SULEIMAN,mfalme aliekuwa na wake 700 na michepuko 300,mwisho wake unasikitisha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 มี.ค. 2020
  • Copyright:Simulizi za Biblia Kenya.

ความคิดเห็น • 47

  • @obadiahmgina9112
    @obadiahmgina9112 4 ปีที่แล้ว +10

    Na ndo wa kwanza kucomment bro✌✌

  • @johnmunajohnmuna5341
    @johnmunajohnmuna5341 4 ปีที่แล้ว +1

    Nzuriii sana

  • @togetheranythingdf2212
    @togetheranythingdf2212 ปีที่แล้ว

    nice

  • @jryoungsolderp4397
    @jryoungsolderp4397 4 ปีที่แล้ว +1

    Iko sawa iiiii

  • @alphachale6461
    @alphachale6461 4 ปีที่แล้ว +3

    Wa pili kucomment😃😃

    • @husnaomary2576
      @husnaomary2576 4 ปีที่แล้ว

      Mmmmmh jaman ukweli anajuwa mungu peke yake

  • @walterykomba2407
    @walterykomba2407 4 ปีที่แล้ว

    Unaweza brooo

  • @gloryjohn5861
    @gloryjohn5861 4 ปีที่แล้ว +2

    Wa tano

  • @linuslaurentlinus8874
    @linuslaurentlinus8874 3 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @abelbest4984
    @abelbest4984 4 ปีที่แล้ว +3

    Mbona mnakop na kupest kutoka simulizi za biblia?

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Tumetoa credit hapo chini.

  • @wilsonytz6730
    @wilsonytz6730 ปีที่แล้ว

    Harafu kuna mtu anakwambia et michepuko zambi😂😂😂

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 ปีที่แล้ว

    ACHENI KUWASINGIZIA UOVU MANABII WA ALLAH
    SULEYMAN HAKUTENDA MADHAMBI HAYO!!
    HIZO NI HADITH ZA KIYAHUDI KUWATIA MADOA MANABII WATIIFU!!

  • @mpendwacravery126
    @mpendwacravery126 3 ปีที่แล้ว

    Unacho paswa kufanya ni kuondoa neno ili apo ...michepuko...ambalo umaanisha ma Hawara...simulizi yako haiwezi kumvutia mcha Mungu Sababu apa ni kama kumkashifu mtu ambaye kwa kweli akiheshimiwa sana na Mungu ktk siku zake...Suremani hakuwahi kuwa na hao mahawara au michepuko....yeye aliowaoa ni ma binti wafalme p na mabinti za watu wake wakiwemo masuria 300...Neno suria lilimaanisha....Binti aliyezaliwa na mtumwa wako...Halimaanishi mchepuko....kufasili hivyo maandiko ni kumkosesha mwana au binti wa Mungu! Na pia ni kuondoa Radha ktk simulizi yako.

  • @williamkilasi5485
    @williamkilasi5485 4 ปีที่แล้ว +2

    Wa tatu mm

    • @adelinibrahim9283
      @adelinibrahim9283 4 ปีที่แล้ว

      Unaposema michepuko 200 unamaana alikua mzinifu?mambo mengine tunapata majanga ya kidunia kwa sababu yenu nyinyi .uliza wataalamu wa maandishi ya Mungu usiropoke ovyo ovyo brother,ninacho kuambia mtetezi wa kashfa kwa mitume watukufu wa MWENYEZIMUNGU no MWENYEZIMUNGU MWENYEWE shauli lako

  • @ahmadothuman190
    @ahmadothuman190 4 ปีที่แล้ว

    Michepuko na minabi wapi na wapi?

  • @mariarose7447
    @mariarose7447 4 ปีที่แล้ว

    Kiufupi hatupendi kusoma ndio maana hatujui mengi basi hata pale tunaposomewa pia tujifunze kusikiliza.!

