PETER MADELEKA AKIWASHA SAKATA LA KUTEKWA KWA SATIVA, AFUNGUKA MAZITO, ATAKA SULUHU YA UTEKWAJI WATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • #TANZANIA: Wakili Peter Madeleka akiwasha sakata la kutekwa kwa Sativa na wengine, afunguka mazito, ataka suluhu, pia afunguka sheria za makosa ya mitandao, adai hizo ni kesi rahisi sana, ataka watu wawe wamoja.
    Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE TH-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

ความคิดเห็น • 25

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 3 หลายเดือนก่อน +3

    Madeleka one of the vary brave lndipendet privet advocate who knows vary clear tanzania constuetion in and out even lntanationol system challenge on Africa constuetion wise now after lessening vary clear you pin point l understand vary clear your pin point madeleka umeongea point sana km mwanasheria anaye kutambua ktk nchi yetu ukiwa na mueshimiwa mwabukusi baba lao

  • @jesuinababili2280
    @jesuinababili2280 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kheri tumbo lililokuzaa🤝🏽

  • @MussaNondo-t6n
    @MussaNondo-t6n 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli kabisa wakili msomi Peter Madeleka ❤

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mumgu akubariki Madeleka

  • @RichardTinda
    @RichardTinda 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ikiwa hivyo ndivyo tunasubiri nini?

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 หลายเดือนก่อน

    Aaaaaaaaa imezidi sana huu utekaji mateso kama haya sasa hivi imezidi

  • @teddypetersimengwa6705
    @teddypetersimengwa6705 10 วันที่ผ่านมา

    Naomba namba zenu Wana space na ya madeleka, Mungu awatunze sana.

  • @MonayLai
    @MonayLai 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wakili umesema kweli sasa hatua zianze sana isiishie tu mjadala wa hapa

  • @SwaleheKudisa
    @SwaleheKudisa 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka mkubwa nakuelewa vizuri mungu akujaalie UMRI na afya

  • @bilalisaidi3605
    @bilalisaidi3605 3 หลายเดือนก่อน

    Good!!

  • @bibletv9818
    @bibletv9818 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dada Maria naomba namba ya Madereka tafadhali

  • @hassanrwitita2503
    @hassanrwitita2503 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ha!! kumbeee!!!!

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 หลายเดือนก่อน

    Utekaji huu kiboko Mungu tusaidie nchi iwe na amani Tanzania

  • @AloisMosha-uv2fu
    @AloisMosha-uv2fu หลายเดือนก่อน

    Naomba yako madeleka

  • @NicodemBarantanda-ud7qy
    @NicodemBarantanda-ud7qy 3 หลายเดือนก่อน

    Usiseme tumwombee Madeleka uwe na uhakika umeshaanza Mungu hataki watu Mungu anataka mtu mmoja achukuaye hatua ili Bwana wa Majeshi Mungu aliye hai afanye .Lakini pia MUNGU wa haki Yuko kazini unaweza ukaona japo Rohoni wanaohisi wanayo mamlaka leo watajikuta hawanayo Tena na kujuta kwa Nini walifanya tunayoyaona kwa rekodi ndeefu yakijirudiarudia.

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu mpe nguvu huyu mtu mkombozi. Wetu watanzani wachungaji maasikofu mashehe tumwombee huyu mtu tuweke siku yake yamaombezi. Asante nitajielimisha kwa faida ya taifa langu ndiye maderka elimu yake inasaidia taifa lote.

  • @frankkaronge1609
    @frankkaronge1609 หลายเดือนก่อน

    Sasa suala la utekaji linazidi kuongezeka. Tuchukue hatua tumuunge mkono wakili msoni Madaleka ili kina Soka na wengine waliotekwa na kupotezwa wapatikane na wanaoendeleza unyama huo wafikishwe mbele ya sheria.

  • @ebenezernnko8251
    @ebenezernnko8251 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ya Madeleka au nijuwe tuu ofisi zao ninashida ya kisheria

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko117 3 หลายเดือนก่อน

    Weken no ya malipo na utaratibu tuchangie tumechoka na watu kupotea leo kwangu kesho kwako. n muda cc mwenyewe kujikomboa.

  • @frankkaronge1609
    @frankkaronge1609 หลายเดือนก่อน

    Sasa lutekaji la Soka limeongezeka. Tumuunge mkono wakili msomi ili tuchukue hatua.

  • @JuliasMwita-c2l
    @JuliasMwita-c2l 3 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba akina madeleka wawe wengi ili hii inchi iamke.

  • @BozaDizamile-u1d
    @BozaDizamile-u1d 3 หลายเดือนก่อน

    Km Ccm Wanatuteka Kwa Nn Sisi Tusiwateke C Tunaishi Nao?

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 3 หลายเดือนก่อน

    Madereka yuko sahihi,tuache kulalamika hatua zichukuliwe

  • @eunho9529
    @eunho9529 3 หลายเดือนก่อน

    ni kweli serikali inahusika kwa yote.