"KWA HILI POLISI MMECHAFUKA Balaa!! SAKATA LA KUTEKWA SATIVA LAMNYANYUA TENA WAKILI MWABUKUSI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 58

  • @LameckZakaria-qg9vv
    @LameckZakaria-qg9vv 3 หลายเดือนก่อน +8

    Uyu jamaa anakuwaga real kabisa hana makandokando

  • @LobathLobath
    @LobathLobath 3 หลายเดือนก่อน +6

    Huu ni unyama na matumizi mabaya ya Kodi zetu

  • @gililwise
    @gililwise 3 หลายเดือนก่อน +4

    Yaani hao waliofanya huo unyama Kwa Sativa Mungu awalaani na vizazivyao .waangamie hata kumbukumbu lao lisiwepo

  • @MadeleineLazaro-pg1fl
    @MadeleineLazaro-pg1fl 17 วันที่ผ่านมา +1

    Yaaani acha mungu awe mungu

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jeshi la polisi Moja kwa Moja linatuhumiwa kwa sababu aliyetekwa anaeleza kuwa alitekwa na kupelekwa kituo Cha polisi oyster bay akawekwa kwenye karakana ya polisi jioni wakaja kumchukua kumpeleka Arusha na baadae kumpeleka katavi kumpiga Risasi

    • @rabsonmichael9720
      @rabsonmichael9720 หลายเดือนก่อน

      Inauma sana na sio ostarbay tu,kuna kituo kingine Arusha amekisema.Uchafu wa hii nchi unafanywa na polisi.

  • @NgamelaYussuph
    @NgamelaYussuph 17 วันที่ผ่านมา

    Mwanasheria unataka watu wakamate bila ushshd,Kesi ya jinai hata wewe unaweza fungus kama unao ushahd Serikari haiwezi fungus kesi bila ushshd then baadae ishindwe ilipe pesa za fidia,Shida watu hawapo tayali kutoa ushahd

  • @ClemoohPeter-zz7oz
    @ClemoohPeter-zz7oz 2 หลายเดือนก่อน

    Walio fanya ivo naawalaani katika jina la yesu mungu laani na vizazi vyao amina na laana itawafata tu

  • @BozaDizamile-u1d
    @BozaDizamile-u1d 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mkitaka Ccm Watueshimu Tuingie Barabarani Kama Kenya Bila Ivyo Tujiandae Kutekwa WOTE

    • @exaverysimon1064
      @exaverysimon1064 3 หลายเดือนก่อน

      TOFAUTISHA TZ NA KENYA MAN WE JICHANGANYE UONE

    • @abbynimel-kindy5107
      @abbynimel-kindy5107 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@exaverysimon1064 Kama Huyu Anaweza Kuwa Na Tabia Za Juma Lokolo or Mauzinde😂😂😂😂😂😂

  • @Fatima-b4z5y
    @Fatima-b4z5y 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani tumuongope mwenyenzi mungu kesho kuna hukumu pia tulicho kichuma.duniani.ndoutakacho.kivuna.kama.hajalipwa.dunian ahera paxito

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg 3 หลายเดือนก่อน +1

    kazi yao ni kufunga wanao mkosoa rais si vingine

  • @saitotimollel8495
    @saitotimollel8495 3 หลายเดือนก่อน

    Good job brother. Keep it up

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asikari mtanganyika unatetea unatesa unauwa kwakumtetea mzanzibari huku wewe ni mtanganyika unauwa mtanganyika anatetea tanganyika

    • @abbynimel-kindy5107
      @abbynimel-kindy5107 3 หลายเดือนก่อน +1

      Na Mtanganyagwa Sana Tu Watanganyia Mtabigwa Mpk Kifo Cha Mendee😂😂😂😂

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna Zanzibar Nje ya Muungano , kwanza Wa Unguja na Wapemba hawapendani, mshukuru CCM kwa kuwaunganisha, ingekuwa rahisi kuishi Bara hata Wakenya wangejazana kujenga nyumba, Nje ya Muungano mnatakiwa muishi Bara kwa vibali na nyumba mlizojenga mzinyanyue, wenye akili wako huku wanafanya biashara, nyie mbaki huko na majungu yenu msubirieni rial kutoka oman mnunue mkate wa boflo

