Achaa wanidhara siku mmoja watashaanga nimebarika aje huyu maskini ,lakini mpango wa mtu ni Yesu ndio anajua ,asante Jenifer huu wimbo nimejifunza kwa sana ubarikiwe🙏🙏🙏
Amen my dear sister nyimbo zako Hua sinanibariki kila nikikuona nakumbuka wema ni akiba nikitaka kukata tama kutenda mema nakumbu movie na wimbo wako wa wema ni akiba be blessed 🙏🙏🙏🙏
nakupenda sana "dath" jennifer ngendi, wewe ni mwembaji wangu wa kikristo ambae anani bebe ki roho na nyimbo zako. mungu aku ongezee kipaji hicho. nakupenda sana.
Katika nyimbo nazozipenda kutoka kwa jenipha mgeni moja ni hii nyimbo kali sana nice song
Mimi ni muimbaji na pia napenda nyimbo zako sana
Kweri siku moja wataelewa tuu
Hawaelewi mpango wa Mungu kwao, hawaelewi kusudi la Mungu kwako, wanatazama kibinadamu.
Usiwalaumu, siku moja wataelewa.
Wimbo uko poa Sana adi nimelia Asante jenipha😂
Uko sawa na mungu akubariki sanaa nikisikia nyimbo zako nabarikiwa sanaa asati🎉🎉🎉❤❤
Ubarikiwe.sana.dada.
Huu wimbo ni mtamu kila siku hongera sana kwakazi nzuri dada Jennifer
Barikiwa Sana dad'a naguswa na nyimbozako dada
Mbarikiwa na maneno yanayo toka kinywani mwako najua roho nyingi zinabarikiwa
Unabariki Sana dada kwa nyimbo zako one day wataelewa Amina
Napenda wimbo zako Jennifer MUNGU akubariki sana dada
Mungu akubariki dada Jennifer Nyimbo zako zanibariki sana mesi kutoka Kenya
Yani barikiwa saaaana nyimbo zako zina nibariki saana🙏🙏🙏😥👌👌👌👌👌👌👌👌🥰
Hongera Sana Dada maana sio unaimba Bali unafundisha kwa anaelewa
Achaa wanidhara siku mmoja watashaanga nimebarika aje huyu maskini ,lakini mpango wa mtu ni Yesu ndio anajua ,asante Jenifer huu wimbo nimejifunza kwa sana ubarikiwe🙏🙏🙏
Dada yangu, kwa kweli unanibaliki saaana,,, Hii nyimbo sasa hahahah Asante sana kabisa
Always nyimbo zake ziko na message mungu akuajalie mama
MUNGU azidi kukuinua nakupenda sana dada Jenifa
Mungu akuzidishie iman
Wimbo mzuri pia napenda kuva kwako mummy
Mama CD zako tafadhali tungependa zifike Hapa Kenya.
Mungu akubariki akuzidishie kipaji chako❤❤❤
Ubalikwe Sana Jenifer
❤❤❤❤❤❤mutaerew tuu siku ikifika
Barikiwa na Bwana
Ubarikiwe jennifer kwa wimbo mzuri
Nyimbo zako zinatia faraja sana Dada zangu
Big up jennifa mungu aendele kukubaliki
Amena kabisa mungu azidi kukuongezeya nguvu na mafuta yani hizi nyimbo zinanibaliki kabisa .balikiwa mupendwa
Hapo ni ukweli kabisa siku moja wataelewa yale Mungu anayatenda
Yaani dada jennifer upo vizuri nakupenda sana wimbo mzuri sana,mungu azidi kukuinua
Shukurani ubarikiwe unasauri nzuri
Kwahakika mum nyimbo zako zanbariki sana.Mim n Mike dancer kutoka Mombasa karibu Mombasa tena tulishawai onana Kitui Kwa mkuta wa Injili
Acha wataelewa wakati Wa mungu utakapo timia Dada jen endelee kutupa ibada
Amen my dear sister nyimbo zako Hua sinanibariki kila nikikuona nakumbuka wema ni akiba nikitaka kukata tama kutenda mema nakumbu movie na wimbo wako wa wema ni akiba be blessed 🙏🙏🙏🙏
nikweli dadaangu ujumbe nimeupenda
Acha wakuzarau nyimbo zako zinanibariki sana tena sana
Acha wanidharau ipo siku moja waelewa amina dada jenifa nabarikiwa na wimbo huu
Mungu azidi kukuinua nyimbo zako na Maigizo Yako napenda sana.
