UPENDO CHOIR ST.JAMES OFFICIAL Anglican Church. Arusha, Tanzania. Since 1967 "Sisi tunamuhubiri Kristo aliyesulubiwa na kufufuka' Kwa huduma tunapatikana +255 786 653 892
Yoshua umeua solo.... 🙌🙌 waaaaaapi mpiga drums ! 😊😊😊 waongozaji wa wimbo, mpiga bass.... wapiga vinanda kaka Nanston Gahoza wanakwaya wote wa Upendo Choir, mumeimba vyema sana. Mungu akazidi kuwajaalia mzidi kumtumikia milele na milele. Salaam kwa wanakwaya wote wa Upendo, salam kwa Tumaini Choir, salam kwa wana St.James wote 🙏🙏🙏🙏
nimesikiliza nyimbo hii imenifariji sana. maana nilikuwa nimejihukumu nafsi yangu kutokana na mambo nilyafanya ambayo yamekuwa yanaumiza moyo wangu nikiyakumbuka. kiukweli kupitia wimbo huu nimejisamehe na natamani vijana wengi wasikilize ujumbe uliopo humu ndani utawasaidia weng maana wengi tumekata tamaa na kuzihukumu nafsi zetu. Inabidi tujisamehe then tuombe Mungu atusamehe
Hakika, wewe umepokea ujumbe vizuri na Mungu azidi kukusaidia kutoka kujisamehe nafsi yako na kumpa Yesu maisha ili uwe na amani moyoni daima. Ushauri wako kwa vijana na kwa watu wote pia wajisamehe nafsi zao waanze maisha mapya na YESU. Barikiwa sana sana.
Kusema ukweli tangu nikiwa mdogo kwa mara ya kwanza nasikia nyimbo za kwaya hii zilinivutia mno na niliota/nilitamani siku moja niwe sehemu ya kwaya hii, baadaye ndoto yangu ilitimia tena kwa namna ya pekee sana. Mungu awabariki kwa wimbo huu mzuri mno nawakumbuka sana.
Mpiga drums na bass guitar mmenigusa vilivyo hisia zangu. Sauti nyororo za sauti ya kwanza (solo) pamoja na combination ya sauti ya pili (tenor) tamu saana. Muongozaji wa sauti ya kiume naye kakamaiisha kazi aliyotumwa kufanya. Kwa kifupi Upendo Choir mmenibariki saana, hongereni mnoo, wimbo huu nausikiliza kila siku kw kuurudia mara kwa mara hapa You tube.
"BWANA WETU YESU KRISTO NI MFALME AWEZA YOTE 'UPENDO CHOIR' ~ ST. JAMES ~ ANGLICAN ~ DMK ~ ARUSHA! MKO SAWA...! ASANTENI SAAANA...! KAZENI MWENDO & KUONGEZA 'UPENDO' KADRI YA 'JINA' LENU LILIVYO...! 'MUNGU NI 'PENDO' APENDA WATU...! MMEBARIKIWA...! MUZIKI UMETULIA! SAUTI NAZO! VYOMBO VIME~BALANCE! HAMJAPAYUKA ~ PAYUKA...! MUONEKANO SAAAFI! ZAIDI SANA, SINA MASHAKA MBINGUNI NI 'HAKIKA...!' SOMENI: UFU. 7:9ff." AMEN. REV.CANON ANDREW KAJEMBE & FAMILY.
Amen, nice choir , be blessed in Christ, watching from Mombasa, ..
Yesu atukuzwe tunaendelea kuwaombea wafundishe neno la Mungu kupitia Uimbaji
HONGERENI SANA KWA UJUMBE MZURI
Hakika hamjawahi kukosea aisee, Mungu Awabariki sana. Mnafanya kazi nzuri sana Tunabarikiwa sana kwa nyimbo zenu.
I keep listening everyday , mbarikiwe sana wana ST. UPENDO Choir
Arrangements ya muziki nimeielewa sana, wimbo uko vema kabisa mbarikiwe sana
Mbarikiwe watumishi nyimbo nzuri .mungu awape nguvu muendelee kutubariki kwa nyimbo nyingine nyingi
Proud to be christian.Mungu nisaidie nife nikiwa muumini wa kristo🥺
Upendo Choir Hongera Sana kwa wimbo mzuri mmeubariki moyo wangu
Yoshua umeua solo.... 🙌🙌 waaaaaapi mpiga drums ! 😊😊😊 waongozaji wa wimbo, mpiga bass.... wapiga vinanda kaka Nanston Gahoza wanakwaya wote wa Upendo Choir, mumeimba vyema sana. Mungu akazidi kuwajaalia mzidi kumtumikia milele na milele. Salaam kwa wanakwaya wote wa Upendo, salam kwa Tumaini Choir, salam kwa wana St.James wote 🙏🙏🙏🙏
nimesikiliza nyimbo hii imenifariji sana. maana nilikuwa nimejihukumu nafsi yangu kutokana na mambo nilyafanya ambayo yamekuwa yanaumiza moyo wangu nikiyakumbuka. kiukweli kupitia wimbo huu nimejisamehe na natamani vijana wengi wasikilize ujumbe uliopo humu ndani utawasaidia weng maana wengi tumekata tamaa na kuzihukumu nafsi zetu. Inabidi tujisamehe then tuombe Mungu atusamehe
Hakika, wewe umepokea ujumbe vizuri na Mungu azidi kukusaidia kutoka kujisamehe nafsi yako na kumpa Yesu maisha ili uwe na amani moyoni daima. Ushauri wako kwa vijana na kwa watu wote pia wajisamehe nafsi zao waanze maisha mapya na YESU. Barikiwa sana sana.
