    Mmeshasema bible siyo kitabu Cha Mungu alafu mnajitetea na kitabu

    • @omarinoel1807
      @omarinoel1807 5 หลายเดือนก่อน

      biblia tunaiamini pale inaposema ukweli na tunaiamini pale inaposema uongo

    • @omarinoel1807
      @omarinoel1807 5 หลายเดือนก่อน

      sikiliza anaposoma yeremia hapo au umeweka pamba masikioni ndugu

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 6 หลายเดือนก่อน

    Viwango vyao vipochini sana akunahaja yakufanya mdahalo nawatu wasio jielewa

  • @jannffer
    @jannffer 6 หลายเดือนก่อน

    Napenda vile unaeleza mungu akubaliki sana

    • @BURUNDIB
      @BURUNDIB 6 หลายเดือนก่อน

      Ni mwoga hajui kitu

  • @kizitototo8923
    @kizitototo8923 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe wakati mwingine unajua KUWA BIBLIA NDIO KITABU SAHIHI kinachoweza kumpa uhalali MUHAMAD KUWA NAYE NI MTUME. JAMANI WAISLAM HESHIMUNI BIBLIA KAMA SHAFII ANAMSEMA MTUME KATABILIWA NDANI YA BIBLIA!!!! MJIULIZE SANA. PIA NILIMFUNDISHA KUWa maadiko uwezi kusoma ukaelewa mpaka ufunuliwe na MUNGU KUJUA. MFANO, UKIMKUTA SHAFII ANAMUELEZEA YESU kuhusu baba yake na kutoa tafsili kuwa huyu YESU KWA MAADIKO NI MTU TU NA ATAUKUZWA NA MUNGU MBINGUNI KWA NINI NAWE WALIKUITA MUNGU. HII NI ZARAU KABISA YANI MALENGO YA MUNGU KUMUULIZA nini kwa sababu MUNGU ATAMSHU YESU. HUYU ANAFAKAMIA MAMBO YA BIBLIA BILA KUJUA. MAANDIKO YANA SEMA HAKUNA JUAE BABA ILA MWANA NA HAKUNA AMJUAYE MWANA ILA BABA NA WALE WATAKAOFUNULIWA KUJUA FUMBO HILO SIO UKAJA TU NA KUSOMA NAKUZANI KUWA UMESHA ELEWA

  • @DavidLintari-y1v
    @DavidLintari-y1v 3 วันที่ผ่านมา

    Muhammad ni muongo mkora

  • @melvoLedin-cs6mr
    @melvoLedin-cs6mr 4 หลายเดือนก่อน

    Mtume gani haliyerogwa katika bibilia

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu gani aliyepigwa na binaadam kisha wakamsulubia😂😂😂😂

  • @MusinHamad
    @MusinHamad 6 หลายเดือนก่อน

    SHAFII EBU UNGEMUULIZA TUKISEMA YESU SIO MUNGU VP MAANA ALI ULAANI MTI ALIPO KOSA MATUNDA KWA IYO HAKUWA NA UWEZO WA KIUNGU WATA KUELEWA SO.

  • @AllyRamadhani-my2zd
    @AllyRamadhani-my2zd 6 หลายเดือนก่อน

    Kwel kabsa shekhe kuna maaskofu wapo wanatetea ushoga

  • @juliusjamanda7313
    @juliusjamanda7313 4 หลายเดือนก่อน

    Wakenya huwa twasema watanzania wanajua kiswahili kumbe nibure

  • @Hshshsueue
    @Hshshsueue 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mbona usituelezee kwa kiwanja mbele ya watu?

    • @PasserbyMan-ju8ky
      @PasserbyMan-ju8ky 6 หลายเดือนก่อน

      Sasa kama huelewi subiri mabishano

    • @ibraheemqassim3018
      @ibraheemqassim3018 6 หลายเดือนก่อน +3

      Kwani hapa anaelezea mbele ya nan mbona wakristo hoja zenu hazmake sense 😅😅

    • @muhalakibwana4026
      @muhalakibwana4026 13 วันที่ผ่านมา

      Wewe bonzo kubwa kwani hapa nini huelewi

  • @Hshshsueue
    @Hshshsueue 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka sumulizi huyo shafii muoga sana toka naye kuwanjani afundishwe na ndacha

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 6 หลายเดือนก่อน

      Ndacha hana hoja anawaliwaza nyie wavivu wa kunyenyekea mungu lakin hana hoja za kumsahawishi muislam bila kutumia hongo awe mkristo abadan

