KAULI YA KWANZA YA KAJALA BAADA YA KURUDIANA NA HARMONIZE MUDA HUU AFUNGUKA MAZITO/HATUACHANI TENA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 79

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri 2 หลายเดือนก่อน +13

    Kweli kabisa mdada umesema kweli shepu haieleweki kabisa kajala original

  • @ibrahimmussa-e8l
    @ibrahimmussa-e8l 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kajala is the Queen herself ❤❤❤

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo umenena dadangu kaaa wazee kimu😂😂😂😂😂

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwaiyo ile kauli ya kusema amepiga picha ya utupu na kutuma kwa Paula kaivunja😢😢

  • @AlphaDaimon
    @AlphaDaimon 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe nywele za #kuagizaa😅😅duh.! ama kweli
    Unaweza kununua mapambo ila sio Uzuri,,

  • @MariamIsaac-cg2ox
    @MariamIsaac-cg2ox 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mapenzi hayana umri,Bora moyo umependa.

  • @fatumahamadi9729
    @fatumahamadi9729 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hino ni kk ama ni ukweli

  • @janerachel1622
    @janerachel1622 2 หลายเดือนก่อน +13

    Harmonizer ANATAFTA kutrend tuu Hana MAPENZI ya kwelii,,ila alimpenda kajala TUU

    • @MonkeyDLuffy-p4g
      @MonkeyDLuffy-p4g 2 หลายเดือนก่อน

      Kajala ndie mwanamke aliye teka akili za harmonize

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 2 หลายเดือนก่อน +4

    Umevaa na nguo za wacha Mungu mmekusudia kuifundisha Tanzania ushetani.kama wakina Nyerere waliumiza kichwa wakawatoa wazungu bila kumwaga damu na wakaitakia.amani.Tz mtakuama sana na Mjue kuwa Mungu anawavuta mpate kutubu eti wanawake wako kibiashara polen wanawake msiojua kwamba nafsi zenu zinapelekwa kuzimu.hapana cha mtu hakiliwi bure muombeni mtu awasomee.biblia yeremia 4:31.alilia kwA uchungu mkubwa sana kama mwanamke anaezaa mtoto alipogundua kuwa wanaume anaotoka nao wanachukua nafsi yake wanaiuza.kuzimu

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ila huyo dada ana boa anapenda Sifa mm mtu mwenye sifa simpendi ht huyo kaja hana sifa km za huyo dada km ndugu yk kweli cn uhakika km kiki tu😂😂

  • @merinaamlundi
    @merinaamlundi 2 หลายเดือนก่อน +3

    mapenzi nyokoooo

    • @AlexChungu-t2j
      @AlexChungu-t2j 2 หลายเดือนก่อน

      Hi ndoile misemo yawazazi utahangaika nadunia kamasijaifungua nafsi yangu😢😖

    • @MonkeyDLuffy-p4g
      @MonkeyDLuffy-p4g 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅 mapenzi shikamoo

  • @Siti-f4e
    @Siti-f4e 2 หลายเดือนก่อน +2

    Shepi hazieleweki kweli ata sijui zinasifiwa kwa lipi shape ya kajala ni real

  • @AshaRamadhani-r2o
    @AshaRamadhani-r2o 2 หลายเดือนก่อน +2

    Saw dada nakuung mko hamonaz anapend makalio makumbw San

  • @rehmahamishamismkande4348
    @rehmahamishamismkande4348 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe mzuri na mbaya nyote njia yenu moja tu

  • @bettymuks7072
    @bettymuks7072 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndo ule demu alikuwa eti anatokea Lebanon mmh kumbe mbea wa mtaa tu😂😂

  • @GenesisRetreat
    @GenesisRetreat 28 วันที่ผ่านมา

    Apo kwenye nywere jaman mashaka

  • @AkiliNjemahalisi
    @AkiliNjemahalisi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ivi ni lazima wasanii mkiachana au kurudiana lazima mtuzubaishe humu..?😢.

    • @SarahNgweta
      @SarahNgweta 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😅😅😅😅

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 2 หลายเดือนก่อน +2

    Upo sahihi kweli dada kajala ndo caup nzuri Ss sote tumeona harmonize alipo kuwa na mahusiano na huyo posh kashuka umaarufu harmonize Watu walipungua kumfatiliya mmoja mm lkn ss karejeana ss na kajala ana nyota cn

    • @dayadaniel4968
      @dayadaniel4968 2 หลายเดือนก่อน

      Hata mm nilikua simfatiii

  • @AgnesCharles-o7y
    @AgnesCharles-o7y 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kumbe kajala ni msukuma

  • @herijaphet
    @herijaphet 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtatumika sana.
    Kumbe na nyie hamna jipya. Mnachezewa na mnaukubali mzk. Sasa mtoto wenu mnamuachaje na mbwembwe za kumtukana baba yake. Pesa kiboko. Hamna penz hapo. Pesa mbele.

  • @HarisHars-t6z
    @HarisHars-t6z 2 หลายเดือนก่อน +15

    Kama kajala atarudi KWA jeshi akili Hana kabisa😂😂

    • @TumuTours
      @TumuTours 2 หลายเดือนก่อน

      Gari mbili,hivi apate nyumba mbili😅,atarudi tu

    • @agwalubifaridah7079
      @agwalubifaridah7079 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@TumuToursningekuwa yy. In case arudi achukue nyumba na asepe zake

    • @TumuTours
      @TumuTours 2 หลายเดือนก่อน

      @@agwalubifaridah7079 kabsa

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kabsa😂

    • @SophiaJoseph-n4o
      @SophiaJoseph-n4o 2 หลายเดือนก่อน

      Mapenz hayaitaji akili kikubwa anapendwa bhasi

  • @esthermramba9395
    @esthermramba9395 2 หลายเดือนก่อน +5

    We mauricio long acha kujisifu sana mmh...

