KUTAKUWA NA MABADILIKO YA BEI YA VIFURUSHI VYETU VYOTE BAADA YA MSIMU HUU WA NANE NANE KUPITA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 7

  • @adelinomarcel4974
    @adelinomarcel4974 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye faida mgeongeza japo asilimia 10 kwenye faida kwakuwa mmeongeza asilimia 30 Kwa Kila kifurushi pendekezo letu wateja

  • @edwardmayanja6553
    @edwardmayanja6553 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Kwa taarifa, je Nane Nane Morogoro mtakuwepo?

    • @Saoretv
      @Saoretv  3 หลายเดือนก่อน

      @@edwardmayanja6553
      Tumehudhuria maonesho ya kimataifa ya nane nane dodoma tu
      Sehemu nyingine mtaendelea kupata huduma kutoka kwa ofisi zetu

  • @rosemakoa8629
    @rosemakoa8629 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona imeongezeka pakubwa gawio lipo palepale tupen sababu

    • @Saoretv
      @Saoretv  3 หลายเดือนก่อน +1

      Kutokana wadau wengi kuwekeza kipindi cha offer ya nane nane hivyo nafasi zilizobaki kwa ajili ya wawekezaji ni chache
      Hivyo wale watakao itaji kuwekeza baada ya nane nane itabidi wakutane na ongezeko la 30% ili kupata nafasi kati ya nafasi chache zilizobaki
      Asante

  • @witnessmallya5114
    @witnessmallya5114 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi kuna commission na mauziano kwa kg? Nazungumzia mf kifurushi cha sungura 2 kwa 600,000 mfugaji atapata commission ya 600,000 na fedha kulingana na kg za nyama na products nyingine? Au anapata 600,000 tu na ipo constant?

    • @Saoretv
      @Saoretv  3 หลายเดือนก่อน

      @@witnessmallya5114
      K
      30kg