Siku moja nitafika kwa kuwa yupo aliyeianzisha safari yangu ,wimbo huu unanitia nguvu ya kusonga mbele japo yapo mengi ya kunitoa machozi lakini nitafika,be blessed minister of God
Amen hap nilipo ni kwa neema zako to 22/02/2021😭😭🙏najipa moyo wee uko nami wew uko nami😭🙏eeh Yesu ondoa Coron kweny sayari hii dunia na tupone kwa jina lako Yesu
Najipa moyo najua siku moja nitafika tu...Nilipotoka Ni mbali sana..Kwa mkono wako tu nimefika..Upendo nkone ablessing 2019 still listening to the song..
Amen this is like my background life thank you sister for encouraging songs. Amen I will be encouraged I know one day I will be done. I still girl Lord I know one day I will be happy. najipa moyo mimi na juwa nitafika tu.
Hakika huu wimbo ninapousikia2 huwa nalia sana kwa sababu ya maisha niliopitia kifupi alitunga kwa ajili yangu hongela mama Mungu akuongezee miaka ya kuishi
upendo natamani sana urudi huku nyuma uzitazame kazi zako ni amazing hakika mbele za Mungu huwa zinaniongezea hatua moja zaid kila ninaposkiza,tunza hiki Mungu amekupa,nakupenda ,nampenda Mungu wetu atupae kumwabudu kila siku kila saa maana yuu mwaminifu pekee yake kupitia Yesu Kristo oooh!Glory to the Almighty God!!!!.Damu yake ikifiche mbali na adui hiki kilicho ndani yako
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana 2012/2017 ila nilijipa MOYO KWELI NIMEFIKA SAFARI YNGU KWA KUWA YESU ALINIONGOZA JAMANI MUNGU YUPO NI KUVUMILIA NA KUJINYENYEKEZA JULY 2019
This song will never get out of my favorite songs 🙏
Sure😊
Asante upendo nkone , kwa nyimbo nzuri , hapa nilipo ni kwa neema na ninazidi kumtumaini yesu aliyekiongozi wa safari yangu
Yesu nipe bidii nitie nguvu kuutafuta USO walp
Siku moja nitafika kwa kuwa yupo aliyeianzisha safari yangu ,wimbo huu unanitia nguvu ya kusonga mbele japo yapo mengi ya kunitoa machozi lakini nitafika,be blessed minister of God
Amen 🙏
Nani 2019 bado anabarikiwa na wimbo huu🙏🙏🙏
Mm hp
nikiuckiliza huu wimbo unanipa nguvu tena..najua nitafka tu kwa uwezo wa Yesu
Najipa moyo siku moja nitafika.... Kwa Kuwa Yesu ni kiongozi wa maisha yangu
Thank you Wasafi TV, I was watching Sunday Worship and she performed this song live, I was so blessed, I had to search for it..
nashukuru mungu nimepitia mitihani ata hili napitia sahi nalo litapita tu
Mungu nipe roho ya ufanisi maishani mwangu baba yangu 🙌
Kwa hakika ni kwa neema yako nimepata kuiona 2020. Nashukuru na nijipe moyo kuwa utazidi kuniongoza
Ohhh,in 2020 who else is listening to this song,yaani by God's grace tuko hapa leo
2019 bado nabarikiwa na ujumbe huu kupitia upendo ukone ..Mungu akutunze mtumishi wa Mungu
yabga
Hakika hapa niliko ni kwa neema ya Mungu tu.nakushukuru YESU 🙏👏
Yesu akiwa kiongozi nitafika
Kwa kuwa Yesu ni kiongozi wa safari yangu mimi najipa moyo ipo siku nitafika tu
Jaman mamangu Upendo huu wimbo Ni maisha yangu kabsa na hakika najipa moyo cku moja nitafika
Ninaamini safar yangu nitafika tuu Mungu wangu zidi kuniongoza
Mungu akubaliki DADA nkone
Mungu azidi kukuinua upendo ili uzidi kuwa furaha kwa Mungu wetu.
God bless you always dada upendo. Tunakupenda sana sana. Unatubariki mno.
Tuna mpenda sana sana sana zaidi ya sana
A nice one,,nabarikiwa sana na huu wimbo.
Hongera sana Upendo kwa kazizako.
