AMINA, Ujumbe mzuri sana kwa sisi vijana tunaopambaniwa na wazazi,, unatukumbusha thamani ya mzazi haichuji hata iweje. Hata kwa MUNGU na mwanadamu aliyeokolewa na YESU KRISTO, ndivyo ilovyo.
Nakupenda Sana mama tangu nipo mdogo nakusikia nyimbo zako mpaka Leo nimekua bado umetunza kazi yako na pia hazeeki mama miaka yote yupo vilevile hongera Sana Mungu azidi kukulinda
Benson mgaya Uwe na hofu ya Mungu,,kumsema Mtumishi kwamba hakuvutii ni kumkoses Mungu alimpa Huduma huyu Mtumishi. Hao unaowakubali nao wamepewa,,je wewe umepewa nini ? Palili taranta yako uliyopewa. Onyesha kazi yako
Huu wimbo umenibariki sana mate. Umempasha mama Nelly, Isaiah 43, when go through waters, He is with us. Lazima tufaulu Amen. Bora umeiacha hiyo noti yake, huenda ni chuma ulete😂
Kiukweli wimbo mzuri na umejitosheleza kabisaaaaa hongera Dada Jenifer na nyimbo zako zinanibariki hadi leo bado ninao wimbo wako wa Mwanadam ludi nyumbani nahisi uliimba ktk Albam yako ya kwanza au ya pili KINGINE DADA Ukweli nafurahi sana jinsi ulivyojitunza na ukatulia na Yesu
AMINA SANA mama yetu, napenda nyimbo zako tangu nipo mdogo, kwasababu zina ujumbe unaonifundisha kutembea katika njia ya MUNGU bila kukata Tamaa. Indeed, may God bless you greatly and increase your offspring and give you a long and happy life And peace
Safi Sana mama.Duuh kweli kipaji Cha ubunifu kwako ni kikubwa sana.Mama Nene wapo wengi wenye maswali hayo.Asante kwa kurtusaidia kuwajibu.Lazima tufaulu.Unajua kubuni Mikasa, kweli sijaona muimbaji mwenye damu ya kubuni, utunzi na uigizaji kama wewe, Mungu akubariki sana.Wema ni akiba, Hifadgi mema, saivi nipo shuleni, Nimebarikiwa zaidi na hizi nyimbo3.Asante sana mama, ubunifu ulio nao najifunza namimi.
Isaya 65:17,24 na Ufunuo 21:3,8 ,inafariji na ina tiamoyo sana,ina watinguvu wanyonge, wa Mungu. Tujikazetu natusisahau kuomba zilengvu zakushind zambi namielekeoyote yazambi, nakwanguvu za Yehovah mungu wa kweli tutashinda tu. ❤
AMINA, Ujumbe mzuri sana kwa sisi vijana tunaopambaniwa na wazazi,, unatukumbusha thamani ya mzazi haichuji hata iweje.
Hata kwa MUNGU na mwanadamu aliyeokolewa na YESU KRISTO, ndivyo ilovyo.
Sifa kwa Yesu , kufaulu ni lazima hata kwenye mtihani mgumu
Amen asante sana
Baba alima yoooo wewe nibaba kweli pokeya mauwa kutoka Congo 💐🌷❤❤❤🇨🇩🇨🇩
Nakupenda Sana mama tangu nipo mdogo nakusikia nyimbo zako mpaka Leo nimekua bado umetunza kazi yako na pia hazeeki mama miaka yote yupo vilevile hongera Sana Mungu azidi kukulinda
Asante ubarikiwe binti yangu
Kabisa Mungu anawapaka mafuta watumishi wake
Mungu akubariki sana dada Jennifer 🙌🏽🙌🏽❤️❤️
Kufaulu ni lazima 🙌🏽🙌🏽
Kwa msaada wa Mungu lazima nifaulu 🙏🙏
Amen asante sana
Mama niko Bujumbura umenibariki kweli Mungu wangu akubariki sana
Lazima nitafaulu mtihani Kwa Jina la Yesu 🎉🎉🎉🎉🎉
Amen ubarikiwe asante
Jaman Jennifer hata ukivaa kishule SHULE unapendeza❤
Hahaaa asante sn
Aisee kiukweli wimbo umenigusa....!!!❤❤❤
Hiyo inform kweli iko sawa kabisa msichana wa yesu
😂😂😂asante
Nakpenda mama 🙏 , nimebarikiwa sanaa na nyimbo zako💃🏻🙏
Benson mgaya
Uwe na hofu ya Mungu,,kumsema Mtumishi kwamba hakuvutii ni kumkoses Mungu alimpa Huduma huyu Mtumishi.