I thank God for these far amenilinda kwa mengi sana
Acha watuzarau lakn Munguu wetu atatutendea mambo memaa
Jamani napataje huu wimbo audio napataje Safi Sana my sister hongera Sana Mungu akuinue viwango vingine nakupenda jamani
nakupenda sana "dath" jennifer ngendi, wewe ni mwembaji wangu wa kikristo ambae anani bebe ki roho na nyimbo zako. mungu aku ongezee kipaji hicho. nakupenda sana.
Umbo lak n zur nd maan unaon anavaa vzr
Amina Amina dadaangu ujumbe mzuri mno ubarikiwe sana.Wataelewaje unakokwenda wakati hawajui ulikotoka?
Hakika. Mungu analokusudi na kila mtu
Tumemisi move itolee basi mimi nishabiki yako m/mungu azidi kukusimamia
MUNGU azidi kukuinua,huwa unaimba kwa ajili ya utukufu wa MUNGU.
Amen 🙏 🙏 🙏, nimebarikiwa kabisa.
Songa mbele dada Ubarikiwe
Dadaangu mtumishi wa Mungu Barikiwa sana Mungu amekupa viwango vingine vya utumishi
Asante Sana Dada yangu ktk waimbaji Tz ambao mna heshima zenu mmojawapo Ni ww Huns skendo.mavaz yako mazr.
Mungu azidi kukutuza jen
Ujumbe mzito unaoguza moyo
Napenda nyimbo zako mama.
Muimbaji maalumu ibarikiwe kwa hii uduma
Batajua ubalikiwesana jennifer
Ma fille Jennifer Mgendi, j'aime bien tes chansons, ca sonne bien avec le rythme congolais. je suis congolais.
Kama kuna muimbaji anavaa kiheshima ni ww love you mum
He
Barikiwa mutumishi wa Mungu
Ujumbe ni mzuri sana
Jennifer ubarikiwe sana!
Hii nzuri mungu akibariki
Amina mtumishi ubarikiwe sana
Sijawahi kuzichoka nyimbo zako na hasa sauti yako
Super natural history never gets old nice song tulia moyo
Ubarikiwe saaaaaaana dada mu Yesu. Mavazi yako ni top class kwa Mama mwenye wanaye mujuwa Mungu
Ama kweli Mungu hamtupi mja wake usikate tamaa Dada ake Mungu akubariki sana katika katika safari yako ya mziki Amen Amen
Dada ubarikiwe kwa kurejesha tumaini la wengi.
Amina Amina siku moja wataelewa.
Jenifer mgendi asee Mungu akulinde uishi miaka yoooote
wacha mungu.atupiganie.
Hakika, wataelewa tu, ubarikiwe kwa kuufariji moyo wangu
''Let them look down upon you, but one day they will understand....'' =====Acha wakudharau lakini siku moja wataelewa...
Be blessed with your educated songs
Acha wakidharau siku moja wataelewa
Ameen Ubarikiwe sana
Nyimbo zako nazipena sana
Nimeacha tuuuuu
Je suis fière de toi Mum mbingu zikufungukiye maman Jennifer mugendi
Naapenda huyu madam,anaimba akimaanisha ,sauti tamu kweli.god bls
Wimbo mzuri sana ila sebene hukulitendea haki
Wimbo wa wakati,,,nkmekuwa natoa machozi sababu ya hao wasioelewa mpango wa mungu kwangu. Wimbo wako umenifariji asante sana. Acha mungu akutumie.
I like your good and perfect Swahili.
Amen 🙏 siku moja wataelewa mungu akiniinua, huu wimbo hunifaraji sana juu mm nadharauliwa na familia yangu et nilioleka kw mtu hana shamba😭😢
Ndo hao hao baadae watakuheshimu😊
Siku moja wataelewa.💯
@@mbaejoseph8501 Amen 🙏 🙌 👏 ❤
HIZI NYIMBO ZIMENIGUZA.
Amina dada mungu akubariki
I love it
It's join
Wacha watudharau lakini tunajipa moyo na Mungu atatutendea
Waliopinga maono yangu miaka hiyo Leo wananipigia magoti huu wimbo umethibitisha
Mungu azidi kuku inua dada
This song has made my hrt blesssed ,may God keep you for long
Nakupe ndasana
Wimb huu umenibarki sana, Mung akubarik jenifa
Jennifer Mgendi is a great singer
Ubarikiwe amina
Wataerewa two
Ubarikiwe Mumy naomba cd naipataje
One day they will understand your value