Corona virus itapita Mungu mkubwa praise Lord every body April 2020
"Ni kwa neema yako tuu nimefika" ni kweli dada nabarikiwa sana kwa huu wimbo.
I listen to this song again and again until have mastered the words. Truly it has been God....its is God and Forever I will be grateful to him
Ooohh huu wimbo unagusa maisha yangu sana
Amen hap nilipo ni kwa neema zako to 22/02/2021😭😭🙏najipa moyo wee uko nami wew uko nami😭🙏eeh Yesu ondoa Coron kweny sayari hii dunia na tupone kwa jina lako Yesu
Najipa moyo najua siku moja nitafika tu...Nilipotoka Ni mbali sana..Kwa mkono wako tu nimefika..Upendo nkone ablessing 2019 still listening to the song..
Ninajuwa safari yangu nitafika tuu najipa moyo siku moja nitafika amen kwa imani kubwa yesu
thank you God for speaking through sister Upendo
Ubalikiwe Dada upendo 🙏
daima ni nyimbo pendwa sna kwangu napokuwa namawazo inanitia nguvu sna mungu akubariki sna
wewe ni kama mama yangu nakuheshimu sana...na nyimbo zako uniguza kabisa...mungu hazidii kukuinua na kukupa nguvu
Amina..Nashukuru Mungu maana ni kwa neema yake tu.
sijawahi uchoka huu wimbo ubarikiwe sana my sister natamani niusikilize kila wakati
My sister u bless me so mch with u r songs especially this one. Mungu aendelee kukuongoza nyakati zote.
2020 bado najipa moyo eeh mungu tusaidie kwenye safari hii.
Ahsante sana Upendo Nkone kwa huu wimbo!
apanilipo in neema yako tu
Utukufu wote ukurudie Mungu wetu,ubarikiwe Upendo
Umenitia moyo dada Mimi mjane ,nimejipa moyo siku moja nitafika. Asante
Rose Kageha Pole dada
Rose Kageha utafika
Pole.dear
najipa moyo Siku Moja nitafika t ktk sfr yng kwa kuwa YESU n kiongoz wa sfr yng
najipa moyo siku moja nitafika...kwakuwa Yesu ndiwe kiongozi wangu..Amen
Huu wimbo wa hapanilipo nikwaneema yako tu ...mimi huparikiwa sana kwa huu wimbo.. nashukuru bwana.. Amen
Apa nilipo ni kwa neema tu bwana,,,kwa mkono wakona uwezo wako,,,, nakushukuru jehovah
Pamoja na mambo mengi niliyopitia mm najipa moyo.nabarikiwa sana mungu azida kukupigania mpendwa.
nashukuru YESU Nashukuru bwn barikiwa sn dd upendo
Apanilipo ni kwa neema Yako tu! Ubarikiwe.
Najipa moyo siku moja nitafika,asante dada Upendo,barikiwa.
Daaaah huu wimbo cyo mchezo yaani nashidwa hata kuelezea
Mungu akubariki sana momo napenda sana kusikiliza Nyimbo ako huwa na barikiwa sana nakupenda
asante mungu nashukulu kwa wema wako
Najua siku moja nitafika in Jesus's name 🙏
Amen this is like my background life thank you sister for encouraging songs. Amen I will be encouraged I know one day I will be done. I still girl Lord I know one day I will be happy. najipa moyo mimi na juwa nitafika tu.
