MPINA AJITOSA VIKALI, AMLIPUA WAZIRI MKUU, FUJO ZAIBUKA BUNGENI, "HAKUNA HATUA ZINAZOCHUKULIWA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 105

  • @ysmasalu
    @ysmasalu ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana Mhe. Mpina kwa kutetea ukweli. Hongera pia kwa spika Tulia kukitendea vizuri kiti katika hili.

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 ปีที่แล้ว +5

    Mpina Upo vizuri Sana 🙏🙏🙏💯🙏🙏💯💯🔥🔥🙏💯💯💯 CCM wenyewe Kwa wenyewe

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana luhaga mpina unasitahiri kuwa rais mkomboz

  • @mchunguliechibwa198
    @mchunguliechibwa198 ปีที่แล้ว

    Safi sana mpina..hayo mengine kazi ni kusifia tu..

  • @edson2450
    @edson2450 ปีที่แล้ว +4

    Spika Dr Tulia unakindendea sana haki kiti Chako, ukiendelea hivyo utakuja kua among the best Spika.

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 ปีที่แล้ว +11

    Natamani 2025 tuchague wabuge wengine kabisa nje ya hawa wapiga makofi. Hongera sana mh. Spika Tulia ,pia hongera sana mh. Mpina.

    • @Nedjadist
      @Nedjadist ปีที่แล้ว

      Tutachaguaje nje ya wapiga makofi na sisi wenyewe ni wapiga makofi tu. Angalia hoja za maana zikichangiwa aidha hakuna comment au matusi tu!

  • @efraimrichard6440
    @efraimrichard6440 ปีที่แล้ว +2

    Ila nyie uyu spika me namkubali mpaka bas yani hafati makofi na wala haangalii wazili mkuu Wala Nani ila anasimamia kanuni na sheria zinavyotaka Safi kabisa spika Mungu akusimamie spika wetu... ❤❤

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 ปีที่แล้ว +2

    mpina ww nikiozi. Bora kuliko woote hapo bungeni MUNGU. akuinue na akulinde sanaaa

  • @nestor384
    @nestor384 ปีที่แล้ว +2

    Dr Tulia Ackson Mwansasu wewe ni akili kubwa sana.
    Mhe. Mpina Luhaga salute

  • @tomm_kulikiza9074
    @tomm_kulikiza9074 ปีที่แล้ว +5

    Uyu mama huwa namuangaliaga tu mpuuzi sana anajifanya anajuaa sana kumbe mjinga mtupu na mpina ajuee Wana mtaani tunamuelewa

  • @eliakanyika4921
    @eliakanyika4921 ปีที่แล้ว +3

    Bunge zima mbunge ni mh mpina pekeake.

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Mh. SPIKA umeongea sawa kabisa hapo Mh. Jenista hatutendei haki kwa kweli yeye yupo kutetea viongozi wenzake lkn si WanaNchi tumwogope Mungu jamani tuteeeniiiiiiiii sio kutetea viongoziiii

  • @allyshafi4391
    @allyshafi4391 ปีที่แล้ว +1

    Dah mashallah spika wetu uwezo wke mkubwa sana Allah akufanyie wepesi ktk kazi zako ❤

  • @johnymacker8330
    @johnymacker8330 ปีที่แล้ว +1

    Mpina wewee ni mwanaume kweri kweriiii....! Hongeraaa sana

  • @jamesjohn9160
    @jamesjohn9160 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nakuombea saana Mpina, pia muongozo wa Spika.... hongereni saana na Mungu aendelee kuwasimamia

  • @evancetarimo1310
    @evancetarimo1310 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭😭😭 mpaka machoz yamenitoka kusikia ngombe wanavyokufa njaa

