Israel Mbonyi - Malengo ya Mungu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • stream at
    bfan.link/male...
    Follow Israel Mbonyi at
    israelmbonyi.com
    / israelmbonyi
    / israelmbonyii
    / israembonyi
    / israelmbonyi
    Contacts :
    Information : Info@israelmbonyi.com
    Bookings : Booking@israelmbonyi.com
    Malengo
    ________
    Verse 1
    Atakaye kuwa na wema
    Ahitajie kuheshimiwa
    Basi aende ayatafute kwa
    kutenda mema bila kusita
    Asiyajali macho ya watu
    Maana yao sio muhimu
    Bali ajali jina nimuitalo
    Kwani mi ni Mungu aliyemuumba
    Chorus
    Ninayajua yangu malengo
    Ni mema sio mabaya
    Ili niwape matumaini ya siku zijazo
    Nawapenda
    Wambieni wenye huzuni
    Tulizeni wenye majelaha
    Wambieni waje waone
    Tuna Mungu mwingi wa upendo
    Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa
    Katuosha na kutusafisha
    Akatuahidi uzima wa milele
    Verse 2
    Simameni kwenye mnara,
    usubiri ntakacho kisema
    Zizuieni sauti za muovu
    Na upende kuwa mwenye haki
    Nenda omba tena uombe
    Tofautisha kuomba kwako,
    Maana hapo nitakuokoa
    Nitaoa jeshi kubwa kwa ajili yako

ความคิดเห็น • 5K

  • @Mbonyi
    @Mbonyi  9 หลายเดือนก่อน +4163

    Jeremiah 29:11
    For I know the plans I have for you,” declares the Lord, “plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future.
    Bless y’all 😮😊

    • @janemuthoni723
      @janemuthoni723 9 หลายเดือนก่อน +65

      Amen 🙏 be blessed our boy,can’t sleep until I listen to that song 🎧………waiting

    • @sibomanaemmanuel1831
      @sibomanaemmanuel1831 9 หลายเดือนก่อน +58

      I love 💟 you so much and I usually Pray for you day and night and I mean it be blessed 💕💕💐

    • @agnesssaoke3520
      @agnesssaoke3520 9 หลายเดือนก่อน +58

      A very handsome man serving His creator 👍may He not pass you by.

    • @nadhiriblesin
      @nadhiriblesin 9 หลายเดือนก่อน +15

      Amen be blessed.

    • @margaretnjoki-om3dv
      @margaretnjoki-om3dv 9 หลายเดือนก่อน +24

      Amen Amen... Eagerly waiting... I am a silent follower of your songs & they really bless me

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 9 หลายเดือนก่อน +4344

    How many Kenyans want Mr. Mbonyi to visit Kenya?🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @tomasmaria3066
      @tomasmaria3066 9 หลายเดือนก่อน +23

      Where he lives?

    • @sunlychosen
      @sunlychosen 9 หลายเดือนก่อน +14

      Rwanda

    • @tomasmaria3066
      @tomasmaria3066 9 หลายเดือนก่อน +28

      @@sunlychosen wauuuuu. Só Rwanda and Kenya they speak swaili then?

    • @redemptahasuka2560
      @redemptahasuka2560 9 หลายเดือนก่อน +41

      Israel Mbonyi wanted in Kenya.

    • @emmanuelthomas1078
      @emmanuelthomas1078 9 หลายเดือนก่อน +44

      Kutoka Mwanza Tz; Hakika Kwa upande wa Gospel Huyu ndo Mesi wetu; Jamaa anajua mpaka anakera 😁😁😁 🤚🤚

  • @naomichepkorir755
    @naomichepkorir755 9 หลายเดือนก่อน +1768

    Israel Mbonyi to the world❤❤ Your songs are phenomenal ❤❤wapi likes za wakenya....

    • @julietvivian2582
      @julietvivian2582 9 หลายเดือนก่อน +6

      True ❤

    • @agnessomolo9482
      @agnessomolo9482 9 หลายเดือนก่อน +7

      I agree-'Israel Mbonyi to the world'- in this season

    • @Irenefuraha13
      @Irenefuraha13 9 หลายเดือนก่อน +4

      Israel mbonyi encouraging me everyday God keep you for me sir🙏

    • @susanmagu7245
      @susanmagu7245 9 หลายเดือนก่อน +4

      Tupo

    • @karenngugi9831
      @karenngugi9831 9 หลายเดือนก่อน +2

      🙌🙌

  • @thomasomodi4298
    @thomasomodi4298 6 หลายเดือนก่อน +11

    I thought I loved Nina Siri....this song is on repeat mode on my playlist. The stage performance of this guy, his words....just wow. ' wambieni wenye huzuni, tulizeni wenye majeraha, wambieni waje waone tuna Mungu mwingi wa upendo'

  • @dennisbusolo
    @dennisbusolo 9 หลายเดือนก่อน +1067

    TRANSLATION:
    Atakaye kuwa na wema
    (He who desires to possesses kindness)
    Ahitajie kuheshimiwa
    (He who seeks to be respected)
    Basi aende ayatafute kwa
    (Let him go and pursue it)
    kutenda mema bila kusita
    (By doing good without hesitation)
    Asiyajali macho ya watu
    (Let him pay no mind to people's gazes)
    Maana yao sio muhimu
    (For their opinions are not important)
    Bali ajali jina nimuitalo
    (But cherish the name I call you)
    Kwani mi ni Mungu niliyemuumba
    (For I am the God who created you) (Repeat)
    Ninayajua yangu malengo
    (I know my plans)
    Ni mema sio mabaya
    (They are good, not evil)
    Ili niwape matumaini ya siku zijazo
    (To give hope for the days to come)
    Nawapenda
    (I love you)
    Wambieni wenye huzuni
    (Tell those in sorrow)
    Tulizeni wenye majeraha
    (Comfort those with wounds)
    Wambieni waje waone
    (Tell them to come and see)
    Tuna Mungu mwingi wa upendo
    (We have a God of love)
    Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa
    (He found us struggling in sin and lifted us)
    Katuosha na kutusafisha
    (He cleansed and purified us)
    Akatuahidi uzima wa milele
    (And promised us eternal life)
    Simameni kwenye mnara,
    (Stand on the tower,)
    usubiri ntakacho kisema
    (wait for what I will say)
    Zizuieni sauti za muovu
    (Block out the voice of the wicked)
    Na upende kuwa mwenye haki
    (And choose to be righteous)
    Nenda omba tena uombe
    (Go, pray again and again)
    Tofautisha kuomba kwako,
    (Distinguish in your prayer)
    Maana hapo nitakuokoa
    (For there I will save you)
    Nitaoa jeshi kubwa kwa ajili yako
    (I will give a mighty army for your sake)

