Maombi Dhidi ya Roho ya Kuchelewa | MID-NIGHT PRAYERS|| DAY 3 | PASTOR GEORGE MUKABWA || 03/07/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • Unaweza Tuma Sadaka yako kwenda ;
    - M-Pesa Lipa Namba : 5252176
    - MPESA number : +255 753 333 008 (Jina : George Stephen Mukabwa)
    - KCB Bank Acc : 3300692938 (Jina : JESUS RESTORATION CENTER)
    -Safari Com : +254 722 578 776 (Jina : George Stephen Mukabwa)
    Gospel Teachings for soul winning Purpose.

ความคิดเห็น • 20

  • @angelshonza8236
    @angelshonza8236 หลายเดือนก่อน

    Ndo namaliza maombi na mchungaji now Bwana amefanya ameeeni

  • @trizzerngumbao4823
    @trizzerngumbao4823 หลายเดือนก่อน

    Napokea baraka zangu zote kwa jina la yesu kirsto

  • @glorytilya
    @glorytilya หลายเดือนก่อน

    Hakika Mungu ni halisi nimeona matendo yake ktk Maisha yangu

  • @neemajeremiah9401
    @neemajeremiah9401 หลายเดือนก่อน +5

    Jamani haya maombi yana nguvu. Ninaushuda hakika Mungu ametenda🙌, nitazidi kunyenyekea mbele za Mungu kupitia haya maombi ya madhabahu hii na mtumishi wake🙏

    • @rachelogola5670
      @rachelogola5670 หลายเดือนก่อน

      I am connecting with your testimony in Jesus name😊

  • @filomenaemmanuel14
    @filomenaemmanuel14 หลายเดือนก่อน

    Napokea Barak zangu zote ktk jina laYesu

  • @user-ro2fl1py6m
    @user-ro2fl1py6m หลายเดือนก่อน

    Jamani 🔥🔥🔥🔥🔥😭😭😭😭

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu หลายเดือนก่อน

    Natangaza kubadilika kwa majira yangu na wala sitacheleweshwa tena kwa jina la Yesu Kristo,Amen!

  • @janeisaya4921
    @janeisaya4921 หลายเดือนก่อน

    Yaani ni mimi Mungu nitoe hapa kumbuka niliyofanya mfungo huu unitoe

  • @julmuwanje5281
    @julmuwanje5281 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏👏👏👏 Thanks you Jesus 😢

  • @filomenaemmanuel14
    @filomenaemmanuel14 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @janeisaya4921
    @janeisaya4921 หลายเดือนก่อน

    Uwiiii ni mimi Mungu nione jmn

  • @borasimukindje9633
    @borasimukindje9633 หลายเดือนก่อน

    Amen kubwa

  • @tiffadauda
    @tiffadauda หลายเดือนก่อน

    Kwa maombi haya naamini nimepokea nasubiri kutoa shuhuda. Hasante Mungu juu ya Pastor George

  • @shuhonpoint
    @shuhonpoint หลายเดือนก่อน

    Haya maombi hua yanaanza aaa ngp

  • @user-dm8np8bl6v
    @user-dm8np8bl6v หลายเดือนก่อน

    Nahakikisha nafuatilia haya maombi kila siku maana nahisi nahuishwa

  • @JuliethLema
    @JuliethLema หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @user98771
    @user98771 หลายเดือนก่อน

    Amen