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 5 หลายเดือนก่อน

    Yani wanachukia Uislam kiasi ya kwamba ata mwanamke wa Kiislam akifunika uchi wake,mapaja yake,kifua chake bado wanamchukia...yani mpaka wanapoteza ubinaadamu wa hulka njema...Wallah nimejiuliza ivi hawa rafiki zetu wamerukwa na akili

  • @salisali3738
    @salisali3738 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona yesu kasulumbiwa na wanafunzi wake na bado yy ni Mungu wao😂

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 6 หลายเดือนก่อน

      Issa bin Mariam toka madina hakusurubiwa
      Ila Yesu aliyezaliwa Betherehem alisurubiwa, atarudi tena

  • @twalibsaid2614
    @twalibsaid2614 6 หลายเดือนก่อน

    Mtume muhammad hakurogwa wala haiwezekani ndio maana wakristo wanawasumbua maanake ni kwamba vitabu vya hadithi swahihi bukhari sio kila kitu ni sahihi hadithi zingine ni mayahudi walipenyeza nayako mengi ndani ya swahihi bukhari ya hatari na wakristo wakisoma vitabu vya hadithi nibalaa

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shafi uhelewa wako ni mgodo wa ukristo Paul ni mtume kabla uislamu uislamu ni Dini ya aliyokujanayo Muhammad miaka 610 na ugaidi umetokana na uislamu

    • @Thabitilubunani
      @Thabitilubunani 6 หลายเดือนก่อน

      @@prochesernest5439 wee huijuwi ukristo Na uislamu ndio sfurii kabisaaa kasome ndugu yangu usngijeee kusomewa andiko kanisani Juma pili had jumapili Tenga mda kasome vizuri hakuna mtu atakuambiya silimu utaslimi mwenywe ndgu

    • @RamadhaniMohamedi-de2vc
      @RamadhaniMohamedi-de2vc 6 หลายเดือนก่อน

      @@prochesernest5439 unaunalolijua na wewe pia

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 6 หลายเดือนก่อน

      @@prochesernest5439 toa aya kwenye biblia kwamba ugaidi umetokana na uislam . Acha swaga za mtaani

    • @MussaHamadi-s5c
      @MussaHamadi-s5c 5 หลายเดือนก่อน

      Munaaminishwa vibaya wakristo nyinyi

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 4 หลายเดือนก่อน

      Kawaulize M 23 Ugaidi wameutoa wapi

  • @jannffer
    @jannffer 6 หลายเดือนก่อน

    Anaweza rogwo ili guvu za mungu zithihilike

    • @stephen-S7n
      @stephen-S7n 6 หลายเดือนก่อน

      Zilithihilika ama akafa😂😂😂

  • @BURUNDIB
    @BURUNDIB 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hhhhh we mwoga kweli NDACHA anakusubiri

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 6 หลายเดือนก่อน

      Mwalimu wa Ndacha na Ndondi nae aliishia kuslimu Ndacha kabaki na ukaidi tu angalia Kenya watu wanavyoslimu pamoja na kuwepo Ndacha.

    • @BURUNDIB
      @BURUNDIB 6 หลายเดือนก่อน

      @@nassorsharifu9837 hakuna

  • @PendoKalama-rn8pf
    @PendoKalama-rn8pf 3 วันที่ผ่านมา

    Hapo kwa majini ndo hupataki fanya mjadala na dacha juu ya majini na uislam huenda nikaslim

  • @joycedimoso8648
    @joycedimoso8648 5 หลายเดือนก่อน

    Wapi andiko linalosema mungu kamruhusu shetan amloge muhamad?

  • @yusuphomary7410
    @yusuphomary7410 6 หลายเดือนก่อน

    Anasema eti ni muoga anaongea akiwa nyumbani. Namhakikishia kuwa kama Dunia nzima itajaa watu WAOGA ila Ustadh Shafii hatakua MMOJA wa watu WAOGA huo ndio ukweli Kwa Shafii tunaemjua.

  • @yusuphomary7410
    @yusuphomary7410 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu Ustadh Shafii hajawahi kuwa mtu muoga Kuna mtu Kila wakati anaingia hapa anasema eti Shafii muoga hakuna kitu kama hicho Kwa Shafii.