    • @lizmshai4474
      @lizmshai4474 9 หลายเดือนก่อน +12

      Thanks for the translation 🙏

    • @katemathias2583
      @katemathias2583 9 หลายเดือนก่อน +5

      Amen Amen Amen Amen

    • @karenngugi9831
      @karenngugi9831 9 หลายเดือนก่อน +6

      Thanks for the translation, now I'm sorted.

    • @solomonmukotami1521
      @solomonmukotami1521 9 หลายเดือนก่อน +4

      Thank you, you're the best

    • @susanindiri-dw4rx
      @susanindiri-dw4rx 9 หลายเดือนก่อน +2

      Hallelujah 🙏

  • @karenngugi9831
    @karenngugi9831 9 หลายเดือนก่อน +568

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we got the message loud and clear brother. Let's show him love Kenyans.

  • @Faithinme90
    @Faithinme90 8 หลายเดือนก่อน +365

    If you know that your life will never remain the same after this ministration give a thumbs up 👍 or say Amen 🙏

    • @afrishbahati9834
      @afrishbahati9834 8 หลายเดือนก่อน +1

      🙏

    • @M.THREE-TZ
      @M.THREE-TZ 7 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/5oXf60BT96I/w-d-xo.htmlsi=ni99UDi7_mOLVJMZ

    • @peninahwanjiru8117
      @peninahwanjiru8117 6 หลายเดือนก่อน

      I know for sure my life will never be the same

    • @annebelchemutai4684
      @annebelchemutai4684 5 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @aliceirara3094
      @aliceirara3094 3 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen 🙏

  • @TeclahJohnny
    @TeclahJohnny หลายเดือนก่อน +74

    Who else came here after mbonyi visited Kenya 🇰🇪, we love you man of God be Blessed abundantly and welcome back 🇰🇪 🇰🇪

  • @RogersMattassa
    @RogersMattassa 9 หลายเดือนก่อน +201

    Pls we need more worshiping swahili songs from you. Blessings from Kenya 🇰🇪

    • @theresahbosire9419
      @theresahbosire9419 9 หลายเดือนก่อน +3

      I agree.

    • @janeatjaneat6599
      @janeatjaneat6599 9 หลายเดือนก่อน +3

      Yes👍👍👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @bloomcomp
      @bloomcomp 9 หลายเดือนก่อน +1

      i agree too

  • @alphoncelondo
    @alphoncelondo 9 หลายเดือนก่อน +196

    👏 How many Tanzanians want Mr Mbonyi to visit Tanzania ? Specific Dar es salaam 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @elisasmiles26
      @elisasmiles26 5 หลายเดือนก่อน

      Mbona mnatucopy kenyans😅 anyway tunawapenda

    • @carolinenyagawa7349
      @carolinenyagawa7349 5 หลายเดือนก่อน

      Ukuje Mtimishi

    • @sarayabu6780
      @sarayabu6780 5 หลายเดือนก่อน

      Yeeee❤

    • @Linee335
      @Linee335 4 หลายเดือนก่อน +1

      Dodoma

    • @janeobure3006
      @janeobure3006 4 หลายเดือนก่อน

      Tunataka ajeTANZANIA

  • @hassanyohna6121
    @hassanyohna6121 7 หลายเดือนก่อน +486

    Watanzania wangapi Mnaikubali huduma ya Mbonyi tunaomba like za kutosha.

  • @bethwelserem8743
    @bethwelserem8743 3 หลายเดือนก่อน +63

    THE SINGER, PRODUCER ,THE BACK UP SINGERS , THE PIANISTS, THE GUITARISTS ,THE DRUMIST, THE PHOTOGRAPHERS ,THE CROWD, THE SOUND ENGINEER The SYMPHONY GUYS,THE TRUMPET TEAM ......EVERYONE PLAYED THEIR ROLES PERFECTLY........Where on earth do u organize and get a perfect team like this!!!! GOD BLESS RWANDA ,GOD BLESS MBONYI much respect from KENYA

    • @frasval
      @frasval 3 หลายเดือนก่อน +3

      Inspired to love what they do because the message touches many souls

    • @TeresaKariuki-wz4bl
      @TeresaKariuki-wz4bl 2 หลายเดือนก่อน +1

      God

    • @ndubanamoonde2261
      @ndubanamoonde2261 2 หลายเดือนก่อน +1

      The backup singers my brother I can't emphasize

    • @arinaitweelizabeth5515
      @arinaitweelizabeth5515 2 หลายเดือนก่อน +1

      No subtitles😢 on this one,its my favourite. Though I don't know the meaning,please @mbonyi don't something

  • @mumbinjogu5105
    @mumbinjogu5105 9 หลายเดือนก่อน +137

    Kenya 🇰🇪Anxiously awaiting... more grace Israel.