Hao unaowakubali nao wamepewa,,je wewe umepewa nini ? Palili taranta yako uliyopewa. Onyesha kazi yako
Asante Mtumishi ❤🙏
Nipo shuleni lazima nifaulu Amen 🙏🙏🙏❤
Amen Dada Mungu akubariki Sanaa Kwa nyimbo nzuri Sanaa💥💥💥🔥🔥🙏🙏🙏
Amen ubarikiwe sana
Amen barikiwa lazima tufaulu Wana wa Mungu
Wimbo umenibariki mama i love you ❤❤
Ahsantee sana kwa ujumbe mzuri Mtumishi wa Mungu
Amen asante sana
You're gifted Mgendi, let God bless you more and more as you bless others
Amen asante sana
Powerful song.
Kufaulu lazima ❤❤❤❤.
Barakiwa
Thank you so much
Huu wimbo umenibariki sana mate. Umempasha mama Nelly, Isaiah 43, when go through waters, He is with us. Lazima tufaulu Amen. Bora umeiacha hiyo noti yake, huenda ni chuma ulete😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kabisaaaaa
Hahaaaa asante sana mate. Hiyo noti ya masimango bora kuiacha😂😂
😂😂😂😂 chuma ulete
🇨🇩😭Wewe Aubadirike maman umevaa vizuri apana waimbaji wengine kama wakina roso muhado christine shushu wame vaa vimimi. MUNGU akubariki maman Jennifer .🇨🇩🇨🇩
I love you mom❤
Your songs are so nice
❤❤❤ Amen Razima Nifahuru Nipo Shureni Ubarikiwe Sana
Ameeeen acha nimalizie mtuhani ili nifaulu🥰🥰🥰🥰🥰🥰 Barikiwa sana dada❤❤❤❤❤
Great job again Mama Jennifer!
May God bless you and your family🎉🎉🎉🎉!
Amen 🙏ni lazima tuta faulu ❤❤🎉👏🏼
Duuh tulikumic sana dada Jen ogera kazi nzuri
Asante mama jennife kwa nyimbo zako nzuri nakupenda sana tangu nilipokuwa mdogo mpka leo,niko butembo RDC.
Amen, what a nice song!may Almighty God bless you, sister. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hio sare ya shule kakupendeza saana. Mungu akubariki mama
Asante mpendwa
Naomba kibali siku moja niimbe na wewe mama naomba unibebe kwa hilo nipo mkoa wa geita naitwa joel alphonce naipenda sana huduma ya uimbaji
Mungu akubariki mama yangu nimekuelewa ni kweli tupo shuleni
Kufaulu lazima.barikiwa .shule bila mtihani sio shule.darasa lako ni size yako.❤
Amen ubarikiwe sana
UTUKUFU KWA BWANA YESU 🙌🙌🙌 Ujumbe mzuri sana
Nakukubar sana @jenifer mgendi tokea nikiwa mdogo ❤
Nashukuru sana ubarikiwe
Ubarikiwe saaana my lovely jennifer❤❤❤❤
Amen asante sana
Waoooo what a powerful song and video I really blessed m God continue to lift you. Keep on shining mom😍
Wimbo mzuri na umesheheni ujumbe mzito. Asante mtumishi. Ubarikiwe
Asante ubarikiwe sana
Umetisha mama😂🎉🙏🙏 hongera kwa ubunifu
Asante mwanangu
Kiukweli wimbo mzuri na umejitosheleza kabisaaaaa hongera Dada Jenifer na nyimbo zako zinanibariki hadi leo bado ninao wimbo wako wa Mwanadam ludi nyumbani nahisi uliimba ktk Albam yako ya kwanza au ya pili KINGINE DADA Ukweli nafurahi sana jinsi ulivyojitunza na ukatulia na Yesu
Huyu dada hajawahi chuja. Kama unamkubali dondosha makopa kwake❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ubarikiwe sana Jennifer wa nyimbo ya kutia moyo❤❤
Amen. Lazima na mie nifaulu
Ubarikiw San mama yangu🙏
Kabisa katika.jina la Yesu
Umependeza sana umekuwa kijana Mungu akutunze
Barikiwa sana dadaangu
Hata nipitie mtihani mkubwa kiasi gani lkn ni lazima nifaulu na Imani nitafauli magonjwa si sehemu ya maisha yangu in Jesus name🙏
Amen Mungu akupe kushinda
Kwakweli ujumbe mzuri sana chukua maua yako mama!