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa6702 6 หลายเดือนก่อน

    Mohamed hizo vitu zote kumhusu amazing ni mbaya zone ziko kwa koran.hatakitu kushindwa muislamu hapendi tu kusikia ukweli wa ubaya ya mohamed.huyu ni mzuri tu na hadithi mambo ya ukweli aendelee kusoma zaidi

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 6 หลายเดือนก่อน

      Kwa ushabiki mtashinda lakini ukweli mafunzo yamekuingia. kama umemsikiliza vizuri mtangazaji yeye mwenyewe amesoma Qur'an hajakuta mengi ya mnayoambiwa kanisani kuhusu Muhammad na uislamu na ndio Mana wengi wanaslimu

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 หลายเดือนก่อน

      @@nassorsharifu9837Takbirr 💪 Allahuakbar

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 หลายเดือนก่อน

      @pammymoraamoraa6702 Hebu Lete Ushahidi Wa Andiko Ndani ya QURANI Mambo mambo ma 3 tu ya Ubaya wa MUHAMMAD

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 ufunuo wa shetani labdaaa, muhamd anawajua walio mtumaaa , hiyo siri amekufa nayoooo😂

  • @NathanielNathan-m4o
    @NathanielNathan-m4o 5 หลายเดือนก่อน

    Tulitahadharishwa kuhumu false prophets.Kqa hiyo tunaangalia mafundisho yao

  • @machindafadhili3186
    @machindafadhili3186 6 หลายเดือนก่อน +1

    HUYU SHAFII NI MUONGO SANA NA ANAKIMBIA MDAHALO NA KAMA UNAITAJI MSAADA TUTAKUDHAMINI. MOHAMMAD HAJATABIRIWA HATA NUSU NDANI YA BIBLIA BALI YUPO KATIKA MANABII WA UONGO

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 6 หลายเดือนก่อน

      kama ni hivyo hata Yesu hakutabiriwa kwenye agano la kale

    • @Thabitilubunani
      @Thabitilubunani 6 หลายเดือนก่อน

      Kasome Shafi yupo sahihi

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@Thabitilubunanimuongo sn, anamuogopa Ndacha

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 หลายเดือนก่อน

      @@hamisijuma3276Wapi Ndacha Si Amfate, NDACHA Ndio Anamuogopa Shafi Sababu NDACHA Hawezi kutumia hata Aya 5 Ndani ya QURANI Kutete Hoja husika, Siku Zote Anaiimbilia Kwenye VITABU Vya Nje ya QURANI Lakini WAISLAMU Wakimpa Maandiko Ya VITABU Vya nje ya BIBILIA Anakataa 😜😜😜

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 หลายเดือนก่อน

      @machindafadhili Lete Ushahidi Wa Andiko MUHAMMAD Ni Nabii wa UONGO,

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 6 หลายเดือนก่อน

    Jibu swali alilogwa au hakulogwa???

    • @BinSultan-t5g
      @BinSultan-t5g หลายเดือนก่อน

      Muhammad ni binadamu. Yesu mungu wenu kapigiliwa misumari kabisaaaa

    • @muhalakibwana4026
      @muhalakibwana4026 13 วันที่ผ่านมา

      Tatizo lenu kubwa shafi ameeleza kila kitu wazi unarudi tena kuuliza kitu alichooelezea. Kama sikosei utakuwa kiziwi.

  • @joycedimoso8648
    @joycedimoso8648 5 หลายเดือนก่อน

    Ukristo haujaanzia roma coz kristo hakua mroma hasili ya ukristo ni uyaudi coz kristo alikua myaudi

    • @abdallahally842
      @abdallahally842 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 we kweli choko hao wayahudi hawamini kristo mpuuzi

  • @mwanafbii7
    @mwanafbii7 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mwoga wa mwisho anaongea akiwa kwake tu akitoka nje Kwa mjadala atabatizwa
    Mohamed awezi kuwa mtume hata chembechembe ya utume Hana

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 6 หลายเดือนก่อน

    Shafi akili nyingi sana

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 6 หลายเดือนก่อน

    Kwani si kila kitu kinafanyika Biithnillah.

  • @Sbstn1913
    @Sbstn1913 6 หลายเดือนก่อน

    Amejib swali km mtume alirogwa au la ?

  • @abdallaabdalla998
    @abdallaabdalla998 6 หลายเดือนก่อน

    Simulizi kuna siku atasilimu tuu ataujua ukweli 😅

  • @enesforosama3008
    @enesforosama3008 5 หลายเดือนก่อน

    Vifungu vyote alivyo vitaja juu ya kutabiliwa Mtume ni uongo.