  • @Emmanuel-zt3sc
    @Emmanuel-zt3sc 9 หลายเดือนก่อน +194

    🇰🇪 Kenyans in the house praising Almighty God❤❤❤

    • @eunicekamene816
      @eunicekamene816 9 หลายเดือนก่อน +1

      Our bro Israel has done it again ❤

    • @Emmanuel-zt3sc
      @Emmanuel-zt3sc 9 หลายเดือนก่อน +2

      @@eunicekamene816 exactly ♥️♥️♥️♥️

    • @tabithaoyugi5952
      @tabithaoyugi5952 9 หลายเดือนก่อน +2

      Feeling blessed ❤❤❤ kenya

    • @belindanyandiko-pb6nv
      @belindanyandiko-pb6nv 9 หลายเดือนก่อน +2

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤗

    • @njerililian61
      @njerililian61 9 หลายเดือนก่อน +3

      He has done it again this man Mbonyi. Glory to God with love from Kenya

  • @nancygodfrey7348
    @nancygodfrey7348 8 หลายเดือนก่อน +160

    Mr Mbonyi, Kenya loves you🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    You’re blessing to many

    • @jedidakimotho6421
      @jedidakimotho6421 8 หลายเดือนก่อน

      Amen dear he's my favorite one ❤❤❤❤

    • @dorcasnzuki2652
      @dorcasnzuki2652 8 หลายเดือนก่อน

      God bless you daudi was leo

    • @CollinsNatse
      @CollinsNatse 8 หลายเดือนก่อน

      Am a Kenyan ,i love this so much ....

  • @harrymakongwa1147
    @harrymakongwa1147 5 หลายเดือนก่อน +4

    Lyrics..
    Song by Israel Mbonyi-Malengo Ya Mungu
    1.Atakaye kuwa na wema
    Ahitajie kuheshimiwa
    Basi aende ayatafute kwa
    kutenda mema bila kusita
    Asiyajali macho ya watu
    Maana yao sio muhimu
    Bali ajali jina nimuitalo
    Kwani mi ni Mungu aliyemuumba
    Ninayajua yangu malengo
    Ni mema sio mabaya
    Ili niwape matumaini ya siku zijazo
    Nawapenda
    Wambieni wenye huzuni
    Tulizeni wenye majelaha
    Wambieni waje waone
    Tuna Mungu mwingi wa upendo
    Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa
    Katuosha na kutusafisha
    Akatuahidi uzima wa milele
    2.Simameni kwenye mnara,
    usubiri ntakacho kisema
    Zizuieni sauti za muovu
    Na upende kuwa mwenye haki
    Nenda omba tena uombe
    Tofautisha kuomba kwako,
    Maana hapo nitakuokoa
    Nitaoa jeshi kubwa kwa ajili yako
    Much love from Tanzania 🇹🇿 Land of Peace

  • @sibomanaemmanuel1831
    @sibomanaemmanuel1831 9 หลายเดือนก่อน +414

    People from Kenya 🇰🇪 Rwanda 🇷🇼 Burundi 🇧🇮 Uganda 🇺🇬 Tanzania 🇹🇿 Congo 🇨🇩 and the whole of East Africa 🌍 KINDLY Come and Celebrate God's servant our Heavenly gift 🎁 in this Generation. JEREMIAH 29:11❤️AMEN!!📖🕊️

  • @wanjirugracie222
    @wanjirugracie222 9 หลายเดือนก่อน +309

    We need a concert of Israel Mbonyi in Kenya🇰🇪

  • @junemuchiri609
    @junemuchiri609 9 หลายเดือนก่อน +72

    A proud Kenyan🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Mungu abariki Wakristo wote duniani wanapo ombea Malengo yao🙏🏾

    • @BLESSEDLADYP
      @BLESSEDLADYP 9 หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏

  • @richardseverine-w5g
    @richardseverine-w5g 6 หลายเดือนก่อน +43

    Wangapi walipokutana na nyimbo za huyu bro walizipenda zote nakuzirudia kila mara,😊❤

    • @sarahnjeri3077
      @sarahnjeri3077 6 หลายเดือนก่อน

      ✋ Hata nilikuwa najiuliza kama niko na kashida😁😁

    • @janeobure3006
      @janeobure3006 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi hapa.

    • @isayamsungu
      @isayamsungu 26 วันที่ผ่านมา +1

      Mimi nabarikiwa sana

    • @HappyFares-pb9vm
      @HappyFares-pb9vm 25 วันที่ผ่านมา +2

      😊me

  • @biggielanya
    @biggielanya 9 หลายเดือนก่อน +346

    You are inspiration to all walks of life. Am not a christian but I love you. Every time someone likes this comment I am coming to listen this song again. Shalom.

    • @dinahadhiambo9710
      @dinahadhiambo9710 9 หลายเดือนก่อน +3

      May our good God do you well

    • @ruthndunda7
      @ruthndunda7 9 หลายเดือนก่อน +2

      It's time to accept and believe that Jesus Christ died at the cross for your sins and be saved. It's simple .

    • @biggielanya
      @biggielanya 9 หลายเดือนก่อน +3

      @@dinahadhiambo9710 He will. Thank you and have a blessed time this holidays.

    • @biggielanya
      @biggielanya 9 หลายเดือนก่อน +4

      @@ruthndunda7 I am open to try.

    • @ruthndunda7
      @ruthndunda7 9 หลายเดือนก่อน +3

      @@biggielanya please do. God loves you so much. Jesus is waiting for you with outstretched arms to embrace you at His chest. He died for me and you. Just believe in him and you will be saved. If you need help on how please let us know. Servants of God here will help you

  • @jemimahkiai1588
    @jemimahkiai1588 9 หลายเดือนก่อน +203

    This is it Israel, thanks for listening to our requests and translating. We’re here to support you 👏🏽👏🏽🇰🇪🇰🇪
    Looking forward to Icyambu translation 😊

    • @daisypeters8579
      @daisypeters8579 9 หลายเดือนก่อน +4

      The funny thing is that I sing that fluently

    • @josephaleto8708
      @josephaleto8708 9 หลายเดือนก่อน +3

      I sing that like I am Ruandese.