    • @mpendwacravery126
      @mpendwacravery126 3 ปีที่แล้ว

      Shida ...wengi wa hao wanaojidai kutusomea...ni waganga njaa tu...yaani wataongoza neno lolote... Alimradi wawafurahishe wasikiaji...na ata kama Biblia haifundishi ivyo.

  • @riffayahmad2021
    @riffayahmad2021 4 ปีที่แล้ว +2

    MNAPOTOSHA WATU KWA SIMULIZI ZA UWONGO....

    • @dracopappi311
      @dracopappi311 4 ปีที่แล้ว

      riffay ahmad 😅😂😂😅💉💉🙌🏽🙌🏽

    • @mpendwacravery126
      @mpendwacravery126 3 ปีที่แล้ว

      Liganga njaa ilo...linakurupuka kwenye dhambi za kila namna...linakuja kuyapindisha maandiko apa....kinabii kipofu..liongo kibaya kabisa.

    • @geraldtarimo3210
      @geraldtarimo3210 ปีที่แล้ว

      Huundio ukweli,anapotosha wp?

  • @jordanerneo4873
    @jordanerneo4873 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaaamaaaaaaaa acha uongo kumbe unadanganya xan k ww

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante kwa maoni yako,ingekuwa vizuri utueleze ukweli ili tunufaike wote.

    • @dracopappi311
      @dracopappi311 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😅💉🙌🏽mamaeeh

  • @mnyilungakawala7674
    @mnyilungakawala7674 4 ปีที่แล้ว

    Ivi wewe ndo yule wa YIB

  • @seifsaid4734
    @seifsaid4734 3 ปีที่แล้ว

    Weye jamaa tafuta watu ambao hawajasoma ndo watakuamini

  • @jefenggg3442
    @jefenggg3442 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe usharati ulianza toka zamani🙄kama hao wanawake 700 alikuwa anawalaa aje?😅😅

  • @miirajmohamed6352
    @miirajmohamed6352 4 ปีที่แล้ว +2

    Hivi nyie waklisto mna nn kwa nn mnapotosha maandiko...Hv mtume wa M/Mungu anaweza kuwa na mchepuko ama kuzini.

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +3

      Mtume ni mwanadamu kama wewe.

    • @mdude7227
      @mdude7227 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwel kama ww lakin hawez zini na ata kutaman kufanya hivo
      Stop

    • @miirajmohamed6352
      @miirajmohamed6352 4 ปีที่แล้ว

      @@BONGOFASTA Hapana mtume si kama mimi nina sababu nyingi za kukuambia hivi nitakupa walau mbili tu..kwanza mitume walikuwa wakipewa wahyi (ufunuo) kutoka kwa M/Mungu kupitia kwa malaika Jibriil kwa mujibu wa dini yetu ya kiislamu.Pili mitume walikuwa wakitenda miujiza kadha wa kadha niambie ww na mm yupi kati yetu walau mwenye hayo mambo mawili...Acheni kuwakashifu mitume mtapata laana hapa hapa duniani kabla ata ya siku ya mwisho.

    • @lynmelvin2395
      @lynmelvin2395 4 ปีที่แล้ว

      @@miirajmohamed6352 na masuliya ni mke?

    • @mdude7227
      @mdude7227 4 ปีที่แล้ว

      @assey ezio ujinga

  • @ferouzmdosse2343
    @ferouzmdosse2343 4 ปีที่แล้ว

    Huo ndio ukafir na habr za uongo za kutungwa na mwanaadam ukiamin hivyo makaz yako ni jahanam tuu

  • @hamisjangala6759
    @hamisjangala6759 4 ปีที่แล้ว

    Kwa uongonaongoza wakristo

    • @erickmislakuba237
      @erickmislakuba237 4 ปีที่แล้ว +3

      Ww endelea Na iman zako za kuswali Na majin, alieran hayo majin atakuran pia

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 2 ปีที่แล้ว

    Suleiman was black.