  • @daudysanga8492
    @daudysanga8492 ปีที่แล้ว +2

    Hawa wapiga makofi subrini 2025 mtatujua vizur

  • @eliakanyika4921
    @eliakanyika4921 ปีที่แล้ว +4

    Mpina chukua fomu ya Urais 2025 wakizingua nenda upinzani

  • @johnadolf1181
    @johnadolf1181 ปีที่แล้ว +2

    Mpina oyeeee, , ,uongo hujitenga na ukweli

  • @methodnovath9950
    @methodnovath9950 ปีที่แล้ว

    Safi xana mheshmiwa Mpina

  • @mdidiomari7351
    @mdidiomari7351 ปีที่แล้ว

    Tulia uko vizuri umemsikia vizuri sana mpina

  • @oscarkasalile3966
    @oscarkasalile3966 ปีที่แล้ว +4

    Mheshimiwa Jenister mimi binafsi sikukubali hata kidogo

    • @NixonGerson
      @NixonGerson ปีที่แล้ว

      Huyo ni hovyo kuliko wabunge wote ..huo uwaziri wa nchi hatumtaki sisi wananchi

    • @godfreyalphonce6176
      @godfreyalphonce6176 ปีที่แล้ว +1

      @@NixonGerson arq

  • @repsphrs5051
    @repsphrs5051 ปีที่แล้ว +2

    Kuanzia cku nimeanza kusikilza hoja za wabunge Mpina nakuelewa na unastahili uwaziri! Ila basi tu

  • @athanaskipeto572
    @athanaskipeto572 ปีที่แล้ว

    MH sipika uko vizuri chapa kazi

  • @mariamjamali1444
    @mariamjamali1444 ปีที่แล้ว +1

    Very genius speaker

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 ปีที่แล้ว

    Yaani Bunge hili kazi wapiga makofi ujinga mtupu, Ongera sana Mpina hachana na wapiga makofi bwana

  • @kulwakayagamba1328
    @kulwakayagamba1328 ปีที่แล้ว

    Mpina uko vzr sana hongera jembe

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 ปีที่แล้ว +1

    Mh Mpina Mungu akulinde,hawa Mawaziri hawatutakii mema Watanzania

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 ปีที่แล้ว

      Hukuona alofanya madudu wakati akiwa waziri wa uvuvi.

    • @dadamuebrania1539
      @dadamuebrania1539 ปีที่แล้ว

      @@hamadsheni8997 Comment huko public usijifiche mgongoni kwangu hovyooo

  • @anthonycharles1551
    @anthonycharles1551 ปีที่แล้ว

    Yani haya mabunge kazi kupiga makofi tu

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 ปีที่แล้ว +1

    hivi Mh Mpina amesahau kuwa ukweli huwa haukubalik

  • @mussalimbe6673
    @mussalimbe6673 ปีที่แล้ว +2

    Tulia ametulia kweli

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 ปีที่แล้ว

    Mpina uko vizuri hongera sana

  • @hustlermeshuko2149
    @hustlermeshuko2149 ปีที่แล้ว +2

    Mpina piga hapo hapo wafugaji wananyanyasika sauti zao zimetoweka

  • @majaliwaharuna4064
    @majaliwaharuna4064 ปีที่แล้ว

    Kweli mh spika upo makini ,upo sawa sawa kabisa unajuwa kuchambua hoja kwa uhalisia bila kumuonea mtu

  • @zachariajustine873
    @zachariajustine873 ปีที่แล้ว

    😮😮

  • @hojashikome721
    @hojashikome721 ปีที่แล้ว

    Mh.makinda uko vizuri sana💯

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 ปีที่แล้ว

    Nakupongeza sana ndugu spika
    Uwezo wako upo juu kihekima kufafanua vizuri
    Bila kukigugumizi nakuembea Mungu akubariki sana

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 ปีที่แล้ว

    Leo mambo bam bam

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 ปีที่แล้ว +1

    Mpina wanyooshe hahahaaaaaaa

  • @efraimrichard6440
    @efraimrichard6440 ปีที่แล้ว

    Luhaga Safi kabisa nakukubali huwangii sura

  • @jimonmwakalebela9470
    @jimonmwakalebela9470 ปีที่แล้ว

    Safi mama nsasu

  • @danielchacha2973
    @danielchacha2973 ปีที่แล้ว

    Spika the best of you is that you know law interpretation of law others ........

  • @MalakiGerald-bh5jv
    @MalakiGerald-bh5jv ปีที่แล้ว

    Jenister ukweli haupingwi kwa propaganda.