    • @wanjirugracie222
      @wanjirugracie222 9 หลายเดือนก่อน

      Waiting for this too

    • @faithjelagat176
      @faithjelagat176 9 หลายเดือนก่อน +3

      I sing na sijui maana😂😂

    • @marionyano9746
      @marionyano9746 9 หลายเดือนก่อน

      saame😂@@faithjelagat176

  • @nicemtey4291
    @nicemtey4291 9 หลายเดือนก่อน +179

    Israel mbonyi to the world 🥹🥹🥹Wap likes za Tanzania ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 หลายเดือนก่อน +18

    Today I found out that this gospel singer is from Rwanda, Come on my fellow Tanzanians, let's show him some love for God's sake.✌

    • @tumuanzali
      @tumuanzali 3 หลายเดือนก่อน

      Mm nilijua ni wa Tz pia mungu amupee kipawa na zaidi ameey

  • @ntinyarimary9825
    @ntinyarimary9825 9 หลายเดือนก่อน +552

    I remember listening to "Nitaamini song" in great despair last month 🥲
    My brother was in remand, and my sister was awaiting a major surgery that was really troubling her,
    I remember telling God that i needed a miracle, and even nothing happens, Bado nitaamini😌
    Guess what people of God, one day to the surgery, my sister was declaired healed and as i type this, My brother is at home, and has given his life to Christ.❤️❤️❤️
    I feel so blessed right now,
    I cant help but fascinate at Malengo ya Mungu 🙏❤️❤️❤️❤️

    • @JennaSolo6835
      @JennaSolo6835 9 หลายเดือนก่อน +6

      May the lord's name be Glorified. He answers prayers if we pray in faith.

    • @sultanhamud8281
      @sultanhamud8281 9 หลายเดือนก่อน +4

      Faithful God

    • @carolinemunyao5049
      @carolinemunyao5049 9 หลายเดือนก่อน +4

      Hallelujah, he is God of promises

    • @ruzoviyomatirida4004
      @ruzoviyomatirida4004 9 หลายเดือนก่อน +4

      Mungu ni mwema

    • @marietamagoh4796
      @marietamagoh4796 9 หลายเดือนก่อน +4

      The song was indeed a timely message from God

  • @OnyangoIsaac-ru4mu
    @OnyangoIsaac-ru4mu 9 หลายเดือนก่อน +108

    Big love from Kenya to Israel 🇮🇱 Mbonyi

  • @perpetuall23
    @perpetuall23 9 หลายเดือนก่อน +405

    beloved people of God,our God is God of love,my niece had a mild meningitis and was admitted to hospital,let me tell you,i just sang tugumane song from bro mbonyi,and indeed we never spent a wk in that hospital ,we got discharged and no illnesses at all.Mungu wetu niwa upendo,ni mwingi wa rehema.we are healed through his blood❤indeed lets worship him with our whole Hearts..

  • @FaithNekesa-lw8gh
    @FaithNekesa-lw8gh 5 หลายเดือนก่อน +41

    Ninajua yangu malengo
    Ni mema asante mungu❤
    Likes za kakamega

  • @eddyfightmanzi2502
    @eddyfightmanzi2502 9 หลายเดือนก่อน +416

    Mbonyi he should Do a massive concert 🎶 in Kenya 🇰🇪 ❤ ahafite abakunzi beshi cyane mbibona Muri comments Rwose ❤️

    • @MissKiiru
      @MissKiiru 9 หลายเดือนก่อน +10

      True even in the comments section he's loved

    • @sibomanaemmanuel1831
      @sibomanaemmanuel1831 9 หลายเดือนก่อน +4

      Indeed that's true my friend

    • @sibomanaemmanuel1831
      @sibomanaemmanuel1831 9 หลายเดือนก่อน +4

      Indeed that's true my friend

    • @clemauwingeneye5898
      @clemauwingeneye5898 9 หลายเดือนก่อน +10

      Kweri kbs my dear baramukunda cyane Nairobi ahantu hose ukandagiye ni Mbonyi wenyine nindirimbo ze cyane cyane Ninasiri My god bless you Mbonyi uri Umugisha Muhungu wa Yesu kd uhesha Imana Ishema mumaso yImana nIgihugu cyacu CYURWANDA
      URI ISHEMA🤗🤗🤗🤗
      IMANA IKURINDE KD IKUGIRIRE NEZA

    • @dorinenyakionyakio8750
      @dorinenyakionyakio8750 9 หลายเดือนก่อน +2

      Aki

  • @christinemutsotso8189
    @christinemutsotso8189 6 หลายเดือนก่อน +60

    Nitatoa jeshi kubwa juu yako, Amen and Amen 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @gloriousnp
    @gloriousnp 9 หลายเดือนก่อน +112

    East Africans sasa tunaanza kuelewana , may the Heavenly Father bless your ministry kaka. T🇹🇿nzania tunakuombea uende mbali katika kuwarejesha watu kwa Yesu , tumalize kazi twende nyumbani 🙌🏾🙏🏿🙏🏿

    • @elvisangore-dl5yq
      @elvisangore-dl5yq 9 หลายเดือนก่อน +3

      This man is a man of God, seven times am listening your song ,,,God bless u unanibariki saana,,,

    • @lydiambwele7026
      @lydiambwele7026 9 หลายเดือนก่อน +2

      Lini atakuja Tanzania

    • @IrakozeVianney-zt4we
      @IrakozeVianney-zt4we 9 หลายเดือนก่อน +4

      Hata Mimi macho ameja machozi nilianza kumuskiliza yangu 2014 nakoana kwamba IPO siku east Africa itamuskia akiimba lugha zetu sasa hatimaye muda umefika tu na enjoy🥰🥰🥰