Good mama
Hakika huu wimbo ninapousikia2 huwa nalia sana kwa sababu ya maisha niliopitia kifupi alitunga kwa ajili yangu hongela mama Mungu akuongezee miaka ya kuishi
Nimebarikiwa nawimbo Mungu akubariki maman najikuta nalia
upendo natamani sana urudi huku nyuma uzitazame kazi zako ni amazing hakika mbele za Mungu huwa zinaniongezea hatua moja zaid kila ninaposkiza,tunza hiki Mungu amekupa,nakupenda ,nampenda Mungu wetu atupae kumwabudu kila siku kila saa maana yuu mwaminifu pekee yake kupitia Yesu Kristo oooh!Glory to the Almighty God!!!!.Damu yake ikifiche mbali na adui hiki kilicho ndani yako
Who is watching with me this blessed song👏👏👏👏
Asante Yesu nabarikiws sana na huu wimbo huu
I love this song so much, I still here 2019.Its a blessing
Napenda sana nyimba za upendo ikone
Nampenda huyu mama
Albums za uyu dada nyimbo zote na pray akuna ninao uacha ubarikiwe dada
Dear Holy Spirit Thank You For His Deeper Song ....Bless Your Servant
Elie Maranatha 000
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana 2012/2017 ila nilijipa MOYO KWELI NIMEFIKA SAFARI YNGU KWA KUWA YESU ALINIONGOZA JAMANI MUNGU YUPO NI KUVUMILIA NA KUJINYENYEKEZA JULY 2019
I always shed tears whenever I listen to this Song, mungu akubariki Upendoh Nkone
Naupenda sana huu wimbo ninapo kuwa namajaribu huwa unani fariji
Amen Eeeeeeh uuuuuuuuhhh.... Hapa nilipo, Ni kwa neema yako tu
Mungu sikia vilio vya wanao🙏🙏
Mungu azidi kukutunza mama yetu Upendo Nkone,huduma yako ni njema
HALLELUJAH this song is the best i love this song 💖 THANKYOU GOD
Hakika ipo siku mungu atatupa yote tutakayo kama tunamtumainia yeye
Nabarikiwa Sana jamn Mungu ni mwema
I ist watched this song 2013 but today 2020 it's still blessed my heart good job upendo nkone more love from kenya
Mwimb huu huwa unanipa faraja sana moyon mwangu dada nakupenda sana
I love the song, God bless you Upendo Nkone
namkubali sana mama upendo,mungu akubariki kwa Huduma yako
unjkumbushe
my favorite song,we love it,big up Nkone
its by the gace and mearcy of God to be what i am. i give the rest to him because i know he will provide for me
bb hi i
Nimekuja baada ya kuona Sana Crip ya wimbo huu ukiimba live kweli wewe umebarikiwa sauti
Wimbo usioisha ladha miaka yote❣️❣️❣️ubarikiwee mama
My all time best worship song... Am blessed and lifted... Barikiwa Nkone...
Amen dada yangu! Imani yetu ndiyo ushindi tutafika tu!
Amina najipa moyo siku moja nitafika
Huyu mama upendo nkone yupo kwel 2021? Nabarikiwa sana na nyimbo zake
Jesus give us strength and guide our steps towards your covenant. My God bless you for this nice composition.
2020 umetupigania na janga hili la corona, sasa ni 2021 eh Mungu tusingekuwa hapa bila ulinzi wako!
very inspirational song and it encourages aloot as the Lord is The destination of our lives
in deed everything in our life is by grace and mercy of Almighty God
safari yangu najua nitafika, najipa.. nabarikiwa sana nikiwa hapa Kenya....2019
mungu ni mwema waiimbaji mnatubariki sanaaa tu
mungu akubarik Dada wimbo huu unanipa AMAN na nguvu ktk maisha yangu ninaposikilza
Lord has been with us in our race....never will He forsake us
Feb 6 2021 is a blessing
Nyimbo zako nzuri sana dada upendo ubarikiwe xana nakupenda mno
Nan bado anabarikiwa na huu wimbo mpka leo 2018??
me
Diana Damian mim
Nàjipa moyo Leo 17/1/2019
Mpaka sasa 2019 bado nabarikiwa kutokana na changamoto nilizopitia lkn mungu hakuniacha akaninyanyu akanikumbatia akanibariki pia, mungu wetu ni mwema
Anderson Chongoma 15/05/2019
Najipa Moyo yakama kuna siku nita fika,nitafanikiwa,nitashinda yote.....
Wimbo huu wani machozi kila ninapo usikiliza.
Amen pamoja na usijana nilio nao sitaongopa na jipa moyo najuwa nitafika tuu
thanks sister upendo for encouraging song Amen!//
Najipa moyo nitafika ................. i love, i love i love!
It will never get out of my favorite songs
mungu wangu nibarki safari bado ndefu najipa moyo
mungu akutie nguvu mtumish
Amina dada you're a blessing to me you make my spirit move watching from Zambia
The best gospel singer I do appreciate your work and support too
Yes dad Jesu.. is only u papaaaa
N ashukuru BABA kwa kunifikisha nilipo sasa...be blessed DDa
Najipa moyo siku moja nitafika..
One of my favorite songs..
My favourite i always listen to every morning wen i wake up ..Really blessing me