  • @mussalimbe6673
    @mussalimbe6673 ปีที่แล้ว +1

    Mbunge ni mmoja tu bunge lote katiba ibadilishwe

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 ปีที่แล้ว

    Kama hawezi kumheshimu hata waziri mkuu Mpina ni mtu mwenye Roho mbaya sana

  • @evancetarimo1310
    @evancetarimo1310 ปีที่แล้ว

    Watanzania 😭😭wetu wanashangilia nini sasa jamani ee mungu tusaidie

  • @edgarelikana7204
    @edgarelikana7204 ปีที่แล้ว

    Jenister 😂😂😂😂😂😂 25 Mungu Tulindeeee

  • @jimonmwakalebela9470
    @jimonmwakalebela9470 ปีที่แล้ว

    Wengi hamrud 25

  • @elishapaul1706
    @elishapaul1706 ปีที่แล้ว

    Pole kaka wanatuhujumu hawa siend kwenye mikutano yao

  • @josephjosephgeorge3195
    @josephjosephgeorge3195 ปีที่แล้ว

    Amesema alikuwa waziri mpaka mwaka 2020 lakini kasema kunawafugaji walikamatiwa mifugo mwaka 2020 akiwa waziri alichukua hatua gani wakati Hao wafugaji wameenda Bungeni kipindi hiki

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 ปีที่แล้ว

    Wao ndo mamluki

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 ปีที่แล้ว

    Kwanini vilichomwa hadharani mbele ya macho ya watu

  • @aganolamotoeliya2027
    @aganolamotoeliya2027 ปีที่แล้ว

    Bunge la hovyoo sana mnapiga makofi kwenye vitu vya msingi.

  • @deusmgema8612
    @deusmgema8612 ปีที่แล้ว

    Mpina nimekuelewa

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 ปีที่แล้ว +1

    MPINA CHUMAAAAAAAAAAA

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 ปีที่แล้ว +1

    Jenista pumzika wengine wafanye kazi hiyo kazi

  • @NixonGerson
    @NixonGerson ปีที่แล้ว

    Bunge Holyoke Holyoke larisa ni ujinga wezi nyie..WA kodi zetu

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 ปีที่แล้ว

    Anawaumbua, maana wao ndo wananunua mitego feki

  • @thomassalvatory8303
    @thomassalvatory8303 ปีที่แล้ว

    huyu mama haelewi watu hawataki maelekezo wanahitaji utendaji cha kuuliza yalitolea hayo maelekezo je yamefanyiwa kazi, shida si kutoa shida ni utendaji

  • @TedyMatiku-tr8qw
    @TedyMatiku-tr8qw ปีที่แล้ว

    Kumbe spika tunae sio hao wanao jipendekeza kupiga makofi hongera spika na hongera mpina

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 ปีที่แล้ว

    Huyu mhagama kachemka! sasa hapo anachoongea ni nini?

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 ปีที่แล้ว +1

    Katiba mpya Napendekeza Ubunge iwe mwisho miaka 10 tuu kwa Mbunge akitumikia vipindi hivuo asiruhusiwe tena maana wengi wao wanafanya kazi kwa Mazoeaa

  • @shabanilugi5858
    @shabanilugi5858 ปีที่แล้ว

    Wabunge vilaza watulie wapunguze kujipendekeza jamani vipi?

  • @sememakolo9360
    @sememakolo9360 ปีที่แล้ว

    Sopika hongela sana ufaham wako mkubwa sana

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 ปีที่แล้ว +1

    Hizo wizara wapeni wengine wanaoweza hiyo kazi

  • @zaidyabdalah3691
    @zaidyabdalah3691 ปีที่แล้ว

    Huyo Mhagama kazi yake ndiyo hiyo tangu zamani yeye akiona mbunge anaikaba koo serikali huwa anasimama na kusema, kuhusu utaratibu au vinginevyo mradi tu mchangiaji aache kuchangia. Hovyo sana hii

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 ปีที่แล้ว

    Tulia Akson Upo sahihi achana Na jenista

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kwann Wabunge kufanya fujo wakate Mbunge anatoa kero za wanaNchi ,kwann wabunge wasio na hoja wanampotezea mwingine kutoa kero za Wananchi?

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 ปีที่แล้ว

    Hawa watu wamegawanyika vibaya uchaguzi 2025 wata uwana.

  • @mjunikiobya
    @mjunikiobya ปีที่แล้ว

    Sasa Mpina unataka samaki aliyekwisha kaangwa na kuungwa apimwe kwa rula?. Hiyo sheria ya wapi, au ya Gambosh mzee?😁😁