    • @getrudekauky3509
      @getrudekauky3509 8 หลายเดือนก่อน

      Ameeeeeeen my sister in Christ

    • @JohnThadayo
      @JohnThadayo 4 หลายเดือนก่อน

      Emeni

  • @peterrock1839
    @peterrock1839 3 หลายเดือนก่อน +1

    Evergreen, karibu kenya August 2024

  • @christahaule9244
    @christahaule9244 8 หลายเดือนก่อน +120

    Israel kweli wewe ni baraka, nyimbo zako zatuonyesha uwepo & kumtumikia Mungu. Asante from Tanzania 🇹🇿

    • @M.THREE-TZ
      @M.THREE-TZ 7 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/5oXf60BT96I/w-d-xo.htmlsi=ni99UDi7_mOLVJMZ

    • @lightnessgamasa6039
      @lightnessgamasa6039 7 หลายเดือนก่อน +1

      🙌 kabisa Mimi natamka huyu kijana Mungu amemtumia zaidi kwanyakati hizi ngumu ili wateule wajue walipo mungu yupo ,wasipotezwe nahali ngumu tunayopitia

  • @zara.smithwick
    @zara.smithwick 9 หลายเดือนก่อน +160

    Team Kenya Hoiyee🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Malengo ya Mungu wetu 2024 🎉❤🎉❤🎉

    • @theresahbosire9419
      @theresahbosire9419 9 หลายเดือนก่อน +2

      Team Kenya tupo .

    • @HATANGIMANAxxx
      @HATANGIMANAxxx 4 หลายเดือนก่อน

      Mwiriwe wowe numuryangowe mdabakunda

  • @nancysimon1058
    @nancysimon1058 9 หลายเดือนก่อน +289

    Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿...mko wapi?? Likes zenu hapa

    • @M.THREE-TZ
      @M.THREE-TZ 7 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/5oXf60BT96I/w-d-xo.htmlsi=ni99UDi7_mOLVJMZ

    • @markomgogosi6093
      @markomgogosi6093 6 หลายเดือนก่อน +1

      tupo pamoja

    • @M.THREE-TZ
      @M.THREE-TZ 6 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/5oXf60BT96I/w-d-xo.htmlsi=cVlcjEnSViP9_qG_

    • @reginashirima6460
      @reginashirima6460 6 หลายเดือนก่อน +2

      Wengi wanapenda huduma yako mbonyi ubarikiwe

    • @justinmwenda7449
      @justinmwenda7449 6 หลายเดือนก่อน +1

      🎉🎉🎉🎉

  • @Joyner-b6f
    @Joyner-b6f หลายเดือนก่อน +16

    The only issue with Israel mbonyis songs is that when you think you've heard the best the next becomes the very best.. I tap this anointing in Jesus name

    • @estherogembo5536
      @estherogembo5536 หลายเดือนก่อน

      I thought I was alone in this,can't have enough of his songs,I play them all day...

  • @ruthsarah8258
    @ruthsarah8258 9 หลายเดือนก่อน +136

    Mbonyi njoo Kenya we have accepted you as our son!!! this is amazing thank you for the ministry

    • @joet-14
      @joet-14 9 หลายเดือนก่อน +3

      We still need him as our very own too 🥲

    • @fredmuhoza9342
      @fredmuhoza9342 9 หลายเดือนก่อน

      U just assist him to organise a concert! Am sure he won't miss coming

    • @daisypeters8579
      @daisypeters8579 9 หลายเดือนก่อน

      We are ready to adopt him

    • @treasureforashes3497
      @treasureforashes3497 9 หลายเดือนก่อน

      He's coming next Saturday safari park

  • @fridahchoni8471
    @fridahchoni8471 8 หลายเดือนก่อน +57

    This is song is my painkiller...be blessed bro welcome Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️🙏

  • @AnneVugutsa-ov2uv
    @AnneVugutsa-ov2uv 9 หลายเดือนก่อน +74

    Team Kenya🇰🇪🇰🇪 we glorify the lord thank you mbonyi for your powerful songs

  • @puritygatwiri-v4x
    @puritygatwiri-v4x 6 หลายเดือนก่อน +172

    hio wimbo inanigusa mpaka kwa roho,wapi likes zake ....

    • @ThereciaMattaso
      @ThereciaMattaso 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu akutangulie ufike mbali

    • @PhilipoLivingstone
      @PhilipoLivingstone 2 หลายเดือนก่อน

      Nabarikiwa na nyimbo zako

    • @kuimurage5068
      @kuimurage5068 หลายเดือนก่อน

      me too. It's my best of all of his songs so far❤

    • @judychemjor8475
      @judychemjor8475 หลายเดือนก่อน

      I play it every day...

    • @CarolyneAsikuku
      @CarolyneAsikuku หลายเดือนก่อน

      Nko hapa🎉

  • @hdtvrwanda
    @hdtvrwanda 9 หลายเดือนก่อน +11

    We'll never stop loving you Mbonyi🙌🏿🥰if you really love Israel Mbonyi give me like🫡

  • @fiderismwendemwende5586
    @fiderismwendemwende5586 9 หลายเดือนก่อน +108

    Fellow Kenyans let's gather here, , let's show this man of God love🙏🙏

  • @helenoneya
    @helenoneya 9 หลายเดือนก่อน +61

    Hallelujah!You are a blessing to us here in Kenya.I can sing this very song in your language but I am happy to hear and know what it means🙌🇰🇪

  • @veronicahnemayia9333
    @veronicahnemayia9333 5 หลายเดือนก่อน +27

    Kenya 🇰🇪🇰🇪 you're gifted brother. May the Grace carry you through

  • @jonathanmunyoki5161
    @jonathanmunyoki5161 9 หลายเดือนก่อน +101

    Dear Rwanda people, kindly lend us Mbonyi and his team of worshipers for a worship vigil in Nairobi, Kenya 🇰🇪 on 31st December as we usher in the new year. We can shusha nyavu and combine him there coz we want this fresh oil to fall on Kenyan soil as well

    • @SharonRohp-vk8cb
      @SharonRohp-vk8cb 9 หลายเดือนก่อน +1

      Loader please 🔊🔊🔊🔊🔊🔊

    • @naomikariuki1841
      @naomikariuki1841 8 หลายเดือนก่อน +6

      My humble prayer is that he will never be persuaded to do a collabo with any Kenyan artists as they are stale.