    • @abdallahally842
      @abdallahally842 2 หลายเดือนก่อน

      Mpinga kristo huyo freemasos 😂😂😂

  • @Theophile-xk2ym
    @Theophile-xk2ym 6 หลายเดือนก่อน

    Hauwezi jitetea hivyo mbele ya ndacha, utakuwa mchanga wa hoja. Maana hoja zako ni dhaifu

  • @zaburi2386
    @zaburi2386 6 หลายเดือนก่อน

    Kuwa muislam lazma uwe hamnazo kwanza😅

    • @JuniorTz-s7x
      @JuniorTz-s7x 3 หลายเดือนก่อน

      Wakwanza WWE Amna all na ndy Mana wakristu wengi wanatembea uchi

  • @hassankanyolo8162
    @hassankanyolo8162 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe wabweka bure wamuogopa ndacha

  • @youngkiki.
    @youngkiki. 6 หลายเดือนก่อน

    Mohammed aliadhilika na uchawi adi kafa.

  • @mobutu3884
    @mobutu3884 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tushachoka mikwala ya shafii ya kukaa sebuleni na kujibu clip hiyo mtu yeyote anaweza fanya ni rahis sana tena utaonekana unajua sana, ndacha ashamwambia shafii aje na masheikh wake anaowaamini wachague vitabu anavyotaka vitumike katika debate ila kila siku anakuja na visingizio, kqa nini hizo hoja asikubali mdahalo akazijibu mbele ya ndacha kama anajiamini 😂, sisi ni watu wazima tushamuelewa shafii ataumbuka 😂

    • @UmarMasudi-so2hi
      @UmarMasudi-so2hi 6 หลายเดือนก่อน

      @@mobutu3884 kwanini uyo ndacha ka ng'ang'aniya kukutana na Ustaadh shafii wakati yeye ndacha kashasema kama shafii bado mwanafunzi???😂😂😂 Acha ujinga na ushabiki!

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 6 หลายเดือนก่อน

      @@UmarMasudi-so2hi kang'ag'ania sababu shafii anaendelea kuongea sana kuhusu ndacha so anataka wakutane ili wamalize mjadala, ila shafii tunamjua hawezi kubali sababu anataka waendlee hivihivi ili apate contents za youtube tushamjua, sababu anajua kikubali tu watu watajua mkweli nani, na nakuahidi shafii akikubali debate ifanyike hatagusa tena clip za ndacha.

    • @stephen-S7n
      @stephen-S7n 6 หลายเดือนก่อน

      Anaepa kuepa.

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 6 หลายเดือนก่อน

      @@mobutu3884 NDACHA hana Lolote hawezi kutumia hata Zaidi ya Aya 3 Ndani ya QURANI Anakimbilia Kwenye VITABU VILIVYOANDIKWA Na Watu halafu yeye Akisomewa Aina hiyo ya VITABU Anakuwa Mkali Anavikataa 🤣🤣🤣

  • @joycedimoso8648
    @joycedimoso8648 5 หลายเดือนก่อน

    Kama muhamad aliuleta uislam hakuuwanzisha je ninani alieuwanzisha uislam dunian?

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 6 หลายเดือนก่อน

    Wengi hawa watu wa roho mtakatifu wanachukii tu

  • @stephen-S7n
    @stephen-S7n 6 หลายเดือนก่อน

    Ile biblia mnakataa ndio unataka itetee moha. Moha hana hata chembechembe za kuwa nabii. Ijulikane wazi kuwa bila uongo uislam haupo.

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 6 หลายเดือนก่อน

      Tupe huo uongo kutoka kwenye aya za biblia

    • @JuniorTz-s7x
      @JuniorTz-s7x 3 หลายเดือนก่อน

      Wake in sto amjitamvui makafil wakubwa duniani mnakut wakristo wengi wanatembea uchi Amna stsra😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊 mungu awasamehe

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 6 หลายเดือนก่อน

    ndacha anatafsiri aya za quran anavotaka yeye nina ushahidi aya nyingi kazikata na kaweka maaana anayotaka hayupo kwa ajili ya kufundisha bali kufanya tu kazi ya shetani kuzuia watu kujua haki

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 6 หลายเดือนก่อน

      Tena kuna aya zingine anaongezea maneno yake. Ukienda kusoma kwenye Qur'ani ni tofauti kabisa. Ndacha ni muongo Allah amuhurumie.

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 6 หลายเดือนก่อน

      @user-rn2fs5jg6n anatoa mpaka aya anadai katika quran wakristo wataingia peponi 😂😂 sasa utajiuliza hiyo quran ni ya familia yake na babu yake au quran gani huo mdahalo alifanya kenya waislamu wote walicheka vipofu wenzie wakaanza kushangilia😆😆

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 6 หลายเดือนก่อน

    Sema nyiee hamnaa akili saaanaa, biblia sio kitabu Cha mungu, afu hiyo hiyo biblia mnasema ndio imemtabili mtume wenu muhamad kama atakujaaa😂😂😂hiyo ni akili au matopeeeee??