Asanteni sana kwa wimbo ulio bora...Tukimwabudu Mungu kwa Roho na Kweli.Baraka!
Hongereni sana watumishi kazi nzuri.
Kusema ukweli tangu nikiwa mdogo kwa mara ya kwanza nasikia nyimbo za kwaya hii zilinivutia mno na niliota/nilitamani siku moja niwe sehemu ya kwaya hii, baadaye ndoto yangu ilitimia tena kwa namna ya pekee sana. Mungu awabariki kwa wimbo huu mzuri mno nawakumbuka sana.
Hongereni kwa kazi njema na ya baraka kwa wasikilizaji wote, mmbarikiwe sana.
👏👏👏👏👏 sifa na utukufu kwa Mungu,kwa kweli Mungu azidi kuwainua utukufu hata utukufu.
Very nice song br blessed Upendo group
Home sweet home i love the Song
Kila nikiangalia huu wimbo na kuuskiliza ndivyo nazidi kutamani kuuskiliza tena na tena. Mungu awabariki Sana.
Nakumbuka miaka hiyoooooo
Mpiga drums na bass guitar mmenigusa vilivyo hisia zangu. Sauti nyororo za sauti ya kwanza (solo) pamoja na combination ya sauti ya pili (tenor) tamu saana. Muongozaji wa sauti ya kiume naye kakamaiisha kazi aliyotumwa kufanya. Kwa kifupi Upendo Choir mmenibariki saana, hongereni mnoo, wimbo huu nausikiliza kila siku kw kuurudia mara kwa mara hapa You tube.
Mbarikiweee na bwanaaa yesuuu ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 ameeeeeeen
Mungu azidi kuwatiya nguvu katika huduma hii kutoka kigali tunawafuata 5/5
God bless you Upendo family♥️
Jamn mungu kawapa sauti mungu azidi kuwaongoza zaidi awandishe kiwango cha juu zaidi na zaidi
"BWANA WETU YESU KRISTO NI MFALME AWEZA YOTE 'UPENDO CHOIR' ~ ST. JAMES ~ ANGLICAN ~ DMK ~ ARUSHA! MKO SAWA...! ASANTENI SAAANA...! KAZENI MWENDO & KUONGEZA 'UPENDO' KADRI YA 'JINA' LENU LILIVYO...! 'MUNGU NI 'PENDO' APENDA WATU...! MMEBARIKIWA...! MUZIKI UMETULIA! SAUTI NAZO! VYOMBO VIME~BALANCE! HAMJAPAYUKA ~ PAYUKA...! MUONEKANO SAAAFI! ZAIDI SANA, SINA MASHAKA MBINGUNI NI 'HAKIKA...!' SOMENI: UFU. 7:9ff." AMEN. REV.CANON ANDREW KAJEMBE & FAMILY.
AMEN AMEN CANON! Asante kwa maombi yako, Upendo Choir St. James tunakukumbuka sana.
Kazi nzuri Mungu azidi kuwabariki,
This song 🔥🔥🔥🔥
Vocal Arrangement ✅
Music Arrangement ✅
Good Job Upendo...
We Appreciate bro💥💥💥🙏🙏
kazi nzuri sana Kristo azidi kuinuliwa kwa uimbaji wenu wapendwa
...am so much obliged with the song, words of mouth can't explain the taste of it. Stay blessed Christian Family.
Hongereni sana,sauti na vyombo vinasikika vizuri sana,Mungu azidi kuwainua!
Hongeren sana kwa kazi nzur
WOW wow Asanten Sana Upendo choir kazi nzuri sana nimebarikiwa Mnoo na Yesu Awabariki
👏👏❤
Amina kubwa Mungu akubarikini sana, nabarikiwa na wimbo huu sana.
Kazi nzuri sana,mbarikiwe
so sweet real...God bless you all
Such a beautiful song❤️
Ibaada hii ikumukwe mbingunii, wimbo huu una mguso wa Mungu ..Nimehudumiwa, Mungu aibariki kazi yake
Hongereni sana Mungu azidi kuwabariki, nimebarikiwa sana.
Ashukuriwe Mungu
Barikiweni mnoo,wimbo mzuri sanaa,
Amina watu wa mungu mbarikiwe
Indeedly beautifully... glory to God
Hongereni watumishi wimbo mzuri sana
Powerful song.... Mungu awabariki
Very powerful ❤
Yesu atunze katika hudumu hii
Most of the Mostly n high Blessiful Song...Proud of you Servants of highly n Most high Lord Almighty..
Kazi nzuri Sana wapendwa,,nawamiss sana kwaya yangu🤩🤩
Wimbo mzuri sana wenye kubariki
Jumbe ongeza upako zaidi.hapo sawa sawa kabisa.Lakini huku nilipo hakuna Cd zenu jitahidini kusambaza injili sawa!!!
Amen Amen mtumishi! asante kwa maombi yenu wapendwa msichoke kutuombea. huko ni wapi tufanye mpango wa CD's?
To God be the Glory
Glory to God
Amen
Upendo ChoIr 💥
Glory to god🙏🙏
Hongereni sana.
Amazing🔥🔥🔥
Amen🙏
Good song....🔥🔥🔥🔥 Wow
Ameeen
GLORY to GOD 😇
Mko sawasawa
AMEN AMEN!
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Jitumeni chini ya mkono wa Bwana
wow nzuri mno
Hakika banzembo Wana aza malamu penzaa
Wimbo mzuri, muziki mzuri, sauti nzuri zilizopangika vizuri. Barikiweni sana, Mungu aendelee kuwaiinua
Baraka nzuri, asanteni sanaaa
Ameeen