    • @WillieGordon-g1s
      @WillieGordon-g1s 8 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@SharonRohp-vk8cby 2:08

    • @WillieGordon-g1s
      @WillieGordon-g1s 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@naomikariuki1841246😅😅😊😅😂😢😮😅😊😢🎉🎉😊

    • @M.THREE-TZ
      @M.THREE-TZ 7 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/5oXf60BT96I/w-d-xo.htmlsi=ni99UDi7_mOLVJMZ

  • @Ohhvio
    @Ohhvio 9 หลายเดือนก่อน +79

    Nyimbo zako zinaponya Sifa Na utukufu kwa Mungu
    Amen 🇹🇿

  • @tumaininalaila2865
    @tumaininalaila2865 9 หลายเดือนก่อน +91

    Wote waliobarikiwa na huu wimbo kama mimi gonga like hapa.

  • @livinohaule8442
    @livinohaule8442 3 หลายเดือนก่อน +4

    Uimbaji wa kuunda IBADA. Unaunganisha Watazamaji/Wasikilizaji kumuabudu MUNGU. Hongera sana kutoka Arusha - 🇹🇿

  • @mercynmuraguri1455
    @mercynmuraguri1455 9 หลายเดือนก่อน +66

    Who is listening to this song for the 10th time. Beautiful song...reminding us of God's mercy to us...and His unending love. Israel you have done it again. God bless you. From 🇰🇪 with ❤️🙏🏿

  • @Jenn-e6n
    @Jenn-e6n 9 หลายเดือนก่อน +84

    “”Nzibyo nibwira “” in Kinyarwanda translated to Kiswahili eeeeeeh this guy is something else for sure
    This is real talent and pure from God’s heart ❤

    • @janenjora2956
      @janenjora2956 9 หลายเดือนก่อน +1

      I could tell it’s a tune I have heard before from him only I could not tell which song

    • @janenjora2956
      @janenjora2956 9 หลายเดือนก่อน +4

      Please translate sinzibangirwa

    • @Veronicaivuti
      @Veronicaivuti 9 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @sherryowilla6836
    @sherryowilla6836 9 หลายเดือนก่อน +67

    Wambieni wenye huzuni tulizeni wenye majeraha,wambieni waje waone tuna mungu mwenye wa upendo🙏

  • @ChristinasylivesterChiza
    @ChristinasylivesterChiza 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nyimbo zako zinanigusa sana moyoni, mungu azidi kukuinua kwa faida yetu, be blessed🙏

  • @michaelmnkai8491
    @michaelmnkai8491 9 หลายเดือนก่อน +52

    Wambieni wenye huzuni tulizeni wenye majeraha tuna mungu mwenye upendo ❤❤❤❤

  • @faustinebusolo7304
    @faustinebusolo7304 9 หลายเดือนก่อน +46

    Naendelea kubarikiwa all the way from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @njoka_ndwiga
    @njoka_ndwiga 9 หลายเดือนก่อน +60

    Songs taken directly from the bible just speak life to our souls❤ Jeremiah 29:11

  • @alexkinotikibaara7688
    @alexkinotikibaara7688 3 หลายเดือนก่อน +9

    Best brain therapy.Thank you Israel Mbonyi.Lot's of love from Africa

  • @janemghambi3377
    @janemghambi3377 9 หลายเดือนก่อน +26

    Praise Atmosphere 2024.... We look forward to see Israel Mbonyi in Kenya.

  • @ernestgervas7021
    @ernestgervas7021 9 หลายเดือนก่อน +57

    I am a Zambian. I love gospel singers from East Africa. May God bless you my beloved singers of all time.

  • @Ruthbaraka902
    @Ruthbaraka902 9 หลายเดือนก่อน +94

    Dedicating this wonderful song to all Kenyans in gulf ❤we love your songs 🇰🇪 🇰🇪

    • @VeronicaGachoki
      @VeronicaGachoki 9 หลายเดือนก่อน +1

      Team strong 🙏🙏🙏

    • @nelsonechesa2200
      @nelsonechesa2200 9 หลายเดือนก่อน +2

      Ooh hallelujah even gulf are listening be blessed Kenyan's who are in gulf 👏👏👏👏we love you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Ruthbaraka902
      @Ruthbaraka902 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@nelsonechesa2200 Thankyou so much🙏

    • @nelsonechesa2200
      @nelsonechesa2200 9 หลายเดือนก่อน

      @@Ruthbaraka902 be blessed I hope one day we shall meet there in gulf

  • @callenmoraa5513
    @callenmoraa5513 4 หลายเดือนก่อน +1

    Endelea kubarikiwa na ufunuo mpya kila siku your songs are a blessing to me

  • @wanjanjubi
    @wanjanjubi 9 หลายเดือนก่อน +44

    I hear God directly speaking to me in the words of this song🙏 much love from Kenyans ❤🇰🇪

  • @Enock-bz1nf
    @Enock-bz1nf 9 หลายเดือนก่อน +149

    Watanzania wanaomfatilia Israel mbonyi like tafadhali

    • @janeobure3006
      @janeobure3006 4 หลายเดือนก่อน

      Nipo hapa.

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de 3 หลายเดือนก่อน +1

      Napenda Sana nyimbo z huyu Mtumishi wa Mungu 🙏❤azid kubarikiwa sana

    • @FausitnePonera-fq9pj
      @FausitnePonera-fq9pj 2 หลายเดือนก่อน

      Hakika tuna mungu mwingi🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @revocatuscharles934
      @revocatuscharles934 หลายเดือนก่อน

      Islael mbonyi ubalikiwe kwa nyimbo nzuri from tanzaniani

    • @PraygodLimo
      @PraygodLimo 22 วันที่ผ่านมา

      🎉

  • @EstherMark-pd9tj
    @EstherMark-pd9tj 9 หลายเดือนก่อน +25

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪come see yupo Mungu hapa.wakutumaini.apeanae uzima wa milele.alindaye inchi yetu kwa jeshi lake kubwa.