Amen kushinda nilazima Kwa jina la yesu christo be blessed mamy Mungu atuinue zaid 🙏🙏🙏🙏
Amen kabisa asante sana
Lazima kufaulu pamoja na Bwana,Barikiwa mtumishi wa Mungu❤
Amen asante sana
Nimefurahi mama umeimba wimbo uliokuwa moyoni mwangu kama roho mtakatifu alivyonipa nikweli mama nafurahi kupata uthibitisho mama nimeufurahia saana
Amen asante sana Mungu akubariki
🙏🙏
UTUKUFU TUMRUDISHIE MUNGU 🙏🙏💕💕 hakika wokovu sio lelemama , Ee YESU - BW tusaidie kufahulu mitiani yoooooote , amen dadangu ❤❤❤ ..... 1SML 2- 9 BW-YESU awe daima ktk huduma hiyo wema wake nazo fadhili zifuatane ........amnaaaa
AMINA sana Mungu akubaliki kwa darasa hili
Amen mtumishi keep it up 🇰🇪
Amen barikiwa sana Mtumishi wa mungu lazima nifafulu katika jina la yesu 🙏🙏🙏🙏🎉🎉🎉
Amen asante sana
Ubarikiwe sana mama lazima nifaulu naukri huu uwe halisi kwangu,,,,,,Amen
Amen asante sana
Nyimbo nzuri sana.
Utukufu kwa Mungu
Amen asante sana
Thi's very powerful song with alot of messages...even our sister Jennifer dressed like a school girl 🙏 🙏 love from 🇰🇪
😁 Congratulations mom on your new work umekuja na ladha mpya utukufu kwa Mungu Mungu akutunze ❤❤
AMINA SANA mama yetu, napenda nyimbo zako tangu nipo mdogo, kwasababu zina ujumbe unaonifundisha kutembea katika njia ya MUNGU bila kukata Tamaa.
Indeed, may God bless you greatly and increase your offspring and give you a long and happy life And peace
Ubarikiwe Jenifer,Huu Wimbo ni Ufunuo na Ujumbe wa Roho mtakatifu.Mungu azidi kukupa kufaulu na azidi kukutumia
Mwanafunzi malkia wa gospel, uniform imekubali ❤. Wimbo tamu sana madam ❤❤❤
Lazima nifaulu mtihani wangu kesho kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth Mungu mkuu aliye hai
Aiseee kazima tufaulu kwa jina la Yesu, Burundi tunaku❤❤❤🎉🎉🎉
Amen kweli kabisa
@@JenniferMgendichannel ubarikiwe sana ,wakati wa ujana wangu nilijifunza kupitia joto la roho.Mungu Katie nguvu
😢😢😢😢😢😢😢
Umenitia moyo dadaangu ubarikiwe sana
Asante mdogo wangu inuliwa
Nipo shuleni razima nifaulu, natamani siku moja niimbe na wewe mama
Mama naona uniform zimekupendeza ,,,hahaha ,,ila nimebarikiwa sana na huu wimbo
Nabarikiwa saana Na huduma yako my mom ❤️🙏 Mungu akubariki saana na akufikishe mbali zaid ❤❤
Wonderful, sister Jennifer God bless you handsomely and more grace to you and live long
Tupo Shule kufaulu ni muhimu
Ubarikiwe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ unawafungua wengine
Amen asante sana
🇨🇩😭Wewe Aubadirike maman umevaa vizuri apana waimbaji wengine kama wakina roso muhado christine shushu wame vaa vimimi. MUNGU akubariki maman Jennifer .🇨🇩🇨🇩
Ubarikiwe Sana Jenifer Mgendi. Ooh you made my day hakika. Hakika Yuko shuleni
Ulimjibu vizuri sana.safi bona 👌
Asante sana