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 ปีที่แล้ว

    Hakuna kitu kibaya km kunyanyasa wafugaji ktk taifa walio weka sheria hawajui garama za wafugaji lkitokea watanzania kukataa tamaa ya kufuga jee mtakuwa tayari kuagiza ngombe toka njee ya tanzania
    Kosa la mifugo sio la wafugaji ni kosa la serekali zetu mawaziri na baazi ya Wala rushwa hufaidika na zoezi la ukamataji wa mifugo
    Lakini ni hatari Sana ktk taifa sababu wafugaji wanaweza kata tamaa kinachofuata ni lmpuct kwa taifa sababu wafugaji ni watu muhimu Sana ktk taifa serekali. Zetu zinaitaji ufumbuzi km wakulima uzuo ktk mashamba yao ktk mbuga zinaitaji wiyer za umeme
    Mashamba uzio tusizarau wafugaji ktk taifa

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 ปีที่แล้ว +1

    Acheni kulindana acheni wawakilishi watoe kero kero za WanaNchi

  • @rizikimlela8162
    @rizikimlela8162 ปีที่แล้ว

    Watanzania munawaona wabungewenu munaowachangua kwakupewa kanga

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭💯💯💯

  • @allyshafi4391
    @allyshafi4391 ปีที่แล้ว

    Tanzania 🇹🇿 Nchi yng 😂😂

  • @oscarkasalile3966
    @oscarkasalile3966 ปีที่แล้ว

    Kama swala likochini ya waziri mkuu na watu wanafanya vituko kama hivyo ni wazi waziri mkuu atakuwa karusu hatuwezi kupepesa macho. Mpina mwacheni mpina aseme ukweli nchi hii ni ya watanzania wote

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 ปีที่แล้ว

    Wabunge wasiochaguliwa

  • @josephjosephgeorge3195
    @josephjosephgeorge3195 ปีที่แล้ว

    Yanafanyoka Kwa ridha yake hilo ndio Mbunge alilo litamka

  • @wilsonjohn9274
    @wilsonjohn9274 ปีที่แล้ว

    bunge dhaifu unafiki tu

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 ปีที่แล้ว

    Luhaga mpina ni chuma cha reli mungu akulinde

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 ปีที่แล้ว

    Yaani Rais na Spuka mnaendana kabisa hampendi kabisa kutetea Serekali kwa jambo si lakweli mnapenda ukweli uwe ukweli na mkoseaji aambiwe amekosea hongera zenu HIYO MHIMILI MUMEIMUDU.

  • @NixonGerson
    @NixonGerson ปีที่แล้ว

    Wewe mla kodi tu wewe mhagama huna jipya nawashangaa viongozi wanaomchagua na kumkubali

  • @francemapunda4324
    @francemapunda4324 ปีที่แล้ว

    Spika huko vizuri sana kuchambua hoja

  • @noelsimon3320
    @noelsimon3320 ปีที่แล้ว

    Sijawahi kumuelewa jenista

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว

    Haya ndo matatizo ya kukosa upinzani

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว

    We pumbavu kwa nn msivirujishe kwao unaenda kuzichoma viumbe vya allah pumbavu ww

  • @williammasatu1488
    @williammasatu1488 ปีที่แล้ว

    Mbona mayai kutoka nje yanaingia bila vibali

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 ปีที่แล้ว

    Ulifanya dhuluma kuchoma nyavu na kunyanganya samaki za watu na kutoza faini kubwa kubwa kwa kutaka sifa. Wewe ulifanya nini kumkomesha kukamata mifugo.

    • @mussalimbe6673
      @mussalimbe6673 ปีที่แล้ว

      Mjinga ww unapinga Nini ng'ombe wanaibiwa kwenda zako

    • @husseinkarim6745
      @husseinkarim6745 ปีที่แล้ว

      @@mussalimbe6673 Yeye si slikuwa waziri alifanya nini kuwasaidia au kuleta sheria ya mifugo? Nadhani wewe akili fupi hufikirii sawa kama unakunya. Leo hana cheo ndio anawafikiria watu wake. Alikuwa wapi.Nani alichoma kuku mpaka wa Kenya sio ndio hao hao.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว

    Mpina kwishaa na hurudi tena bungeni ww
    Kwanza wananchi hatukutaki
    Mwakani hatukupi kura
    Kazi yako kumsema rais tu

    • @evancetarimo1310
      @evancetarimo1310 ปีที่แล้ว

      Achana na bangi
      Bangi pafu moja inakaa kichwani miaka saba
      Kwani akimuongelea rais amekuongelea wewe

  • @anthonycharles1551
    @anthonycharles1551 ปีที่แล้ว

    Yani haya mabunge kazi kupiga makofi tu

    • @eliahmwita9946
      @eliahmwita9946 ปีที่แล้ว

      Hii🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bunge