  • @pendomason8582
    @pendomason8582 2 หลายเดือนก่อน

    Tutamroga Na mahaba ya kisukuma

  • @beatricemabula4783
    @beatricemabula4783 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mguuuuu mbayaaaa

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie mshaurini harmonize atafutr wanawake wa umri wake

  • @salehally-y8p
    @salehally-y8p 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu kajala mnamfanya ndio spea tyre ya hamonize dar siopoa.

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chefuuuu

  • @SunnyOdhiambo
    @SunnyOdhiambo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Posh she is beautiful .

    • @KhadSmiths
      @KhadSmiths 2 หลายเดือนก่อน

      Hana lolote posh nibure kabisa

  • @SwaumuSelemani-cu1qe
    @SwaumuSelemani-cu1qe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kajala ni mkubwa kwa harmo

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ni bola upigwe pasi kuliko upewa makalio nitabu kwelikweli

  • @JadidaWaziri-d2b
    @JadidaWaziri-d2b 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wow Acha couple yetu irudi mambo ni noma tumewamiss sana
    Kamala na harmo

  • @JumaMfano
    @JumaMfano 2 หลายเดือนก่อน +2

  • @neykidoti102
    @neykidoti102 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna lolote hapo kiki tuu ili mkae midomoni mwa watu mpate followers 😂

    • @ColethaLucassingaile
      @ColethaLucassingaile 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu si ndo alisemaga ametoka wapi huko akakuta mumewe kaoa mwanamke mwingine

  • @uwimanajustine7313
    @uwimanajustine7313 2 หลายเดือนก่อน +1

    Poshi WA Shep ya bila mguu,

  • @BossybossyMachuru
    @BossybossyMachuru 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wote wanatafuta kutrend Hamonize na kajara

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 หลายเดือนก่อน

    Elimu, elimu , elimu

  • @sharifamahamudu182
    @sharifamahamudu182 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu sindo alijifanya anatoka oman akamfumani mpenzi wake duh watu wanajua kufosi umaharufu

  • @JadidaWaziri-d2b
    @JadidaWaziri-d2b 2 หลายเดือนก่อน +2

    Posh tatizo makengeza mengi atupishe sis i

    • @MonkeyDLuffy-p4g
      @MonkeyDLuffy-p4g 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅😅 wacha weee

  • @DaniPedagogie
    @DaniPedagogie 2 หลายเดือนก่อน +1

    Vraiment c très premier dame tanzanien

  • @idrissansereko6403
    @idrissansereko6403 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi kweli wewe nzuri ? Pua Yako imejaa sura eti we mzuri sura nzito eti mzuri mtizame Zari huyo ndio mwanamke ameeneza condition za kike najua mzuri kwanza kiswahili kibovu

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 หลายเดือนก่อน

      Na wewe hujaona Mwanamke mzuri ila Zari kwasababu mweupe 😂😂😂 na huyu mdada pia nzuri sana Tena….mweupe pia .🎉

    • @KhadijaMasoud-m6u
      @KhadijaMasoud-m6u 2 หลายเดือนก่อน

      Mzuri zari huwezi kumfananisha na huyo ht hiyo pua tu ya zari nzuri kweli tutoe weupe

    • @AkamahorochanellaChanella
      @AkamahorochanellaChanella 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂 nawapenda wa Tanzania tu

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu nae ng'ombe hivi huyuanafanana na kajala kweli?

  • @SalamaKadeyi
    @SalamaKadeyi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kumekucha tena mujini dar

  • @ElaAtanasioMateus
    @ElaAtanasioMateus 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @SeciliaOmary-ei6su
    @SeciliaOmary-ei6su 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mh

  • @SwaumuSelemani-cu1qe
    @SwaumuSelemani-cu1qe 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa kajala miaka 43 harmo 30 vinauwiano wapi

    • @PILLIMASOUD
      @PILLIMASOUD 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe si muislam, mtume alikua na miaka 25, mke wake Hadija alikua na miaka 45.

    • @MonkeyDLuffy-p4g
      @MonkeyDLuffy-p4g 2 หลายเดือนก่อน

      Mbona wapo sawa jmn miaka haina tatizo

  • @NyirantokiZahara
    @NyirantokiZahara 2 หลายเดือนก่อน +1

    Binti mbaya na sura mbaya afu unajigamba!! Jamani wa bongo mko je

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu kwani MBongo mbona hajaelekea???

    • @KhadijaMasoud-m6u
      @KhadijaMasoud-m6u 2 หลายเดือนก่อน +1

      Et ndugu na kajala na kafanana nae ingekuwa kajala sura hiyo huyo harmonize asinge rudi

    • @MonkeyDLuffy-p4g
      @MonkeyDLuffy-p4g 2 หลายเดือนก่อน

      Wabongo wanapenda sifa kaaah😅😅

  • @barakamusapolekidoti957
    @barakamusapolekidoti957 2 หลายเดือนก่อน

    Nywele zako utaagizaje nje sema kopi ya mwele naagizaga nje hzo sio nywele zako boya wewe!