  • @charlesmafanikio
    @charlesmafanikio 5 หลายเดือนก่อน +8

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 you are so blessed Mr. Mbonyi nabarikiwa sana na nyimbozako Mungu akuzidishie sana hakika nyimbozako zinanibariki sana

  • @josephgathiiki3088
    @josephgathiiki3088 9 หลายเดือนก่อน +17

    Best songs from a young soul sisi ni wana wa mungu 🇰🇪 na 🇷🇼 pamoja hallelujah.santi mbonyi

  • @hellennyaboke6212
    @hellennyaboke6212 9 หลายเดือนก่อน +35

    Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪we really appreciate your songs may God almighty protect you wherever You're stepping.🎉🎉🎉

  • @Arjun23e
    @Arjun23e 9 หลายเดือนก่อน +47

    Wakati nimeona izi wimbo nimeona kama vile badaee nilipoteza mengi sana kutopo zijuwa . good bless you.wa Congo nipee likes ata 20.🙏

  • @emanuelmakapi5986
    @emanuelmakapi5986 6 หลายเดือนก่อน +17

    Tofautisha kuomba kwakooooo, omba vizuri Mungu asikie maombi yako, Karibu Arusha Tanzania

  • @tesstescian255
    @tesstescian255 9 หลายเดือนก่อน +56

    I love this so much 🙏🙏🙏 I'm a Muslims but because of you Mbonyi llove christians worship songs u make me to love too 🥰 much♥️♥️♥️♥️😊

    • @paulinenzioka927
      @paulinenzioka927 9 หลายเดือนก่อน +1

      Don't just get entertained only, he is singing a message to us from God, accept Jesus as your Lord and saviour for He loves you dearly, 🙏

    • @norahmatheka8592
      @norahmatheka8592 9 หลายเดือนก่อน

      You are welcome to accept Christ as your saviour.

    • @blessed137
      @blessed137 9 หลายเดือนก่อน

      I love muslims I found many of them very humble

    • @davidnsabigaba2214
      @davidnsabigaba2214 9 หลายเดือนก่อน

      Please be Christian my sister in God

  • @stanleykiprop4662
    @stanleykiprop4662 9 หลายเดือนก่อน +34

    Feel blessed tunning in from Eldoret Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ruthruhiu8060
    @ruthruhiu8060 9 หลายเดือนก่อน +30

    Waiting patiently...another hit in swahili. Grace and protection be upon you Israel Mbonyi.
    Karibu 🇰🇪

  • @MnazaletyMtuwanjiaile-yj8dn
    @MnazaletyMtuwanjiaile-yj8dn 5 หลายเดือนก่อน +11

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu , hekima na unyenyekevu mbele za Mungu liwe fungu lako na BWANA aikuze huduma yako.

  • @sibomanaemmanuel1831
    @sibomanaemmanuel1831 6 หลายเดือนก่อน +19

    To the person who is reading this ,Please Don’t give up God loves you
    And I do too❤Just have Faith in Him, a lot of Faith! Everything will be ok 😇 AMEN!!

  • @sarahkibaara-z6b
    @sarahkibaara-z6b 9 หลายเดือนก่อน +32

    Your Halleluyah is phenomenal. Your worship and songs are simple, no exaggerations, pure, spirit-filled, inspiring, encouraging, healing, uplifting, sweet melodies, and much more. God bless you team Mbonyi and may His Holy Spirit continue upholding and infilling you! Shalom! 🇰🇪🇰🇪

  • @havenwriters3593
    @havenwriters3593 9 หลายเดือนก่อน +32

    Team Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 for Mbonyi. We love you so much❤❤❤

  • @DannyAmbindwile
    @DannyAmbindwile หลายเดือนก่อน +7

    Nimesikiliza huu wimbo kwa Mala ya Kwanzaa kwenye msiba wa sauli....

  • @wainainagideon2068
    @wainainagideon2068 9 หลายเดือนก่อน +51

    Mbonyi is the most celebrated artist in Nairobi the capital city of East Africa. Ukipendwa Kenya, ujue umependwa mbinguni na duniani.

    • @anicetndayiragije-hv9os
      @anicetndayiragije-hv9os 9 หลายเดือนก่อน

      What a beautiful song! I love you Mbonyi. From Bujumbura

    • @jecintamaina4469
      @jecintamaina4469 9 หลายเดือนก่อน +1

      𝐘𝐨𝐮𝐧𝐠 & 𝐭𝐚𝐥𝐞𝐧𝐭𝐞𝐝! 𝐁𝐥𝐞𝐬𝐬𝐞𝐝 𝐬𝐨𝐮𝐥!

    • @RUTH-lz6mp
      @RUTH-lz6mp 8 หลายเดือนก่อน

      Capital city of East Africa; I really live his songs

    • @ShelmithGathu
      @ShelmithGathu 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa huyu jamaa Ako sawa

    • @M.THREE-TZ
      @M.THREE-TZ 7 หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/5oXf60BT96I/w-d-xo.htmlsi=ni99UDi7_mOLVJMZ

  • @sibomanaemmanuel1831
    @sibomanaemmanuel1831 9 หลายเดือนก่อน +15

    *Ninayajua yangu malengo Ni mema sio mabaya🙏🏼Ili niwape matumaini ya siku zijazo *Nawapenda*🌺♥️ hallelujah 🙌🏼💃🏻🕺🪘🥁🔥 Merry Christmas 🎄🎁 I love you So much Mbonyi 🎆 You are a our Gift from GOD 🙏♥️ JEREMIAH 29:11🕊️👑📖