Olewa dada yangu mjane mdada MREMBO....olewa na mtu mzima mwenye watoto wake wakubwa uumalizie ujana my dada.... MREMBO
😂😂😂😂ncheke mie
@@JenniferMgendichannel😂😂😂😂😂
love you so much,kweli tupo shulen,lazima nifaulu@@JenniferMgendichannel
❤❤❤❤
Ubarikiwe momy
Hii nyimbo imenibariki😢❤❤umenitia moyo...God bless you
Nazipenda nyimbo zako
Lazima shuleni ndio ujue,lakini mitiani Yako yote ni mungu anajibu thanks amen
Lazima nitafaulu mtiahan wa changamoto zang kwa jina la yesu
Barikiwa dadaangu kipenzi Jenifer
Amen asante sana
Ubarikiwe mama nabarikiwa Sana
❤❤❤🙏
Safi Sana mama.Duuh kweli kipaji Cha ubunifu kwako ni kikubwa sana.Mama Nene wapo wengi wenye maswali hayo.Asante kwa kurtusaidia kuwajibu.Lazima tufaulu.Unajua kubuni Mikasa, kweli sijaona muimbaji mwenye damu ya kubuni, utunzi na uigizaji kama wewe, Mungu akubariki sana.Wema ni akiba, Hifadgi mema, saivi nipo shuleni, Nimebarikiwa zaidi na hizi nyimbo3.Asante sana mama, ubunifu ulio nao najifunza namimi.
Ubarikiwe saana mtumishi waMungu
Amen asante sana
Mungu akubariki Aunt yangu umenifanya niinuke na kwendela mbele
Mungu akubaliki sasa mtumishi umenitia moyo sana
Balikiwa mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nagupenda Sana na mimi nipo shuleni kirasiku mungu unisaidiye
Asante kipenzi chetu kwa ujumbe mzur pokea maua yako❤️❤️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Asante binti yangu
Nipo shuleni naamini ipo siku nitafaulu Amen 🙏🙏🙏❤️
Amen Mungu akupe kufaulu
mimi nagupenda dada Jenifer ❤🎉
@@JenniferMgendichannel BIG Amen Amen 🙏🙏 mamangu
@@silviak1776 mimi naka audio y music
Waa❤❤❤wimbo huu ni mzuri sana ubarikiriwe sana dadangu
Wimbo mzuri wajina🎉
Beautiful as always, Mungu anatunza watu wake daima💪
Huyo mama hazeeki mimi niko mdogo na muona yupo hivi hivi hivi sasa nimeota mvii...hadi kwenye ndevu...😂😂😂
😅😅😅
Ameeen kubwa eeh Mungu tuondolee vishawishi tusimame hata mwisho wa dahari asnte sana kwa ujumbe huu
Kweli nipo shuleni Mungu anisaidie nifaulu mtihani wangu.barikiwa mtumishi jenifa.mgendi.ujumbe umetufikia.asante
Ubarikwe sana mtumishi wa Mungu
Amen nawe pia
Hongera sana mama ujumbe mzuri sana❤
Blessings, blessings to wewe Mwanafunzi mzuri!
Soma Mpaka Shetani azimie!
Na dance nikiwa Qatar❤❤❤❤
Waoo asante sana
Ubarikiwe sana wakatimwingine tunapitishwa ili tupate Cha kuzunguza na watu Mungu alio tupo
Yehovah munguwakweli na akuwezeshe bintiyangu mema yasiyona kipimo, yakohukombele kwawatakao faulu ❤
Isaya 65:17,24 na Ufunuo 21:3,8 ,inafariji na ina tiamoyo sana,ina watinguvu wanyonge, wa Mungu. Tujikazetu natusisahau kuomba zilengvu zakushind zambi namielekeoyote yazambi, nakwanguvu za Yehovah mungu wa kweli tutashinda tu. ❤
Kushindwa ni mwiko".
Hongela Mama yangu mzurii ❤️❤️
Amina lazim nifaulu mwaka huu Asante San dd kwa wimbo umenibarik san