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ustadh Shafi huyo ndacha hajielewi, yeye anaamini yesu ni Mungu, na mtoto wa mungu, hivi ni mungu gani anayewaza kuadhibiwa na mwisho kuuliwa na viumbe wake. Hivi hili halikufunui kichwa ukaona kuwa yesu sio mungu. Hili utabisha

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 6 หลายเดือนก่อน

      Akili ndogo tu wala huhitaji akili kubwa kujua hili, wakristo wanamfata masihi yesu ambaye yupo hai na ndie atakuja kuhukumu ulimwengu, nyie mnamfata mtu aliyepo kaburini alikuwa na dhambi na anasubiri hukumu ya Yesu na hajui atafanywa nini siku ya kiama halafu eti nimfate mohamad nimuache Yesu dah ni msiba mzito sana.

    • @seifserenge3340
      @seifserenge3340 6 หลายเดือนก่อน

      @@mobutu3884 unaamini kuwa Yesu aliuliwa na kutundikwa msalabani?

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 6 หลายเดือนก่อน

      @@seifserenge3340 jibu ni Yohana 19:17_18, vipi wewe unaamini uislamu unaweza kuwepo pasipo kuongozwa na quran?

    • @machindafadhili3186
      @machindafadhili3186 6 หลายเดือนก่อน

      Haumjui Yesu ww. Angalia video ya Sulle na NDACHA au MAZINGE

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 6 หลายเดือนก่อน

      @@seifserenge3340jibu yohana 19:17-18, Je na wewe unaamini kuna uislamu pasipo quran?

  • @edinahbonareri2251
    @edinahbonareri2251 6 หลายเดือนก่อน +1

    wewe shafii kwa kweli wewe ni Mgonjwa wa akili, eti mohammed katabiliwa kwa taurati. ntakubaliana na wewe kama ni ule nabii wa uongo aliyetabiliwa.

    • @hamisiwadesa
      @hamisiwadesa 6 หลายเดือนก่อน

      We kaka kipi kinakukwaza Kwa uisilamu

    • @JuniorTz-s7x
      @JuniorTz-s7x 3 หลายเดือนก่อน

      Wa kwanza wewe kutokua na kili unawekwa nyuma na mbelee pumbaavu😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @Theophile-xk2ym
    @Theophile-xk2ym 6 หลายเดือนก่อน

    Unaogopa kufanya mjadala na ndacha alafu unabweka bweka kwenye la TV, si mkutane !

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 4 หลายเดือนก่อน

      Washakutana kingine

    • @JuniorTz-s7x
      @JuniorTz-s7x 3 หลายเดือนก่อน

      Na ww unaebweka kwenye komenti bila kutambua kinachoongeleka kwendaaaa😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 5 หลายเดือนก่อน +1

    Shehe mohamed sio mtume na atabaki kuwa mtume wa majini na wajinga ila wakijua watakimbia

    • @joycedimoso8648
      @joycedimoso8648 5 หลายเดือนก่อน

      😅😅

    • @muhalakibwana4026
      @muhalakibwana4026 13 วันที่ผ่านมา

      Ushahidi Kwa aya

    • @charlesmakuri792
      @charlesmakuri792 13 วันที่ผ่านมา

      @muhalakibwana4026 sasa ushahidi,kilakitu kitu kiko wazi na umeisha danganywa na waalabu kuwa mtume bakihivyohivyo

    • @muhalakibwana4026
      @muhalakibwana4026 13 วันที่ผ่านมา

      @charlesmakuri792 Kwa hiyo wakristo nao wamedanganywa na waisraeli, yenu chuki tu bila elimu .yesu kaletwa Kwa wana wa Israel kwa maandishi katika bibilia. Sasa nipe ushahidi kama huo uuslam dini ya waarabu

    • @muhalakibwana4026
      @muhalakibwana4026 13 วันที่ผ่านมา

      @@charlesmakuri792 wewe ni muisraeli?. Unafuata dini ya wenyewe, bibilia huielewi wataka rekebisha waislamu elewa yako mwanzo

  • @FelixMurishi
    @FelixMurishi 5 หลายเดือนก่อน

    Muhamad alikuwa ni mhuni na wewe mwenyewe/

    • @muhalakibwana4026
      @muhalakibwana4026 13 วันที่ผ่านมา

      Twambie uhuni wake kupitia Aya za bibilia ama quran tukuamini

  • @Hshshsueue
    @Hshshsueue 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa wewe si utoke utuambia wasi wasi mbona watueleza ukiwa kwa nyumba??