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@abbynimel-kindy5107 Wote nyie Watanganyika tu ulizeni babu zenu, ni wasukuma, wanyamwezi ,wazaramo wa huku wakazaa na waarabu na wangazija mkapatikana, alafu mnajifanya kama vile mmeshushwa Mbinguni, nina Mashangazi huko alafu Wasukuma wamezaa na warabu watoto nao wanatuita machogo, au mnajihisi nyie ni wa oman hahahaha makombo ya utumwa yanawasumbua saana eti Watanganyika, tutawarudisha baadhi yenu Comoro

  • @KINASAITALABASH-pc8ld
    @KINASAITALABASH-pc8ld 2 หลายเดือนก่อน

    Jambo hili linasikitisha sana Yan kama igewezekana mwabukis ukawa mtawala mm nipatie nafas ya uwazili mkuu hakka nchi itakaa shwr.

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndo umeishasema sasa.

  • @samwelshepa8443
    @samwelshepa8443 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna aliye salama maana hulka ya watanzania ni kufa na vitanzi na yeyote anayejitokeza huishia kupigwa tanzi na Kwa kitisho hicho wote hunywea. Huu ni mtihani mgumu inatakiwa statergy kubwa ya kutoa mfumo uliopo kuweka mfumo wa haki na usawa. Poleni wenzetu mnaopitia matokeo ya mfumo.

  • @dogodogo595
    @dogodogo595 3 หลายเดือนก่อน

    Poleni

  • @saadune
    @saadune 3 หลายเดือนก่อน +1

    Country gone to the dogs

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 หลายเดือนก่อน

    UMENENA VEMA MR MWABUKUSI

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 หลายเดือนก่อน

    Mie hiku kitu kinanikera kwanini watu wanatekwa sanaaaa kwa kweli kwa hali kama hii siyo nzuri jamani malalamiko yamezidi sanaaaa

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kesi ya nyani unampa ngedere

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 3 หลายเดือนก่อน

      Ni magumu. Ila ni aibu kwa taifa

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 3 หลายเดือนก่อน

    HAPO KWANZA IWEKWE WAZI IJULIKANE SERIKALI NI CHOMBO CHA WANAINCHI AU WANAINCHI NI CHOMBO CHA SERIKALI. SERIKALI INA WANAINCHI AU WANAINCHI WANA SERIKALI. WANAINCHI NDIO WAMEWEKA SERIKALI AU SERIKALI IMEWEKA WANAINCHI

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kupoteza muda kesi iko kwenye uchunguzi na uchunguzi unaendelea, kunyamaza ni hekma, wabishi alafu yakiwafika mnaanza kushirikisha umma uwaonee huruma, alafu hata Chadema hawakukubali hata kidogo unajipendekeza tu

    • @Focusm-se2sd
      @Focusm-se2sd 3 หลายเดือนก่อน

      Mjinga tu kama wajinga wengine

    • @raymondmjebe2412
      @raymondmjebe2412 3 หลายเดือนก่อน

      malipo ni hapa hapa acha kuwa na mentality mgandoo .alichosema si zambi

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      Nani anachunguza,ifike wakati ujue Mungu yupo na kila baya unalolifanya utatoa hesabu, madaraka ni kitu cha kupita tu,wao wapi wakina Idd Amin,bokasa, pamoja na ujanja wao wote wamefukiwa udongoni

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 25 วันที่ผ่านมา

      Ww ni mginga mpumbavu kbs shoga wa magharibi na linato lenu

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 3 หลายเดือนก่อน

    WATANZANIA tumelala TENA USINGIZI fofo ndio MAANA tunafanyiwa vile watakavyo tuamke tuamke hakuna atakaye tutetea , tutoke KWENYE huu USINGIZI tutaisha