  • @mariabeatus3288
    @mariabeatus3288 9 หลายเดือนก่อน +18

    Kila wimbo wako ninaousikiliza namuona Mungu ndani Yako mdogo wangu, endelea mbele kijana Mungu yupo upande wako🙏🙏

  • @EstamaryMlade-vg1rc
    @EstamaryMlade-vg1rc 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutie nguvu Mr israel katika kufanya kazi yake,at all i like so much your songs because they currently change my vision and my life God bless you

  • @milkamonica6450
    @milkamonica6450 9 หลายเดือนก่อน +29

    More grace brother,we Kenyans love your ministry 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @OFFICIALSEMAH
    @OFFICIALSEMAH 9 หลายเดือนก่อน +29

    From Kenya 🇰🇪🇰🇪 napenda sana mtumishi wa mungu navyo imba brother unanivutia sana Israel mbonyi #malengoyamungu weka like zake hapa zote za Israel mbonyi malengo ya mungu 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

    • @OFFICIALSEMAH
      @OFFICIALSEMAH 9 หลายเดือนก่อน

      @israelmbonyi🎉🎉🎉

  • @judithmugisa3248
    @judithmugisa3248 8 หลายเดือนก่อน +18

    Listening to you from Congo (DRC)🇨🇩, nyimbo hii imenibariki sana, kunikumbusha malengo ya Mungu kw ajili yangu

  • @gabs5648
    @gabs5648 3 หลายเดือนก่อน +4

    I'm from Ghana 🇬🇭🇬🇭 and I love Israel's songs though I don't understand the language. I wish they would put English translation

  • @kosiberyl2501
    @kosiberyl2501 9 หลายเดือนก่อน +27

    To all women trying to conceive but it's all in vain,, God will bless your womb, don't worry, ako na mipango,, he is a faithful God..😊🇰🇪

  • @theresahbosire9419
    @theresahbosire9419 9 หลายเดือนก่อน +29

    Am so proud of you my Kenyan brothers and sisters.Sisi hatubagui .We are hungry for the true massage of God and nothing else. Nawapenda sana.

  • @SIBOMANAEMMANUEL-e3l
    @SIBOMANAEMMANUEL-e3l 8 หลายเดือนก่อน +23

    A great composer and a Poet in heavenly mysteries Amen! Israel is not only a worshipper but also a prophet, I am still crying, I believe that you Got this song from heaven, Heaven is really so proud of you. I pray for you everyday, be blessed Our Israel of Africa we love you.

  • @josephgitau3083
    @josephgitau3083 6 หลายเดือนก่อน +14

    After listening to this song, my soul was instantly healed and hope in Jesus become my strong hold.🇰🇪🇰🇪in Kenya your images are already branded in public transport vehicle.glory to God...is it true Kenyans🇰🇪🇰🇪👍

  • @rosemwiti6295
    @rosemwiti6295 9 หลายเดือนก่อน +28

    Thanks for the Swahili songs... You are such a blessing to me. My father in law is sick and your songs just calms down my tensions and I know all will be good for the glory of God 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @eliasmagoma5836
    @eliasmagoma5836 8 หลายเดือนก่อน +47

    Israel huna baya sio kwa upako huu 🇹🇿🇹🇿 tunakupenda.

    • @JohnThadayo
      @JohnThadayo 4 หลายเดือนก่อน

      Emeni

  • @vivianwanini9169
    @vivianwanini9169 9 หลายเดือนก่อน +25

    AMEN HALLELUJAH.. Thank you for singing it with swahili. We now understand 🙏 ❤🎶🎵🇰🇪🇰🇪🔥

  • @annjeri
    @annjeri 2 หลายเดือนก่อน +23

    Who is here with me please like so that I can be back here and listen to this wonderful song❤❤

  • @TeddyJohn-i3q
    @TeddyJohn-i3q 9 หลายเดือนก่อน +8

    Yesu akulinde ufike usiishie njiani unaujumbe mkubwa saaana upo ktk kuongozwa na ROHO MTF. HUYO ROHO MTF ASITOKE KWAKO

  • @didacebigirimana7350
    @didacebigirimana7350 9 หลายเดือนก่อน +33

    Hallelujah,Mungu aendelee kukutumia Mtumishi wake,uvune usiku na mchana,kwani mioyo ya kuokoka bado mingi sana❤

    • @IrakozeVianney-zt4we
      @IrakozeVianney-zt4we 9 หลายเดือนก่อน

      Ameni wakenya na watanzania wlikuwa Wana kiu ya nyimbo zake hatimaye muda umefika🎉

  • @alicekavata7381
    @alicekavata7381 9 หลายเดือนก่อน +19

    Please visit Kenya 🇰🇪🇰🇪.We love your songs . Barikiwa sana.

  • @mwamini-xr1on
    @mwamini-xr1on 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu azidi kukuinua mtumishi Yani me huwaga nabarikiwaga Sana na nyimbo zako narudiaga hata mara kumi najisikiaga furaha tu ❤❤❤❤

  • @saudashabani1560
    @saudashabani1560 9 หลายเดือนก่อน +12

    nipo naisubiria hapa Tanzania 🇹🇿 Mungu akubariki Israel mbonyi mtumishi wake.

  • @godfreymnyamale1867
    @godfreymnyamale1867 9 หลายเดือนก่อน +16

    Ahsante sana Mtumishi wa Mungu!! Tunabarikiwa sana hapa Tanzania na nyimbo zako za injili!!! Mungu azidi kukupaisha katika huduma hii

  • @mweniqz
    @mweniqz 9 หลายเดือนก่อน +29

    Kenyan wave is Masssive 🇰🇪🇰🇪

  • @victortawa9809
    @victortawa9809 3 หลายเดือนก่อน +5

    i first heard this song in kinyarwanda, i loved it knowing that it must be a deep crafted song and highly scriptural. God bless ndugu yangu Israel Mbonyi