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 3 หลายเดือนก่อน

    Usizunguke mbuyu Mwabukusi, tatizo sio kikosi kazi, tatizo oder

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 3 หลายเดือนก่อน

    Kikweli Bora atua ichukuliwe mm najua walijua sativa kafa ndio wakamuacha lakn naiman niweng wanatekwa na wanakufa

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 3 หลายเดือนก่อน

    Siku zikifika nawao nao watafanyiwa hivi hivi na familia zao saadamu alijificha kwenye shimo ndio Kwa maana watu wanalipizaga kisasi

  • @Hellen-i2y
    @Hellen-i2y 3 หลายเดือนก่อน

    Polisi na viongozi hawajali mbaya zaidi wananchi tunakaa kimya kwa sababu tunaogopa.

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 2 หลายเดือนก่อน

    Serikali inaupungufu wa wazee wenye hekima kila sekta mambo ni mzobemzobe

  • @AlanMbilinyi
    @AlanMbilinyi 2 หลายเดือนก่อน

    IGP INAFAA KUJIUZURI KWA SABABU WATU WANATEKWA NA KUUAWA HOVYO IGP YUPO TU WAPOLISI WEZI TIZAMA WALE ASKALI MTWARA WALIUA MFANYABIASHARA WA MADINI KESI ILIISHIJE ? HAMZA WALIMWUA WALISEMA ALIKUWA JAMBAZI .IGP SIRO NA WAMBURA NI WAUAJI WAMETEKA WATU NAKUUA .

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 3 หลายเดือนก่อน

    Inatakiwa ajiuzulu sio aunde tume hizo tume inasaidiya nini?

  • @seifkassim5872
    @seifkassim5872 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani Aya matukio rais ajayasikia.mbona asemi chochote

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 26 วันที่ผ่านมา

    Mzee walyoba uko wapi?

  • @BizzBoy-g4o
    @BizzBoy-g4o 3 หลายเดือนก่อน

    kumbe tabiazao niku telekeza
    Wa raia kwenye mbuga za wanyama

  • @reginas1832
    @reginas1832 3 หลายเดือนก่อน

    Hakimu hapa ni Wananchi. Bila hiyvo tutaendelea kuwatuza na vitukuu vyao.

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 3 หลายเดือนก่อน

      Nimekuelewa vizuri

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 3 หลายเดือนก่อน

    Maandamano yaanzie hapo tusikubali kwa haya jamani tujaribu kuona LA kufanya..

    • @exaverysimon1064
      @exaverysimon1064 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂 we JICHANGANYE niko palee hii SIO KENYA brow

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 3 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo unasemsemaje usitoe vitisho toa. Maoni wananchi wafanyeje ? Wafanyeje hayo mambo ya kishetani yafanyweje ?au na wewe ni mmoja wao wa watesi wetu ​@@exaverysimon1064

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      ​@@exaverysimon1064Kwaani Kenya inatofauti gani na Tanzania

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi watanganyika niwaoga wajinga hatuwezi kuandamana

    • @abbynimel-kindy5107
      @abbynimel-kindy5107 3 หลายเดือนก่อน

      Nyinyi Kazi Yenu Munajuwa Umbea Tu 😂😂😂😂😂

    • @MirajiMbolile
      @MirajiMbolile 3 หลายเดือนก่อน

      Kumbe munajijua kwamba ni waoga na niwajinga ? Endeleeni kusinzia hivyohivyo mpaka siku ya mwisho .

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      ​@@MirajiMbolileWewe una enjoy kodi za watanzania tu

  • @LameckZakaria-qg9vv
    @LameckZakaria-qg9vv 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @Fatima-b4z5y
    @Fatima-b4z5y 3 หลายเดือนก่อน

    M

  • @abdulgwelo7150
    @abdulgwelo7150 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe mwabukusi Kama wewe niwakili kweli wakutetea haki wakati wa mauaji ya kibiti ilikuwa wapi wanainchi waliwa kuteswa nakubakwa ulikuwa wapi hukuyona ulikuwa kimya acha kuchanganisha serikali nawana inchi